Asante YESU nimepokea uponyaji,pia nashukuru MUNGU umenifundiza nimeelewa maana ya mufungo na faidha yake kupitia Kwa mtumishi wako thank you JESUS , following from Saudi Arabia 🙏
Mwenyezi Mungu.. Mungu uliye hai Baba yangu unaeheuza machozi yangu kuwa ombi umenitendea mengi nakunisamehe dhambi zangu .. Mungu wangu familia yangu yaangamia wadogo wangu wamechanganyikiwa wazazi wametengana . Asante kunipa nguvu ya kuwalinda maisha n magumu kazi hazipo mwenyewe ningali mdogo wa umri nitetee Mungu
EEEH MUNGU naomba uponyaji wa afya yangu nakufunguliwa katika nguvu za giza naomba umfungue fredy eliasi ufahamu na mahusino yetu amani upendo utaware chuki hasira kiburi vikanyekee mbele zako na familia yngu naomba kibali changu eeh Mungu naamini naninapokea kwa jina LA YESU
Kindly next time clarify to us if its right to take medicine for balancing hormones the effects and side effects and how can we balance our hormones naturally.........cause nowadays if you to the hospital and you have some changes in your body or cramps pain in women during their mensenses doctors says that hormones are not balance they prescribe hormonal drugs
Mchungaji sikiliza!!! Maji ya haya ya kununuliwa yametengezwa kwa process inaitwa REVERSE OSMOSIS!!! It means in the process of removing impurities from water so that to purify it, they take out all essential elements from water in that they cannot remove specific impurities. What happens then? They make artificial syrup that has got essential water elements like calcium and others and pour it in water!!! It is not natural water anymore. Angalia maji yote yameandikwa prepared through reverse osmosis and Google what that means. Nimebarikiwa kutoka marekani.mke wangu ambaye ni Daktari tena researcher wa saratani PHD in nanoengineering introduced me to your sermons.
Mungu mponye mtoto Dan Kwa jina la yesu apokee uponyanji❤
Pastor ubarikiwe kwa masomo Yako mazuri .MUNGU awe nawe .Amen.🙏🙏🙏🙏.
Ubarikiwe sana Mchungaji nazidi kubarikiwa napia kupokea uponyaji kupitia mafundisho yako
Asante YESU nimepokea uponyaji,pia nashukuru MUNGU umenifundiza nimeelewa maana ya mufungo na faidha yake kupitia Kwa mtumishi wako thank you JESUS , following from Saudi Arabia 🙏
Mwenyezi Mungu.. Mungu uliye hai Baba yangu unaeheuza machozi yangu kuwa ombi umenitendea mengi nakunisamehe dhambi zangu .. Mungu wangu familia yangu yaangamia wadogo wangu wamechanganyikiwa wazazi wametengana . Asante kunipa nguvu ya kuwalinda maisha n magumu kazi hazipo mwenyewe ningali mdogo wa umri nitetee Mungu
Ahsante Mungu maana nimebarikiwa 🙏🙏
May God bless you Pastor.nimebarikiwa sana na somo zuri
EE MWENYEZI MUNGU NAOMBA UPONYAJI WA MWANANGU DAN APONE KIFAFA KUPITIA JINA LA YESU KRISTO NAOMBA NAAMINI UTATENDA 🙏
Amina katika jina la Yesu aliye hai
🙏
Amen
Mungu ni mwema ..atamponya ..alaka
Mungu wa mbinguni amponye kwa jina la Yeah, AMINA
Ubarikiwe pastor kw somo zuri ,Amina
Kwa kina LA yesu Apokke uponyaji
Mtoto Dani Joyce niko Oman nabarikiwa sana
EEEH MUNGU naomba uponyaji wa afya yangu nakufunguliwa katika nguvu za giza naomba umfungue fredy eliasi ufahamu na mahusino yetu amani upendo utaware chuki hasira kiburi vikanyekee mbele zako na familia yngu naomba kibali changu eeh Mungu naamini naninapokea kwa jina LA YESU
Asantii kwa kunijibu kila wakati nilikuwa nashindwa palikiwa
Amen. Thank you.
Mchungaji navarikiwa na mafundisho yako🙏
Amen
Amina
👏🏼👏🏼👏🏼
Uinuliwe mchungaji
make it downloadable without premiums payment
You can download the content, but it may depend on your country’s regulations. Regarding premium content, it is handled by TH-cam, not Mahubiri TV.
Kindly next time clarify to us if its right to take medicine for balancing hormones the effects and side effects and how can we balance our hormones naturally.........cause nowadays if you to the hospital and you have some changes in your body or cramps pain in women during their mensenses doctors says that hormones are not balance they prescribe hormonal drugs
Mchungaji wanga ni chakula haina gani?
Carbohydrates
Mimi nina shida na namba yako mchungaji kwani nahitaji kufanya mazungumzo na wew ya kina naomba msaada wa kupata mawasiliano yako
WhatsApp +255 755 932 283
Mchungaji sikiliza!!! Maji ya haya ya kununuliwa yametengezwa kwa process inaitwa REVERSE OSMOSIS!!! It means in the process of removing impurities from water so that to purify it, they take out all essential elements from water in that they cannot remove specific impurities. What happens then? They make artificial syrup that has got essential water elements like calcium and others and pour it in water!!! It is not natural water anymore.
Angalia maji yote yameandikwa prepared through reverse osmosis and Google what that means.
Nimebarikiwa kutoka marekani.mke wangu ambaye ni Daktari tena researcher wa saratani PHD in nanoengineering introduced me to your sermons.