Brother Nassir - Ntakuona Vipi (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @BrotherNassir
    @BrotherNassir  6 ปีที่แล้ว +219

    Salaams
    Thanks For Watching, Commenting, And Please Don't Forget Subacribe And To Share.
    #NtakuonaVipi
    #TeamLaazimTartiib
    .
    .
    You Can Follow Brother Nassir On His Official Instagram Account
    Through This Link
    instagram.com/brothernassirofficial?igshid=14g5e0ozq963x

    • @adanmohamud7425
      @adanmohamud7425 6 ปีที่แล้ว

      Always bro 🤗

    • @mahmoudraudha7357
      @mahmoudraudha7357 6 ปีที่แล้ว

      Brother Nassir nice mashaa allah

    • @goldenheart8738
      @goldenheart8738 6 ปีที่แล้ว

      Brother Nassir . MashaAllah,😍

    • @feyally9549
      @feyally9549 6 ปีที่แล้ว

      Subhana'Allah ulianza nasheed nzuri ila sasa imekuwa music

    • @fauziakassim323
      @fauziakassim323 6 ปีที่แล้ว

      Brother nassir mbna watubwaga na miziki mashallah sauti yako ni mziki tosha mungu kakujalia

  • @sabryrinho2046
    @sabryrinho2046 6 ปีที่แล้ว +84

    Brother umesahau aliwahi kukuasa sheikh juma ameir usijeingia ktk shubha za miziki ila naona umeghafilika! Allah akuongoze cc wengne tunapendelea zaidi nasheedz to bila ya miziki

    • @muhammadmbinda1623
      @muhammadmbinda1623 5 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/XcJQUIHPyB8/w-d-xo.html. Hii ni nasheed mpya inayoitwa tabassam .bofya hiyo link kuipata nasheed hiyo.usisahau kulike kushare na kusubscribe for more beautiful nasheeds . shukraan

    • @officialmrflavour..1386
      @officialmrflavour..1386 5 ปีที่แล้ว

      Hvyo Hvyo brother Muslim kila kitu ndanyy

    • @mudyzzube1204
      @mudyzzube1204 5 ปีที่แล้ว +1

      pale utapo amua kusafisha nafsi yako kwa mola wako bac hakuna litakalo shindikana llte kwako . bro balika

    • @husseinshamte7129
      @husseinshamte7129 5 ปีที่แล้ว +2

      Kumbe unazungumzia kupendelea na sisi tunapendelea hizi pia

  • @habyalmary8132
    @habyalmary8132 6 ปีที่แล้ว +90

    Kama tujuavyo instruments ni haram kulingana na qur'an ilivyotaja na Qur'an ni maneno ya Mweny ezi Mungu na wewe mwenyewe unajua zaidi hata kuliko mimi. Sikuingilii kwa maisha yako lakini twakumbushana. Itakua bora zaidi ukiimba bila kumtumia hizo instruments kama walivyo kua watu wazamani wakitoa utendi bila ya instruments na ulikua ukivutia sana.
    Kama utaona nime kukosea kwa maneno yangu haya nakuomba kwa dhati ya moyo wangu unisamehe sana.

    • @saidisalim7326
      @saidisalim7326 6 ปีที่แล้ว +9

      Nice comment, mabrouk broo kwa kumzindua

    • @mejaboy8058
      @mejaboy8058 6 ปีที่แล้ว +5

      Toa wewe kaswida ukipiga makofi😈😈

    • @habyalmary8132
      @habyalmary8132 6 ปีที่แล้ว +3

      @@saidisalim7326
      Samahani Saidi Salim, Mimi ni sister na sio bro. Shukran

    • @habyalmary8132
      @habyalmary8132 6 ปีที่แล้ว +10

      @@mejaboy8058 Mwenye ezi Mungu atakupa kauli njema ndugu Meja Boy. Kabla hujajibu fikiria unapo elekea na namna utakavyo jibu mbele ya haki.

    • @saidisalim7326
      @saidisalim7326 6 ปีที่แล้ว +9

      @@habyalmary8132 very sorry dada, asante sana unanua mimi nimshabik sana wa you tube naangalia kila aina ya video but sjawahi kukoment, but coment yako dada kwa brother nasir nimeipenda coz umetumia hikma na kauli mzur, mabrouk once again

  • @musaali2385
    @musaali2385 6 ปีที่แล้ว +2

    brother u the best maashaa'Allah usimsikilize mtu ww fanya mpaka umuone rasuli, thnx kwa qaswida nzuri mno.

  • @حليمهال-غ1ظ
    @حليمهال-غ1ظ 6 ปีที่แล้ว +1

    Hata mondi anamtajaga mungu. Ndoivo tumuachie Allah akuzindue. Watoto wangu huwa nawapatia simu wakisikiliza nashiid zako ila sasa KWAHERI!

  • @kareemmucky7257
    @kareemmucky7257 5 ปีที่แล้ว

    Kazi nzur Wanoona Hii Haifai wao hufanya Ambayo hayafai mbele za mungu Kbsaa Tumswifu mtumiiiii

  • @habibhamad5093
    @habibhamad5093 6 ปีที่แล้ว +33

    Brother Mwanzo nilikuwa nakukubaliiii sanaaa.....But kwa sasa Wallah mapenzi yale yanapungua taratibu...
    INSTRUMENTS na MIZIKI na MINANDA yote haraaamm....a
    Allah akuongozee yote uya2qche hayooo

    • @umma6654
      @umma6654 3 ปีที่แล้ว

      @@neemayauislamutv8547 ww una akili kweli

  • @SultanDean
    @SultanDean 6 ปีที่แล้ว +1

    Kongole Nassir. Wimbo mzuuuri tu. Usiwaskize mahasidi

  • @SalimAlly
    @SalimAlly 6 ปีที่แล้ว +4

    Nasheed ni nzury mashallah ila tatizo ina mziki jambo ambalo limeifanya ipungue utamu wake. Tuletee isio na muziki kwa video hii hii itakuwa tamu zaidi.

    • @alimusa9240
      @alimusa9240 6 ปีที่แล้ว

      Salim ally uko kimya dondosha vitu

    • @SalimAlly
      @SalimAlly 6 ปีที่แล้ว

      @@alimusa9240 Nimetoa mwezi mmoja uliopita kwenye channel ya noorzania na nategemea kutoa nyengine soon inshallah hebu cheki hii kwanza th-cam.com/video/k4o1tp2Vk2M/w-d-xo.html

    • @bahariyaiil5136
      @bahariyaiil5136 5 ปีที่แล้ว

      Mwambie yatampelek moton we Salim ally

  • @zahertanzanian8583
    @zahertanzanian8583 4 ปีที่แล้ว

    Jaman Tuepuke kutoa fatwa pasi na elimu ni hatari. Huona mmoja wenu unyasi kweny jicho la nduguye na Anasahau gogo kweny jicho lake kama ilivykuja ktk hadith...

  • @Lifewithmumti
    @Lifewithmumti 6 ปีที่แล้ว

    Mbona umeanza kuongeza mziki...wallah khalaas subhanallah .....Mungu atupe thabaat hadi mwisho

  • @amtafali6747
    @amtafali6747 5 ปีที่แล้ว

    Poozooo wa moyo wangu twabibu wa maradhi yanguu....... Yarabbi tuonyeshe tumwa amini amiiin yaa rabb.... Atuongoze njia ya hakki

  • @mira-gq3qg
    @mira-gq3qg 5 ปีที่แล้ว +2

    Tunakupenda kwa ajili ya Allah ndio maana ukifanya makosa tunakuambia

  • @hishamabrar3045
    @hishamabrar3045 5 ปีที่แล้ว

    Kusemwa ni mila hata kama huna ila brother naseer endelea na kazi yako achana na maneno ya watu hayaishi

  • @saidmohamed7276
    @saidmohamed7276 6 ปีที่แล้ว +3

    ماشاءاللہ ماشاءاللہ ﴿لیته خصنی برٸیة وجه زال عن کل من رآه الشقاء ﷺ﴾: بارك الله فیك یاابن أختی.

  • @fatomajuma1578
    @fatomajuma1578 5 ปีที่แล้ว

    Maashaallah hongera kwakweli nashed zako hujawahi kukosea kwanza zinautulivu fulan

  • @ahmadal_muhaajir8091
    @ahmadal_muhaajir8091 5 ปีที่แล้ว

    sote twatamani tuwe na yeye peponi na in sha Allah tuwe katika bishara ya mtumi alio mpa mbedwi kua أنت مع من أحببت twakutamani ya rasullahi na tukilia kwa ajili yako tuna haki
    brother nassir masha Allah mola akuzidishie nikatika qasida zenye maana makubwa na athari kubwa katika nyoyo za wanao mpenda mtumi Allah barik

  • @dijeiyaa8025
    @dijeiyaa8025 5 ปีที่แล้ว

    Nakuonea huruma kaka tunakoenda kuna Moto mkaliiii sanaaaa na ataingia kila aliekeuka Amri ya Mola watu nakukumbush tu kaka Acha kuimba Acha kuimba Acha kuimba Nakupenda Kk stak upoteee dunia ni njia tu Akhera ndokuna makaz usisahau ilo neno kk

  • @marwatawfiqabdalla16
    @marwatawfiqabdalla16 3 ปีที่แล้ว

    Tutamuona inshaallah kipenzi chetu rasula Allah Mohammad

  • @s.h.n5623
    @s.h.n5623 6 ปีที่แล้ว +8

    Assalamu Alaykum brother Nassir.
    Usitie msiziki brother, zinakua nyimbo tena co nasheed

  • @OmarAli-wr1ti
    @OmarAli-wr1ti 6 ปีที่แล้ว +10

    Nakumbuka Enzi zile Nikifikir Mauti wallah Hua naskiliza mpaka leo Nahisi Mawaidha tosha natokwa na Machoz lkn bro hizi Achana nazo Allah barik my brother in deen

    • @derevawabajaji7122
      @derevawabajaji7122 5 ปีที่แล้ว

      Music haram brother nasser

    • @neemayauislamutv8547
      @neemayauislamutv8547 5 ปีที่แล้ว

      Leila Munisi Hahahahaha😅😅
      Kinacho Kinachonichekesha
      ni kwamba
      Leo mawahabi mume kuwa wapole tena na kulalamika na kujitia mwatoa Nasaha kisa Alie fanya Shubuha hiyo ni muwahabi mwenzenu
      ila wange kuwa wale wengine
      Subhanallah!!
      Maneno machafu yote munge yamaliza na mwisho munge muingiza motoni
      Lakini leo yame mikuta nyie sasa
      mumekuwa wanyongeee
      Hahahahaha😅😅
      munalo hilo
      ila tuache maskhara NGOMA IMETULIA😅😅

    • @azzamaruzuku3052
      @azzamaruzuku3052 5 ปีที่แล้ว

      Brother nasir pls rud ktk nashid na achan na hiz ambaz waimba saiv nisameh kama nitakuw nimekuingilia ktk maamuz yako ya maish yako sorry

  • @lydiahneriss6183
    @lydiahneriss6183 6 ปีที่แล้ว +1

    Sioni ubaya na wimbo huu, system katumia kama waarabu middle East ,nimeipenda

  • @helmyabdallah7171
    @helmyabdallah7171 6 ปีที่แล้ว +2

    wallah unajuaa kaka munguu akulindee na akuongezeee

  • @omartv2138
    @omartv2138 6 ปีที่แล้ว +7

    Mm napenda sana bila ya miziki toa hyo bro nasir sw

  • @mwinshehenassib4853
    @mwinshehenassib4853 5 ปีที่แล้ว

    Ili umuone tumwa wako. Acha kuimba muziki ishia kwenye nasheed.
    Na ufanye ibada nyengine.
    Allah atakukutanisha na tumwa wako in sha Allah

  • @athamanathman6950
    @athamanathman6950 4 ปีที่แล้ว

    Brother umemaliza mungu akulinde na mahasidi wa duniani Ameen yarabi

  • @khadijabayagax7176
    @khadijabayagax7176 6 ปีที่แล้ว +6

    Duuuh yaan cku hz cjui umepatwa na nn ndg yangu, Nasheed ndo zinanoga na co kutumia beet za mzik.Kwa hv ss hauna tofaut za wasanii wa muzik. Allah akuongoze utoke huko uliko sasa

    • @neemayauislamutv8547
      @neemayauislamutv8547 5 ปีที่แล้ว

      Leila Munisi Hahahahaha😅😅
      Kinacho Kinachonichekesha
      ni kwamba
      Leo mawahabi mume kuwa wapole tena na kulalamika na kujitia mwatoa Nasaha kisa Alie fanya Shubuha hiyo ni muwahabi mwenzenu
      ila wange kuwa wale wengine
      Subhanallah!!
      Maneno machafu yote munge yamaliza na mwisho munge muingiza motoni
      Lakini leo yame mikuta nyie sasa
      mumekuwa wanyongeee
      Hahahahaha😅😅
      munalo hilo
      ila tuache maskhara NGOMA IMETULIA😅😅

  • @fatmaabaraka698
    @fatmaabaraka698 6 ปีที่แล้ว

    Hapana hapana hapana hyo ni bongo fleva kabisa yaan unazid kuharibu hyo siyo din subhanallah Allah atuongoze tunafanya mambo kuridhisha nafs zetu na siyo Allah,ulianzavzr

  • @zukhaannassor6149
    @zukhaannassor6149 5 ปีที่แล้ว

    Allah atuongoze kulipo kua sahihi in shaa Allah

  • @mustafaissa1921
    @mustafaissa1921 5 ปีที่แล้ว

    Ulichotunga Niki kitu safi sana siishiwi hamu ya kusikiliza Ila nafilkria juu ya biti kwa Allah na tumwa wetu Muhammad(s.a.w.w)li mustwafa.

  • @salumkarim69
    @salumkarim69 5 ปีที่แล้ว

    By zenjibar-bro mimi ni no1 miongoni mwa shabic wako lkn naona ndo yale yale naruka makojo nakuja angukia katika kinyesi ... ittaq llah

  • @japhariydhwahi2255
    @japhariydhwahi2255 5 ปีที่แล้ว

    its good twbibu w moyo wangu pozo la maradhi yangu doh hatareeee

  • @zobidaal4423
    @zobidaal4423 5 ปีที่แล้ว

    Nibora zaidi brother Nassir ukatutolea nasheed bilaya kuweka mziki nahisi itakuwa nibora zaid

  • @Sdeytocom1
    @Sdeytocom1 6 ปีที่แล้ว

    brother nassir nataka kufanya kazi na wewe vipi nianzeje

  • @mizbahabdallah7171
    @mizbahabdallah7171 6 ปีที่แล้ว +2

    Yarabbi akuhifadhi ndugu yangu naona wengi wana sema muziki twawaombea muone njia ya sawa

    • @neemayauislamutv8547
      @neemayauislamutv8547 5 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha😅😅
      Kinacho Kinachonichekesha
      ni kwamba
      Leo mawahabi mume kuwa wapole tena na kulalamika na kujitia mwatoa Nasaha kisa Alie fanya Shubuha hiyo ni muwahabi mwenzenu
      ila wange kuwa wale wengine
      Subhanallah!!
      Maneno machafu yote munge yamaliza na mwisho munge muingiza motoni
      Lakini leo yame mikuta nyie sasa
      mumekuwa wanyongeee
      Hahahahaha😅😅
      munalo hilo
      ila tuache maskhara NGOMA IMETULIA😅😅

  • @deed1134
    @deed1134 6 ปีที่แล้ว

    Khaaaa babangu mzee gharib nimekuona 😘😘😘😘😍😍😍😍💕💖💖🌹msalimie fauzia sana

  • @halimamariri5699
    @halimamariri5699 5 ปีที่แล้ว

    Wallah nakupenda kaka nasir lakini siku hizi unaimba nashid kama mziki ,,,nakupendanda kwa ajili ya Allah na nakuusia kaka nasir acha kutumia instrument zitakazokufanya nashid ionekane kama muzik wabilah tawfik ,,Allah atuambia kumbusha hakika yaukumbusho huwafaa waumin

  • @ommytamir2783
    @ommytamir2783 5 ปีที่แล้ว

    mashallah kazi nzuri sana brother N

  • @mwashambamakame4435
    @mwashambamakame4435 5 ปีที่แล้ว

    Kaka mambo yamebadilika, ala za mziki za nn tena, nakushaur na hili la kuimba uombe radh kwa allah

  • @swafaasalim9802
    @swafaasalim9802 6 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah! I really love my beloved prophet (s.a.w)
    Thank you brother Nassir may The Almighty bless you brother, you touched me with this song❤

  • @firdausmakupula9144
    @firdausmakupula9144 3 ปีที่แล้ว

    Allah atujaalie mwisho mwemaaaaaa...!!

  • @asiaa5196
    @asiaa5196 6 ปีที่แล้ว

    Ukisikia kufeli ndio huku tulipenda nasheed zako bila nanda izo na kwahali hii huyo mtume ataenda kuonwa na wachache sana

  • @Noname-gg6bx
    @Noname-gg6bx 6 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri ningependa kukushauri nyimbo itakayofuata umshirikishe Alikiba au Diamond itakuwa nzuri kuliko hii

    • @AlmaraamTv
      @AlmaraamTv 6 ปีที่แล้ว +1

      Usijali tutamwambia hata babako atashirikishwa pia. Sawa.

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 6 ปีที่แล้ว +1

    InshAllah heri sote na nabii Mohamed

  • @zubeiriddi4676
    @zubeiriddi4676 6 ปีที่แล้ว +4

    Wakwanza ku like na kucomment nice one brother nassir wapi likes zangu

  • @AminaAmina-jf6sm
    @AminaAmina-jf6sm 6 ปีที่แล้ว +5

    Eee jamaa munzidi sasa,alpomuimbia mkewe munsema ni mbosso ameimba hii qaswida pia mwamfananisha na mbosso.si vizuri hvo.mwamfananisha muislamu na kafiri?km hamuezi comment vizuri na vibaya musicomment.

    • @kassimsidiq8594
      @kassimsidiq8594 6 ปีที่แล้ว

      Nani alokwambia mbosso ni kafiri..Yule naye ni mwislam acha kufru jomba..Acha kosa lisemwe..

    • @Yaskaonfleekofficial
      @Yaskaonfleekofficial 6 ปีที่แล้ว +1

      😁😁😁😁napita tu

    • @AminaAmina-jf6sm
      @AminaAmina-jf6sm 6 ปีที่แล้ว

      Brother nasser ako tofauti sanaaa na waimbaji wengine so please.watu wengine wantumwa kuchunguza tu kinachoendelea nkt

  • @shaabansungura3205
    @shaabansungura3205 6 ปีที่แล้ว +3

    Kaka Qaswida yako mzur na inamafundusho mazuri ndanimo Masha alla lakn tatizo umetumia ala za music (biti na kinanda) na Kwa mafundsho ya din ytu hairuhusu ndugu (haram). Tafadhali kaka rudi kama zaman itakua inapendeza insha Alla🙏🙏

    • @neemayauislamutv8547
      @neemayauislamutv8547 5 ปีที่แล้ว

      Leila Munisi Hahahahaha😅😅
      Kinacho Kinachonichekesha
      ni kwamba
      Leo mawahabi mume kuwa wapole tena na kulalamika na kujitia mwatoa Nasaha kisa Alie fanya Shubuha hiyo ni muwahabi mwenzenu
      ila wange kuwa wale wengine
      Subhanallah!!
      Maneno machafu yote munge yamaliza na mwisho munge muingiza motoni
      Lakini leo yame mikuta nyie sasa
      mumekuwa wanyongeee
      Hahahahaha😅😅
      munalo hilo
      ila tuache maskhara NGOMA IMETULIA😅😅

  • @adbellar338
    @adbellar338 6 ปีที่แล้ว +2

    I'm Christian but your music brings peace to my soul. Asante sanaa kaka yangu.

  • @hawamohamed4281
    @hawamohamed4281 6 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah x3 Akhy Allah akujaalie kwakutupa Nashid nzuri

  • @zenakhamis4002
    @zenakhamis4002 3 ปีที่แล้ว +1

    Nmeipenda hii big up brother. N

  • @djuninhoramisos2453
    @djuninhoramisos2453 6 ปีที่แล้ว

    Nasheed izi si mziki faidikeni kwa mafunzo hata kwa hivyo asnte brother Nassir be blessed

  • @allythabit5175
    @allythabit5175 6 ปีที่แล้ว +14

    umeanzaaa vizurii sasaaa unazinguaa instrumental unawekaaa za nn unatuwekeaaaa mzikii sisss zkilizaaa peke ako

    • @hakikamuhammad8887
      @hakikamuhammad8887 6 ปีที่แล้ว +2

      Mimi na wanangu tulikuwa tunakupenda na nashiid zako za nyuma but now tushakuhama mpaka utaporejea ktk mstari nashiid umexigeuza mziki, hata km kuna maneno ya qur'aan utayasoma lkn umetia ala tutaendelea kuwa mbali na hilo kwani haki na baatwil vikikutana basi huwa kihukumu hiyo ni haraam
      Badilika kabla ya kujiliwa na mjumbe wa umaut
      Sote ni wa Allah na kwake marejeo then tukayakabidhishe yale tuliyoyachuma
      Itakuwaje mtu unarudi kwa Allah unaenda kumpa ripot ulikuaa unalingania kwa kupitia ala km kanisani

    • @nyebukahaji1405
      @nyebukahaji1405 5 ปีที่แล้ว

      ......

    • @neemayauislamutv8547
      @neemayauislamutv8547 5 ปีที่แล้ว

      usha skiza halafu wa mwambia askize peke yake
      Hahahahaha😅😅
      Kinacho Kinachonichekesha
      ni kwamba
      Leo mawahabi mume kuwa wapole tena na kulalamika na kujitia mwatoa Nasaha kisa Alie fanya Shubuha hiyo ni muwahabi mwenzenu
      ila wange kuwa wale wengine
      Subhanallah!!
      Maneno machafu yote munge yamaliza na mwisho munge muingiza motoni
      Lakini leo yame mikuta nyie sasa
      mumekuwa wanyongeee
      Hahahahaha😅😅
      munalo hilo
      ila tuache maskhara NGOMA IMETULIA😅😅

    • @mohamedbadru8005
      @mohamedbadru8005 5 ปีที่แล้ว

      Mpaka Leo sijafahamu definition ya neno Mziki

  • @ashasleman3816
    @ashasleman3816 6 ปีที่แล้ว +17

    yaaani ilikua napenda nashidi zako lkn unaharibu kwa 7bu ya music so rudi kwa allah unajiharibia brother aah dhabi kwel izo

    • @halimasaid4977
      @halimasaid4977 6 ปีที่แล้ว +1

      Sahihi ujue chumvi ikizid inaharibu unajua inakolea watapenda chakula kumbe watakiona kibaya

    • @muhammadmbinda1623
      @muhammadmbinda1623 5 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/XcJQUIHPyB8/w-d-xo.html. Hii ni nasheed mpya inayoitwa tabassam .bofya hiyo link kuipata nasheed hiyo.usisahau kulike kushare na kusubscribe for more beautiful nasheeds . shukraan

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 5 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah nakupenda kwa ajili ya Allah bro

  • @abuuuruwatally3902
    @abuuuruwatally3902 6 ปีที่แล้ว

    Sub han llah , kwa stail hii kweli hautamuona kabisa , hata nami ninae sikiliz lia nnamashaka kumuona..😢

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 6 ปีที่แล้ว +1

    As alykm bro tunapenda qaswda zako sana na unapo imba bila ya ala za music zinapendeza sana hii qaswda umeweka ala za music imekua haina tofauti na nyimbo zakina diamond inaondoa murua yakuskiliza inatia ibilisi na ni haram qaswda zako usiziweke kundi labongo flavour mfano qaswda uliyo imba amina kapewa imekua nzur na inahisia kali nainatia huzuni kutokana haina ala zamziki sisi hatuhitaji music tunahitaji voice tu bro

  • @mtupeace5126
    @mtupeace5126 6 ปีที่แล้ว

    nassir brother imba ukisema ufwate maneno ya watu kila kitu wamefanya ni bidaa tu

  • @luqmanmahir78
    @luqmanmahir78 6 ปีที่แล้ว

    Wllhy Cmalizi utamu wa hii nasheed ma favorite👌👌👌👌

  • @spaice995
    @spaice995 6 ปีที่แล้ว

    Binadamu sisi ni viumbe tusio na jema kabisa wala Shukran. Kila mtu naona anazungumzia uharamu wa hii nyimbo utazani wao wanaondika hizo comment ni malaika........... Live long brothers Nassir Allah ndo ajuae kipi haramu na kipi halali

  • @yusufyusuf7815
    @yusufyusuf7815 6 ปีที่แล้ว +3

    To every single one of you guys here with the negative comments all I’m going to say is don’t judge him y’all will have to leave that to “Allah”, if you are going to support him go ahead Support him and if you not going to support him then don’t there’s no need with the negative comments because they won’t harm him or anything, y’all are acting like none of you guys listen to music when it haram too all of us in this world do a lot of things that are not allowed in our Deen but only God can Judge us, so to all the haters y’all let him do whatever he wants to do it his life if you don’t like his work then beat it don’t come here with your negative comments because I’m sure they won’t stop him or anything, Nassir Great Job on this one 10/10 Ma Shaa Allah the wait was worth it My blood ❤️❤️ don’t let any one this people with hate put you down. #NTAKUONAVIPI 2019 all time favorite ❤️

    • @BrotherNassir
      @BrotherNassir  6 ปีที่แล้ว +1

      Thanks My Blood ❤✔✔✔

  • @mwanamisaomar346
    @mwanamisaomar346 6 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah nasheed yako ingekuwa vizuri zaidi bila mdundo.

  • @fathiyaalfalahi5062
    @fathiyaalfalahi5062 6 ปีที่แล้ว +2

    Bila ya music ingependeza zaidi 😇

  • @mohamedsalim1260
    @mohamedsalim1260 6 ปีที่แล้ว +4

    tukitaka kumuona Mtume na kua pamoja nae siku ya kiama na Firdaus ni tufuate Sunnah zake kikamilifu.

  • @hassankhalid2753
    @hassankhalid2753 6 ปีที่แล้ว

    MashaAllah comments zote hapo naona BN anawatupia kopa(love). I LIKE THAT. One one love Brother Nassir . Hakuna chuki.. #ikolove

  • @hajielmi7518
    @hajielmi7518 6 ปีที่แล้ว

    bora usome nasheed tu sio mziki kama ivyo
    au unataka kuingia katika dunia kidogo kidogo

  • @swafaasalim9802
    @swafaasalim9802 6 ปีที่แล้ว +1

    يا ملء روحي وهج حبل في دمي .....قبس يضيء سريرتي وزمام
    أنت الحبيب وأنت من أروي لنا ....حتى اناء قلوبنا الإسلام

  • @youngdino847
    @youngdino847 6 ปีที่แล้ว +3

    Bro nassir hawakueziii💯💯

  • @malinaalinassor6538
    @malinaalinassor6538 5 ปีที่แล้ว

    Brother sijakuzowea ukiwa unasoma hivi subhannah wallah kaz nnzur ila umeharibu mziki jamani iyo tarabu asili kabisa 😢😢

  • @zakiamohammed4488
    @zakiamohammed4488 ปีที่แล้ว +1

    Nitakuona vipi mashallah

  • @shaibuselemani2135
    @shaibuselemani2135 5 ปีที่แล้ว

    Hiyo ni miziki halafu anatajwa mungu hivi hujui kuwa hayo mabiti hayafai

    • @BrotherNassir
      @BrotherNassir  5 ปีที่แล้ว

      asante kwa kuchukua mda wako ku comment

  • @najmaalzaabi8385
    @najmaalzaabi8385 5 ปีที่แล้ว

    Sijui umepatwa na nn angalia hata video zako za sasa zinaandikwa music video sio nasheed tena daaaah pole mm umeniboa

  • @ustaadhabuakthamjamallali7068
    @ustaadhabuakthamjamallali7068 6 ปีที่แล้ว +2

    MashaLlah kaka next tym isiwe na ngoma ingevutia sana

  • @rahmahabibu1432
    @rahmahabibu1432 5 ปีที่แล้ว

    Very nice bro , ila ili kumuona rasuulallah , muhim kudumu ktika ibada ,na kumswalia angalau Mara 1000 kilasiku

  • @naimaali6452
    @naimaali6452 6 ปีที่แล้ว +2

    Mm binafsi sijapenda kuwa seiv.unaweka mziki.kaka

  • @salimhabib2177
    @salimhabib2177 6 ปีที่แล้ว +1

    A.s.alykum bro nasser jitahid kuepukana namiziki ishalllah

  • @biommy9472
    @biommy9472 6 ปีที่แล้ว

    Ma shaa llah tabbaraka llah..Ameen ya Rabb Allah atuongoze swiratul mustaqim tuqawe wote peponi Bihdhinllah

  • @salimmwendo5998
    @salimmwendo5998 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akuongoze...maana wendako ..mwisho utaimba colabo na lava lava...madilika kabla mauti hayaja kufika

  • @fadhilimuhammad1556
    @fadhilimuhammad1556 6 ปีที่แล้ว +1

    Hii mziki sasa itaq Allah iwe ndugu yangu unapotea,

  • @saidmohamed7276
    @saidmohamed7276 6 ปีที่แล้ว +86

    Wangapi hawamalizi utamu wakuangalia kama mm gonga like hapo👇

    • @thobiaskayange9302
      @thobiaskayange9302 6 ปีที่แล้ว

      Mnao ponda hivi mmeona vijana wa America waislamu wanavyo angaika kufikishaa Daahawa watu waijuee dini duniaa inahitaji ubunifu sana mboso mkata mauno msimfananishe na NANC

    • @alimusa9240
      @alimusa9240 6 ปีที่แล้ว +2

      Utafaidika na nini tukikupa like hebu acha upuzi

    • @muhammadmbinda1623
      @muhammadmbinda1623 5 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/XcJQUIHPyB8/w-d-xo.html. Hii ni nasheed mpya inayoitwa tabassam .bofya hiyo link kuipata nasheed hiyo.usisahau kulike kushare na kusubscribe for more beautiful nasheeds . shukraan

  • @hamidabduhamid9158
    @hamidabduhamid9158 6 ปีที่แล้ว

    Santa Santa .......Allahuma swalli aleihi wasalim

  • @maxamedqays1631
    @maxamedqays1631 6 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllh
    Bro wangu sonka mpele

  • @سالمهزنجبار
    @سالمهزنجبار 5 ปีที่แล้ว +1

    Shukran kwa maneno mazuri ila vinanda ondoa sauti yako yatosha

  • @thobiaskayange9302
    @thobiaskayange9302 6 ปีที่แล้ว +2

    Mmmmmmh umeuwa kizaziii

  • @mohamedkhamis5443
    @mohamedkhamis5443 6 ปีที่แล้ว +13

    When diamond or Alikiba drops a songs they enjoy and says ' watakoma wao this time' .
    But when Brother Nassir drops it's all about this is haram and this is halal.
    Brother Nassir big up and keep doing what your doing coz it's awesome.
    ONE LOVE.

    • @tibyaantv2253
      @tibyaantv2253 6 ปีที่แล้ว +1

      💪💪💪💪💪💪💪💪💪

    • @yumnacute8079
      @yumnacute8079 6 ปีที่แล้ว

      Hapa umeongea kaka km ni baba haya watu wapenda kukashifu qaswad tu mbn mziki hamna mapovu

    • @abdallahmzimbiri7659
      @abdallahmzimbiri7659 6 ปีที่แล้ว

      Nam APA naunga mkono manake hawa hawa akiachia ngma mond ni kumpa likes zote hawa naona wanafki tuu

    • @zainabumakengo6756
      @zainabumakengo6756 6 ปีที่แล้ว +2

      @@abdallahmzimbiri7659 ubaya sio kuimba huo music anaoimba bali ni vyazi alilojivika kuwa ni nasheed wakati sio nasheeed. Haram itabaki kuwa haramutu hatakama walowengi ndio wanaifanya na halali itabaki kuwa halalitu hatakama wachache ndio wanaifanya. na sikuzote rafiki akuambiaye ukweli unaouma ndio rafiki wakweli tunampenda sana Brother Nasri lakin akikosea pia tunamueleza usitake tumsifu2 wakati tunaona anapoelekea anapotea.

    • @mohamedsalim1260
      @mohamedsalim1260 6 ปีที่แล้ว +1

      Hao kina Diamond wamepotoka tayari na huyu nae Shaytwan anafanya haraam ipendeze kwenye macho yake na wewe na waislamu wenzetu wengine bado wanashangilia kujisahau kwake! Allah atuongoze

  • @islamjarwan2895
    @islamjarwan2895 6 ปีที่แล้ว +10

    asalam alaykum bro hii sio qasida hii ni nyimbo kama daimond nasaha yangu kwako rudi kwenye mstari na usiwasikilize wanao kusifia kwa hili wanataka uangamie.shukran.

    • @MuhammadAwadh-b7y
      @MuhammadAwadh-b7y 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hizi sio nyimbo zinaitwa naashed

  • @farajaothman7240
    @farajaothman7240 6 ปีที่แล้ว +1

    Mbona na muziki tena ndigu yetu

  • @batulibakari8104
    @batulibakari8104 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah napenda mashairi yako kaza buti maneno hayeshi kila mwanadamu na amali zake

  • @fatmahmwinyi4061
    @fatmahmwinyi4061 6 ปีที่แล้ว

    MashaAllah nasheed nzurii....imenitoa machoz haswa mabrook al habib 😭😭😭😭

    • @fatmahmwinyi4061
      @fatmahmwinyi4061 6 ปีที่แล้ว

      @@mustaphahassan589 w,alykm slm inshaAllah biidhinllah habib

  • @amandakayitesi4447
    @amandakayitesi4447 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah.....Allah akuongezee

  • @iptysamadam4354
    @iptysamadam4354 6 ปีที่แล้ว +6

    MashaAllah da qaswida is very nyc👍keep it up ❤

  • @salmambarak7265
    @salmambarak7265 5 ปีที่แล้ว

    In Shaa Allah utakua pamoja nae tumwa 🙌

  • @ahmeridbinsalid996
    @ahmeridbinsalid996 6 ปีที่แล้ว +4

    Wazenguwaaa bwanaa

  • @shabanhamad6565
    @shabanhamad6565 6 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri hongera..

  • @eshacgirl3207
    @eshacgirl3207 5 ปีที่แล้ว

    all songs are mashallah😚 napendelea kwa san song zako na unavyojisitir

  • @blankokeppa9163
    @blankokeppa9163 6 ปีที่แล้ว +2

    dahhh sas huko unapo kwenda sipo nassir

  • @jamalj.mulley3994
    @jamalj.mulley3994 6 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah this is an International Work Big Up To Everyone who participated in This.....Cc...Brother Nassir,PROMODE And SHIRKOMEDIA

  • @mammbwana1285
    @mammbwana1285 6 ปีที่แล้ว +7

    Brother unavuk mipka sasa imba nyimb tujue hii sio nashid jmnii

  • @binshebimotv2157
    @binshebimotv2157 5 ปีที่แล้ว +2

    🙄🙄🙏 mziki ni haramu mashairi ni halali kwa kumsifu tumwa ,toa ala na flavour za mziki ujumbe utafika kwa uwezo wa Allah inshaallah

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 6 ปีที่แล้ว +1

    Brother Nasir tafadhal soma comments na ujipime. Haiwezekani wengi wakafanana kwa mtazamo katika kukuonya matumizi ya "Ala" za muziki. Na kama umetumia Ala hizo ukijua kuwa wengi watakukanya basi ALLAH akuongoze

    • @kibongobongo4608
      @kibongobongo4608 6 ปีที่แล้ว

      👆 Point

    • @AlmaraamTv
      @AlmaraamTv 6 ปีที่แล้ว

      Acha uongo , comments za wengi wamependa, wachache ndio mahasidi, pambana na hali yako, brother nassir lete vitu bro

    • @kibongobongo4608
      @kibongobongo4608 6 ปีที่แล้ว

      @@AlmaraamTv Labda kakosea katika mahesabu ya comments lakini ukirudi katika sheria ya Dini kwa asilimia 💯 yupo sahihi na ndio muhimu kwa kaka yetu na kwetu sote. Na huu ndio Uisilamu kukatazana mabaya na kukumbushana yaliyo mema ambayo yanatuongoza katika njia iliyo sahihi ili kuingia Peponi na ndiyo kila mtu anaihitajia. Sasa usikasirike kwa kukumbushwa ndugi yetu kwani hata kina Diamond na Ali Kiba na waisilamu wengine kama Hao wanastahili kuombewa ili waondokane na kazi walioichagua. Anaekuambia yenye ukweli na yenye faida basi jua mtu huyo ni mwenye mapenzi ya dhati na ndugu yake na hakuwa mchoyo wa kumnasihi. Tusiwe wachoyo wa kuongozana Peponi kuliko kumuacha ndugu yako anapotea alafu unamsapoti au kumnyamazia hata Allah hapendi watu wachoyo. Dini ni Nasaha hivo maneno mazuri ni bora zaidi na yananguvu kuliko Kibri

  • @SK-gj3jb
    @SK-gj3jb 6 ปีที่แล้ว +1

    Yaani Mzee Gharib Khamis kafanyafanya mpaka akaingia kwa hii Video. 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁tena kama special appearance 😁😁😁😁 sijui next Nashid ni ww utaitoa.