Mbosso - Limevuja (Official Audio)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
- Get The Album Now 👇🏼👇🏼
mbosso.lnk.to/dol
What Is Love?
Every person has his own Definition Of Love
The answer differ due to everyone's experience
But I brought to you my own Definition Of Love
Which is available on my Album
Kindly listen to DEFINITION OF LOVE
You will either get the meaning through my language or the melody i used!
Enjoy!
From DEFINITION OF LOVE Album
Bonus Track 13 - Limevuja
For Bookings: mbosso@wcbwasafi.com
Follow Mbosso On:
Instagram: / mbosso_
Twitter: / mbossokhan
Facebook: / mbossoofficial
#definitionoflove #mbosso #Limevuja
Langu limevunja Leo na amesema ashakutana Naye, mnifariji kwa likes
punguza nyege
Daah nimelud kukoment baada ya penz yangu leo limevuja jaman😭😭
na wewe kama penzi lako limevuja kama langu basi tufajiriane kwa like tu😞😞😞. Ngoma yangu pendwa hii nimisha chagua🇺🇸
Leo kaamua kutufariji bana eeee
@@hamiskengwa6148 hiyo nikweli kabisa
Amin✌️
An acha tu!😓
@@jackmusictz8744 sio poa aisee😞😌
If the live performance of this song brought u here,ily😂😢❤
Tuko wengi
Hata mimi
Mimi
Live ukua tamu zaidi
Yamaha live performance
Eti kama mm ujaona wakufanana nae sambona ujasema kama usha onananae maneno mazito ayo dah😭 nipeni like namm team mbosso
Wanaosema Mbosso ni SharKhan wa Africa kama mim gonga like ✅
Daktari Baba
💞👑💫✅
Wcß wameshindikana Africa 👏👏👏 like za mbosso hapa✨✨✨
Nitarudi kuona hii comment baada ya miaka kadhaa kumkumbuka mpenzi wangu Agatha 😥🤧😑
Kwa sahivi Penzi limevuja 😫
Pole tupo weng
Pole
dah!😢
Kwenye moyo wako livae penzi langu mbosso khan shukurani wapi likes za mshedede🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mboso how?,how until utoe kwenye meko tamuuuuuu!!! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 video lazima iwe ya mapozi
Mbosso anaweza jamani wapi like ya mboso
Mara kwa mara ulilia ,kifuani umenilalia aaa,ukijuta unayachukia yale uliopitia,Eti kama mm ujaona wakufanana nae sa mbona ukusema kama ushakutana nae...ilifanya niliea..
My favorite song, wapi likes wadau?????
Hakika wewe night Kinara um mboso naupenda wimbo wako❤❤❤
Mapenz ushenzi wallah nalia tu
Salamu toka mombasani .. wenye kuuguwa .. nipeni vibe hapa .. TEAM MOMBASAAANI
Tanga na Mombasa blood forever
visit Tanzania 🇹🇿
Lile penzi tulivu Leo lipo kikaangoni 💃💃💃💯💯💯💯💯💯👌
Mara kwa mara ulilia kifuani umenilalia ukijuta unayechukia yaleuliopitia eti kama mimi hujaona wakufanana nae hasa mbona hukusema kama ushaa kutana nae
Napulisa majivu maana moto siyaoni😥😪😪😥 inanihappening sahii kama wewe ni mwenzangu nipe like tukisonga
Acha tu mm kabisa
Can someone explain to me what is love?😢hivi mapenzi ni ugonjwa au nn pigeni like Kaa wapenda mbosso
Am here after watching mbosso Yamaha live.....this guy is very talented, big up @mbosso khan mabrook 👏👏
Same
Mara kwa Mara ulilia, kifuani umenilalia..
Ukijuta unayachukia Yale ulopitia..
Eti kama mimi hujaona, wa kufanana naye..
Sasa mbona hukusema, kama ushakutana naye..
Napuliza Majivuuu...... Kooni Maumivuu.. Ahadi za Mbivuu.. Lile penzi tulivuu
Aah! Napenda sana... ❤
😢😢 jamani kumbe tumevujiwa wengi 😭 asante mboss nakupenda Wasafi tuwaache tuuu💃😔😂
Mbosso anajua hadi anakera ,hii nyimbo huwezi elewa hadi yakukute...😅😅
Unaweza cheka kama mazuri ..
Sana yn yamenikuta ndo naiyelewa mapenz kumanyoko
@@SelinaJulius-od3jdPole ,piga moyo konde, kama ulitumia moyo sasa tumia akili ..
Leo ndio naielewa hii nyimbo😢😢😢
Am here listening before nipende mtoto wa mtu ... Kama ni hivi acha yakae hayabmapenzi
It's 2024 lakini tunaomba kama inawezekana mbosso utoe video ya huu wimbo coz it gain much popularity this season
Mbosso isn't pregnant but always delivers🔥🔥🔥
Nataka nione watu watakao sem mboss ni the best man of love
Mimi ni mfaransa wa kwanza hapa 🇫🇷
Karibu Tanzania Mfaransa
@@khaliphamajid270 😂😂😂😂😂😂😂mfaransa
Hii nyimbo kila nikiiskia I can't help but cry the way I hanged on hoping one day hel give me the world in the end it was all games for him Alhamdulillah I did I cud for him may Allah give me happiness in return
POLEEE SALWA,YOU WILL FIND SOMEONE BETTER
We jama unajua sana unawalipua 💣💣wenye roho zakukunja @mboso #limevuja
Yaani huyu jamaa hii mistari yake sijui anaoteshwa usingizini,🙌🙌🙌 is dope!!!!!
Nawazia hivo pia
Mbosso khan✌️
Plz bro @mbosso tunaomba release video ya hii ngoma
Mbosso ni 🔥🔥🔥
Mbosso anajua mpaka basiiiii 📝📝📝
Wimbo pendwa kwangu❤😮 2:21
Noma sana Mbosso from +254 🇰🇪🔥🔥🔥💯
Mbosso ,,mini shabik wako kubwa kutoka Kenya ,
Booss bonge langoma
Kali Sana kakangu👍🙏💓💓💓
I don't know what brought me here buh is okay😢😢
Limevunja kweli,Album kali sana
Mbosso please when is the music video for this song coming out
Daah ngoma Kali na beat Kali ya hisia yanipelekea kufumba macho kuskiliza mashair mazuri
Daaaaah big up broo
Amengus pahali juuwengine twaonyeshwaa vituko nahatukuambiwa
Jaman mbosso unanitoa machozi😢😢😢😢😢😢😢😢
Mbosso wewe ni fundi album kali kama unaamin album ya vanny boy itapigwa chini tia like hapa tusikilize mawe ya mbosso khan
Weweee mboso hidio nyimbo mwisho wewe namba 1
Kaka mboso ninakubari Sana miziki yako sanaa
Nyimbo yangu peeeeeendwaaa😭😭😭😭😭😭... napulizaaa majivu maana moto siuoni, kooni maumiiivuuu.. vumbii la rudi machoonii.... Ahadi za mbivu zimebaki ndotooniiiii.... lile penzi tulivu leo lipo kikaangoni....
Mbosso nyimbo zako zinakuza uwepo wangu kwenye yale maumivu ya mapenzi.....i can't stop listening this from @Kenya 254
🙌🙌 brother mbosso unajua kwakwel Mhhh💯💯👍
This man is extremely talented! He gives some form of life to his songs
I was glued to this song during the entire 500+ km drive yesterday.. that's how good it is! Kudos Mbosso!
Mbosso for life
This song hit deferent ukiwa kwenye mahusiano yanayo suasua
Mbosso kama mbosso ongera kaka kazi imesimama💪
Respect quelle plaisir de vous écouter 👂
Nakubali san mboso khan uish miak 💯💯💯💯💯
mboso narudia tena kwa nyimbo za mapenz umeshindikana🙌🙌
Mbosso oyeeeeeee
😭😭😭😭😭 nikisikia hii nyimbo namkumbuka ex wangu❤❤❤❤❤
Still listening to this song
Nakupendaaaa bureee mboss
King wa nyimbo za mapenzi mbosso Khan
King wa mauwezo💥💥💥
Special for Konde boy Salam zako kwa Kajala
Penzi Limevuja Tena! Kali Kati Ya Zote.
Msukubali livuje tena🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Bro umeniimba kabisa an maana me huku penz limevuja
Im Ghanaian 🇬🇭 and if I get an opportunity to attend an mbosso concert one day, there has to be an ambulance on standby because i am 100% sure, joy and happiness will make be faint and fall flat on the floor. 😂😂😂😂😂😂😂i love mbosso music like i cant describe to you.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Safi sana
How I hate that feeling 😢😅God please don't allow me go through that again 😢😢😢
Dah!!! Maji ya korongo lazima yafate mkondo, najifariji Kazi Safi bro
Basi mbosso... Mbona nisisikize ngoma zako... Unatesa baba... Ngonga like kaa mbosso kaweza
Mbosso 🇰🇪🔥fayaa
Nimeipenda hii 🔥🔥🔥
Kipaji mauwezo full
Mbosso 🎵🎼🎧🔥❤🇰🇪
Hiii ngoma Kali san LIMEVUJA 🙏🙏🙏🙊🙊
Doh..sasa imekua ngumu kutambua gani bora 🔥🔥🔥 kazi safi sana bro 🇰🇪🌴🌊
Hii imenigusa kunako ❤️🇨🇩
mbosso my boi leo nimewai mpema lv the message frm kenya 😘😘😍😍🔥🔥🔥💖
Jamani huu wimbo ulinipa moyo 😢😢😢haki
Kwa mistari uko juu mashairi yako kiboko wakupe likes #R
Live performance was the best🔥🔥
Go go go goooo mbosso khan ....
mbosso weweeeee, haya bana, sisi akina nani tusiseme wewe ndiwe mtaalam wa maandishi
Eti ushaolewa lakini soulmate ananimaliza na nyimbo na shairi. #mbossoKhan
Mbosso never disappoints..that's the WCB routine no disappointments 🔥🔥🔥🔥
Bgg
Mbosso nyimbo zako umenigusa sana
I'm unic boy up coming bongo 🌟 search winner after bss winning event I will allow a albam known as gift of love this is the part of my dreams I always build in my ❤️ heart get ready for me my first song will be nikimpata I'm unic boy
Huu wimbo umeniliza sana
Nani ameonja onja izi track mpaka akafika huku mwisho akapumzikia hapo ama Niko peke yangu🤣🤣🤣🤣🤣
Ata mm nmefika hapa nikatulia
Me pia nimefanya ivo😀😀
Nimetulia sasa 😂
Hii ishakwenda viral🔥🔥🔥💔
mbosooooh nimekukubali mzee
Penzi limevuja tenaaaa dope
Ulisema si kiwambaza penzu letu utawachuma
Nikitoka kiwalaza utanistiri nywele za nyuma😢
Mbosso nakupenda bure jamani mpaka it hurts ,your writing man mashairi then the message am dead wallahi
Uko juu mbosso khan.... Wat wa +254... Mko wapy wapy... Penzi limevuja tenah... 💪💪💪
God bless you mbosso inshallah
Ahadi za mbivu zmebaki ndotonii😢
Hi Kali Sana🔥
nakupenda mboso unaimba sana