🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • 🔴#Live: PROFESA JANABI AIBUA MAPYA kwa MAKONDA - AWAJIBU WANAOMSEMA MITANDAONI - "HAMNIPI SHIDA"...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 34

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  3 หลายเดือนก่อน +3

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @sakibumakoke9197
    @sakibumakoke9197 3 หลายเดือนก่อน +3

    Asante makonda, je Hawa watu wote tunajifunza nn? Uchumi, na huduma za Afya kwenye vituo vyetu Zina mashaka! Watanzania changamoto zinakua nyingi Sana,

  • @esthersissamo1120
    @esthersissamo1120 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu awalinde awape maisha marefu yenye afya tele pamoja na familia zenu Mh Makonda na Prof Janabi Mungu ibariki Tanzania na wananchi wake Amina

  • @abdullahhilalabdullahalmug3168
    @abdullahhilalabdullahalmug3168 3 หลายเดือนก่อน +2

    Profesa Janabi Inshallah ni Waziri wa Baadae mchapa kazi

  • @pendomtema4585
    @pendomtema4585 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mheshimiwa mkuu wa mkoa akubariki sana tena sana akupe umri mrefu.

  • @ericraphael9653
    @ericraphael9653 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa makonda akiwa raisi wa nchi hii nchi itakuwa kama ulaya uyo ndio kiongozi wa kweli

  • @AllyMohammed-nv5sj
    @AllyMohammed-nv5sj 3 หลายเดือนก่อน +1

    Rc makonda kazi yako na pro janabi kweli wito wa mwenyezi mungu nawaombea maisha marefu ys kheri lnshaalah

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yani uwa namkubari Sana uyu professor nampenda Sana uwa ni muwazi na uwa maneno yake uwa yananiingia Sana mwenyezi mungu azidi kumpa maisha marefu🙏🙏🙏.

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 3 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda unafaa kua raisi huna mpinzani wallah

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 3 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda big up❤❤❤❤❤❤

  • @cloudngoko.2679
    @cloudngoko.2679 3 หลายเดือนก่อน

    TUNAENDELEA NA MAOMBI MEMA KWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA.Ndg. PAULO C. MAKONDA🇹🇿✅ kwa siku za usoni.

  • @aishamtwana1323
    @aishamtwana1323 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba muheshimiwa nitoe uzowefu na elimu niliyoipata nje ya nchi kufanya kazi kama muuguzi mjuzi wa magojwa ya moyo katika community inabidi wizara ya afya ianze mchakata wa kupeleka huduma za chronic heart disease katika jamii niko tayari kusaidia my experience asante

  • @tumainiaroni7980
    @tumainiaroni7980 3 หลายเดือนก่อน

    Daa!! Hata yote ni kukua Kwa SAYANSI na TEKONOLOJIA

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 3 หลายเดือนก่อน

    Professor nakupenda Sana mwenyezi mungu azidi kukupa maisha marefu 🙏🙏🙏 uwa nikikusikiliza maneno yako ya kitabibu nakuonaga kuwa kweli unaumizwa Sana na maladhi ya watanzania.... ahsante Sana🙏🙏🙏

  • @dionisishengoma
    @dionisishengoma 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera Rc Makonda
    Nakumbuka ulipokuwa Dar ulisimamia usafi kila mwisho wa mwez
    Sasa hiv ukiwa Arusha umeanzisha kitu kipya cha mtu kutibiwa bure sio kaz ndogo maana hii mbegu ya maono itaenda na kusambaa mikoa yote Akika ninakupenda maana una upendo wa kweli kwetu sis wanyonge na hasa watanzania masikin

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee huaga haongei pumba siku zote anaongea points tu

  • @nasaelmanya1850
    @nasaelmanya1850 3 หลายเดือนก่อน

    Duu!! Hongereni Sana kwa Kuwasaidia wasiojiwez!!

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 3 หลายเดือนก่อน

    Maana ya Elimu nikusmamia kwahaki nakufuata misingi iliyowekwa bila kuvunja Sheria ya Nchi

  • @AMENMUSHI-wt4li
    @AMENMUSHI-wt4li 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mm

  • @josephfrancis9943
    @josephfrancis9943 3 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda anawashinda japo elimu hana huyu ni rais ajaye makonda

    • @martinemaganga5253
      @martinemaganga5253 3 หลายเดือนก่อน

      Siyo kweli, jamaa ana post graduatediploma ya uongozi kutoka chuo kikuu cha Ushirika moshi

    • @lusajomwakalinga5813
      @lusajomwakalinga5813 3 หลายเดือนก่อน

      Ana elimu kubwa tu

    • @isaacvtv547
      @isaacvtv547 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe ulie na elimu kipi umekifanya. Kuna elimu na akili

    • @lucheloonlinetv1862
      @lucheloonlinetv1862 3 หลายเดือนก่อน

      VITUO VYETU VYA AFYA VIPATIWE MADAKTARI BINGWA WENYE KUWAJIBIKA.

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 3 หลายเดือนก่อน

      Sio raisi sema jamaa yupo vizuri ❤

  • @ephraimkabeya9648
    @ephraimkabeya9648 3 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana kwa mpango huu

  • @goodluckabdul7316
    @goodluckabdul7316 3 หลายเดือนก่อน

    Safi sana,nakupenda sana

  • @davidlelo6192
    @davidlelo6192 3 หลายเดือนก่อน

    Makonda ubarikiwe sn.

  • @omzedstationary932
    @omzedstationary932 3 หลายเดือนก่อน

    Dah

  • @LeylatRobert
    @LeylatRobert 3 หลายเดือนก่อน

    Moro tu waje jmn

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 3 หลายเดือนก่อน

    Good Job Dr Janabi Good Job RC Makonda!

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 3 หลายเดือนก่อน

    Makonda hoyeeeee