DC MPYA ARUSHA AANZA KUTEMA CHECHE, AHUTUBIA MADAKTARI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • DC MPYA ARUSHA AANZA KUTEMA CHECHE, AHUTUBIA MADAKTARI
    MKUU wa Wilaya ya Arusha Kenan Laban Kihongosi, leo Juni 24, 2020 kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha amefungua mafunzo ya uelimishaji wa tathmini za ulemavu uliotokana na ajali na magonjwa yatokanayo na kazi kwa madaktari na watoa huduma ya afya wa kanda ya kaskazini, yanayofanyika katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa AICC jijini Arusha.
    Mafunzo hayo yameandaliwa na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF)...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 14

  • @saidmhalu7059
    @saidmhalu7059 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Mhe Dc upo vizur iringa tuna vijana wenye uwezo safi sanaaaaaaaaaa

  • @aminitengelakwi4712
    @aminitengelakwi4712 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mhe,kenani kihongosi Mungu akuongoze ktk utumishi kwa watu wilaya ya Arusha,kilolo tunakuamini Mhe,Rais amekuamini.

    • @fredykiwise662
      @fredykiwise662 4 ปีที่แล้ว

      Pigs kazi mkuuu tunaimani nawewe

  • @archbordygodfrey7770
    @archbordygodfrey7770 4 ปีที่แล้ว +1

    Vijana Tuko vizuri Sana...Vijana ni taifa la leo,si la kesho huu msemo ubadilishwe tu

  • @asiajuma8330
    @asiajuma8330 4 ปีที่แล้ว +1

    Haya haya kumekuchaaa kumekuchaaa hongera dc arusha

  • @thadeimsoma7295
    @thadeimsoma7295 4 ปีที่แล้ว +1

    Vipi jamani rais amesema stand ijengwa bara bara ya east afrika ninyi wateule mnataka kwa bohora
    Kule mbali kabisa,na uwo ndiyo mvutano uliodumu zaidi ya miaka miwili mnataka rais aongee luga gani,

  • @stvenkiwili6630
    @stvenkiwili6630 4 ปีที่แล้ว

    Ametema checked za Moto au

  • @harunaabdi1824
    @harunaabdi1824 4 ปีที่แล้ว

    Kumrudisha mpenzi siku3:peteyabahati:pesa zisizo za mashariti:0657317168

  • @abdhihariabdhallah760
    @abdhihariabdhallah760 4 ปีที่แล้ว

    Uharo mtupu matapishi sio kila sehemu mupeleke siasa hizo pesa nizetu walipa kodi sio zamagufuli wala mkewe

    • @danieljulius4708
      @danieljulius4708 4 ปีที่แล้ว +2

      Akili mbili hela zenu mbona hujajenga wewe????!!!!!!!! Wewe ni mpumbavu hoja zenyewe za kucopy, bila usimamizi mzuri na imara wa hizo fedha hivyo vitu vingefanyika????

    • @abdhihariabdhallah760
      @abdhihariabdhallah760 4 ปีที่แล้ว

      @@danieljulius4708 nyie ndio mnakopi maneno tokea 64 mpaka Leo asimame MTU akwambie magufuli amejenga mabanda ya skuli na vijidispensari hizo pesa nizake kibaka kama wewe nikuulize mbona hakutafuta wawekezaji wakajenga viwanda kama cha saruji cha dangote kimeajiri watu karibu 3000 na mshahara wa chini 600000 na hicho acheni ufala wenu ccm mumezoea wizi wa rasilimali za wa Tanzania nchi mumeijaza madeni uchumi umekufa kwa wizi wenu utawala huu umezidi kwa wizi

    • @stellakigomba7648
      @stellakigomba7648 4 ปีที่แล้ว

      Hongeraa Sana ! Muhehe mwenzangu dabaga juuuu

    • @mamani6411
      @mamani6411 4 ปีที่แล้ว +1

      Kenani Ndiyo Habari ya Arusha Wewe Zimia kufa nahicho kiroho chako chakichawi ila Utake usitake Magufuli kiboko yako