Dahh nimejikuta nacheka kwa sauti kwa furaha baada ya huu ujumbe,naona km ni meseji yangu KBS ,asante baba kipenzi,Nachochea mimi mpk kieleweke,ntaupuliza moto wangu nipate majibu ya ndoto zangu
Asante sana BABA, nadumu kujifunza kupitia madini haya ya maisha, nami nitadumu kuchochea na kupuliza moto wangu usizime ili niweze kuivisha vilivyopo ndani yangu
Baba Yangu,Ahsante kwa madini haya Baba,Yanazidi kunisukuma kufikia ndoto zangu maishani.
Nikweli baba mungu nisaidie niinuke tena nikamilishe ndoto yangu
Asante Sana baba yangu wa kipekee nitakaza mpaka ndoto zangu zitumie
Asante Baba yangu hakika sita kata tamaa nitachochea hadi moto uwake ☝️🙏.
Amen Baba yangu!
Asante Baba
Dahh nimejikuta nacheka kwa sauti kwa furaha baada ya huu ujumbe,naona km ni meseji yangu KBS ,asante baba kipenzi,Nachochea mimi mpk kieleweke,ntaupuliza moto wangu nipate majibu ya ndoto zangu
Asante sana BABA, nadumu kujifunza kupitia madini haya ya maisha, nami nitadumu kuchochea na kupuliza moto wangu usizime ili niweze kuivisha vilivyopo ndani yangu
Gd job
Asante mtumishi
😂🗡️🗡️
Ahsante kwa mafudisho Mzuri nitapuliza moto hadi chakula changu kiivee sitaopa moshi nimeanza safari lakini kuna watu wananichochea lakini siwaangalii
Elizabeth sita legea kamwe Kenya