Nikikumbuka kuwa cku moja watu watakimbizana na muda kwaajili ya kunizika mimi Aki huwa nakosa maana ya maisha 😢😢😢 LIFE Dida mungu akusamehe ilipomkosea kwa siri na dhahiri
iv wote ambao bado tuna neema ya kuishi dunian tukiokoka tukaacha dhamb tukamrudia mungu na wote tukaenda mbinguni si ni sawa? karbun sana kwa yesu jmn dunian tunapitaaa😥😥😥😥
Mmmh ngumu kuamini kuwa kipenzi cha wengi ❤❤umezimika ghafla. Kicheko chako, utundu ucheshi wako sitausahau. Ulikuwa pilot hodari wa ndege yako ya Mashamu shamu. Daah imenifanya nimwage machozi. Jamani duniani niwasafiri pls tujiandae na safari ya mbinguni. Uhusiano wetu na Mungu uwe first priority.
Kwani upo kaburini maana umesema.anakukumbusha.enzi ya uhai wako? Na hapo ulipo una smart phone unapata habari za Duniani maana umesema enzi za uhai wako hivyo ushakufa 😂😢😅
sisi sote na mungu na kwako tutarejea mungu akuweke upo stahiki RIP DIDA
Innalillah wainna ilaihi raji'uun.
Kwa hakika sisi ni wa Allah na kwake tutarejea.
Allah amswamehe makosa yake.
Aaamin...
Jamani dunia haitutaki hata kdg tujitahdn na ibada in sha Allah inna lillah wainna ilaihi raajiuon
Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake Yeye sote tutarejea
Nikikumbuka kuwa cku moja watu watakimbizana na muda kwaajili ya kunizika mimi Aki huwa nakosa maana ya maisha 😢😢😢 LIFE Dida mungu akusamehe ilipomkosea kwa siri na dhahiri
Enjoy life kila mtu atakufa
Aisee Mungu ni wa wote nimeamini. Pumzika kwa amani dada
Innallillah Wainaillah Rajiun Hakika kifo ni kweli Na sisi ipo cku yetu kwa Allah tutarejea @Trust in God ✍🏼☝🏼
Inalilah wainailah rajiun Allah ampe kauli thabiti kaburini mwake inshallah 🤲🤲🤲binadamu tuachen maringo tuache kujiona cc ndo cc tukumbuke kufa kupo 😢😢😢mwisho wetu ndo huo
Rugaiya nikwel siriaz
RIP Dida
Pole wanafamilia kuondokewa na dada mpendwa ktk kioo Cha jamii tulikupenda cn dada yetu lkn mwenyezi amekupenda zaidi puzika Kwa amani dada yetu Amina
Pumzika kwa amani Dida! Hakika kila nafsi itaonja umauti…🙏🏻
Jamani tufanye maombi na tumupende Mungu 😢😢😢
Innalillah wa innalillah rajiun, Allah Akupe mwanga katika safari yako huko uendako, mbele yetu nyuma yako inshaallah sote tutalejea.
iv wote ambao bado tuna neema ya kuishi dunian tukiokoka tukaacha dhamb tukamrudia mungu na wote tukaenda mbinguni si ni sawa? karbun sana kwa yesu jmn dunian tunapitaaa😥😥😥😥
Inalillahi waina ilayhi rajioun
Allah amlaze pahala pema kwenye wema.
Amin ya Rab 🤲
Mmmh ngumu kuamini kuwa kipenzi cha wengi ❤❤umezimika ghafla. Kicheko chako, utundu ucheshi wako sitausahau. Ulikuwa pilot hodari wa ndege yako ya Mashamu shamu. Daah imenifanya nimwage machozi.
Jamani duniani niwasafiri pls tujiandae na safari ya mbinguni. Uhusiano wetu na Mungu uwe first priority.
Pumzika kwa Aman dida for life🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭
Hasbun Allah wa nimal wakeel ) Allahumma inna naj aluka Fi nuhoorihim wa na oozhubika min shuroorihim )🤲🤲🤲🤲
Mungu ampumzishe kwa amani hakika Dunia ni mapito sote ni waja marejeo ni kwa mungu 😭😭😭
My Dida😭💔 Inna lillahi wa inna ilahi rajiun! Mwenyenzi Mungu akurehemu 🤲 poleni member wote wa wasafi media 😭💔 from 🇨🇦
dah huyu Dada mungu ailaze roho yake mahara pema peponi, amenikumbusha enzi za uhai wangu
AFRICA_D669@Enzi za uhai wako? Or enzi za uhai wake? Maana wewe bado upo hai eti. Or typing error?
Kwani upo kaburini maana umesema.anakukumbusha.enzi ya uhai wako? Na hapo ulipo una smart phone unapata habari za Duniani maana umesema enzi za uhai wako hivyo ushakufa 😂😢😅
@@abuumuhammad7133 mbona unacheka msibani,, kwani Nimekwambia nimekosea kuandika
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. AAMIN.
Kwake YESU bado kuna nafasi, kimbia tukatubu dhambi zetu. Kesho ni fumbo 🙏🙏
Ww Huna dhambi nenda pepon...
Poleni sana.Mungu na Mweke mahari pema.Amin
Inalilahi waina ilahi rajiun ALLAH IRHAM
inn lillah waina lillah rajunnnnn ,mbele yake nyuma yetu hakik sote kwake tutalejea
Pengine yy ndo alikuwa anawatangaza wenzake lkn leo yy ndo anatangazwa,, Maisha ni mafupi sana,, Apumzike kwa amani 💔
Dooo mungu ailaze roho ya marehem
Taarifa ni nzitoo hizoo jamn kuzipokea dah Dida😢😢😢
Duuuh siamini kwa kweli Mungu wangu 😢😢😢 pole sana familia nzima kwa jumla
Innalillah waina ilaih rajiun. Allah amfanyie wepesi kwa kila palipo na ugumu inshallah.
😢Kazi ya mungu haina makosa😢
Daah pumzika kwa amani dada yangu dida mungu ailaze mahal pema peponi😢😢😢
Inalilah wainailah rajiun😭
A woman full of life and wisdom😭
Kwa kweli tuzidi kuomba tunatembea na kifo😢😢
Pumzika kwa Amani 🙏🙏
Njoooni kwa YESU KRISTO kabla hamjachelewa mziponye roho zenu na hukumu ya MUNGU itakayokuja
Amen 🙏
Awap utachelewa tu
Kwan kwa yesu waty awafi 😂😂😂😂
😅😅😅😅😅@@wadantz123
Alafu wakiristo bwana hawajui yesu alikufa kwahyo kifo nichakil mtu @@wadantz123
Inalilah wa inalilah rajuhun Apumzike kwa Amani 🙏😭😭😭 jamani tuombeni mwisho mwema Amin 👏👏👏
Nashidwa kuamin jamn
Innaa lilahi wainaa ilaih rajioun.
Allah huma ghfirlaha warhamha wamaskanaha min riyadhi L-Jannah.👏🏼
Innalillah waina ilaih Rajiuna mungu akulaze mahali pema peponi
Amiin😭😭😭😭
Innalillah wainaillaih rajiuun 😭😭 mwenyezi Mungu amlaz mahal pem pepun 🤲🤲
Inna lillah wainna illahi rajiun Allah ampe kauli dhabiti Allah amuondele na adhabu kabri Allah amrahamu
Innalillah wa inna ilaiyhi lajiun Allah ampunguzie adhabu za kaburi aipokee roho yake 🤲🤲
Jamaniiiiiiiiii😢 Dida 😭😭😭pumzika kwa Amani Inaumaa wallah😭
😢😢Allah Amfanyue Wepesi Huko Aendako
😢😢😢 innalia wainna irey rajiuuun subbunn llah sisi wote ni wa Allah nakwake tuta rejea polen sana wafiwa woote pole sana 😭😭😭
Innalillahi wainna ilayhi rajiun,kila mja na wkt wake hakika kifo kinatisha,pole kwa familia + wasafi media/ndg jamaa + marafiki,baki Allah !.
Jaman dida kimemkuta nn nilikuwa nampenda bule huyu dada kafa bado mdg😢😢😢😢 rip
Apumzike kwa amani didaa
Inna lillahir wainnah ilayh raji'un,M/MUNGU ailaze roho yako mahala pema peponi
Poleni sana familia ya wasaf na Shetani wa yanga. 😢😢😢
😢😢😢😢😢nilikua bd siamin dida dida mng akulaze pema 😢mbele Yako nyma yetu
Yaaan bongo mtu akifa ndo wana mpa sifa zote aoseee ila mungu anatuona
Daa imeniuma sana ila ndio mipango ya mungu kaumwa lini jamani😢
Innalillah wainna illaihi rajiun
Innalilah waiina ileyh rajiun saiv ndo naamon jamn dunia nimapito
Innalillah wainaillahi rajiun. Allah ampe kauli thabit
R.i.p dida Mungu akulaze Mahali pema 🙏🏽
dah aiseee mungu amurehemu
Dida jamani jamani 😭😭😭😭😭😭😭mungu aibokehe rohoyako mama🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭😭 Ina Lilah wainnailah raj uun 🙏
da poleni wasafi Pole juma lokole pole kumbuka najuwa mna maumivu makari sana
Jamanii kumbe ni kweli 😢😢ni nini tu mungu angu alipata ajali au
Kifo nikiza kinene mimi nawewe atujui lini siku yetu pumzika kwa amani dada Dida😭
Duh kumbe ni kweli jamni poleni sana yake mbele yetu nyuma 😢😢😢😢
Jamaniiii Dida wangu 😢🕊️🙏🏾
Inaumaaa sanaaa shetani yupo kazini tuombeni
Innalillah wainnaillah rajiun Allah amsamehe makosa yake
Inalillah wainailayh rajiun kifo hakina taarifa aise😢😢😢😢
Inna lillahi wainna ilayhi raajiun 😭😭😭
Sasa ndio nimeamini kwa mbali sana. Duh pole kwa familia
Poleni sana wana familia wasafi 😢
Innalillahi wa inna ilaihi raajiun
Inna lillah wainailah rajuin 😭😭😭
R I P mbele yetu nyuma yako jina ra bwana li himiliwe mlele amina❤❤
💔💔💔 Dunia mapito, rest well sister Dida 🙏🙏
😢 dah sote tutarejea kwake aallah😢😢😢
Eeeee jamani sisi sote ni wa Mungu
Innalillah wainailahi rajiun
Uwiiii pole juma na babu issa
Haki nimewaza lkn nimekosa majibu juu ya haya maisha😭😭
Dah jamani poleni sana
Heeeee makubwa Dida😭😭😭😭 Ee Mungu weeeeh
Ghafla sana,,dah
Jmn duh!!! Mungu wangu 😭😭😭😭😭😭
Yani nimekuja kuambiwa muda huu nikaona ninunue bando wasinidanganye 😢😢😢
Inalilah wainalillah rajiun
Pumzika kwa amani kipenz dida😢😢😢
Daaah changamoto sana😮
Inallilah wainalilah radjuni 😭💔🕊️
Da poleni sana
😢😢😢Amina
Mauti huja ghafra turejee kwa Allah... Dunia si kitu...
dah aiseee
Innalilagh wainna ilaghilajium poleni sana ila cc ambao bado tunapumua mpaka sasa tumleje allah tuache zambi umaut unakuja ghafla
Ni kweli au uongo
Dida umetuachaaa💔🙆🏻♀️😭😭😭😭😭
Daah😢😢 rest in peace Paradise 🙏
Unbelievable 😭😭😭😭
Bado sijaamini walahi daah inalilahi waina ilahi rajiun