Inavyoonekana sio mstaarabu unataka usifiwe tu kukosolewa hutaki, unatoa jeuri kwa wale wale wanaokuunga mkono siku zote, wewe bado sana ,basi kama ni hivyo ingia kwenye bongo flavour tujue moja, pole sana maana hata kuzungumza na wanaokuunga mkono hujui, na nadhani hata hizi tungo huwa unaandikiwa ndio ila ni bora hivyo kuliko kuiba,na ndio maana jeuri tele!
@@swalehayoub4816 asante kwa kuchukua mda wako na kutuma bundle lako kuja ku comment kwenye youtube yangu. inatia moyo sana kuona ni jinsi gani unanifatilia hutaki kupitwa na kazi zangu.. shukran Mungu akubariki 😍😍😍
Wallah sijawah acha Kusikiliza Kazi zako Brother Nassir upo vyema sana, Allah akuongoze katika yale uyafanyayo ila usiache Kumshukur kwa kila hatua kwa kuzidisha ibada... Nakukubali sana na hujawah nifelishaaa🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏽
Natamani kumpata daktar wa moyo wangu ili niwe na mwambia hakika ww ni tabibu wa hisia zangu na maradhi yangu. Lkn khofu ya maumivu imetangulia zaidi hadi naogopa hata kuyasikiliza mapenzi
Ni mara ya kwanza kukusikilza cku nakufatilia kama bahat mbaya t nimejarbu lakin nimejikuta kuvutiwa na sauti yako hadi kunitoa machizi 😢😢 hakika mke wako ni mtu mwenye bahat sana 🏃🏃
wanawake, mali na watoto kweli ni mtihani.Nilikua napendaga ile amina kalea ila hapa hhmm hhhm hhm. Nakuombea mungu akulinde na fitna. Zingatia zingatia isikughuri dunia.. Elewa twapita njia !!!
Bonge la rnb hata mbosso hakuwezi sasa hivi .... kutoka kuimba kasida mpaka taarab na rnb haya tutafika tu japo wapo watakaokuja kunijibu ila yote ni katika kutafta rizki na tuendelee
Shekhe Wangu umeniangusha sana nilikuwa nakubali sana Nasheed zako ila umenivunja Moyo maana saivi huimbi Nasheed tena bali ni Mziki nakuombea urudi kwenye njia iliyonyooka nikikumbuka Nasheed zako Kama ili inayosema Nikifikirii Mauti yaani sio ww wasasa
Natamani naweza ku like kama mara kumi comment hii. Ndio aanza hvyo kapata mchumba kaoa kakosana...sioni Nashid naona NYIMBO kuhusu marriage life yake tu.
Oya bro skia nmeskia meng kuhusu watu wanakusema kuhusu kubadilisha aina ya nyimbo ila elewa kitu kimoja wanayokusema vibaya wote ni mahatter wapuuz 2 bro ila bro mm kama mm hakuna nyimbo ambazo sizikubal zote nazikubal na ninazielewa bro lovee u so much ila skia usiwafatishe wapuuz wote wanakupotosha wengine kiki 2 utakuta anakuambia rudi kwa mungu yeye mwenyewe hamjui mola wako i love u so much man 💪💪💪💪💪
Brother nasir amini unakujia ktk nyimbo shari kwa muumba 🚶 wako... Kaka zingatia zingatia isikupite duniaaaa elewa twapita njia!!! Kaka huku zanzibar vituo vya redio vinokupenda awal leo umevifanya vijisikie sikio la kukosa ???
Ewe ndugu mpendwa, nakupa salamu jambo la kwanza kama mwislamu mwenzangu, pili : dini yetu imetuamrisha tuwe ni wenye kupeana naswaha pale utakapo muona mwenzako anakhalifu amri ya mola wake, ndugu yangu regea nyuma na utubie kwani nyimbo ni maradhi ya moyo, na moyo ukisha dhoofika, basi viungo vyote vitakua ni venye kulegea na kudhoofika, hapo sasa ndipo utampata mwislamu hana pupa katika kutekeleza kwa yale aliyoamrisha na kuyavamia maasi kwa fosi kali sana, kwa hiyo ndugi yangu kabla haujafika huko basi tubia na uregee nyuma kabla haya ja kufikia mauti , ASSALAMU aleikum
Ameen wallahi hapo umeongea maana hao wanaojifanya shabiki ndio watakao mvuta aingie nao Motoni Allah atuepushie sote umma wetu huu ameen atupe pepo yarabby
Kazii nzuriiii sanaa Allah azidi kuku barik kwaiyo talent yako bro wllh unaweza na usikatiki tama kwa maneno yawatu wanaojifanya kwamba ewo ndo wanajua dini sana kuliko wenzao weye pambana tuu utafika InshaAllah I'm your fan frm burundi brother♥
@@zainabibrahim8641 sasa ww kinyuma nyuma nd mana ukaangalia ulitumwa kuangalia??munajitia ushehe wa bure hamna lolot nyie nd wa kwanz kuskiliz.Na kama haramu bas kuona ni haram na kuskia ni haram kwann muangalie??si kujipendekeza bal maish yot mukiambiwa ukweli unakuumeni
Sijui tuna shida gani...sasa aimbe hata taarab shida iko wapi? Hujamlipia hata bundles zakupost, ikiwa akosea Allah ndio Hakim sio ww binadam. Before pointing your fingers to anyone else make sure your hands are clean first. He delivered a message to those who appreciated and loved it not for you who are just ready to just jump into conclusions kama ndio mwapeana pepo Astaghfirullah.. #Keepitup #brothernassir
Sioni haja ya kujudge mtu ilahali sote ni wapita nchia kila mtu apambane na hali yake kama nyimbo haijakufurahisha c lazima utoe kashfaaa ww pia unaingia dhambini heri kukaa kimya kama hujiskii kusifia
TEAM #KIPASHTULUNA❤
connect With Brother Nassir On Instagram
instagram.com/brothernassirofficial?igshid=14g5e0ozq963x
#Kidamani #Kishtuluna
Masha Allah kaka Nassir😍
Mtu mpole
Inavyoonekana sio mstaarabu unataka usifiwe tu kukosolewa hutaki, unatoa jeuri kwa wale wale wanaokuunga mkono siku zote, wewe bado sana ,basi kama ni hivyo ingia kwenye bongo flavour tujue moja, pole sana maana hata kuzungumza na wanaokuunga mkono hujui, na nadhani hata hizi tungo huwa unaandikiwa ndio ila ni bora hivyo kuliko kuiba,na ndio maana jeuri tele!
@@swalehayoub4816 refer maneno yake yy hajali hata ukisema ni sawa na kupepea mwiku usishangae mpaka uko kumponda yy akalike haswaa,😁😁😁
@@swalehayoub4816 asante kwa kuchukua mda wako na kutuma bundle lako kuja ku comment kwenye youtube yangu. inatia moyo sana kuona ni jinsi gani unanifatilia hutaki kupitwa na kazi zangu.. shukran Mungu akubariki 😍😍😍
Huyo ni muimbaji maarufu mwenye sura ya kiislam ,may Allah guide all of us.
Mwenyezimungu akuongoze kaka kwenye njia ilionyooka sio ile alio wakasirikia wala wale waliopotea
Tangu umeingia ndoani umkuwa lover boy ....hatuoni vitu kama zingatia na moyo wangu ....
Wallah sijawah acha Kusikiliza Kazi zako Brother Nassir upo vyema sana, Allah akuongoze katika yale uyafanyayo ila usiache Kumshukur kwa kila hatua kwa kuzidisha ibada... Nakukubali sana na hujawah nifelishaaa🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏽
Mashallh
Natamani kumpata daktar wa moyo wangu ili niwe na mwambia hakika ww ni tabibu wa hisia zangu na maradhi yangu. Lkn khofu ya maumivu imetangulia zaidi hadi naogopa hata kuyasikiliza mapenzi
brother inajua kuimba kweli kweli
Daaaaah hyo 🔥🔥🔥🔥🔥 waliokikubali hichi kichupa kama mm wagonge like hapo❣❣
Love you brother nassr una sauti zuriii sana mashallah
Brother nassir dah sweetyyyyyy Tuma sijui kakupa nn kakuweza bro😂😂ila mashallah pia dini inahimiza kupenda wake zenu pia but don't forget ulipotoka
Lovely🥰🥰 nasheed for those who knows how love fells when u lost it keep going bro🤩
Ni mara ya kwanza kukusikilza cku nakufatilia kama bahat mbaya t nimejarbu lakin nimejikuta kuvutiwa na sauti yako hadi kunitoa machizi 😢😢 hakika mke wako ni mtu mwenye bahat sana 🏃🏃
Usicheee kaka braza , kipaji kakupa mungu huna makosa Fanya ulionalo uliridhialo , nanii anakusaidia kwani hakuna , waache waseme sisi bado tunasonga mbeleeeeeeeerrrrrreeerrrrr
lovely guy.....
خزاك الله خير
mwenye kujua maana ya kidamani kipashruluna atujuze basiii
ametuacha kidogo akhy wetu huyu
🤣🤣🤣🤣🤣
@@shamillahalfred7044 nn hasa hatueleew sie
embu nipashe kama unajua
@@husseinmshamujuma1132 aaah wapi sijaelewa chochote hata Mimi🤣🤣
Hakuna kitu kibaya kama kumuhuku mwenzako jamani kazi ya kihukumu ni ya mungu pekee ake asanta kwa nyimbo mzuri sana h
Shukran mashallah nazipenda sana nyimbo zako kaka angu endelea hivo hivo na allah akusimamie zaid ufike mbali
Daaahh she is proud to have u..MASHAALLAH 👏🏻👏🏻
Ma sha Allah habib mwenye...Ajjab sanaaaaa...imewezaaa
My brother unanitiya wazimu na nyimbo zako
wanawake, mali na watoto kweli ni mtihani.Nilikua napendaga ile amina kalea ila hapa hhmm hhhm hhm.
Nakuombea mungu akulinde na fitna.
Zingatia zingatia isikughuri dunia..
Elewa twapita njia !!!
asante kwa kuchkua mda wako ku comment ❤
Kweli Mimi ni nakubali kazi yko milele
The song is amazing 😊mke is lucky to have u m.a the song is dope brother nassir😙😙
Dah jamaa ana sauti nzuri kweli yan
Kazi nzuri saaana kaka mashallah... Allah akuzidishie zaidi
Umekwisha bratha nasiri mziki sasa aaaaa daimond wa pili
Bonge la rnb hata mbosso hakuwezi sasa hivi .... kutoka kuimba kasida mpaka taarab na rnb haya tutafika tu japo wapo watakaokuja kunijibu ila yote ni katika kutafta rizki na tuendelee
asante kwa kuchukua mda wako ku toa maoni yako na ku view 🙏
Shekhe Wangu umeniangusha sana nilikuwa nakubali sana Nasheed zako ila umenivunja Moyo maana saivi huimbi Nasheed tena bali ni Mziki nakuombea urudi kwenye njia iliyonyooka nikikumbuka Nasheed zako Kama ili inayosema Nikifikirii Mauti yaani sio ww wasasa
Nakukubali kwanzia mwanzoni ndugu yangu...Allah akuepushe mbali nao
Mola akujaze kheri na uendelee hivyo hivyo kutupoosha roho😍
Mche Allah ewe kijana bora useme tu unaimba mziki moja kwa moja kuliko haya unayoyafanya kuyaegemeza kwenye din
asante kwa ku comment
@@BrotherNassir tusalimie wifi wetu mwambie tunajivunia kuwa na kaka mwenye maneno mazuri mashallah mungu akuzidishie
Mbwana Ambamba 😂😂
@@BrotherNassir acha kibri wewe hiyo ni sifa ya allah
@@mohdsuleiman2628 asante kwa kuchukua mda wako ku comment
Mashaallah sauti nzuri sana uko vizuri sana
Mie ni nani sasa nisiupende huu wimbo 😍😍😍😍😍 umeua Mzee baba
Brother nasser please make more songs like this ❤❤❤❤❤ twatafuta decent love songs kwa wapendwa wetu and we get from thank you....
N kweli
Mashallah iko poa👌
Sauti nzuri kama wewe mwenyewe mashallah!!!
nyimbo nzuri sana hii ,, ulianza na nsheed ibilisi hakua mbali na wewe
Hahahahahahahaha
Haha umesema kwel kaka
Huyo ndo ibilisi....ibilisi ni sheikh mkubwa anaweza akakupa aya za kumuasi allah ...ya rabbi tulinde sisi waja wako
Kweli kabisa
Natamani naweza ku like kama mara kumi comment hii.
Ndio aanza hvyo kapata mchumba kaoa kakosana...sioni Nashid naona NYIMBO kuhusu marriage life yake tu.
Oya bro skia nmeskia meng kuhusu watu wanakusema kuhusu kubadilisha aina ya nyimbo ila elewa kitu kimoja wanayokusema vibaya wote ni mahatter wapuuz 2 bro ila bro mm kama mm hakuna nyimbo ambazo sizikubal zote nazikubal na ninazielewa bro lovee u so much ila skia usiwafatishe wapuuz wote wanakupotosha wengine kiki 2 utakuta anakuambia rudi kwa mungu yeye mwenyewe hamjui mola wako i love u so much man 💪💪💪💪💪
Thank You Man. This Support Means Alot BRO 🙏🙏
Pamoja mwananguu
@@_.mr_awesome3563 mohammad ksho piga sawa plz
Its me rahaf
Habibaty wa ngapi! ama umeo kisiri.
Me nimependa jina tu kishtuluna jp sijajua maana yk brother Nassir 😜
Naona unaanza kubadilika taratibu unaanza kuchanganya madawa
Tafakari ....bro wangu ....hay unayo yafanya si mema....mmi ni mshabik wako. .....lkn uki yasoma cmnt..wengi wana kushangilia...thick thrice na manani akurudishe ulivyokuwa ...zamani...
👏
Brother nasir amini unakujia ktk nyimbo shari kwa muumba 🚶 wako... Kaka zingatia zingatia isikupite duniaaaa elewa twapita njia!!! Kaka huku zanzibar vituo vya redio vinokupenda awal leo umevifanya vijisikie sikio la kukosa ???
Yaan wee acha tu... Kanivunja moyo wallah.. Maana hana tofaut na mbosso saiv..
@@maryammohd1826 kweli kabisa
Kaanza na Nasheed lakini sasa anapoelekea pabaya Allah amzindue.
Kareeb bongo flaver inakuja duh
May Allah guide him....
Duuhh kijana keshatoka kwenye mstari sasa anapiga miuziki
We jamaa ni fundi sijapata on a🙌
Naknda Kwa ajili ya Allah waache na kuwaswamehe wanaokufungia🤭🤭🤗🤗
Wallah nzuri sana
Mashaallah hongera nyimbo kari sana
😍😘😍 kuna yangine sisikiyi ila mi napenda unavyo vifanyaaa
Ahhhhh nakubali brother Nasir hawatoshi mashaAllah
I love the creativity in the choice of words! The location too 🎊🎊
Its in takaungu kivukoni
Mashaallah
Nimengojea kwa hamu MashaAllah may Allah keep on blessijng you xoxo 😘
Wow I love this 🤗
Poa
Kxlxl😑
@@amnemohammed1043 ,x,x,xx.
Bro mabruk nakuongoza siku hizi nakwambia ukweli acha mahaba siku danganyi walllahi rudi kwa qaswida sii kwa nyimbo ya mahaba sikudanganyi bro
Top top top brother nassir
Unnifrahisha saaana na hii clip @swaleh alhabshy
Hii ipo vizur lkn punguza tena midundo sbbu cc wengine tunapenda sana mashair yko kuliko midundo
Yaa Allah muongoze kijana huyu arudi kwako. Aamiin
Amiin
Ameen
Kukupend kam kote💗💗💗 nice song
Ewe ndugu mpendwa, nakupa salamu jambo la kwanza kama mwislamu mwenzangu, pili : dini yetu imetuamrisha tuwe ni wenye kupeana naswaha pale utakapo muona mwenzako anakhalifu amri ya mola wake, ndugu yangu regea nyuma na utubie kwani nyimbo ni maradhi ya moyo, na moyo ukisha dhoofika, basi viungo vyote vitakua ni venye kulegea na kudhoofika, hapo sasa ndipo utampata mwislamu hana pupa katika kutekeleza kwa yale aliyoamrisha na kuyavamia maasi kwa fosi kali sana, kwa hiyo ndugi yangu kabla haujafika huko basi tubia na uregee nyuma kabla haya ja kufikia mauti , ASSALAMU aleikum
Uko juu tu sana bro!
hatari sana hiii hujawai feli bro 🙌🏾🙌🏾❤
Mwanzo nashidi sasa muziki,,, Innalillahi wainna ilayhi rajiuun
Duuuhh bro ss huu si mzik mung atuongoze
Safi sana kaka
Walai tulipenda nasheed zako lakini Leo subhanallah
Htr sana mungu akuongoze
Ameen wallahi hapo umeongea maana hao wanaojifanya shabiki ndio watakao mvuta aingie nao Motoni Allah atuepushie sote umma wetu huu ameen atupe pepo yarabby
Ur videos are amazing even a 5 yr old kid can watch keep up the gd work bro..#mwambieni...umenimaliza...
Kidamani kitashtuluna kuja sasa ww @brother nassir
Dah brother nasr huwez ukakublik n wite binadam sisi n mtikhani pambana kaza buti ujumbe ufike tu
Lazeem Tartiib🔥 1♥️ bro @brother nassir
Kazii nzuriiii sanaa Allah azidi kuku barik kwaiyo talent yako bro wllh unaweza na usikatiki tama kwa maneno yawatu wanaojifanya kwamba ewo ndo wanajua dini sana kuliko wenzao weye pambana tuu utafika InshaAllah I'm your fan frm burundi brother♥
Aaah bro nassir utamalizaaaa
Bro wimbo mtamu. Mfwasi namba moja
Yaani simalizi kuangalia braza umenifanya kila saa najickie ni ingie ytb kuangalia
Jamani achani kumsifia huyu mtu Bala mtakieni kheri na muongozo kutoka kwa Allah
Kweli kabisa
Inshallah na ww pia tukuombee pia mana unaangalia si mwasema miziki bas unaangalia nini usiangalie jamani
@@queen-yx8uo we nawe kimbelembele kujibu watu,wacha kujipendekeza kwenye mambo ya kijinga
@@zainabibrahim8641 sasa ww kinyuma nyuma nd mana ukaangalia ulitumwa kuangalia??munajitia ushehe wa bure hamna lolot nyie nd wa kwanz kuskiliz.Na kama haramu bas kuona ni haram na kuskia ni haram kwann muangalie??si kujipendekeza bal maish yot mukiambiwa ukweli unakuumeni
Nna Warda kweli dada warda tutamuombeaa sana kwa mola iliii achee hizii nyimbo
aaaaaaah!!!!! kidamani weeeh kihayatiiiiii
hahah #kiholoso habib
Maa shaa Allah,, big up brother nassir ,,BT I want 2 know the meaning of kishtuluna
Mashaallah Nyc song
Hujawai feli😜🔥🔥🔥🔥
Acha kumpea hpes..😂😂 yko swa lkni yuaribu sku hzii n mahaba yke
Alla akusaidie 💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💟💟💟💟💟💟💟💟💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞
Vittah sana hii
Mashaallah wallah nataman namie Nipate mtuwakumuimbia kama iv aya manen sin ila inshaallah kheri
Honger san akhui 😍🙏😍🇹🇿🇴🇲
Nipo hapa niimbie tu
@@najmasalim6272 Mhh really ukhty 😍😊
@@mohamedel-mindhir7990 ndio
Usijali bro utakuja pata na wewe wa kukuimbia usikate tama ipo siku utapata kua na subra
Sory wataka na wewe upate wa kumuimbia yupo mahali hajafika wakti usife moyo utapata bro kua na subra
Ur song is really nice MashaAllah bro ur voice and tune is wonderful 😃😃😃😃
Yaa hanuna kishtuluna👌 good work bro...
Santha mwenyeee!😅 kipashtuluna Kimenmaliza!
#Kiholoso #Kidamani 🤣❤❤❤
Bwakila bado collabo na ww tu!😂😂...
@@yayeomar7043 😂😂😂ushasemaa
@@BrotherNassir 🤣me natafuta maana tuu toka asubh had saizi sielew kipashtuluna ooh my God
Iko vizuri but naona kama unataka umkimbilie Diamond
safi sana nyimbo na nusu
Swadaktaaa keep up no song broo this is fantastic qasda.
duuh kwl nashindwa kuelewa kama hii ni qaswida ama vp
Give 100000 like on this one, love it good work my brother nassir big up from your big brother from Norway
Sijui tuna shida gani...sasa aimbe hata taarab shida iko wapi? Hujamlipia hata bundles zakupost, ikiwa akosea Allah ndio Hakim sio ww binadam. Before pointing your fingers to anyone else make sure your hands are clean first. He delivered a message to those who appreciated and loved it not for you who are just ready to just jump into conclusions kama ndio mwapeana pepo Astaghfirullah.. #Keepitup
#brothernassir
Asante Kaka 🤝
Well said brother only Allah can judge him🙏
Yeess bro don't give a damn.. Let them die you are two steps ahead of them as usual..
Negative people will speak always. Keep it up. Sing descent songs. Good.
Dah me broo nikiskilizaga hizi Qasda zako nakuwa nalia we unatisha kaka
Mola akuongoze urudi kama awali twapenda nasheed zako ila ibilisi kafanikiwa kukupotosha
Sioni haja ya kujudge mtu ilahali sote ni wapita nchia kila mtu apambane na hali yake kama nyimbo haijakufurahisha c lazima utoe kashfaaa ww pia unaingia dhambini heri kukaa kimya kama hujiskii kusifia
surely i really love this guy in the course of Allah en wat he did if it is indeed spreading Islam may Allah guide him mashaallah👌
Niceeeeeeee❤
Eee baba ingia wasafi tayari
asante kwa kuchukua time yako ku comment
Kama hampendi piteni mbali mwaiskizaaa ikawadara mtima kisha mkakoment upumbu...
Allah barek Allah adumishe kipaji chko inshallah
Nice Sana 😍
Mashallah brother nice work