SIMBA WAITISHA MKUTANO GHAFLA/ GB64 AONGOZA VITA ZA NJAMA KWA MO DEWJ

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 99

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 6 หลายเดือนก่อน +5

    Piga kelele Kwa GB 64 wake weuweeeeeee ❤❤❤ Simba nguvu moja 🦁

  • @pascofp145
    @pascofp145 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo dada anajua anachongea huyi GB anaongea mpaka pumba

  • @huseinbusaba5064
    @huseinbusaba5064 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kaka GB 64 mi binafsi ningependa siku moja uwe mwenyekiti wa Simba nitafurahi sana na naamini tutajenga Simba iliyokua imara🦁🦁🦁💪💪💪

  • @Kimjongun4996
    @Kimjongun4996 6 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana bro hii nchi yetu mgogoro tu Kwa upande wa timu😂😂😂😂

  • @philoteuslwena3082
    @philoteuslwena3082 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kabisa
    Mie namfuata sana dr.mo na Aggy

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 6 หลายเดือนก่อน +2

    GB unaakili sana umeongea points

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 6 หลายเดือนก่อน +4

    Gb 2000 Asante Sana sisi vijana tunataka speed 2000 wao wapo 🔟 ndio shida hii

  • @SamuMushi-gk7jy
    @SamuMushi-gk7jy 6 หลายเดือนก่อน

    Gb 80 unatufaa San 🎉🎉

  • @BestMwambembe
    @BestMwambembe 6 หลายเดือนก่อน

    Mi best mwambembe toka kyela tz nakuelewa sanaa bro unaongea fact kabisa unaujua mpila

    • @BestMwambembe
      @BestMwambembe 6 หลายเดือนก่อน

      Uyo mangungu ni mhuni alimleta manzock ili achaguliwe anatakiwa ajiuzulu uongozi umemshinda astake kufungiafungia tu wanachama timu Yao inawaumaa

  • @BonaventuraNgowi-ln8bk
    @BonaventuraNgowi-ln8bk 6 หลายเดือนก่อน

    Viongoziwetu wanazingua waondiiowasimamishwe sio dacttor Mo kwanzaihawa Viongozi ndio wanaokula hela ya Simba bora waondoke hao

  • @jaffjeff6912
    @jaffjeff6912 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mamaa napenda sana unavoongea umetulia no wasiwasi

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mangungu hakufaa kuwa kiongozi alifaa kua mgambo

    • @aziziyunusu9945
      @aziziyunusu9945 6 หลายเดือนก่อน

      njaa ndo zinawasumbua

  • @SamsonTanzania
    @SamsonTanzania 6 หลายเดือนก่อน

    Wasomi wapo simba tu 🦁👏👏👏👍👍

  • @georgedeo3726
    @georgedeo3726 6 หลายเดือนก่อน +2

    Niatar sana simba mangungu achie ngazitu

  • @PaulMkwama
    @PaulMkwama 6 หลายเดือนก่อน

    Kweli viongoz wanazingua sana tena sanaaaa yan kwann bos anakuwaivyo anaona viongoz wanazingua sana tena sana

  • @alitante4279
    @alitante4279 6 หลายเดือนก่อน +3

    Patachimbikaa mangungu utaondoka hatutak viongz viburi wasojielewa

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 6 หลายเดือนก่อน

    yaa ni kweli mbona asilimia zinapigiwa kelele ni za Mo tu mbona 51 za wanachama hazisemwi????halafu waandishi wetu ninyi hebu kuweni wachunguzi wa mambo na muulize maswali ya maana..msimezwe na ngawira

  • @kingwerason7319
    @kingwerason7319 6 หลายเดือนก่อน

    hyu jma anaongea fact aseee

  • @SylivesterKilunga
    @SylivesterKilunga 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika inauma sana kwnini Dr mo kwanini Agg mangungu tatizo

  • @IsayaKamomonga
    @IsayaKamomonga 6 หลายเดือนก่อน +1

    Viongozi wetu wanatuonea sana. Kikubwa kama wamechoka watupishe, Gb64 tuko nyuma yako.

  • @salymkitumbika8644
    @salymkitumbika8644 6 หลายเดือนก่อน

    Gb64 unatema point tiririka kiswahili2 kakaa

  • @makamelila
    @makamelila 6 หลายเดือนก่อน

    Yani kweli kaka jitahidi tutafika tu ila lazima biongozi wabadilike sihivo ubingwa mwiko

  • @davidjohn540
    @davidjohn540 6 หลายเดือนก่อน +1

    SIMBA NGUVU MOJA

  • @PaulMkwama
    @PaulMkwama 6 หลายเดือนก่อน

    Gb64 umeongea jambo jema sana lakin mangungu ang'ang'ania sana aisee sijawaikuona mtu kama uyo

  • @freemonhenry3448
    @freemonhenry3448 6 หลายเดือนก่อน

    Ww GB64 acha kuongea kwa uwoga. Huyo mama ndio anajua kuongea. Acha kuuma uma vitu aisee. Tunawategemea kuisaidia Simba. Mangungu ni tatizo kubwa Simba, na asipotoka/ondoka tutapata tabu sana wanasimba.

  • @hawahussein137
    @hawahussein137 6 หลายเดือนก่อน

    MANGUNGU ANATUMIA UBABE SANA KAMA TIMU YA BABA AKE

  • @erasmusleonidas6729
    @erasmusleonidas6729 6 หลายเดือนก่อน

    Gb wewe ni noma

  • @sabrusule3714
    @sabrusule3714 6 หลายเดือนก่อน

    Mama achukuwe nafasi uchaguzi ujao

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 6 หลายเดือนก่อน

    Tuko pamoja mpaka kieleweke ,kwanini usitake maridhiano kama si ndo kutaka migogoro zaidi . MANGUNGU KUBALI YAISHE.WEWE NI KA PIRITONI TU KATIKA SIMBA KWANINI UNATAKA KUTUUA ?

  • @IsayaKamomonga
    @IsayaKamomonga 6 หลายเดือนก่อน

    Sio wachukuliwe wawili tu, Dr. Mo na Aggy simba. Chukua wanachama wote Tanzania nzima. Mna mambo ya ajabu kama mashetani, tokaaaa atuwataki.

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 6 หลายเดือนก่อน

    Moo hana shida kabisa nakubali

  • @cosfubile7859
    @cosfubile7859 6 หลายเดือนก่อน

    Simba kuna vichwa bado mim hapo ahaha😂

  • @Kimjongun4996
    @Kimjongun4996 6 หลายเดือนก่อน

    Sio Dr mo anatoa porojo zisizo kuwa na mshikamano.

  • @Mufti-g3x
    @Mufti-g3x 6 หลายเดือนก่อน

    Spidi iyo iyo mpaka kibabu kituachie timu yetu vyenginevyo tusende Simba day Wala mechi mpaka kieleweke Kasi iyo iyo mamluki watupishe

  • @AbduRahim-jf7uk
    @AbduRahim-jf7uk 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mangungu aondokeee

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 6 หลายเดือนก่อน +3

    SIMBA NGUVU MOJA 🎉🎉🎉❤❤❤❤😢😢😢

  • @dalalfundikila507
    @dalalfundikila507 6 หลายเดือนก่อน +1

    Vitu vya msingi kweli kabisa hatuna ligi hapo ?

  • @Kimjongun4996
    @Kimjongun4996 6 หลายเดือนก่อน

    Km watu wangekuwa wanajitambuwa hizi timu mbili zingefika mbali sana,kwani ukiangalia mama yetu mpendea anajitoa Kwa kutoa buku tano,buku Kumi ila Kuna wahuni wanataka nao wakapige hapo hapo hawamsaidii mama kwakweli.

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 6 หลายเดือนก่อน

    Wazeee hao toa Mangungu kitu gani hataki kukosolewa yeye malaika na Try again wapishee wao si waanzilishi wa Simba ni wakuja tu watoke hela za kuhujum zinawapa jeuri ya kuwaweka ndani wana chama wanaoongea ukwerii Mungu awashushie kipigo tu cha magonjwa yasiyo tibuka haoooooo

  • @KingKing-fh5pv
    @KingKing-fh5pv 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hasa Mangungu na Viumbe vyake Mbona Wagumu Kama Kupe na ng'ombe

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 6 หลายเดือนก่อน +1

    MAVUZI TUMEYAFUGA WENYEWE KIJEMBE SENTI 50 SOMENI ALBADIRI WAWE MACHIZI MDA WA MIEZI 6 MAFISADI WA NJE NA WANDANI YA UONGOZI ALBADIRI INGE WAUMBUWA SHENZISTAN HAO

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wape vidongevao wahandishi wa habari GB 😂😂😂😂wanakazi yakuhoji migogoro ya simba

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh 6 หลายเดือนก่อน

    Viongoz wa simba nilazima wajue kuwa wakat wa upigaj holela ulishapita sasahivi kila mtanzania kasoma na anaejua sheria, na anajua hapa pako sawa, na hapo hapako sawa. Viongoz acheni hizo hakiri za kizee.

  • @holyiwee7211
    @holyiwee7211 6 หลายเดือนก่อน

    GB UNA KITU, UTAFIKA MBALI

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 6 หลายเดือนก่อน

    Gb64 hao wawekeni ndani kolokoloni wahujum mali za Team ya Simba wataperi tu hao kwani Moodewji haoni yote hayo kakaa kmyaaaa bomoa bomoa hao hawafaiii wapo kula pesa ya Simba tu

  • @msurimtenukila6745
    @msurimtenukila6745 6 หลายเดือนก่อน

    Safi sana Gb 64 😂😂😂

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 6 หลายเดือนก่อน

    GB64 WAAMBIE WENZIO WOTE WA TANZANIA KUANZIA HAPO MSITOKEE UWANJANI,RUDISHENI KADI KWA UMOJA WENU.VIONGOZI.UWANJANI MSIVAE JEZI ZAO.

  • @Happypeter-r9q
    @Happypeter-r9q 6 หลายเดือนก่อน

    Gb sema baba sisi tunaumia kama kweli Simba wameichoka watuachie sisi wenyewe

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh 6 หลายเดือนก่อน

    Waachie ngazi cctunataka matokeo mapungufu yapo hakuna timu isiyo na mapungufu ila matokeo mazuri ndio yanayoficha matatizo

  • @ArabiAyubu
    @ArabiAyubu 6 หลายเดือนก่อน

    Mpaka majimaji yetu imetajwa

  • @YussufHamad-y1m
    @YussufHamad-y1m 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pigeni kazi mpaka waondeke

  • @AllyIssa-k5k
    @AllyIssa-k5k 6 หลายเดือนก่อน

    Yaaan gb ni jeshi la mtu mmoja, kina muaramo wapo wapi? kisugu mbona aonekani? wanaogopa kukosoa watanyimwa tiketi za Bure wamejaa uchawa tu.

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi nilishangaa kwamba wanachama hawawezi kuitishs mkutano wa dharura. Mkutano wa dharura ni haki ya wanachama. Uongozi uliosimikwa na wanachama iwapo unalegalega wanachams wanaruhusiwa kuuomba uongozi kuitisha Mkutano Mkuu wakikaidi wanachama wanahaki ya kuitisha mkutano mkuu wa dharura. Katika huo mkutano wataujadili uongozi na ikibidi watapiga kura ya kutokuwa na imani na uongozi.

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 6 หลายเดือนก่อน

    Hapa watafuta umaarufu uskute ngungu hana hata makosa

    • @SophiaJumbee
      @SophiaJumbee 6 หลายเดือนก่อน

      Msenge wewe

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani uongozi wa simba kama ccm tu ukisifia hata kama kitu hakina ukweli shwari tu ila ukikosoa sasa hizo fitna utakazo fanyiwa ni siri nzito

  • @IsaacJoseph-kj2mp
    @IsaacJoseph-kj2mp 6 หลายเดือนก่อน

    Ni aibu mtu amevumiliwa miaka mitatu team haijapata kombelolote alafu anapata ujasir wa kufungia watu wanaoipambania team

  • @ArafaMkomwele-vi2hp
    @ArafaMkomwele-vi2hp 6 หลายเดือนก่อน

    Tunaka mkutano mkuu huo kabisa huyo mangungu atafute pa kwenda

  • @ShuriAndrea
    @ShuriAndrea 6 หลายเดือนก่อน

    Punguzen maneno moohanapesa

  • @ramadhanichaurembokahunge
    @ramadhanichaurembokahunge 6 หลายเดือนก่อน

    Kaka hapo Sasa nimekuelewa nakunga mkono aiwezekani doct mo kufingiwa na dada agi tuandamana icnhi Zima mangungu atupishe

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kiufup hata simba imefadhiliwa na GSM ndo maana tuliwapiga 7_2 na tukachukua point 6 alf mbana bakhresa ni mwanachama halali kabisa wa simba mbna hamlisemag ilo au mnadhani ni sri yenu??

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 6 หลายเดือนก่อน

      Ushoga nao ni k

  • @hassanomary2950
    @hassanomary2950 6 หลายเดือนก่อน

    Mangungu anaficha uchafu mwingi sana hastahili kua kiongozi wa Simba sc kabisa 😮

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 6 หลายเดือนก่อน

    Unawabembeleza UONGOZI?

  • @Kimjongun4996
    @Kimjongun4996 6 หลายเดือนก่อน

    Kweli wanawaza kupiga hela tu hao gb 64.

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh 6 หลายเดือนก่อน

    Mangungu alitakiwa aendelee kuwa kiongozi wa ccm maana ccm hukatiwi kuikosoa?

  • @philoteuslwena3082
    @philoteuslwena3082 6 หลายเดือนก่อน

    Niko Songea nami nataka nije ktk mkutano tarehe plz

  • @franccoz94
    @franccoz94 6 หลายเดือนก่อน +1

    MANGUNGU N CHAWAAA WA YANGAA BILA KUMTOA MADARAKANI SISI WANASIMBA HATUTANUNUA JEZI NA UWANJAN HATUENDI, MPAKA MANGUNGU NA GENGE LAKE WAONDOKE

    • @NeemaAkyoo-s4s
      @NeemaAkyoo-s4s 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hiv waliompigia kura mangungu ni wanachama wa yanga au wa simba na kama ni wanachama wa simba kwanin mlimchagua?? Yaan mmechagua wenyewe kisa kaboronga et ni mwanayanga

    • @selemohd9060
      @selemohd9060 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@NeemaAkyoo-s4s yaani hata mimi najiuliza hivo. Yaani Hao ni watu waajabu sana na walifurahi alipochaguliwa

    • @zuhurajabiri3900
      @zuhurajabiri3900 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@NeemaAkyoo-s4s
      Maokoto

    • @alfredamos6068
      @alfredamos6068 6 หลายเดือนก่อน

      👍👍👍

  • @dalalfundikila507
    @dalalfundikila507 6 หลายเดือนก่อน +1

    GSM anahalibu ligi tu

  • @jaffjeff6912
    @jaffjeff6912 6 หลายเดือนก่อน

    Shabani wa tawi la Mpira Pesa anasema nyie wahuni tu na huo mkutano ni wakihuni 🤣🤣🤣

    • @JonathanZakalia
      @JonathanZakalia 6 หลายเดือนก่อน

      Kumanina zake Asaiv itafamkaaaaaa

  • @LorynNila
    @LorynNila 6 หลายเดือนก่อน

    Gb na mo wawemo kwenye bodi

  • @Kimjongun4996
    @Kimjongun4996 6 หลายเดือนก่อน

    Wambie hao gb 64 hawajui tu

  • @gerowadamwandika669
    @gerowadamwandika669 6 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kulala Hadi Mangungu atokeeeeee kwenda Mangungu Hatukutaki
    Unatutawala kidikteta Nduli Amini alikuwa babako. Shame on you Mangungu toka

  • @JohaivenMzee-vo1dl
    @JohaivenMzee-vo1dl 6 หลายเดือนก่อน

    MUNGU AWATILIE WEPESI VIJANA WAZALENDO...

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mo ni tajir kweli ila kwa masimango aliyokuwa nayo sasa dah!! Kwa mwaka lazma atoe kauli tata hata mara 3

    • @edwardmizambwa237
      @edwardmizambwa237 6 หลายเดือนก่อน

      Mo hana masimango. Isipokua anaongea kwa hasira. Wakati wote akitoa pesa za usajiri, hawa viongozi anaziga panga kwanza, ( na 10%) zilizo baki ndizo wanatafutia wachezaji. Na matokeo yake ni kuokoteza wachezaji, Mo anajua yote hayo.

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 6 หลายเดือนก่อน

      Anapata Hasara faida hakuna

  • @theotimvalerian455
    @theotimvalerian455 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli mtupu

    • @LorynNila
      @LorynNila 6 หลายเดือนก่อน

      No retreat no surrender movement until impact

  • @bonifacelugo2941
    @bonifacelugo2941 6 หลายเดือนก่อน

    Gb unabalaa zito

  • @EddySempay-qf1on
    @EddySempay-qf1on 6 หลายเดือนก่อน

    Mangungu atoke

  • @saimonntani6831
    @saimonntani6831 6 หลายเดือนก่อน

    MANGUNGU BILA KUONDOKA SIMBA,YANGA WATAKUWA MABINGWA MARA 10 MFULULIZO.SABABU HUYO SIO MTU WASIMBA HUYO KAWEKWA ILI SIMBA IKOSE UBINGWA NDIYO MAANA WANAPEWA PESA ZAUSAJILI WANATULETEA WACHEZAJI WAMCHONGO.HUYO MANGUNGU MSENGE SANA HUYO.ALAFU MAAHABIKI WASIMBA MNACHEKA NANYANI MTAAMBULIA MABUWA.ASIPOONDOKA KIPINDIHIKI,MJUWE UBINGWA TUSAHAU.HATA TUSAJILI NAMNAGANI HUYO NDIYO KIRUSI. INABIDI AONDOKE MAPEMASANA HATA IKIBIDI KWA MAPANGA.

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 6 หลายเดือนก่อน

      Simmemuweka nyie wenyewe kwa kumchagua unasemaje kawekwa

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 6 หลายเดือนก่อน

    Try again nae atokee tu bado anafanya nini? Kahujum katosha waje wengjneeee

    • @kakore_jr
      @kakore_jr 6 หลายเดือนก่อน

      Hamna try again Ni mwanamichezo Sana Anatakiwa hata awe CEO

  • @themiracles1
    @themiracles1 6 หลายเดือนก่อน

    Hii timusiyo ys bibi yako ondoka nenda kwenye timu yako mizigo yako na matatizo yako na uchafu wako kashushie yanga faki yu

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 6 หลายเดือนก่อน

    KOLONGADA, achaneni na Yanga, nyie akili yenu ni ndogo sana, mnataka mkiingia miaka miwili na wenzenu waingie miwili? Mbona timu imeuzwa na Hela WANAKULA wachache na mamburula mnang'aa sharubu tu? Yanga hatujauza timu, Mbumbumbu nyie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 endeleeni kulia walevi nyieeee

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 6 หลายเดือนก่อน

      Ngoja inyeshe tuone panapovuja

  • @JacksonMartin-pb2vq
    @JacksonMartin-pb2vq 6 หลายเดือนก่อน

    Kuna muda unaongea pumba wewe yani Yanga wanataka GSM atoke wamchukue Mo sio mshabiki wa Yanga ila kwa hilo hapana brother

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt 6 หลายเดือนก่อน

    Serikali swekeni ndani huyu mlevi kabla hajaleta tabu kwa umma manake mikutano kama hii ni uvunjaji amani.
    Huyu anapesa gani ya kuchangia yeye mwenyewe omba omba

  • @aziziyunusu9945
    @aziziyunusu9945 6 หลายเดือนก่อน

    fateni utalatibu mnataka kutualibia tim kuna waongeaji wa kilabu nyinyi mnatuongelea kama nani?