Hongera sana kwa kazi nzuri unayoifanya, mm ninafuga chotara na wewe ulikua mmoja wa wahamasishaji wa kufuga kuku. Natoa tu maoni kama ikiwezekana hizo point unazozisema uwe unazidadavua kabisa...yaani maelezo bado yanatuacha wafuatiliaji na maswali mengi sana
Habari naanza ufugaji sasa ntawatambuaje hao broiler geniue na mawasiliano yako hujaweka ili tusaidiane ndugu 🙏🙏 naomba kwa anaejua comment apa ntapata mawasiliano
Naam mm ni mgeni kwenye ufugaji kwa maana nilikuwa naishi sasa nataka nijenge banda kubwa ilaa maeneo niliyopo nahofia kuku kushambuliwa na wadudu naomba msaada wa kujenga banda nzuri na la usalama nipo morogoro lukobe
Nice work. Keep up ❤
Smart farm
Natamani sana hii biashara sijui ntaazaja mnishauri hapa kidogo
Fifaranga Hawa wanapatikana wapi?
Napenda nijifunze
Naitwa Joseph,Je nitasipata vipi Hawa kuku
Changamkia fursa mnapatikana wapi?
Unapatikana wapi nawataka awo kuku
Nitapaje vifaranga?
Big up bro
Pamoja
Mbn ujatoa mawasiliano yako please
Nikiitaji kujifunza zaidi kwavitendo nifanyaje kupata elimu iyo?
This is much good idia
Hongera sana kwa kazi nzuri unayoifanya, mm ninafuga chotara na wewe ulikua mmoja wa wahamasishaji wa kufuga kuku. Natoa tu maoni kama ikiwezekana hizo point unazozisema uwe unazidadavua kabisa...yaani maelezo bado yanatuacha wafuatiliaji na maswali mengi sana
Asante kwa maoni
Ila ukifungua description, huwa nimeandika nilichosema
Vifaranga Bora vinapatikana wap
As kak vp Nina kuk Wang mafuw yanawasumbuw kila mara
Bro nimependa iyo fulsa naomba unipe namba Yako ya what's app tuwasiliane vzuri kama hutojali
Napataje vifaranga
Nikitaka vifaranga napataje?? Na kwa mda gani?? Mwanza
Shukran sana kwa elimu
Unaweza kuniuzia jogoo
Ninaitaji 2 .na kujiuga na kudi lenu
Nitawapataje?
Habari naanza ufugaji sasa ntawatambuaje hao broiler geniue na mawasiliano yako hujaweka ili tusaidiane ndugu 🙏🙏 naomba kwa anaejua comment apa ntapata mawasiliano
Naomba namba zenu
Habar
Naam mm ni mgeni kwenye ufugaji kwa maana nilikuwa naishi sasa nataka nijenge banda kubwa ilaa maeneo niliyopo nahofia kuku kushambuliwa na wadudu naomba msaada wa kujenga banda nzuri na la usalama nipo morogoro lukobe
Nawapataje
Nataka kufuga hão kuku
Ufugaji WA kuku
Mimi nataka elimu ya kutotolesha hawa kuku
Kila video unatumia location ya mfugaji 1 tu.
Ndio shambani kwanfu, nitumie kwa nani sasa.
Napataje vifaranga nipo manyara
Nahitaji vifaranga...
Hawa kuku chotara ndo kuloire au?
Ndio
Naitaji hao kroila nipo simiyu
Hawa kuku chotara wanatotoa mayaii
bati la pembeni linakatwa urefu gani
Bongo mmebobea nnahitaji vifaranga vya kuku chotara
🙏
Chotala wanaatamia
Hapana
Mnapatikan wap
Ufugaji WA kuku