GB 64 awapiga mkwara viongozi TUKIFUNGWA TENA NA YANGA tutashikana mashati/ SIMBA imekuwa mbovu SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 62

  • @AdulKiga
    @AdulKiga 9 หลายเดือนก่อน +1

    Saf sana kaka uko sawa kabbisa umenyooka sana

  • @DavidMakomba
    @DavidMakomba 9 หลายเดือนก่อน

    Nakubali sana GB64 tarehe 20 viongozi tuna piga viooo ladhima viongozi watoke na nundu

  • @patrickmukundichalamila3038
    @patrickmukundichalamila3038 9 หลายเดือนก่อน +5

    Mimi ni Yanga ila jamaa liko poa aise yani limenyoooka, tactics kama Xabi Alonso😂

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 9 หลายเดือนก่อน +1

    Njoo yanga update simuuuuuu

  • @JosephLeonard-j4c
    @JosephLeonard-j4c 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wape ukweli wao

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe kwa dhulumaa eeeee😂😂😂😂 bd hamjasemaaaaa njoo yanga Kuna rahaaaa

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hayo maneno unayo ongea,ni ya hatari sana --- mnaweza kula mkono nyingine halafu likatokea la kutokea --- " itaugharimu "

  • @AdulKiga
    @AdulKiga 9 หลายเดือนก่อน +1

    Broo awo kina mzaramo sijui nani ukotoa miraji waliobakia wapo kimyaa kama uyo kisugusugu yupo kimya yeye kaz kisifia2 hadi ujinga anasifia2

  • @HamisiMaleta
    @HamisiMaleta 9 หลายเดือนก่อน +4

    Ungekuwa yanga saiz ushapata sim

  • @chinchon2126
    @chinchon2126 9 หลายเดือนก่อน

    HATUJII UMETUMWA KUTUHAMASISHA NA HAYOMANENO UMEPANGIWA NAHUYO JAMAA BONGE HAPO NI MJUMBE WA MANGUNGU SISI HATUJUI MPAKA MUKISHINDA TAREHE 20 NDIO TUTAKUA NA IMANI NA SIMBA

  • @phiddeschacha3143
    @phiddeschacha3143 9 หลายเดือนก่อน

    Ila GB 64 unaongea sana kwa imortional pungiza jazba. Maana hata huko ukitokaa jaribu kupunguza ukali huo. Uwe kama Miraji anaongea yuko happy tu, Serikali yetu iko makini kwa maneno kama haya yataweza kukuletea shida baadae na wewe una family. 🙏🏾🙏🏾

  • @JosephLeonard-j4c
    @JosephLeonard-j4c 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaizalilisha sana Simba unapiga debe kuitangaza mechi ya Simba huoni ni Aibu

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 9 หลายเดือนก่อน +3

    GB 64, kuwa mwangalifu kaka kwa hayo unayoyasema.Asilimia kubwa binadamu hawapendwi kuambiwa ukweli,isije wakakufanyia ubaya hao viongozi wa Simba.

  • @JosephLeonard-j4c
    @JosephLeonard-j4c 9 หลายเดือนก่อน +1

    Uko sawa gb waeleze wanatuumiza sana

  • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
    @kwayaviwawaparokiayabashne9281 9 หลายเดือนก่อน

    Uko sahihi kabisa kisugu

  • @lisally09
    @lisally09 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ona mpka jezi yake ilivyochokaaa kwenye round y shingo! Me ni mwananchi lkn nipo radhi kumsaidia huyu simu mpya na jezi mpya simba hmna kitu.

    • @lisally09
      @lisally09 9 หลายเดือนก่อน

      Na tutawapiga hawa kipigo kibaya watajutia kukutana na sisi n huyu nimeaahidi nitampaa msadaa😂

  • @chinchon2126
    @chinchon2126 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu anatumika na uongozi mangungu apo katumwa ahamsishe wanasimba tarehe 20 waende UWANJANI na kwa style hii naona atafanikiwa ametumia style ya kibabe

  • @MackDizo
    @MackDizo 9 หลายเดือนก่อน

    Mm naenda kwenyemilioni

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 9 หลายเดือนก่อน

    MO Mangungo+tray again wote wapigaji watatafute timu yao usani huo hua anakodisha ma police kukamata washabik atafute timu kama baheresa na azaam

  • @rizikiallie3266
    @rizikiallie3266 9 หลายเดือนก่อน

    GB 64 nakuelewa tena hawa viongozi wa Simba wasipojiudhuru watatoka kwa aibu

  • @jumaissa7587
    @jumaissa7587 9 หลายเดือนก่อน

    Sasa GB naona kama unaanza kupotea badala ya kuwataka waje kwa Mkapa kwa wingi wewe unaanza kuwatia khofu.
    Kama ni simu mimi nitachangia.

  • @silvanusremmy9575
    @silvanusremmy9575 9 หลายเดือนก่อน +1

    Elewa neno "mwenye chochote"😅

  • @SUNDAYKANIRE
    @SUNDAYKANIRE 9 หลายเดือนก่อน

    Bora umeongea

  • @Eliacharless-f3z
    @Eliacharless-f3z 9 หลายเดือนก่อน +2

    Na bado mpaka useme

  • @CharlesNdaki-mb5kt
    @CharlesNdaki-mb5kt 9 หลายเดือนก่อน +1

    Et tumezurumu 😂😂😂😂😂😂

  • @christianrukurugu4341
    @christianrukurugu4341 9 หลายเดือนก่อน

    Broo naona kama unajitafutia matatizo, Kiongozi yoyote akipigwa baba, tunakuja kwako broo, unachochea vurungu broo, acha mambo ya vitisho siyo kabisa, utapata matatizo makubwa hata hiyo Simba unayoipenda haitakusaidia. Ongea lakini usiwatishe viongoz.

  • @DullahNyoni-cr2fu
    @DullahNyoni-cr2fu 9 หลายเดือนก่อน

    Hiyo th 20 hawa wahujumu wajipange tunahamu nao

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tukuchangie na bakuli au sisi ndo yangaaaaa😂😂😂😂

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂ua woteeee mbakize shabalala tunamutumia taifa stars uzuri kipa ako dukan kwake manula ila waliobaki anza na Ahmed ally

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂punguza ukali wa maneno Mzee bado amjajua ttz la Simba lipo wapi maan utasikia kocha hmn, viongoz hmn wachezaj hmn wngn utaskia Mo hmn 😂 nyie vyote amvitaki mnataka nn? Makelele fc 😂

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 9 หลายเดือนก่อน +5

    Juice za ajabu

  • @QchiefuBarnaba-u3q
    @QchiefuBarnaba-u3q 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ukweri mtup hapa nikujana uwanjani tukifungwa hawatoki rabda wasije

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 9 หลายเดือนก่อน +2

    Huku GB64 kule Sam Simba pale Mchome kule Maramoja/Chagamba Madunduka sio poa kimeumana.

  • @janeemmanuel3615
    @janeemmanuel3615 9 หลายเดือนก่อน

    Makelele ya chura, tembo nakunywa maji saaafiii, jamani mchangiemi.simu GB 64 hazifanyi kazi

  • @bruhankuhunguru4810
    @bruhankuhunguru4810 9 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 9 หลายเดือนก่อน

    Usife mkuu tunakutegemea. Huyu alikuwa anaiponda yanga kwa nguvu.

  • @NsubiRaphael
    @NsubiRaphael 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe GB 64 wewe ndio kiongozi simba iko chini yako

  • @janeemmanuel3615
    @janeemmanuel3615 9 หลายเดือนก่อน

    Mchome yuko mbalisana na GB0.64

  • @lilaurasa9282
    @lilaurasa9282 9 หลายเดือนก่อน

    Tutawashika mashati 😮

  • @SimoniEdwadi
    @SimoniEdwadi 9 หลายเดือนก่อน

    Kumbe Tanga simba alizulumu

  • @MasoudRwanda
    @MasoudRwanda 9 หลายเดือนก่อน

    Daaa😂

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 9 หลายเดือนก่อน

    Nani kasikia
    AISHA KIVURUGE

  • @RamadhaniMadengelo
    @RamadhaniMadengelo 9 หลายเดือนก่อน

    Simba itatumiwa jamani

  • @WilsonMwambonek
    @WilsonMwambonek 9 หลายเดือนก่อน

    Asitoke kiongoziii tutakujaa

  • @ElibarikiSirily
    @ElibarikiSirily 9 หลายเดือนก่อน

    Baba unajuwa yote ni ukwelii

  • @ValentinLuísMualabo
    @ValentinLuísMualabo 9 หลายเดือนก่อน

    Gb 64 Yuko Vizuri.

  • @khalidmdotta3843
    @khalidmdotta3843 9 หลายเดือนก่อน

    Leo nimeona asili yako ww sio mtu wa mpira kila Kitu kina muda wake kwa Sasa simba atuko Vizuri washakununua

  • @SimoniEdwadi
    @SimoniEdwadi 9 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ni mazuzu Eeee

  • @Eliacharless-f3z
    @Eliacharless-f3z 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tambo zote una kibondea panya

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 9 หลายเดือนก่อน

    Uliiponda yangaaa saaaana saaaanaaa

  • @ZuberiMlanzi
    @ZuberiMlanzi 9 หลายเดือนก่อน

    Kisugu hajui mpira ila makelele hajui hata historia, mulize huyo Kisungu HASSAN HAJI alikuwa nani Simba?? Huyu kisugu ni chawa wa MANGUNGU na TRY AGAIN hatufai mjiga huyu pumbavu Kisugu. GB 64 Ni muwazi na mkweli.pia msomi anajuwa Historia.

  • @brucardkomba616
    @brucardkomba616 9 หลายเดือนก่อน

    Gb 64, wewe ni mwamba, tumeyaona

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 9 หลายเดือนก่อน

    GB 64 wasitoke

  • @AllyTepa-y1p
    @AllyTepa-y1p 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂

    • @Ahazjose
      @Ahazjose 9 หลายเดือนก่อน

      Gb umeongea ukwel kwanzia A hadi Z ttaklinda hamna wakkuua baba tililika

  • @ramadhanmazije3882
    @ramadhanmazije3882 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂