Mh.Tundu A.M.Lissu mchango wako wa kuwatetea wananchi uko juu kuliko unavyojieleza,na hata MUNGU anajua ndio mana alikunusuru kifo na wauaji wa nchi hii wanaotafuna nchi kama mchwa,wasiotaka watu wakweli wa aina yako, hakika watanzania tunakupenda sana lakini hatuna uwezo wa kukupa kura zetu zote kutokana na kufungwa gavana lakini chukua tu maua yako,tupambane kuikomboa nchi yetu ya ahadi mpaka mwisho,na MUNGU azidi kukulinda, Amina.
Mikutano haina tija kama hakuna haina agenda.Chadema lazima mjipange vizuri na kujenga hoja na agenda .CCM kwa kutumia Makonda wamebadili upepo wa siasa Tanzania. Kwa mfumo au style anayotumia Makonda kwa CCM kujitenga na serikali na kuiajibisha serikali upinzani utashindwa vibaya sana hata kama Tundu Lissu atateuliwa kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.
Huo upepo unaouzungumzia ni upi? Nani kawajibika? Kuna aliyefukuzwa kazi kwa dhuluma? Ninavyoona anaiaibisha serikali kwa kudhulumu watu na uwajibikaji hakuna, kama haujui hiyo ni danganya toto, waliokwenda kujadiliana umepata taarifa kwamba wamerudishiwa mali zao? Je hayo yote matatizo ya wananchi yalipatikana katika utawala wa chama gani? Jiulize Hakuna mtu aliyetengeneza tatizo anaweza akatatua tatizo pole. Hapo ni kuwadanganya wananchi kwa kuwapa peremende, Je wale ambao hawakuzungumza adharani matatizo yao yametatuliwa na nani? si wamebaki na matatizo yao?
Mimi nadhani ziara ya Mwenezi imeonyesha mapungufu mengi. Mengi ya hayo mikutano ya kina Lisu pia iliyaona. Cha msingi ni je, tunajengaje system mpya ili iweze kufanya kazi vizuri, sio mpaka kuwe na ziara? Je, tuna watu wengi sana ambao labda hawana kazi wanayoifanya? Tuna haja ya kuendelea kuwa na wakuu wa Wilaya kweli, kwa mfano? Haya ndiyo ya msingi, bila kujali chama Gani kipo madarakani.
Nini kimebadilika tangu aanze kukusanya hayo mabango? Makonda ni msanii tu kama wasanii wengine, na zaidi anadhihirisha jinsi serikali hii ya ccm ni uozo mtupu umejaa.
@@1961nungwiwacha nisijib hiv unaweza ongea cdm na ccm kutatua matatiz makonda ni chama tawala anamamuzi na serikali ni yao Sasa unasema cdm inawezaj kufanya hayo yaan kunawatu huwa mnawazaje
Chadema✌️ni chama hulu ambacho kitakua na shelia huru ambayo kila mwananchi atakua na uhulu wa kuzungumza kero yoyote ivo tushikamane tuwe kitu kimoja na uku tukimtanguliza mungu ili atutoe katika mateso ya ccm
Wataalamu wa Fedha Kuna kitu wanaitwa Sunk costs, yaani gharama.ambayo imezama! Maana yake ni kwamba thamani iliyokwisha tumika haisaidii kupanga uwekezaji wa mbele!! Maana yake ni kwamba, Covid 19 sio issue tena; kwasababu wameshakaa muda mrefu, uchaguzi huu hapa, hakuna faida ya kuwatoa kwa Sasa. Cha msingi ni kwamba kile kinachoitwa precedent, yaani practice ambayo imetokea, ndio kina.matter. Yaani, je, siku za mbele, watu wakiapishwa kwa mtindo huo wa Covid 19, tutaweza kuhalalisha kwa kutumia Mfano wao? Yaani, je, inatujengea misingi mizuri au mibaya huko mbele? Hilo ndio la.msingi.
Mungu akulinde kamanda❤
Pole Sana Lissu
Mh.Tundu A.M.Lissu mchango wako wa kuwatetea wananchi uko juu kuliko unavyojieleza,na hata MUNGU anajua ndio mana alikunusuru kifo na wauaji wa nchi hii wanaotafuna nchi kama mchwa,wasiotaka watu wakweli wa aina yako, hakika watanzania tunakupenda sana lakini hatuna uwezo wa kukupa kura zetu zote kutokana na kufungwa gavana lakini chukua tu maua yako,tupambane kuikomboa nchi yetu ya ahadi mpaka mwisho,na MUNGU azidi kukulinda, Amina.
HONGERA SANA LISU KWA. KUWA MSEMA KWELI DAIMA UNA STAHILI KUWA KIONGOZI WA WATU.
Big up
DUme la Singida
Tundu Lissu sio wa vyeo vya kisifa.Ni mkweli na msimamia haki.Mungu azidi kujifunza,tunahitaji busara za watu kama akina Lissu.
Wao juu pesa mingi
Chini pesa kwa nn wazuie matumizi bya juu
Sawa
Anauliza majibu,hakuiona hiyo mikutano.
Tumeni namba na muombe michango wananchi wapo tayari
Chadema niwapigania haki nchini mwetu tupeni taarifa tupo tayari kuchangia miatanomiatano maana hatupendi kabisa Chadema kupoa
Hata mi nipo tayari kuchangia
Sio siri nzito: Chadema hakuna hela! Inajulikana.
Umejibu kwa busara
👊👍✌️.
Tupo tayari kuchangia watoe namba
Makonda hiyo ni siasa ya kuwajingaisha watanzania tumeshashituka
Mikutano imeisha hawana mafuta ya helkopta😂😂😂😂😂
One komando makonda
Mikutano haina tija kama hakuna haina agenda.Chadema lazima mjipange vizuri
na kujenga hoja na agenda .CCM kwa kutumia Makonda wamebadili upepo wa siasa Tanzania. Kwa mfumo au style anayotumia Makonda kwa CCM kujitenga na serikali na kuiajibisha serikali upinzani utashindwa vibaya sana hata kama Tundu Lissu atateuliwa kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.
Huo upepo unaouzungumzia ni upi? Nani kawajibika? Kuna aliyefukuzwa kazi kwa dhuluma? Ninavyoona anaiaibisha serikali kwa kudhulumu watu na uwajibikaji hakuna, kama haujui hiyo ni danganya toto, waliokwenda kujadiliana umepata taarifa kwamba wamerudishiwa mali zao? Je hayo yote matatizo ya wananchi yalipatikana katika utawala wa chama gani? Jiulize Hakuna mtu aliyetengeneza tatizo anaweza akatatua tatizo pole. Hapo ni kuwadanganya wananchi kwa kuwapa peremende, Je wale ambao hawakuzungumza adharani matatizo yao yametatuliwa na nani? si wamebaki na matatizo yao?
Mimi nadhani ziara ya Mwenezi imeonyesha mapungufu mengi. Mengi ya hayo mikutano ya kina Lisu pia iliyaona. Cha msingi ni je, tunajengaje system mpya ili iweze kufanya kazi vizuri, sio mpaka kuwe na ziara? Je, tuna watu wengi sana ambao labda hawana kazi wanayoifanya? Tuna haja ya kuendelea kuwa na wakuu wa Wilaya kweli, kwa mfano? Haya ndiyo ya msingi, bila kujali chama Gani kipo madarakani.
Nini kimebadilika tangu aanze kukusanya hayo mabango? Makonda ni msanii tu kama wasanii wengine, na zaidi anadhihirisha jinsi serikali hii ya ccm ni uozo mtupu umejaa.
@@1961nungwiwacha nisijib hiv unaweza ongea cdm na ccm kutatua matatiz makonda ni chama tawala anamamuzi na serikali ni yao Sasa unasema cdm inawezaj kufanya hayo yaan kunawatu huwa mnawazaje
Chadema✌️ni chama hulu ambacho kitakua na shelia huru ambayo kila mwananchi atakua na uhulu wa kuzungumza kero yoyote ivo tushikamane tuwe kitu kimoja na uku tukimtanguliza mungu ili atutoe katika mateso ya ccm
Wewe una uwezo wa kumuuliza lisu maswali
Muandishi napenda the way unauluza questions
Mbowe aliingiza nchini magari aina ya pickup zaidi ya kumi, bila kulipia ushuru kwa madai ya kusaidia kazi za chadema. Yako wapi ?
Kijana wetu yupi 😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂
😂
Lisu kampeni mnaaza lini,hutaki kuwa rais wa tanzania au?,,tujulishe sisi wana chadema
Muda wa kuanza kampeni huwa inatangazwa na tume, sio Ku kurupuka tuu!
@@1961nungwi wacha tusubiri
Acheni kuchangisha hela toka kwa masikini😢
Usiwadharau Maskini, hasa wakiwa wengi. Jiunge nao kabla hawajawa wengi yasije kukuta ya Ceausescu wa Romania. Alichelewa mpaka Maskini wakamkamata!!
wewe mama kawaweza na bado sasa emechukuwa pesa ya wazungu na mtauza nchi
Hakuna mtu anayeweza kuuza Nchi hii wewe! Haiuzwi! Sorry!
Covid 19 kimya
Wataalamu wa Fedha Kuna kitu wanaitwa Sunk costs, yaani gharama.ambayo imezama! Maana yake ni kwamba thamani iliyokwisha tumika haisaidii kupanga uwekezaji wa mbele!! Maana yake ni kwamba, Covid 19 sio issue tena; kwasababu wameshakaa muda mrefu, uchaguzi huu hapa, hakuna faida ya kuwatoa kwa Sasa. Cha msingi ni kwamba kile kinachoitwa precedent, yaani practice ambayo imetokea, ndio kina.matter. Yaani, je, siku za mbele, watu wakiapishwa kwa mtindo huo wa Covid 19, tutaweza kuhalalisha kwa kutumia Mfano wao? Yaani, je, inatujengea misingi mizuri au mibaya huko mbele? Hilo ndio la.msingi.
Nenda kwa mama umuombe pesa atawapatia)
Mama Hana pesa ya kuchezea! Watapata pesa kwa mujibu wa Sheria inavyosema Kuhusu ruzuku ya Vyama vya Siasa!
mnauwaba wa pesa hizo b.2.5 za ruzuku zipo wapi mmeshagawana na mnagombana nyie ni wahuni tu walamba asali