Mashallah! Nimependaa sanaa.. Mwenyezi Mungu akubariki kwa mengi tu.. Maalim Seif unapendwa na watu wengi sana hapa Zanziba na maneno yako ni mazuri na ina maana nyingi.. InShaaAllah utakua raisi wa Zanziba! ACT Wazalendo!
Ingekua ccm na sera wangesema kabisa hakika dini ya haki kwa Allah Muslim Allah atujalie ukombozi wa zanzibar kuirudisha katka hazi yke kurusha elimu ya Allah kama ilivokua zamani Amin Amin 🙏
@@jumakapilima5674 yamotoni juu yenu wakawawakie nyinyi madhalim nyinyi mnamkanusha Allah mpaka siku tutakao simamishwa na kuhukumiwa wale waliodhulumu waambiwe "Huu ni ndio moto ambawo mlikuwa mkiukanusha" Ivyo ni uchawi huu au nyinyi hamuoni"saaa hapo ndio mtajuwa ukweli na Yale mliyokuwa mkifayafanyia istihzai
kila mmoja na kipaji chake alichojaaliwa mimi kipaji changu ni hichi👉th-cam.com/video/tpT_gPAHRP0/w-d-xo.html muhimu ni kufanya kazi ya halali tafadhali ukishatazama video hii kisha subscribe, toa maoni yako na pia unaweza ku nifollow kupitia whatsapp 0778283700.
Maneno mazuri yaliyo matamu kuliko asali na mfano wake jambo hakuna jambo zuri kama kuwaelimisha watu hasa kwenye dini ya Uislam sisi sote ni waislam hakuna haja ya kubaguana tupendane na tusaidiane na tuoneane huruma Mungu ni mmoja na Mtume Muhammad ndie mjumbe wake, Maalim wewe ndie unaefaa kuiongoza Zanzibar Allah tunakuomba utusimamishie huyu mja wako awe kiongozi wa Zanzibar Amin
We we mzeee huna kazi kumbe unakuwa we we uzee uwo ulokuwa nao jaman au unakimbia kelele za wajuk zako kwako mana at a sielewi ungetubu tena baba angu umependa asaa apo mskitin uwe muazin azana vo
Huyu babu humu nyunba ya ibada ataongea mazuri lakini mitaani ana shadihisha uvunjifuu wa amani na kubaguwa wabara wa unguja wa pemba huwo ndiyo ubaya wake
Masanduku ya kura ambazo tayr zimeshapigwa zikiingizwa nymban kwa mmoja ya wakerekwetwa wa ccm wilaya ya kasakzini A Unguja huku zikisimamiwa na mkuu wa wilaya na kila mkoa wamepeleka sanduku 15 za ndio kwa Dk. Mwinyi kwa upande wa zanzibar
Asnt umeeongea point ila za pemb cjapnd hku unatngz aman hku umefch mpng pemb umesem wat wkisem suu wao wesem swaa hku tuwe wmoj tulind aman tukuelew vip

Wewe Amina muoman masikini anajengewa nyumba mln ya million 120 nakila mwezi inampa million 2 za matumizi wewe unapata nn labda kukunwa na watwana waoman hawana haja na znz hata mfalme wa mwisho znz yuko oman na amepewa kila kitu ss tuko kwenye pepo ya Dunia ww uko shida hata kula yako ya taabu baadae unatukana wa oman
@@ladislausngoyinde4384 em fuatilia uzuri nani mzanzibar aseme kabila lake ambalo linatokana na unguja au pba kama hajakuambia yy bibi zake ni wagunya ni wa lamu wamechanganya na wabara au hatokwambia mm ni bibi yng mzaramu katoka muarabu lzma jibu utalipata ilo lzma ujue mzanzibar c kabila wote wamechanganya kutoka nchi tafauti
@@zuheraaziz9343 Zanzibar wandengereko wanyamwez, wamakonde, wamakunduchi, wamanyema na washiraz mbona wapo na ni kwao, wewe mwarab wa oman ndo maana, halaf uelewe kwmba kabla ya nyinyi kuna Zanzibar, watu walikuwa na utawala wao na kiongoz wao aliitwa mwinyi mkuu, meza iyo dada angu kabla haijapoa
Na nyie uko zanzbar mmeregea vbaya mwisho watakwambieni muiname ksha mvue suruali cc juz uku tumepigwa mabomu na hakuondoka mtu mwisho askari wakaondoka wenyewe walivo ona nguvu ya uumaa
Muisilam mwenye khofu ya Allah ukibahatika kumkuta kwenye umr huo basi yy na msikiti na msikiti na yy. Hata ukimuona anahangaika kutafuta uongozi wa kuongoza mamilioni ya watu akajibebesha mizigo kwa Mola wake kwenye umr huo ujue khofu haswa ya Allah hana. Musilam tu km hao unaowaita ww waisilam nusu.
Someni kwanza dini...acheni kufata dini kimazoea!! Ndo mfikirie kuisimamisha dola!!!! Kamwe dola ya kiisilamu haiwez kusimama kama watu hawajaifahamu dini yao vizur...!!!! Na wengi wenu ni unafiki kusingizia mnataka kuisimamisha dola choyo kubwa mlionayo nikuona wabara wanatake over na kushika nyadhifa nzur kwny taasisi mbalimbali!!! Cha msingi someni sana dunia na akhera yenu mkiendelea na uvivu na ujinga mtaimba kuvunjika muungano mpaka qiyama kitasimama
Alafu pengine mnapofeli nikujiona kwmb nyinyi ndo wny dini kuliko watanganyika kisa waarabu walitawala sana eneo hilo...Lakini ajabu dini yenyew mnaifanya kwa mazoea na wengi wenu hamna taqwa!!! Labda niwakumbushe kitu kimoja...Allah anasema hakika mbora mbele yake ni yule mwenye taqwa...sasa wee kaa uringie uzanzibar, uarabu au kuzaliwa ktk uislam alafu ukakosa taqwa na ukapata khasara mbele ya Allah
Hio ni juu yko n si neno la mungu kupenda n kutopenda kwako haijalishi chchte bali chuki binafsi t kuna wema ccm n kuna waovu wengne vivo hvo waovu wapo ccm n wema wengine hvo chuki zako usitoe hukumu n ukajipa mamlaka kma vile we ndo umeumba Milango y toba bado IPO wazi hvo kila mwenye dhambi anaweza kutubu n akarudii kwa Mola na kupokelewa Hakuna mkamilifu tumrudie mungu kwa ujumla siasa n hapa kesho kuna hisabu

@@rashidmakame3374 mh ilo jina lako linaonesha ww ni wakujaaa kama tutapimwa tulikotoka hutokuta hata kipande cha unyamwez ila ukweli kwamba hatuezi kuongozwa na kilema huy wa magoti kazi yake kijicho cha akina jusaa tyy
@@zuheraaziz9343 katika sifa za kiongoz asaa huyo amesha kiukaa sio nadharau najua kifo kinamungu ila kiumri tayr haumruhusu analazimixha tu kam museven wa ugandaa
Wee funga domo lako wewe kama hujuwi kitu mshezi mmoja wewe hussain katumwa na wabara aje awadhulumu wazanzibar na kuwa zanzibar wasipate mamlaka yao kamili
Kwani uo muungano na tanganyika unatusaidia nn.we kama unaona muungano jambo la maana bakia nao ww peke yako.ukiulizwa faida moja tu ya muungano unaweza kuitaja???
Hata iwe vp hawezi kuongoza...hali kama hio....duuuuh mitihani...hio miaka ya kupumzika wewe... mimi siko popote..si act si , ccm, si chadema....mambo kukitaka kiti..wewe mwenyewe hukuwezi...pumzika ule mshahara
Mh ! Nnafkir hujaelewa maalim seif nia yake nikuikomboa zanzibar na watu wake sio km unavyofikir inshalla Allah amuafikishe sote tunajua ana nia njema ndio wazanzibar wengi wanampenda
Wewe unaonesha si Mzanzibari chukiyako kwa Wazanzibari na warabu. Na wapemba Sasa utakufa kwa kihoro.Bora rejeakwenu Tanganyika. Maalimni Mzanzibari Asili si wa kuletwa.
Mashaa Allah yaarabi ww ndie mbora wa kila kitu lakini pia Mashaa Allah kwa huyu kijana Alie adhini mungu akuondoshee na husda na balaa la ulimwenguu
Mashallah! Nimependaa sanaa..
Mwenyezi Mungu akubariki kwa mengi tu..
Maalim Seif unapendwa na watu wengi sana hapa Zanziba na maneno yako ni mazuri na ina maana nyingi.. InShaaAllah utakua raisi wa Zanziba! ACT Wazalendo!
Umeongea points tupu mungu akujaalie maneno yako na vitendo vyako Viwe ni vyakweli
Mashallah Maalim Seif, maneno macheche yaliobeba ujumbe mkubwa kwa mwenye mazingatio.. Allah azidi kukupa afya na umri tawil
Ingekua ccm na sera wangesema kabisa hakika dini ya haki kwa Allah Muslim Allah atujalie ukombozi wa zanzibar kuirudisha katka hazi yke kurusha elimu ya Allah kama ilivokua zamani Amin Amin 🙏
Nakupenda malimseif wangu raisi wetu wanzanzibar
Kweli
Maaaaawe!!!
Hahaha Laila unahangaika roho bure
kheri maashallah
@@jumakapilima5674 yamotoni juu yenu wakawawakie nyinyi madhalim nyinyi mnamkanusha Allah mpaka siku tutakao simamishwa na kuhukumiwa wale waliodhulumu waambiwe "Huu ni ndio moto ambawo mlikuwa mkiukanusha" Ivyo ni uchawi huu au nyinyi hamuoni"saaa hapo ndio mtajuwa ukweli na Yale mliyokuwa mkifayafanyia istihzai
Yaaa rab tukubaliye duwa zetu sisi A C T malimseif aje kuwa raisi ya rab 😭💔
😔
آمين يارب العالمين 🌹
Ammin ammin mdomo wako uwe wa kher
Akubali dua madhalim washindwe na dhulma zao mara hii huyo ni raisi miaka mingi hawampi tu
Kwani huyo maalim munampa kura peke yenu ACT hata sisi tusiokuwa ACT tutampa inshallah sote ni ndugu wazanzibari
Asante sana malimu sefu kwakusali makunduchi mwinyi muwongo anataka kuiyuza Zanzibar kwa watagayika
Uongo mtupu mabwege nye
@@musajems1294 bwege ni ww isie na akili
Mashaallah kwa muadhin sauti nzuri sana
Wallah ana sauti nzuri
Mashllah
Tunamuomba Allah akufanyie wepes katika suala hili amin amin uwe in rais wetu ishallhah
Amin 👌😍
Ammin
Aamin
Allahuma Aamin
amin
Afadhali kuyaona maeneo yahome Asanteni👍
Lkn ayo ya Seifu na ACT mie hayanihusu 👌
Nimefrah kuona maeneo yamahome apo adi Raa nnamwaka mzima cjapaona👍
MashaAllah ALLAH atufanyie wepec uwe raisi wetu wazanzibar InshaAllah
Awe rais wakt kukaa chn hawez tnatk rais kijan hatutk kuj kpg uchgz ten kabl ya miak mitan yajay ni neema
Mashaallah kiongoz I wetu mpendwa inshaallahu taala wewe uwe ndio mtatuzi wamatatizo yetu wazanzibar
Mashalla mashalla mashalla
Thamani yako wabeba vichwa hawajaielewa ila nikawaida hata mtume wetu kafika kupigwa mawa hao achana nao tupo pamoja siba wetu
YaaAllah tunakuomba utujalie maalim awe rais Zanzibar sasahivi hamna madili yamepotea
Mimi niko bara lakini mzee kaongea maneno machache yenye maana kubwa sana 🙏
kila mmoja na kipaji chake alichojaaliwa mimi kipaji changu ni hichi👉th-cam.com/video/tpT_gPAHRP0/w-d-xo.html muhimu ni kufanya kazi ya halali tafadhali ukishatazama video hii kisha subscribe, toa maoni yako na pia unaweza ku nifollow kupitia whatsapp 0778283700.
Hhhh
Maneno mazuri yaliyo matamu kuliko asali na mfano wake jambo hakuna jambo zuri kama kuwaelimisha watu hasa kwenye dini ya Uislam sisi sote ni waislam hakuna haja ya kubaguana tupendane na tusaidiane na tuoneane huruma Mungu ni mmoja na Mtume Muhammad ndie mjumbe wake, Maalim wewe ndie unaefaa kuiongoza Zanzibar Allah tunakuomba utusimamishie huyu mja wako awe kiongozi wa Zanzibar Amin
Maalim kweli mtu wa watu
Kwa uwenzo wa allah utapata urais maalim seif sharif hamad
Wallahi dunia yaangamia na dini yetu yazidi kuangamizwa na waislam wenyewe ila dini itabaki tu
Mme chunguza kitu gani hapa kila mtu anompa mkono maalim seif sharif anafuraka ndani ya moyo wake
Yaallh mjalie maalimu sefu unapendwa zanzibar awe raisi wetu
Amiin
Jazakallah khair
Muazini mungu akuzidishie
Mashaallah
Wallahi mm mwenzenu nikimuona maalem seif machozi yananitoka
Kwanini hata yakutoke
Pole Sana
@@jamilambarouk4746 ni mapenzi yangu tu kwake sababu ya imani yake kwetu na zanzibar yetu
@@jamilambarouk4746 pole ya nn ss
Mashaa allah
Amina mdomo uo chunga sana na wapemba usiwaseme vibaya ivo sw mm changu ni kimya
Maa shaaa allah
Hongera
Hufai kuwa kiongozi wa Wazanzibar na huna uislam wa kweli
We we mzeee huna kazi kumbe unakuwa we we uzee uwo ulokuwa nao jaman au unakimbia kelele za wajuk zako kwako mana at a sielewi ungetubu tena baba angu umependa asaa apo mskitin uwe muazin azana vo
Amina hujui kitu ww kakune nazi
ahsante MAALIM ila tunasema SASA BASIIIIIIIII
Huyu babu humu nyunba ya ibada ataongea mazuri lakini mitaani ana shadihisha uvunjifuu wa amani na kubaguwa wabara wa unguja wa pemba huwo ndiyo ubaya wake
Kamayepi mitaani anayozungumza
Hcho ndio kpenz cha weng mjn Zanzibar
Hatukuhi taji seif Sharif Hamad
Hatukuhi taji seif Sharif Hamad
Hatukuhi taji seif Sharif Tunnel
Masanduku ya kura ambazo tayr zimeshapigwa zikiingizwa nymban kwa mmoja ya wakerekwetwa wa ccm wilaya ya kasakzini A Unguja huku zikisimamiwa na mkuu wa wilaya na kila mkoa wamepeleka sanduku 15 za ndio kwa Dk. Mwinyi kwa upande wa zanzibar
Thamaniyako kwa znb watakuja kuion japo baada ya kuondoka
Mashaall
Good
Hasbiya llah Amina na chuki zako izo
Ccm juzi wamesema hawana shida ya mungu akipenda mungu asipende mungu ushindi lazima inaalilahi wa innaailaihi raajiuun
Wanakufuru kweli hao wapuuzi Mungu kailani ccm
Sio kwel
Asante malim seifu
Video ya pineapple imetoka naomba support yako kutazama na Ku subscribe kwa kugusa picha yangu hapo juu🙏🙏
Na CCM aseme kama alivyo sema mwezie sefu ili kuepisha mzozo
Kipenz chawengi
Maalim ni mwakilishi wa Sultan
Kwani rais uyo atabaki makamo wa raisi
na akipata urais tu washirazi nyote munahama sawa
Wew unaesema et sefu kibaraka wamasultani kwani hii Zanzibar yanani?
Mungu asikujaalie ukawa rais hata nusu siku, kwa lipi kubwa ulilokua nalo?
Asnt umeeongea point ila za pemb cjapnd hku unatngz aman hku umefch mpng pemb umesem wat wkisem suu wao wesem swaa hku tuwe wmoj tulind aman tukuelew vip
Mzee pumzika Tena kwa umri uo siasa bs kaa umrudie mola wako
Masanduku ya kura ambazo tayr zimeshapigwa zikiingizwa nymban kwa mmoja ya wakerekwetwa wa ccm wilaya ya kasakzini A Unguja huku zikisimamiwa na mkuu wa wilaya na kila mkoa wamepeleka sanduku 15 za ndio kwa Dk. Mwinyi kwa upande wa zanzibar
Amina ww sio akili yako ww ndo mchawi
Hahaha xjakuelew bob
Mchawi wwe
Zanzibar mnataka rais awe maalimu sefu atakaguaje gwaride wakati kusimama awezi kusali anakaa kwenye kiti mnataka kutuleteya msukule ikulu ya zanzibar
ww mwenyw msukule au haujioni
😂 😂 😂 atariii
Ndugu angalia hayo maneno yako mungu ndio muweza wa yote sio vyema kumuita mwenzio msukule hujui hatma yako ndugu uwe na mipaka ya maneno yako.
Wewe Amina muoman masikini anajengewa nyumba mln ya million 120 nakila mwezi inampa million 2 za matumizi wewe unapata nn labda kukunwa na watwana waoman hawana haja na znz hata mfalme wa mwisho znz yuko oman na amepewa kila kitu ss tuko kwenye pepo ya Dunia ww uko shida hata kula yako ya taabu baadae unatukana wa oman
Mtu wa watu
Wewe amina inawezeka wachawi ni wazee wako ndo maana ukawakimbia ukenda. ........ Na hao maarabu unao wapinga
Mpe uyoo mjing mkubwa Wazalendo hatuangalii umr tunaangalia hekma na busara na Maalim mashallah
Kimenuka Chato Leo
th-cam.com/video/VV7P56bjYHM/w-d-xo.html
Mzee maalim pumzika sasa na siasa pumzika kaka bac imetosha CCM hawakupi nchi hata kama ukishinda hatutaki waislam wapoteze roho zao bure
Hayakuhusu
Dingi hili apewe nchi nanai
@@musajems1294 utapewa wewe
Maalim Seif amekalia kiti. Inaruhusiwa? Au anaumwa?
Inaruhusiwa ikiwa hauwez kusimama hata ukiwa mgonjw kitandan umelala unatakiwa hapo hapo kitandan usali
@@hijjafakky569 ikiwa huwezi kusimama kwa hio Maalim kusimama kwa mola wake hawezi ila kwa siasa Anaweza ?
@@binausimohammed775 hayo ni mapungufu yke binafsi atajuana na mola wake😎😎😎
@@binausimohammed775 😁😁😁😁😁😁😁😁
Mambo ayo jamaniiii
Yani ivo ndo anavopandishwa hatwibu ni uovu na uzushi wa waziwazi sijui haya mambo wayatolea wapi waislam
H
Hadi SEIF Wende msikitini
Ende kanisani au vipi
Awi raisi ata aje nani hujasikiy hutuba ya ccm mungu akitaka asitake ccm lazima na km huamin utaona
utaona ww maana umejizaa mbwa we
Weye milazo wacha kukufuru unamjua mungu weye 😡
Watu wanyumbani kumbe nanyie mnamchaka heya mnaoga bwana
Eee Hana inshu uyo musubir mushereke ushind wa husen mwiny
Baba ako
Hamupati nchi maana hamuna maneno lindeni Aman maisha yaendeleee tisubir ushind wa Aman inshallah
@@milazomilazo6486 Amna amani bila haki kwanza haki itendeke
Umeibiw weye au umeonewa hamuna inshu
anaesema maalimu sefu n kibaraka akae tayari kupitiwa nyuma ikiwa mke au mume mana ujinga umemzidi
Yani dini hii na siasa wapi na wapi
Nashangaaa
nyie wajinga kitu chochote kwanza mtagulize mungu ndipo ufanikiwe sio siasa tu hata inapotembea tu fast Allah
wapumbavu musiojuwa uislamu
@@suleimansaleh553 huujui ww unao changanya dini na siasa za kijinga na kujenga chuki
@@suleimansaleh553 ht ukizini pia umtangulize mungu sio akusaidie mhh huu ujinga
Kibaraka wa masultan
kwan wa znz wanatokana nani 😂😂😂 au unadhan wanatokana wa wabongo wa znz wote wanatokana na waarab baba 😂😂😂
@@zuheraaziz9343 hahaha kumbe vibaraka wa masultan mko wengi, sasa mbna kila cku mnatukanwa kama wazanzibar wanatokana na waarab
@@ladislausngoyinde4384 em fuatilia uzuri nani mzanzibar aseme kabila lake ambalo linatokana na unguja au pba kama hajakuambia yy bibi zake ni wagunya ni wa lamu wamechanganya na wabara au hatokwambia mm ni bibi yng mzaramu katoka muarabu lzma jibu utalipata ilo lzma ujue mzanzibar c kabila wote wamechanganya kutoka nchi tafauti
uyo hussein mwinyi sasa kama hujui mama yake muarabu safi hana hata dowa
@@zuheraaziz9343 Zanzibar wandengereko wanyamwez, wamakonde, wamakunduchi, wamanyema na washiraz mbona wapo na ni kwao, wewe mwarab wa oman ndo maana, halaf uelewe kwmba kabla ya nyinyi kuna Zanzibar, watu walikuwa na utawala wao na kiongoz wao aliitwa mwinyi mkuu, meza iyo dada angu kabla haijapoa
Mwinyi kenda msikitini mnasema anafanya kampeni msikitini huyu kenda fanya nini nyie wazanzibar mnataka nini mbona hamueleweki
Kusali
Tunaka mashekhe wetu
Tunataka mashekhe wetu waliowekwa ndani vibaraka wa makafir
Tena uxiulize swali Kama ilo Tena ata Kama upo unyamwezini
Hawajielewi mambulula
Duh! Khaaatweb anapelekwa kama bungeni!!
Sasa jamani viwanja vyakuomba kura vimeisha
Na nyie uko zanzbar mmeregea vbaya mwisho watakwambieni muiname ksha mvue suruali cc juz uku tumepigwa mabomu na hakuondoka mtu mwisho askari wakaondoka wenyewe walivo ona nguvu ya uumaa
Watanganyika kutoa nchi hawataki kisa maalim ni muislam wa haki hao wanao wapa ni waislam nusu
Wote sawa muisilam wa kweli hakubali kubeba majukumu haswa kwa umr huo
Muisilam mwenye khofu ya Allah ukibahatika kumkuta kwenye umr huo basi yy na msikiti na msikiti na yy. Hata ukimuona anahangaika kutafuta uongozi wa kuongoza mamilioni ya watu akajibebesha mizigo kwa Mola wake kwenye umr huo ujue khofu haswa ya Allah hana. Musilam tu km hao unaowaita ww waisilam nusu.
@@alhamdulillah5796 uwongozi umeletwa na mungu lzma nchi iwe na kiongozi na hapakusemwa kama umri gani asiongoze
Wazanzibar waliowengi wanaipigania siasa kuliko dini
Lazima ipiganiwe siasa kwanza maan kwa viongozi wapuuzi hata ukisimasha kazi bure dini inaanza Kuwa na kiongozi bora
Siasa pia nayo haikukatazwa...maana tukipata nchi yetu sheria za kiislamu zitarudi
Someni kwanza dini...acheni kufata dini kimazoea!! Ndo mfikirie kuisimamisha dola!!!! Kamwe dola ya kiisilamu haiwez kusimama kama watu hawajaifahamu dini yao vizur...!!!! Na wengi wenu ni unafiki kusingizia mnataka kuisimamisha dola choyo kubwa mlionayo nikuona wabara wanatake over na kushika nyadhifa nzur kwny taasisi mbalimbali!!! Cha msingi someni sana dunia na akhera yenu mkiendelea na uvivu na ujinga mtaimba kuvunjika muungano mpaka qiyama kitasimama
Alafu pengine mnapofeli nikujiona kwmb nyinyi ndo wny dini kuliko watanganyika kisa waarabu walitawala sana eneo hilo...Lakini ajabu dini yenyew mnaifanya kwa mazoea na wengi wenu hamna taqwa!!! Labda niwakumbushe kitu kimoja...Allah anasema hakika mbora mbele yake ni yule mwenye taqwa...sasa wee kaa uringie uzanzibar, uarabu au kuzaliwa ktk uislam alafu ukakosa taqwa na ukapata khasara mbele ya Allah
Ibilisi alishaahidi kuwa atahakikisha anakwenda na kundi kubwa motoni,,,,,,,na amewapata kweli!!
Km ni mchawi na wee umo
Yàràbì mjaaĺie maalim aìkumbuķe ña hìjà
Kashakwenda hijja kwa taarufa yako
kla anaesapoti ccm n kafiri n familia yake mana muislamu hawi hapendi zulma wajinga wa mwixho ulimwenguni n ccm siwapendi taman kutapka nkiwaona
Hio ni juu yko n si neno la mungu kupenda n kutopenda kwako haijalishi chchte bali chuki binafsi t kuna wema ccm n kuna waovu wengne vivo hvo waovu wapo ccm n wema wengine hvo chuki zako usitoe hukumu n ukajipa mamlaka kma vile we ndo umeumba Milango y toba bado IPO wazi hvo kila mwenye dhambi anaweza kutubu n akarudii kwa Mola na kupokelewa Hakuna mkamilifu tumrudie mungu kwa ujumla siasa n hapa kesho kuna hisabu
Hio ni juu yko n si neno la mungu kupenda n kutopenda kwako haijalishi chchte bali chuki binafsi t kuna wema ccm n kuna waovu wengne vivo hvo waovu wapo ccm n wema wengine hvo chuki zako usitoe hukumu n ukajipa mamlaka kma vile we ndo umeumba Milango y toba bado IPO wazi hvo kila mwenye dhambi anaweza kutubu n akarudii kwa Mola na kupokelewa Hakuna mkamilifu tumrudie mungu kwa ujumla siasa n hapa kesho kuna hisabu
Hawez urais uyo tafteni mwengne agombee
Ww mnyamwezi wakuja kaakimy chogo
@@rashidmakame3374 mh ilo jina lako linaonesha ww ni wakujaaa kama tutapimwa tulikotoka hutokuta hata kipande cha unyamwez ila ukweli kwamba hatuezi kuongozwa na kilema huy wa magoti kazi yake kijicho cha akina jusaa tyy
Mlete mama ako aje agombeee
@@hajikhamishaji7719 towa point ucmdharau mtu kwani huujui mwisho wako
@@zuheraaziz9343 katika sifa za kiongoz asaa huyo amesha kiukaa sio nadharau najua kifo kinamungu ila kiumri tayr haumruhusu analazimixha tu kam museven wa ugandaa
MAALIM SEIF NI KIBARAKA YA WAARABU(OMAN)
Tushakuskiya ww mshenzi kila sehemu wa coment ivo naww ukibara wa mkundu wako
Wee funga domo lako wewe kama hujuwi kitu mshezi mmoja wewe hussain katumwa na wabara aje awadhulumu wazanzibar na kuwa zanzibar wasipate mamlaka yao kamili
@@lailaaliya6472 mimi ni mzanzibar halisi kutoka unguja
Husein mwinyi ni kibaraka wa wakavirondo wa (Tanganyika)
Na Hussein kibaraka wa watanganyika. Hata Afanye nini Wazanzibari hawamtaki watakaomchagua Watanganyika wenzake. Warabu hawana habari na nyie .
Maalim seif anataka kuvunja muuongana na tanganyika na anataka muuongano na oman
Kwani uo muungano na tanganyika unatusaidia nn.we kama unaona muungano jambo la maana bakia nao ww peke yako.ukiulizwa faida moja tu ya muungano unaweza kuitaja???
Una uhakika?
@@khalifankurunzinza3870 faida ni nyingi.
Nd tunavotaka bora tuungane na oman kuliko na nyinyi
@@teamlovesquare3207 unawapenda Sana waarabu wa Oman..!!
Hata iwe vp hawezi kuongoza...hali kama hio....duuuuh mitihani...hio miaka ya kupumzika wewe... mimi siko popote..si act si , ccm, si chadema....mambo kukitaka kiti..wewe mwenyewe hukuwezi...pumzika ule mshahara
Mh ! Nnafkir hujaelewa maalim seif nia yake nikuikomboa zanzibar na watu wake sio km unavyofikir inshalla Allah amuafikishe sote tunajua ana nia njema ndio wazanzibar wengi wanampenda
Mnyamwezi wakuja kaakimy a kichogo ww
kwa iyo fatma unababaika na vijana atakama hana lamaana ķtk kuwendesha nchi
Kibabu hiki nacho kimechoka duh
😏😏 we ndo uliyochoka
Kachoka mpe mamayo alale nae
@@sudaissoud3670 anakutosha wewe
@@lailaaliya6472 ukifuatia wewe
Ww umechoka sn huna nyumba huna gari huna kazi unahitaji kusimamiwa uyapate hayo ccm imeshindwa miaka 60 kukupatia hayo
MAALIM SEIF LABDA AKUE RAIS WA KISIWA CHA PEMBA KWA WACHAWI WENZAKE
Mchawi babaako na mbona kakuleta duniani mbwa ww
Mpumbavu sana wewe amina
Kusema hujui ww
Wewe unaonesha si Mzanzibari chukiyako kwa Wazanzibari na warabu. Na wapemba Sasa utakufa kwa kihoro.Bora rejeakwenu Tanganyika. Maalimni Mzanzibari Asili si wa kuletwa.
Nyie mmelishwa sumu lakin wallah hao viongozi wenu mnaowaona watu machoni tuu ila roho zao hazina tofauti na mbwa mwitu
MAALIM SEIF NI MCHAWI MKUU NA WAPEMBA WOTE NI WACHAWI
Mamako mchaw mkuu hp duniani kumamako ww
Tumesha kugunduwa ww ni mtanganyika
Wachawi huwa wanajuana kwa hiyo hata na ww ni mchawi
@@omarmhmammed216 😀😀😀😀 kabisa
@@fatmanassormohd8071 mmmh mnatukanana Kwa mambo ya kidunia mtihani mkubwa
Hufai kuwa kiongozi wa Wazanzibar na huna uislam wa kweli
Acha ujinga huna hukmu yakumtoa mt ktk uislam na ayo ndo majb machaf mnayofunzwa na wakereketwa wenzko kwet act hekma t na sio majb machafu
Mungu asikujaalie ukawa rais hata nusu siku, kwa lipi kubwa ulilokua nalo?
MUNGU atakujaalia weye utakua rais INSHALLAH
@@iddijumaali7192 Mimi c mlafi wa madaraka na sjagombea hata cku 1
@@shehandito6690 sawa gombea tutakuchagua weye tutamuacha maalim sefu lakini kama hujagombea tutamchagua maalim sefu hasidi mmoja wee
Hamna kazi kuchagua mgonjwa, cc hatutoi nchi kwa wagonjwa.
@@shehandito6690 sawa ukisha kua mzima weye tuu yatosha