RAIS SAMIA AMTUMA MTOTO WAKE KWENDA KWA MWIMBAJI MWANAHAWA ALI, "NIMETUMWA NA MAMA, MILIONI 10 HII"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 332

  • @KulthumMasoud
    @KulthumMasoud 5 หลายเดือนก่อน +12

    Allah amzidishie Rais wetu kuwa na moyo wa Iman kwa kuwaona wenye matatizo. Ameen

    • @RayChausa
      @RayChausa 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ameen

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 5 หลายเดือนก่อน +7

    Alhamdulilah na Saleheclassic ana swawabu zake kwasababu yeye ndie alie kwenda kumuhoji Bi Mwanahawa last week . Allah ashukuriwe zaidi na zaidi. Rais Samia hongera kwako Allah atakulipa In shaa Allah.

  • @ShariahajiOmar
    @ShariahajiOmar 5 หลายเดือนก่อน +5

    Ahsante mama Samia Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kujali wananchi wako katika kuwatatulia shida zao. Allah akupe afya njema ili uweze kufanya majukumu yako ipasavyo pia akuzidishie imani na huruma kwa wananchi wako. Mitano tena usiwe na wasi tunakupenda Sana mamayetu kipenzi chetu.❤❤❤❤

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 5 หลายเดือนก่อน

      UKOLONI WA TANGANYIKA
      SASA BASI
      Kilio cha Wazalendo wa kwao Zanzibar, wanataka Mamlaka Kamili.
      Mauwaji na dhila ya Miaka 60 ya Ukoloni wa Tanganyika sasa basi

  • @mwajohari4385
    @mwajohari4385 5 หลายเดือนก่อน +10

    Allah skupe hifadhi na sitara Mama,,,mtoto wa mama,, usiache kupandisha shungi lako nadhan ushanielewa,,,upo vizuri sana unsjitahid binti kama wewe Masha Allah

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 5 หลายเดือนก่อน

      Amin. Hifadhi kwa wote.

    • @ayshajeffa7343
      @ayshajeffa7343 5 หลายเดือนก่อน

      Ameeen​@@awatifalghanim1106

  • @chumviyamawe7502
    @chumviyamawe7502 5 หลายเดือนก่อน +16

    Kwanz mshukul mungu bi mwanahawa kwa yote alaf rais wa nchi na salehe wa show bizz maan yy ndy alikuhoji had rais akakuona big up kwa salehe

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 5 หลายเดือนก่อน +3

      Kila kitu kina sababu yake na imeandikwa na Mungu. Alhamdulilah

    • @BabyJ-td5zc
      @BabyJ-td5zc 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa​@@awatifalghanim1106

  • @daudmasige-xx9sx
    @daudmasige-xx9sx 5 หลายเดือนก่อน +32

    Inshallah mama kwa wema wako mwenyemzi MUNGU wa mbinguni akutunze pia akupe umri mrefu mama Samia Allah kareem

  • @zehrazam1210
    @zehrazam1210 5 หลายเดือนก่อน +5

    Allah amhifadhi mama Samia, Ampe nguvu na uwezo wa kuwasaidia wanaohitaji msaada.
    Super mama Nampenda tokea zamani.❤

    • @hamisimkulu6571
      @hamisimkulu6571 5 หลายเดือนก่อน

      Kwakweli amemuurumia dadaake Allah atamlipa badala allahumma aameen

  • @Rahima-kv6mn
    @Rahima-kv6mn 5 หลายเดือนก่อน +15

    Wakati wa Mungu ndio Wakati Sahihi🙏🙏

  • @aminashayo9263
    @aminashayo9263 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mheshimiwa Samia Suluhu Hsssan you touched my heart kwa kweli, kweli naamini kila mja huletwa duniani na mwenyezi Mungu kwa makusudi maalum kwa ajili ya kuujenga ufalme wake, roho yako na moyo wako ni vya kipekee Mwanahawa akila, akitibiwa, akipona, akiwa na nguvu akasali ni kuujenga ufalme wa Mungu ila nae aache taarabu sasa aimbe Qasda, umri umeenda amgeukie Mungu sasa kwa toba na kunyenyekea.

  • @Lanihsarumu
    @Lanihsarumu 5 หลายเดือนก่อน +7

    Mashaallah mungu awabaliki sana rais wetu mungu ampe afya njema

  • @hamismasoud8306
    @hamismasoud8306 5 หลายเดือนก่อน +5

    Mama Mwanahawa achana na taarabu itengeneze akhera yako umri umeenda huo Allah akusamehe yaliyopita InshaAllah

  • @zainabmirza4581
    @zainabmirza4581 5 หลายเดือนก่อน +8

    Mimi napenda mama samia kwa kujitolea kwake Allah akuhifadhi na maduwi yaraab ❤

  • @FatimaMohamed-n5h
    @FatimaMohamed-n5h 5 หลายเดือนก่อน +5

    Allah Subhanna amhifadhi Raisi wetu na amlipe Kwa wema wake Maskiin pole Mama Samiya tunakupenda Kwa ajili ya Allah Subhanna wataala

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah Mashaallah Allah akupe umr mama samia na saleh ww ndio sababu Allah aibariki kazi ya mikono yako😊😊😊

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 5 หลายเดือนก่อน +2

    mama samia mungu akubaliki wengi tulikua tukierekeza comment nyingi kwako umsaidie huyu mama kama umeguswa kama hivi Asante maisha ya dunia niyakupta2 bora ujitambue kama hivi

  • @KarmaKonyeza
    @KarmaKonyeza 5 หลายเดือนก่อน +24

    huyu mama samia hata sina cha kusema zaidi kumuombea duwaa

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah Allah mama yangu anakupenda sanaaa mbaka Kesho aswaaa Ngoma hiz RABBY NILINDE, UMASIKIN WANGU, ROHO MBAYA HAIJENGI, KINYAGO CHA CHA MPAPURE, MWANAMKE KHULKA, inshallah mwaka wakuldi bongo nakuja mama kukusalimia Inshallah pole snaa Kwa maradhi

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 5 หลายเดือนก่อน +4

    Salehe clasic tunakushkuru ' umefanya kazi sana

  • @haidarijuma9023
    @haidarijuma9023 5 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akulindena akulipe heri Rais wetu,umeonesha huruma na uungwana Kwa binadamu mwenzio .

  • @ubahamisi431
    @ubahamisi431 5 หลายเดือนก่อน +8

    Mama samia ni Rais wa ajabu mola amzidishie yani anafatilia sana wananchi wake na kuwaenua❤❤

  • @AishaHussein-up4xc
    @AishaHussein-up4xc 5 หลายเดือนก่อน

    Mshallah mama Samia rais wa wanyonge

  • @tiffahdangote7548
    @tiffahdangote7548 5 หลายเดือนก่อน +3

    Watu wanateseka sana na maisha! Rais Samia nadhani angeweka namna ya kusaidia watu Kwa wingi .....hii mchezo wa kusaidia mtu mmoja mmoja....sio mbaya ila ni wengi sana wanakuhitaji! Wengi Wana shida ni wengi munooooo! Tengeneza namna ya kufikia watu Kwa wingi zaidi tunakupenda sana mama yetu rais Samia Mungu akutunze!

    • @FabianTebeka
      @FabianTebeka 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa yeye anadili na watu maharufu tu mbona atuoni kama alivyokuwa anafanya magufuri

  • @AminaIssa-ee6kl
    @AminaIssa-ee6kl 5 หลายเดือนก่อน +1

    Swaleh wa Show biz ndio chanzo.... Mashallah.

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 5 หลายเดือนก่อน

    Uyu ndo samia mwenyewe au mashaallah

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah Tabaraka Allah mungu azidi kumbariki mama Samia inshallah sis wakenya pia Rais wetu ruto angakua kama hivi tungekua vzuri sana ila tangu apate madaraka ndio amezidi kutudidimiza kwa kila upande hata rate pia ameshikisha yaani mateso juu ya mateso

    • @sikukuubdallasikukuubdalla6800
      @sikukuubdallasikukuubdalla6800 5 หลายเดือนก่อน

      Allah Kareem wakenya tuombeni MUNGU allah yupamoja nasi na halitufiki jambo illa alilo tuandikia Allah wabillahi taufiiq.

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 5 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sana Mhe Rais Kwa Iman yako.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 5 หลายเดือนก่อน

      Kuna watu wamejaaliwa duniani na kesho Akhera. Subhana Allah

  • @tatutumbi4640
    @tatutumbi4640 5 หลายเดือนก่อน

    Allah atakulipa kwa wema wako, Rais wetu Dr. Samia.

  • @abdallahjambia6596
    @abdallahjambia6596 5 หลายเดือนก่อน

    Maashallah ❤❤❤❤❤

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah mama Samia mungu akupe kila laheri Kwa kunikumbuka huyu bimwanahawa❤❤❤ anasauti nzuri bimwana hawa🎉🎉

  • @meandme3437
    @meandme3437 5 หลายเดือนก่อน

    Allah ape umri na afya njema mama Samiya

  • @SabahHassan-z7d
    @SabahHassan-z7d 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mama samia hongera sana kwa moyo wako wa upendo .Allah akubariki ishaallah.

  • @tabutabu8900
    @tabutabu8900 5 หลายเดือนก่อน +1

    MASHA ALLAH Masha Allah rais wetu ALLAH Akuweke inshallah maana sio jambo dg kumkumbuka mama kama huyu❤❤❤❤

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 5 หลายเดือนก่อน

      Ukipata malezi mazuri, ukafundishwa Imani na ukarimu mwisho wake huwa hivyo kwa binaadam wenzako.

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 5 หลายเดือนก่อน +6

    Hongera sana kwa mama yetu mhe Rais wetu.Samia suluhu Hassan.Kila lililo jema kwako.Kikubwa unachotoa basi kinga kwako napia yaliyo mema yatazidi kuwq neema kwako.Mhe

  • @emmanuelybonifase4017
    @emmanuelybonifase4017 5 หลายเดือนก่อน +6

    Asante sana mh samia suluhu Hasan Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa msaada wako, Tunashukulu

  • @MbarakAhmedAbdalla
    @MbarakAhmedAbdalla 5 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah Mama samia Mungu amueke kwahutu alonao, kenya Raisigani anaweza kufanya jambo kama hili wacha Mwenyezi Mungu awabariki watanzania na Mama yetu Samia Sluh Hassan, japo nimkenya lkn napenda ukarimu waviongozi watanzania na mienendo yao Mungu ibariki tanzania .

  • @semunassari6637
    @semunassari6637 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli Samia weye si mwanamke ni mama KWELI!
    Mungu akubariki,endelea na moyo wako wakuwahurumie wanadamu wenye uhitaji.
    "UKIMSAIDIA MASKINI UMEMKOPESHA MUNGU" Mungu atakulipa

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 5 หลายเดือนก่อน +1

    Allhamdulillah..Allah amjaalie Afya Raisiwetu. ...Allah ampe.moyowaupendo kwakilamja pia ampe subra kwakilaatua atuongozetena. Amyn

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mashallah Allah Mwenyezi Mungu akuzidishie mama Samia. Mfungulieni biashara endelevu.

  • @muksinimbaruku1233
    @muksinimbaruku1233 5 หลายเดือนก่อน +6

    Mwambie mama samia hongera yake sana sio tu kwa kuliongoza Taifa hili, bali pia kwa hii mali safi aliyotuletea, ni mwanamke mrembo sana mwenye stala yake, Mungu awatunze na aimarishe afya zenu inshaallah.

  • @hamisidale2704
    @hamisidale2704 5 หลายเดือนก่อน

    Yaani Samia Mungu akulinde kipenzi chetu,toka zamani tunaokujua una roho nzuri,Mungu akuepushe na kila shari Dada yangu! Mheshimiwa Rais,naona fahari nikikuita kwa jina lako,ukifanya haya unapendezwa ukiitwa kwa jina lako!Hamisi

  • @beatricenduwamariya6450
    @beatricenduwamariya6450 5 หลายเดือนก่อน

    Mama samia,❤❤❤❤

  • @aishamzeehamissi6859
    @aishamzeehamissi6859 5 หลายเดือนก่อน

    Asalam Hongera Rais wetu mama yetu mlezi Allwaa akuzidishie kila ulipopunguza kwa kujali wananchi wako . C.C.M
    HOYEEEEEEÈ😊😊

  • @HabibaHassan-t2u
    @HabibaHassan-t2u 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika nimefurahi sana kwa kumsaidia huyu mama Allah awabariki❤❤❤

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t 5 หลายเดือนก่อน

    Aallah akuifathi mama samia azid kukupa rizki yak ya halali

  • @mchangashehe6365
    @mchangashehe6365 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaa Allah jazakallahu khairà jazza wabarikfiik. Mama tunakupenda na hatuna la kufanya kukonesha upendo wetu zaidi ya kukuombea duaa . Alla akupe kila lenye kheri akufanyie wepesi katika uongozi wako akujaalie mwisho mwema. Lakini mama wanahitaji ni wengi ingependeza kuhamasisha viongozi wengine wanawake kukaanzishwa mfuko maalum ambao utaratibiwa vizuri na miongoni mwa waratibu itapendeza akiwemo dadaetu Wanu ili kuweza kusaidia waliona uhitaji kama huu kwani wako wengi mama lkn kwa vile hawajitangazi inakuwa ngumu kuwafikia. Tunakupenda mamaa.

  • @rehemaadam4102
    @rehemaadam4102 5 หลายเดือนก่อน

    Mama Samia nakupenda sana mama yangu Mungu akuzidishie baraka napenda unavyowajali watu Allah akujaze kheri .

  • @winfordmwangonda5375
    @winfordmwangonda5375 5 หลายเดือนก่อน +3

    Safi Raisi wetu Mama Samia,ila sasa nawewe achana na mambo ya music ,pamabana na sehemu itwayo Msikitini, kwama maana mara 5 kwa siku

  • @thedon8467
    @thedon8467 5 หลายเดือนก่อน +10

    RSISI MWENYE IMANI WOW MASHAALLAH TABARAKALLAH

  • @KadumaIssa
    @KadumaIssa 5 หลายเดือนก่อน

    Allah akuzidishie mama yetu kipenzi Cha waTanzania mama mitano tena

  • @mariamkibindo1741
    @mariamkibindo1741 5 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah ❤

  • @hawrajehan2398
    @hawrajehan2398 5 หลายเดือนก่อน

    Ma shaa Allah

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 5 หลายเดือนก่อน +6

    Hongera mama samiha kwa kumsaidia bi mwanahawa mungu akulinde kama ulivyomsaidia mashallah

  • @AlkhaAlkha-d4s
    @AlkhaAlkha-d4s 5 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi mungu akuzidishie pale ulipotoa mama yetu

  • @MariamNasoro-xy3ep
    @MariamNasoro-xy3ep 5 หลายเดือนก่อน +1

    Bi mwanahawa usijali twakuombea kila la khery❤

  • @shabanimwinyikhery1174
    @shabanimwinyikhery1174 5 หลายเดือนก่อน

    Mtoto wa mama mashallah ..

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 5 หลายเดือนก่อน +2

    Awali shkrn kwa kjn wetu Saleh(Zamaradi tv),pia kiongozi wetu Mhs.Rais wa Jamhuri ya Muungano Tz(Mhs.Samia S.Hassan), kwa moyo wa iman kumkumbuka mkongwe wa fani ya taarab,Rabbi awalipe mema nyote,hakika Tz yetu ni nchi ya UPENDO.

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 5 หลายเดือนก่อน +1

    hongera mama na mie nisadie sitaki pesa nikuone tu nipige picha na weye weye ni mtu muhimu mwenye imani utu hikima na ubinaadamu❤

  • @BakariAthumani-vs8lk
    @BakariAthumani-vs8lk 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mtoto wa mama samia umejua kupendeza nimekupenda kwajiri ya allah ww na mama ako muishi miaka tele Kwa tele

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 5 หลายเดือนก่อน +5

    Maashaallah wallah nilimuonea huruma san wamefanya vizuri wallah

  • @MariamNasoro-xy3ep
    @MariamNasoro-xy3ep 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mama Samia mungu akubariki akupe ziada kila la khery mashallah tabaraka llah.

  • @OmanOman-gu1wy
    @OmanOman-gu1wy 5 หลายเดือนก่อน +10

    Honger mama samia kwakuskia kilio chama yetu

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akulinde mama Samia mungu atakulipa pepo akusameh makosa yako yote akupe pepo zadunia na akhera pia akulinde mamamola wetu

  • @annachales9623
    @annachales9623 5 หลายเดือนก่อน

    Yaani nimefurahi sana huyu mama aliimba nyimbo nzuri sana.Sikutegemea kama Bi Mwanahawa Ally angekuwa na maisha haya...

  • @AsmaAlly-m9i
    @AsmaAlly-m9i 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mama mamaaa natamani niliee kwa furaha yaniii sisi tuliondokea naona kama tumepata mamaaa kiukweli mungu akulinde na shali mama Samia mama samiaaaaaaaa tunakupenda sanaaaaaa

  • @MonicaBenitomwalongo
    @MonicaBenitomwalongo 5 หลายเดือนก่อน

    Mashalah mungu akuongezee ulipo toa mama Samia tunakupenda sana rais wetu

  • @anwarbabubabu8887
    @anwarbabubabu8887 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mama rudi kwa mwenyezi mungu imba kaswida muda mdogo kwako

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah watu wazuri huonekana mapema. ❤❤❤

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Rais Mama Samia kwa kuwakumbuka wenye mahitaji.👏🏽👏🏽

  • @SadahMbarouk
    @SadahMbarouk 5 หลายเดือนก่อน

    Rais wetu Allah akulinde

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 5 หลายเดือนก่อน +2

    Msanii wa siku nyingi lkn maisha anayoishi mtihani

  • @Husnarajab-kz3ip
    @Husnarajab-kz3ip 5 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda wamama wa kizanzibari wanabusara sana mashaallah

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @aminamzuri9933
    @aminamzuri9933 5 หลายเดือนก่อน

    Dua zuri mwenyezimungu ampe na yy apate mashaallah

  • @berthakalori195
    @berthakalori195 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mama samia raisii s wangu nakupenda sana mwenyezi mungu akupe miaka mingi yakuish nakutuongoza kula yangu naitanguliza belle yako mama nakupenda sanamm

  • @allykassim1120
    @allykassim1120 5 หลายเดือนก่อน

    hongera mama Samia Kwa kuwakumbuka! wakongwe mungu akusaidie

  • @neamusic2601
    @neamusic2601 5 หลายเดือนก่อน

    ALLAH amjaalie huyu bibi siha njema inshaallah hajaulizwa kama atapunguza kuimba...kwa sasa.

  • @veronicamaganga8737
    @veronicamaganga8737 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu ambariki sana rais wetu mama Samia

  • @NusuraSeif
    @NusuraSeif 5 หลายเดือนก่อน

    mwenyezimungu akulipe raisi wetu, mitano tena

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mama samia hongera sana kwa wema wako,lkn pia bi mwanahawa mungu kupe afya inshallah😂😂

  • @mwatummselem2411
    @mwatummselem2411 5 หลายเดือนก่อน

    Mtihani kwakweli mungu akusaidinye kwakweli amen

  • @SalmaMitonga
    @SalmaMitonga 5 หลายเดือนก่อน

    ❤ mwenyezi mungu amtupi mja wake.

  • @janetymatola6639
    @janetymatola6639 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mama Samia mama Samia asante ❤❤❤❤we loves you forever

  • @hamadfaki7625
    @hamadfaki7625 5 หลายเดือนก่อน

    I wish to say Allah akulinde na hasad akudumishe katika uchamungu akusamehe makosayako atuongezee hekima katika urais wanko na nje ya urais pia akujaalishe la laailahaillah Muhammad rasulullah namuomba Allah pamoja nawe atufufue na kipenzi chetu mtume Muhammad swalallahu alaih wasalallam

  • @jeskakahangwa4692
    @jeskakahangwa4692 5 หลายเดือนก่อน +4

    Wow. Our president is very humoral ,may our lord bless you more❤

  • @AbdalahHassan-qp4fv
    @AbdalahHassan-qp4fv 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi mzuri

  • @HabibaHassan-t2u
    @HabibaHassan-t2u 5 หลายเดือนก่อน

    Natamani Rais wa Kenya angefanya kama hivi MashaAllah

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 5 หลายเดือนก่อน

    Wema wana.maisha, wenye nafasi wawasaidie wasionacho,amen,mama mungu akutunze sana.

  • @agnesswai7174
    @agnesswai7174 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeipenda hii,,Hivi ndo inavyotakiwa kumjali mwenzio hasa wakati Wa Shida

  • @TinaSodom
    @TinaSodom 5 หลายเดือนก่อน

    Asante mama yetu kwamisada Yako tunakuombaya kwa mungu

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 5 หลายเดือนก่อน

    Amin Amin Amin

  • @berthakalori195
    @berthakalori195 5 หลายเดือนก่อน +4

    Nimeteseka namaisha sana nimeria sana laisi wangu sina chakukulipa zaidi yakukuambia asante sana umeingia tuu madarakani huo huo mwaka mama akatoa ajira wanangu wawili wote waripata ajila rais wangu nakuombea baraka kwamungu raosi wangu nakupenda sana mmmnatamani hata siku moja tushikane mukono rais wangu nipo geita naitwa betha karolii

  • @salhalema9668
    @salhalema9668 5 หลายเดือนก่อน +3

    Allah akulipe kheri Mama Samia ❤

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah allah amzidishie

  • @dalilahothman-z3x
    @dalilahothman-z3x 5 หลายเดือนก่อน

    Mama Samia Mungu kamuumba na roho yake jamani,tena anaumwa sanaa na shida za wanawake na watoto kiukweli.Allah amzidishie imani na ampe ulinzi na ushindi mkubwa dhidi ya wale wote wanaomshuhudia ubaya na kumtakia shari kwa uwezo wa Mungu hayatomfika na atazidi kung'ara InshaAllah

  • @suzanfelix6320
    @suzanfelix6320 5 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢nalia kwa furah

  • @Mwinyi77
    @Mwinyi77 5 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu si ndiye Mama aliyesema wema hauozi na wema ni hazina kwa mungu.
    Alisomesha sana mule kama ndiye yeye❤

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 5 หลายเดือนก่อน

    Nunuwa nyumɓa ikodishe itakusaidia kila mwezi pesa itakusaidia mamaangu ❤❤

    • @KulthumMasoud
      @KulthumMasoud 5 หลายเดือนก่อน

      Ni ushauri mzuri umeonyeshwa njia fata. Alichopewa ni kafunguliwa njia.

  • @hakuzwebirinda
    @hakuzwebirinda 5 หลายเดือนก่อน

    God blessed you mum.

  • @GatekaFatma
    @GatekaFatma 5 หลายเดือนก่อน +3

    nampenda sn mama Samia from Burundi bibi yangu mwana hawa achakuimba ss mche mola wako ulisema ukipata pesa utacha nyimbo nakutakia mwisho mwema

    • @pillyseleman8090
      @pillyseleman8090 5 หลายเดือนก่อน

      Aamin aamiyn aaaaamiyn yarab aamiyn

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah, hongera Mama rais Samia kwa kua iman na hurma kusikiliza mahitaji ya waliomzunguka ,
    nakuomba mama Hawa pia kwa maoni yangu yakikupendeza na
    afya yako ikiwa inaridhisha ,Allah akupe nguvu na khattua kutekeleza ibada ya hijja inshaallah