# MDAHALO LIVE: MUNGU NI NANI? MWL DANIEL-TZ vs MCH. NDACHA-KENYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 27

  • @SimfolianKasokora
    @SimfolianKasokora วันที่ผ่านมา

    ROHO TAKATIFU, Zab 51:11
    Mt 1:18. 12:32
    Lk 3:22
    Yn 14:26
    Mdo 2:4, 11:16
    Efe 4:30
    Ebr 6:4
    2petr 1:21
    Isa 63:10
    Mt 3:11
    Mk 13:11
    Mdo 20:28
    Hayo yanahusu Roho.

  • @Shomariamuri1
    @Shomariamuri1 วันที่ผ่านมา +3

    Fundisho la utatu ni headache tu 😂😂😂

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  วันที่ผ่านมา

      @@Shomariamuri1 kwako peke yako ndiyo headache lakini kwa biblia imelitaja ila sema wewe ndiyo hutaki. Hatukulazimishi

    • @SimfolianKasokora
      @SimfolianKasokora วันที่ผ่านมา

      1Yohana 5:8. Kwa maana wako watatu Washuhudiao: Roho, na maji, na damu; na watatu hawa hupatana kwa habari moja.
      Bisha na hapo, bahati mbaya sehemu nyingine nimeisahau nikikumbuka nitakupatia

    • @SharonAron-t1j
      @SharonAron-t1j วันที่ผ่านมา

      @@SimfolianKasokora Kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja.

    • @Shomariamuri1
      @Shomariamuri1 วันที่ผ่านมา

      @@SimfolianKasokora
      Imesema waungu watatu 3?

    • @SimfolianKasokora
      @SimfolianKasokora วันที่ผ่านมา

      Lakini mabishano yanini, katika mwili wenye uhai yaani Mtu kinacho ongea na kutoa sauti ni Roho, na sio mwili. Mwili ukitokwa na Roho huo mwili hauwezi ukatoa sauti, ndio maana binadamu akifa akitokwa na roho mwili wake hauwezi kuongea kwani unaitwa maiti,
      Daima roho unauwezo wa kuongea kutoa sauti
      Soma Mathayo 17:3. Na tazama, wakatokewa na Musa na Eliya, wakizungumza naye.
      Nikwamba hapo Musa alikuwa kesha kufa miaka Mingi kabla ya Yesu, kumbe hapo ilikuwa ni Roho wa Musa, au kimvuli au Mzuka. Elia yeye alikuwa Mwili na Roho. Waling’aaa wote hata Yesu aling'aa. Kwani walikuwa katika hali ya Roho.
      Mfano Yesu alipo kata Roho Mwili wake ulizikwa kaburini, haukuwa na uwezo wa kuongea, ila Roho wa yesu yeye Alibaki na uwezo wake uleule wa kuongea na kuhubiri kuzimu soma 1petr 3:17-20. Kumbe Roho wa Yesu alihuishwa (yaani alifanywa hai) akaendelea kuhubiri kule kuzimu bila Mwili ila Roho tupu. Nasiku ya tatu akafufuka Mt 27:62-63. Pia 28:1-10.
      Na siku hiyohiyo alipaa Mbinguni soma Yn 20:17.
      Kumbe kilicho fanya afufuke ni Roho kuurudia Mwili na kuingia katika Mwili na kuutia Mwili uzima.

  • @thevastking8851
    @thevastking8851 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We we akili auna mwankemwa .ayo mawazo mwanadamu

  • @konandawise4550
    @konandawise4550 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Quran
    4:171
    Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka Yeye na kuwa na mwana. Ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha.
    Masihi hataona uvunjifu(udhalili) kuwa mtumwa wa Mwenyezi Mungu, wala Malaika walio karibishwa. Na watakao ona uvunjifu utumwa wa Mwenyezi Mungu na kufanya kiburi, basi atawakusanya wote kwake.

  • @SundayBalegama
    @SundayBalegama วันที่ผ่านมา

    Romans 8: 11
    But if the Spirit of him that raised up Jesus from the dead dwell in you, he that raised up Christ from the dead shall also quicken your mortal bodies by his Spirit that dwelleth in you.( KJV)
    ●Nimewaletea King James mnayoipenda 😊😊.. sasa hapo mumeelewaje wapendwa; Roho alimfufua au vipi??

  • @petromachanga5538
    @petromachanga5538 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndasha makelele tu

  • @Shomariamuri1
    @Shomariamuri1 วันที่ผ่านมา +1

    Mwenye nasfi 3 anaangaika kueleza 😂😂😂

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  วันที่ผ่านมา

      @@Shomariamuri1 kwa nini ushindwe kuzieleza wakati ,iko wazi katika Math 28:19 kwani hapo ziko ngapi?

  • @MichaelMaduhu-y6e
    @MichaelMaduhu-y6e วันที่ผ่านมา

    1- YOHANA 5;7 inamaana ngani? kama usipo elewa sema Tena nitume fungu jingine . Wako watatu niumoja.

  • @Shomariamuri1
    @Shomariamuri1 วันที่ผ่านมา +1

    Nuru na Giza lazima vitajitenganisha.😂😂

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 วันที่ผ่านมา

    Sasa huyo Roho mbona ni nafsi tiyari kwa maneno yako mwenyewe😂😂😂 basi kumbe shida ni kiswahili hata MUNGU unaita mugu

    • @GODFREYSABAYO-yz4qx
      @GODFREYSABAYO-yz4qx วันที่ผ่านมา

      Mwankemwa wewe nimuongo Tena anawadanganya watu waziwazi

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      WAP anadanganya????

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 วันที่ผ่านมา

    Sasa ndacha Roho kwako wewe ni nani?? Yani unashida sijui ndo ile mizimu ya while inakusumbua???

    • @Shomariamuri1
      @Shomariamuri1 วันที่ผ่านมา +2

      Biblia inatambua roho wa Mungu na sio Mungu roho.
      Ninyi mumelewa na mafundisho ya Catholic mpaka kiama 😂😂😂

    • @CharlesNyale-kr4fx
      @CharlesNyale-kr4fx วันที่ผ่านมา

      Ndacha anasema anatetea Mungu wa Biblia ,kumanisha amesomea biblia ila mambo ya roho hayajui

    • @SimfolianKasokora
      @SimfolianKasokora วันที่ผ่านมา

      ​@@Shomariamuri1hujui kanisa ni katholiki na Mengine ni matokeo ya upinzani, kama halitambui katholiki Basi iache hata Biblia usiisome, kwa maana niwao waliikusanya kutoka vitabu vingi na kuviweka pamoja,
      Mafundisho ya kikatholiki yanatokana na Biblia tena yaliyo chunguzwa kwa kina. Haya hebu kasome 1Yohane 5:7-8.

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh วันที่ผ่านมา

      ​@@SimfolianKasokorahandika biblia yako ww mjinga ata akili una!

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 วันที่ผ่านมา

      @@Shomariamuri1 kweli sio Rahisi mwanadamu kumchunguza MUNGU amjue