Amen 🙏 nimebarikiwa sana kupitia hii simulizi namini ata mimi mateso yatakwisha ❤🙏🙏🙏 mungu akubariki sana dada pendo . Kwa simulizi yenye kuvutia na mafunzo mengi ❤❤
Mmmh kama ni mapito basi huyu dada ameyapitia waah Acha mungu aitwe mungu kweli baada ya dhiki ni faraja asante lucas kwa hii simlizi yenye maumivu na uchungu ndani yake lakini baada ya yote imekua ya furaha
Ba mtu umeongea kweli kabisa wanawake wengine wanapigwa lakini wamo tu kwa ndoa wakiamini ipo siku wenza wao watabadilika mwishoni inakua kifo .mungu atuhulumie kwakweli
Ibi bisa bya kweli habiwagi bizuri kilatunapo bisikiliza binatuachiya maumivu makubwa, njokusema katika bisa byakweli hapawezi kuwa bya kufuraisha? Muhistoria yakweli panaweza kuwa mazuri.
Hakika mungu yupo 😭jina lake liimidiwe 🙏
Kila mmoja wetu anapaswa kuulinda sana moyo wake kuliko vitu vyote avlindavyo Lucas hii ni nzuri nomeipenda
wakati wa bwana ukifika hakuna awezaye kupinga pia tujifunze kitu ktk ndoto Mungu hunena nasi tuzifuatilie ndoto Mungu awabariki 🤝🫶🙏💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💛🌹
Pole sana dada pendo Kwa mkasa ulokupata. Asante kaka Lucas lumbasi Kwa story nzuri
Amen 🙏 nimebarikiwa sana kupitia hii simulizi namini ata mimi mateso yatakwisha ❤🙏🙏🙏 mungu akubariki sana dada pendo . Kwa simulizi yenye kuvutia na mafunzo mengi ❤❤
Mungu ubaki kuitwa Mungu nakushukuru sana Mungu kwa kila nalopitia katika maisha yangu,, nimejifunza sana na kutiwa nguvu
Uuuummm pole sana pendo umeapitia kbx
Duh pendo yaani pole sana kwakweli? Mungu ni mwema anajua kesho yako hamna kitu kimeniuma kama kufa Joshua,, aiseeee Mungu apewe sifa
Yaani bora Mungu alipomuua huyo kaka
😅
Uyu pendo kapitia meng macikin🎉🎉🎉❤
Hongera lukas lumbasi kazi zako nzuri sana songa mbele 🎉🎉🎉🎉❤❤
Wakati wa mungu ni wakati sahihi sana
This story has really encouraged me that after all trials in the last I'll succeed be blessed Lucas
Wakati mwingine ktk maisha unaweza ukadhani Mungu amekusahau kumbe sivyo😭😭
Amina 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ubarikiwe nawe kaka Lukas lumbas
Kheeee kwa kwel mmnashinda kwa LUCAS LUMBAS jaman❤❤
Mmmh huyu dada balaaa🎉🎉🎉❤❤❤
🎉🎉🎉 asnt kwa kazi tamu my brother ❤❤
Pole s
Ana
wapili leo woooh
Yoooooh, pole sana maskini pendo
Amazing simulizi thank you for sharing this with us may God richly bless you abundantly
Pendo ameteseka lkn mwisho ana enjoy
Pole sana pendo
🎉🎉🎉🎉like zangu wapendwa nimewai❤❤❤
Kweli mungu anaweza asifiwe bwana
Wow Asante anko lucas
Pendo pole kwa maisha magumu
Asee hii simlizi ime niliza sana😭😭🙏
Nimekua wa kwanza Leo Asante kaka ila huyu pendo ashanifuruga jmn
Mmmh kama ni mapito basi huyu dada ameyapitia waah Acha mungu aitwe mungu kweli baada ya dhiki ni faraja asante lucas kwa hii simlizi yenye maumivu na uchungu ndani yake lakini baada ya yote imekua ya furaha
Weeee wacha nikae nikunywe maji na kushusha pumzi😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤jamani jamani jamani
🎉🎉🎉maua yakooo LUCAS
Amina nimefirahisana mwishowakemuzuri
Daah hii simuliz ina lizaa jamani 😢😢 ❤❤
Nimelia balaa 😢😢😢😢
Wow nipeni like zenu nimekuwa wa 16 pia kaka Lucas asante sanaa❤❤❤❤❤❤
Very stor so much ❤❤
Ba mtu umeongea kweli kabisa wanawake wengine wanapigwa lakini wamo tu kwa ndoa wakiamini ipo siku wenza wao watabadilika mwishoni inakua kifo .mungu atuhulumie kwakweli
Nice story be blessed ❤❤❤🎉🎉🎉
Like zenu mashabiki wa kaka lucas❤❤❤❤🎉
Nafuu kidogo mana wengine tumevurugwaa stress zitaishia huku
Amen amen 🙏🙏🙏🙏
Maregeleo lakin ime noga undugu hazina 😊😊😊
Thank kaka Lucas ❤❤
Jamani maishahaya nimatesokari
Shukran sana kaka Lucas Lumbas ❤❤❤❤
😭😭 yaani nimejikuta Hadi nalia
Me wa kwanza like zangu jmn
Lucas🎉🎉🎉
Shukran kaka Lucas
Wa kwanza nimewahi kaka asante wacha tuendelee
Huhuuu😊
Dada pendo ulikuwa na nuksi
Afadhali amekufa huyo mumewa pendo
Nimewai jamani like zenu
A very touching story
Wa kwanz leo naomben like zenu vipenz wa lukacy lumbas
😅😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@@ZenaBuchinkuli 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@@ZenaBuchinkuli😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤
Joshuaaàaaaaaàaaaaaaa😢😢😢😢😢
Maskin pendo 😢😢😢😢😢
Amen
❤❤❤❤
Tabia ya mtu ni ngozi haiwezi kubadilika,mtu akikutenda usidhani ataacha,atarudia tena tu,ukiamua kumsamehe uishi naye kwa tahadhali
Lkn pendo wewe ndounamakosaa mana ulikuwa ukupigwaa mimba zatoka ww unarudii pili ungemwambia huyoo mwanaume kilakituuu lkn mwanalikifind mwanakuligate Ugua pole
Yani wadogo zako kitambo walking wewe sio kituu sahii ww huyo huyo ndounamsaidia loo
Amina
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Duuuuuu yani tausi umemsaidia halafuu anakusaliti na mumewako?looo mbinguni mtafika kuchoka tausi tausi tausi hidayaa akukutee barabarani naakusombeee akutupe bahari hindi
❤❤❤🎉🎉
Ibi bisa bya kweli habiwagi bizuri kilatunapo bisikiliza binatuachiya maumivu makubwa, njokusema katika bisa byakweli hapawezi kuwa bya kufuraisha? Muhistoria yakweli panaweza kuwa mazuri.
Yani wenye furaha wala hawa leti story zao za machungu tu.... Dunia ina mambo mengi kwa kweli....
Mmh jmn mbona hii lugha hatujaelewa uliyoongea hapaa
Mie nimesoma mara mbili mbili japo nilikuwa na huzuni ya dada pendo😢😅@@Lightkiboga
Huyo mama aliye ona kwenye ni yule wa mugahawa amaa??? Acha ni endeleye kusikiliza
Naona ndohuyoo
@@nurafedrick378 Thanks
🥲🥲🤔
❤❤❤🎉🎉🎉
wapili leo woooh
❤❤
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
❤❤❤
❤❤❤