Mjomba seif sharif umechangamka MASHALLAH. Ila mshaur mjomba MWINYI .mujenge zanzibar majumba ya kisasa na yale majumba ya michenzani na mjerumani na mji mkongwe muyakarabati na muyapake japo chokaa ili yangare . Mana mepya ndio uwezo wa kujenga haupo bas japo hayo ya kale muyatunze .
Mm mwenyewe mze Ayubu namkubal sanaaaa sanaaa yupo vzr na ktk watu niliokua na nia ktk urais nilidhan yeye ndio atapita lkn ndio ivo shukran maalim kwa kuwapa ukwel
daaa tukiangalia hizi video za maalimu seif machozi yanakaribia kutoka mana dah maalimu seif mungu amekupenda zaid ila na ss mapenzi yetu kwako cjw tusemeje dah mungu akupe makazi mema huko uliko kaburi lako liwe ni nyumba mzri kuliko hata ulio kua ukiishi nayo duniani
Anaonekana hakuwa na chuki kabisa huyu mzee, am sorry Maalim i thought your a bad person lakin nimechelewa kuiamini kama wewe ni mtu safi na kiongozi makini, ulikua bado una nguvu za kuongoza. Hii siasa inatufanya tuchukiane bila sababu, upumzike kwa amani Maalim
Mh... Ayoub mwaka huu hakuna CCM wala ACT tizameni maendeleo ya Nchi na WANANCHI ... wote hapo ndio yatakuja MAENDELEO....MUNGU IBARIKI ZANZIBAR NA WATU WAKE. AMIN
Haya mambo yanachanganya sana saivi wote wanapeana sifa tu mimi nazani kipindi kizuri chakuhamasisha umoja na nyinyi viongozi kuwa pamoja nikipindi cha uchanguzi na kampeni wewe Mungu atupe uhai na Afya jema tutakuja kuona hapa hapa kama Mungu akuwafikishe hizi chuki magovi uhasama huazisha wao viongozi saivi aaa
Vyama viuliwe visiwepo. Viongozi wote wa Serikali wanatekeleza Ilani ya Chama hata uteuzi unategemea imani yako na chama. Hii viongozi wa Kitaifa kukutana na wanachama wake baadhi ya siku kunapangwa nini kama sio hujuma kwa chama kingine. Lengo la kila chama ni kushika Dola, Dola ni moja vyama ni vingi ni lazima vigombanie na ndio conflict hutokea hapo. Hivi kampeni za 2025 zitaendeshwa vipi na vyama washirika (CCM na ACT)? Ikumbukwe tulipita hivi hivi 2010 - July 2015.
Furahi sasa libabu lishaondoka Mwinyi yuko peke yake libabu halio tena Mungu ashalichukua ni dhahir unajisuta mwenyewe hapo ulipo binaadamu hatakiwi kuwa na chuki na binaadamu mwenziwe dunia ni mapito tu.
@@user-ex3mw1bj9k hakuna aliyejua kuwa MUNGU atampenda zaidi,,,,!"usiingize siasa za kipindi hicho,,,kwenye kazi ya MUNGU!",,,kuna wangapi hata wewe,,kwenye ukoo wako,,umerushiana nao maneno!??,,,,kwahiyo leo MUNGU akiwachukua,,,,wakukumbushie ulisema hili au lile!"hakuna mtu anayejua kuwa nani sasa atatangulia,,ingekuwa hivyo,,,mengi tusingefanya,,,wala kuongea!"!!!!.
@@brightluvanda2795 ok nimekuelewa itoshe tu kuwa unajuta na ujue kuwa hakuwa na nia mbaya kukubali kujiunga na Rais Mwinyi kikubwa zaidi alipendelea kuwaunganisha Wazanzibari tuache tofauti zetu tuwe kitu kimoja tujenge nchi yetu.
Hiii mijitu mengine mijinga kweli watu wameeka tofauti zao pembeni ndio nini Kyle ya usenge wa ilani? Basi iache ilani itekeleze pasiwe na watu. Huyo mwinyi mwenye nchi hajawahi kusema kuhusu ilani au ndio wasenge mliobakia
Sharifu hamàdi mche mungu ww shauri yako wacha kuwaweka mbali uma na dini yao mungu atakuchoma ww democracy hiyo ni ukafiri wako uwislamu hicho cheo chako wasimamia watu kwa sheria za kitwahuti kur ani ndo kitabu chako
Kama unaangalia baada ya kutangulia jembe kwa muumba tujuane. Allah amrehemu. Amin
mashaallah mungu akupe muongozo mzur maalim saif nakupenda na nitazidi kukupendeni
I can't stop my tears 😭 I really love this old man may his soul rest in peace 🙏
Aaaaamin
💃wenye kusema wacha waseme maalim saif tumpambe mauwa🌷⚘🌷🌻🌺🌼🌷⚘🌱🌲🌺🌻🌷⚘🌱🎻🎷🎤🎤🔊Sawa Sawaaaaaaaaaaa👏👏👏👏👍
Mjomba seif sharif umechangamka MASHALLAH. Ila mshaur mjomba MWINYI .mujenge zanzibar majumba ya kisasa na yale majumba ya michenzani na mjerumani na mji mkongwe muyakarabati na muyapake japo chokaa ili yangare . Mana mepya ndio uwezo wa kujenga haupo bas japo hayo ya kale muyatunze .
Sasa hapa ndio naona Maalim kakomaa kisiasa . Hivi ndo tunavyotaka Zanzibar iwe. God bless you Maalim
Jengeni nchi yenu uraisi mwisho miaka 10. Nzanzibar ndio muhimu. Kuliko madaraka. Hongera Mwinyi na Maalim.
Allah atupe nguvu umoja udumu in shaa Allah
Mashaa Allah, haki kwanza ili amani iwepo
Nikweli baba twakupend kwa anili ya allah mungu akuzidishiye afiya akupe umri mrefu piya akulinde na wabaya baba
Daah😭
Watu wote tunampenda muheshimiwa ayubu, mungu azid kuumpa afya njema, nguvu na ujasiri wakuendesha shughuli zake zenye mafanikio kwetu wazanzibar. 😘
Ayubu namkubali sana uyu jamaaa
Allah akupe subra kabr lako liwe raudhat njanna
Amina
Allah atufanyie wepesi inshaallah
Muheshimiwa Ayubu yupo katika Maslahi ya Wazanzibari sio Maslahi ya Ccm Allah ampe kila la heri muheshimiwa Ayoub, hawa Masheha ndio washenzi kabisa
Kabisa
This is good speech for Zanzibarian people
Zanzibar kwanz Chama vyama Baadae
Mungu akulaze mahala pema
Ujumbe mzuri
Mwenyezi Mungu amrehem
FREE MUAMSHO JAMANI EEEEE.
kweli kabisa ata mimi ayub ananifurahisha sannnnnnnnnnna
Sawa sawa
I'm ready to come back were I'm from ⚖
Allwah akutiliye nnur kaburi laki maalim tutakukumbuka
Nitakukumbuka sana sana sna .what is next u ..hakuna
Upo sahihi mzee wangu
Bwana Ayoub wallah amuhifadhi huyu mja
Safi sana ayoub
Naam mkuu wa mkoa💪💪💪Allah amjale afya njema mkuu wa mkoa
Kamchana mbele za watu hhhhiiiiii🤣🤣😂😂 noma
Mungu akulaze pahali pema baba yeye mzalendo wetu tuta kupenda daima
Bravo bravo bravo
Mm mwenyewe mze Ayubu namkubal sanaaaa sanaaa yupo vzr na ktk watu niliokua na nia ktk urais nilidhan yeye ndio atapita lkn ndio ivo shukran maalim kwa kuwapa ukwel
Mungu was kweli na haki akubariki maalimu sefu Mimi ni c cm .nikubari sana kuwa maalimu ni mzalendo was kweli.
Ongera sana malim sefh kwa risara yenye mashiko
daaa tukiangalia hizi video za maalimu seif machozi yanakaribia kutoka mana dah maalimu seif mungu amekupenda zaid ila na ss mapenzi yetu kwako cjw tusemeje dah mungu akupe makazi mema huko uliko kaburi lako liwe ni nyumba mzri kuliko hata ulio kua ukiishi nayo duniani
Sadifa kanuna kweli
Never for get you maalim Saif wa zanzibar people
Mh Ayoub anajuwa kazi zake wengine wapo wapo hawajitambui labda ukereketwa ndio waliouweka mbele
mwalim seif wewe ni mtu sannna nakukubali sana
Ayoubu nikiongozi muadilifu Allah amzidishie iman
Amin
Hongera broo Ayoub
Maalim umesema maneno mazima kabisa. Allah akurehemu huko uliko.mazuri yako utayakuta huko uliko.
Safi sana,huu ni uzalendo mkubwa sana.
Number 1
Ww mzee mm nakupenda sana kwanza huna ubaguz kama rais wetu
Kipimo chauwadilifu kipo kwenye uchaguzi hapa bado mapema
Maa shaa allah
Maalim seef uko juuu
Anaonekana hakuwa na chuki kabisa huyu mzee, am sorry Maalim i thought your a bad person lakin nimechelewa kuiamini kama wewe ni mtu safi na kiongozi makini, ulikua bado una nguvu za kuongoza. Hii siasa inatufanya tuchukiane bila sababu, upumzike kwa amani Maalim
Mhe Ayoub oyee.
Good
Maalim
Factual point
Allah amraham kipenzi
Inna lillah wainna ilaih rajiuun!!
Safi Sana
Naona wamenuna awo au vp?
Hata wakinuna wameambiwa ukweli
Wamenuna kweli lkn washapewa live
😭😭😭😭😭♥♥♥
Hongera jembe wa taifa ayoub muwache apige kelele huyo comredy sadifaa piga kazi
Asnte
Mh... Ayoub mwaka huu hakuna CCM wala ACT tizameni maendeleo ya Nchi na WANANCHI ... wote hapo ndio yatakuja MAENDELEO....MUNGU IBARIKI ZANZIBAR NA WATU WAKE. AMIN
Naona unaingia kwa mabavu atachoka mapema huyu sef
@@sabringwal3079 Asijua mana haambiwi mana mpumbavu wee
@@sabringwal3079 fuatilia seif alipokuwa waziri wa elimu alipokuwa waziri kiongozi hawa unaowaona hivi sasa wanamuiga
Mfalme wa Siasa za Visiwani
Katika Uchangaji Wa Karata Zake Za Kisiasa .
Kazi njema Kiongozi
Innalillahi wa innaileihi rajiun
Ni furaha sana .hii ndio znz tunayoitaka
kilalaheri zanzibar hivindivyo inavyotakiwa zanzibar mpya na uchumi mpya
Asnte
Ayoub baba lao
Haya mambo yanachanganya sana saivi wote wanapeana sifa tu mimi nazani kipindi kizuri chakuhamasisha umoja na nyinyi viongozi kuwa pamoja nikipindi cha uchanguzi na kampeni wewe Mungu atupe uhai na Afya jema tutakuja kuona hapa hapa kama Mungu akuwafikishe hizi chuki magovi uhasama huazisha wao viongozi saivi aaa
Kweli usiingeingia tunge poteza mengi
Kwel
Maalim Acha kutuchekeesha,muyu umeingia toto lakini mvua haikunyesha
Ayubu huna heshima atakusimama kwakiongozi wako kumpa heshima amekusifiya ata shukranibasi Mhhhhhhh 🤤🤤🤤🤤
Engesifiwa Magufuli engeinuka akarukuu ndio style ya ccm wa sass
@@calimahad9274 😂😂😂😂lakoiloooo
Ndio
Ni kweli uzanzibari unatuunganisha lkn imekuaje use na kadi no moja ya ACT mbona unatuchanganya mzee
Ayub tunakumis mkoa wa mjin
Muheshimiwa Ayoub mbona umekuja na muheshimiwa sadifa
Sipendi siasa but ukweli usemwe Ayubu ni jembe please turejesheeni Ayubu wetu kusini muje muchukue mzoga wenu mlo2letea
Mzee anaongea kutoka moyon kweli.
ACT umedandia tu vp kadi no moja au kimesajiliwa upyaa baadae ya kuingia we mzee wetu
Kwa zanzibar
Kama una uwezo hyo kadi number moj mpokonye mjinga weeeh
😀😀😀Njaa mbaya bhana uyu ndio yule au
😂😂😂😂😂alosema uchaguz batilii
Ayoub Ni Mtu Wa Pekee Kabsa Kabsa Katika Nchi Ya Unguja
Kumbe Unguja ni Nchi ?
@@mr.khamis1993 Unguja Ni Mkoa
Vyama viuliwe visiwepo. Viongozi wote wa Serikali wanatekeleza Ilani ya Chama hata uteuzi unategemea imani yako na chama. Hii viongozi wa Kitaifa kukutana na wanachama wake baadhi ya siku kunapangwa nini kama sio hujuma kwa chama kingine. Lengo la kila chama ni kushika Dola, Dola ni moja vyama ni vingi ni lazima vigombanie na ndio conflict hutokea hapo. Hivi kampeni za 2025 zitaendeshwa vipi na vyama washirika (CCM na ACT)? Ikumbukwe tulipita hivi hivi 2010 - July 2015.
Ayoub kamata huo wasia huenda maali kakutabir ww kua rais ajae utukomboe .waznzibar
Umeipata wapi wakat ww umeunganisha juzi,ila kula tamu
Ukimaanisha?
Huyu chuuwmaaaaaa
Mzee wa VINOLI NOLI 🚨
Mwinyi umejipalia makaa,,,kulichagua hilo libabu,,,litakusumbua mpaka ukome!"litataka ulifate lenyewe tu,,,,,hapo mmejikoroga!".
Libabu unalijua ukiliona?
Furahi sasa libabu lishaondoka Mwinyi yuko peke yake libabu halio tena Mungu ashalichukua ni dhahir unajisuta mwenyewe hapo ulipo binaadamu hatakiwi kuwa na chuki na binaadamu mwenziwe dunia ni mapito tu.
@@user-ex3mw1bj9k afurahi vo man hatumii akili Wala maarifa
@@user-ex3mw1bj9k hakuna aliyejua kuwa MUNGU atampenda zaidi,,,,!"usiingize siasa za kipindi hicho,,,kwenye kazi ya MUNGU!",,,kuna wangapi hata wewe,,kwenye ukoo wako,,umerushiana nao maneno!??,,,,kwahiyo leo MUNGU akiwachukua,,,,wakukumbushie ulisema hili au lile!"hakuna mtu anayejua kuwa nani sasa atatangulia,,ingekuwa hivyo,,,mengi tusingefanya,,,wala kuongea!"!!!!.
@@brightluvanda2795 ok nimekuelewa itoshe tu kuwa unajuta na ujue kuwa hakuwa na nia mbaya kukubali kujiunga na Rais Mwinyi kikubwa zaidi alipendelea kuwaunganisha Wazanzibari tuache tofauti zetu tuwe kitu kimoja tujenge nchi yetu.
Ilani ya ccm ndio inayoongoza nchi
Cyo ilani yanbani kwenu na ukoo wako lkn mbona unakosea
Hiii mijitu mengine mijinga kweli watu wameeka tofauti zao pembeni ndio nini Kyle ya usenge wa ilani? Basi iache ilani itekeleze pasiwe na watu. Huyo mwinyi mwenye nchi hajawahi kusema kuhusu ilani au ndio wasenge mliobakia
Mzee utapata tabu sana
Na wewe pia utapata tabu sana
Umeongea vema
.
Sharifu hamàdi mche mungu ww shauri yako wacha kuwaweka mbali uma na dini yao mungu atakuchoma ww democracy hiyo ni ukafiri wako uwislamu hicho cheo chako wasimamia watu kwa sheria za kitwahuti kur ani ndo kitabu chako
Weee nimpumbavu wamwisho
Wewe hunarorote badae utamkataaa
Huna mpya babu ustufundishe kazi
huna mpya ww mzee yake yanaenda huyo .
@@salmaseif1070 haaa haa a a !
Nyie ndo mafisadi na bado MAKUMA nyie mtanyoooka
@@imranmussa500 Haaa haaa a !
Asitufundishe kweli kaabisaa
Sawa sawa