13 Twala Kakimbia Jela
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024
- Aman Thani Fairuz anaelezea Idrisa Majura ameelezea kwamba Othman Shariff na Kasim Hanga tulikua pamoja kwa Mandera. Wote Othman na Hanga wameuliwa.
Twala na Idrisa na Aman walifanya mipango ya kukimbia jela pamoja. Aman hakuyapenda mipango yao, wakakimbia pekeyao.
HALAFUU WEE MWENZANGU UNAYAKUBALI MAPINDUZI DAHHH
Sawa, lakini wangepelekwa mahakamani na kesi ikasikilizwa kwa haki. Hakika hiyo Ni dhuluma mbaya waliyofanyiwa
mahkama ipi
Ingeachiwa hiyo brother hood chimbuka toka Misri nchi ingeharibika na km uonavyo mpk Leo Misri imeharibika nchi haiongozo Kwa dini
Nchiii kisha isidamirike.
Wako wapi leo kina Mandera na waliokuwa wakiwatuma?
Watu wapate somo hapo!
Ikiwa walio pinduliwa ni waarabu. Je mzee huyu kina twala na wengine walio fungwa pia waarabu. Shtuka amsha bongo
Mzee Twala alikimbia vipi?
Mmh khatari!
Kasumba mbaya
Innalillah wainnailaih rajiun