Imekuuma nini chama aliikuta simba katoka watakuja wengine zaidi yake mtoto akifa kwahiyo ndo unakata tamaa kulala mkeo eti ukimzaa na huyo atakufa jamani amkeni zama za kukaa na mchezaji miaka mingi ni tatizo kubwa sana yanga wenyewe hawawezi kumpa chama miaka mingi hapo ikizidi ni miwili hatozidi hapo huyo chimba anaenda kusitafia soka lake yanga kashachoka huyo
Msimu ujao MAKOLO mkiburuzwa, huyu huyu ataanza kulaumu viongozi walimuacha Chama...msipende kuweka nadhiri msizoweza kutimiza, maneno meeengi pa pa pa pa pa , bwege wewe
Huyu jamaa hata sijui kwanini anapewa mike kuhojiwa 😂😂😂😂 huwa hajitambui kabisa yupo kama king'amuzi vile😂😂😂 si alisema Yanga haina uwezo kumsajili Yanga
Kushindwa kubaya sasa furaha utaipata wapi? Wakati kipenzi cha makolo leo chama anaitwa gugu hebu mkumbusheni swali kati ya chama na pakome nani zaidi.
Nyie waandish mtakuja kuuwa watu sio busara kumuita huyu jama na kuanza kumuhoji maswala ya simba wakati mnajua fika ana majonzi, mlitakiwa mumpe muda wa kupumzika badala yake mngempa kitanda apumzike kwa siku ya leo than baada ya week kupita ndio mumuhoji hicho kinacho endelea hiv sasa.
Sawa Gugu linaenda kufanya kazi mjiandae kisaikolojia
Mm naona sawa tu chama kwenda yanga make anatuletea mauza uza
Kbs aondoke bhn
Mungu ni mwema sana acha Chama atupishe kwanza
Tupo na Mkwala hao wengine ni Mangugu
Si ulisema utahama Kwa MAKOLO na kwenda Azam ikiwa Chama atahamia YANGA..🤣🤣🤣
Kabisa huyu jamaa alikuwa anaongea utadhani hana kichwa 😂
Vichwa vya 🐸🐸🐸👈🏼😂😂😅😅
SIYO KWELIIII!
WEWE ULISEMA CHAMA AKIENDA YANGA UTAACHA KUSHABIKIA MPIRA, LEO UNAONGEA NINI TENA
mimi ni yanga laikini nakubali GB64 anajua mpira na ana facts nzuri, anapaswa kupewa nafasi kubwa katika matawi na influence.
Mm kwangu naona sawa tu.
Nenda chama hatukudai,asante sana mwamba wa lusaka
duh huyu jamaa mbona leo kawa mpole sanaaaaaa...?
Jamaa ana akili sn apewe nafasi na wamsikiluze mara kwa mara anaongea point naomba kuwasilisha
Tunajifariji na
hatujajipanga nikama tunaanza kutengeneza Timu....hivi tunaweza fika malengo tuliyojipangia...au ndiyo ule msemo sizitaki hizi mbichi
Imekuuma nini chama aliikuta simba katoka watakuja wengine zaidi yake mtoto akifa kwahiyo ndo unakata tamaa kulala mkeo eti ukimzaa na huyo atakufa jamani amkeni zama za kukaa na mchezaji miaka mingi ni tatizo kubwa sana yanga wenyewe hawawezi kumpa chama miaka mingi hapo ikizidi ni miwili hatozidi hapo huyo chimba anaenda kusitafia soka lake yanga kashachoka huyo
Ahadi ni deni
Simba ikifanya vbya uyu uyu ndio atakaekuja kulalamikaaa kwann viongozii wmemuachaa chamaaaa😅😂😂
Pole kaka
Kweli watz kiswahili mingi du tunaweza kukusikiliza mpk kesho asubh kwa vile hutaki kukubali kuwa we uliroka.Du Watz kweli kiswahili mingi😅
Msimu ujao MAKOLO mkiburuzwa, huyu huyu ataanza kulaumu viongozi walimuacha Chama...msipende kuweka nadhiri msizoweza kutimiza, maneno meeengi pa pa pa pa pa , bwege wewe
Ww kabla ya yote vua jezi ya makolo Vaa ya Azam SI ulisema utaama Simba kenge we
Assist ya chama kwa Okrah 1_1
Toka apa
Mzee wa Azam kapoa sana 😂😂😂ila Gb64 simba kindakindaki
Mazoea kazn matokeo yake ni hyo kila siku chama mgomo kila siku yeye tu acha nanaye sema chama ikiwezekana
Alisema atahamia Azam, tunamsubiri ahamie Azam😂😂😂😂
Huyu jamaa hata sijui kwanini anapewa mike kuhojiwa 😂😂😂😂 huwa hajitambui kabisa yupo kama king'amuzi vile😂😂😂 si alisema Yanga haina uwezo kumsajili Yanga
😂😂😂
Ngoja mda ufike tutaona kama chama ni gugu au ni mchezaji.
Jamaa kapoa saaana leo.
Wewe Fanya uende azam tunaomba ahadi itimizweeeeeeee
Kushindwa kubaya sasa furaha utaipata wapi? Wakati kipenzi cha makolo leo chama anaitwa gugu hebu mkumbusheni swali kati ya chama na pakome nani zaidi.
Yan unaumia yanga kuchukua magugu sasa si ufurahi na ngao ya jamii mnakutana nae huyohuyo chama kulaanina
Amepoa😂😂😂😂
Hapo unatuburuza chama hajamuacha ukweli ni kwamba chama kaicha simba huo ndio ukweli ata ww unalijua hilo.
Acha kujitetea unaropoka bw uliona ulilala mahabusu.aaa we vipi bwashe? Kubali uliropoka yaishe bw.😂
Simba tunataka vijana wenye moto
Mo anamoto
Nyie waandish mtakuja kuuwa watu sio busara kumuita huyu jama na kuanza kumuhoji maswala ya simba wakati mnajua fika ana majonzi, mlitakiwa mumpe muda wa kupumzika badala yake mngempa kitanda apumzike kwa siku ya leo than baada ya week kupita ndio mumuhoji hicho kinacho endelea hiv sasa.
Huyu hayuko VIZURI JUU ya hili kapagawa
Ogelea,Chama yooooko Chama ni mama yKo mam yako yeyewe alichepka akamuacha bb yako jifikirie kbla ya kuongea yoooko yakooo
kirusi kimeondoka
AnMdomo huyu alisema Chama hawez kwenda,yanga hashaushiki na chips
Huwa unalopoka tu ili ushabikiwe. Huna jipya rudia clip yako uliyoongea ovyo. Pumbafuu!
hahahahah
Waongo nyie kawagomea acha kusema mmeflash hiyo ni laana. Mnamlamba miguu mo kashindwa kulipa acha kusema mlikuwa hammtaki. Rejea clip zako leo unakuja na miwani yako unatudanganya. Pumbafuuu!
HUYU SIO GB 64 NAYEMJUA MIMI
AnMdomo huyu alisema Chama hawez kwenda,yanga hashaushiki na chips