ATOBOA SIRI: KIJANA ALIYEKUWA FREEMASON ATOBOA SIRI NGUVU ZA MWAMPOSA NA MCHUNGAJI EZEKIEL ODERO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • SIKILIZA MBAKA MWISHO

ความคิดเห็น • 160

  • @RachelRiziki-t9u
    @RachelRiziki-t9u หลายเดือนก่อน +2

    Courage! Mungu aku okowe zaidi.

  • @BarakaMwita-s3m
    @BarakaMwita-s3m 13 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu atusaidie sana

  • @NancyOduor
    @NancyOduor 2 หลายเดือนก่อน +4

    Everyone cannot be fishers of men...Acha wahubiri waendeshe neno la Mungu...Wanalofanya kinyume ni kati yao na Mungu sisi mm...👐👐👐

    • @phylliswambua5805
      @phylliswambua5805 29 วันที่ผ่านมา

      Mchungaji ambae afaa nguo nyeupe,nyekundu au green Jiulize kwanini? Siavae tu lawaida na aubiri

  • @MosesBuliba
    @MosesBuliba 9 วันที่ผ่านมา +1

    Believe him and play for your self

  • @suzgogondwe9267
    @suzgogondwe9267 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu ni Moto 🔥 🔥 🔥 🔥
    Mungu atusaidie sana

  • @YoshuaNgasa
    @YoshuaNgasa 21 วันที่ผ่านมา

    Kazi ya samweli ni nzuri...kutaja kuwa watumishi wale ni wa Mungu au wale wanajifanya watuwamungu kumbe siyo....ni KIBIBLIA.

  • @julietwambigifhorn3405
    @julietwambigifhorn3405 หลายเดือนก่อน +1

    Be careful if ur in Christ, then don't judge any Pastor,usije uka kua judged mwenyewe..chunga kaka,
    Take the gospel far to all corners, n know how the bible says..🤷
    Judging pastor's hehehehehe, mto kwa ur head 🗣️🔥🔥🔥in Jesus mighty name Amen 🙏
    Wewe bado uko kwa darkness.
    Jesus never talked about any human being in a bad way...he loved them ❤.
    Now Ur judgement back to you itself ijn🙏

  • @DaniiMsanii
    @DaniiMsanii หลายเดือนก่อน +1

    Please your message is understandable

  • @Geita_caketoolsMwanaid
    @Geita_caketoolsMwanaid 14 วันที่ผ่านมา

    Allah mkubwa xana kalibun katika din yakisilam

  • @WanjiruCatherine-t3g
    @WanjiruCatherine-t3g 21 วันที่ผ่านมา

    Wapinga christo wameyanza kujitokeza...eee mungu tusaidiye....anakula mdomo tu akuna..chaukweli hapa wee kula uongo wako nakuchukuwa hukumu ....zake mungu

  • @JosephTherathini
    @JosephTherathini 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi wewe kama unamtumikia Mungu hubili neno la Mungu kila napokuona unasema mambo ya kishetani tu. Huyu shetani unampa utukufu bila kujua. Ebu fundisha neno la Mungu achana hayo. Fundisha Yesu nani watu waokoke

  • @BeatriceAssenga-p7l
    @BeatriceAssenga-p7l หลายเดือนก่อน

    Uko sahihi Sana...Ila ustoke juu yakit unachoonnglea

  • @MaryCharles-o4j
    @MaryCharles-o4j 11 วันที่ผ่านมา

    Kama umelipwa wacha kuaribu majina ya wachungaji wacha kuhukumu achia mungu kazi yake

  • @Bigirimanameshack
    @Bigirimanameshack 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ukweli ndohuyo!
    Bibiliya Ina sema siku za mwisho wengi watafanya maajabu kupitia jina la yesu kumbe hao hao ndo wako conected na ibirisi.

    • @samuelnthia8858
      @samuelnthia8858 2 หลายเดือนก่อน

      Ni Kweli kabisa

    • @samuelnthia8858
      @samuelnthia8858 2 หลายเดือนก่อน

      Nikweli kabisa huyo kijana anongea ukweli.

  • @EVANSKIRIMI-l5l
    @EVANSKIRIMI-l5l 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbuka Mungu ni moto ulao

  • @mercylinemakori7124
    @mercylinemakori7124 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nguvu sa mungu sishuke kwako uwache kuonge ujinga ezekiel 36 :26

  • @PamelaWaka
    @PamelaWaka 11 วันที่ผ่านมา

    Mm Pamela naabudu ninacho kijua, tena na shika sana nilicho nacho hakika sitapotoshwa na watu kaa ww.

  • @ibrahimjob4343
    @ibrahimjob4343 หลายเดือนก่อน

    Ajaujinga ndugu muogope Mungu

  • @AbdallaShikeli
    @AbdallaShikeli หลายเดือนก่อน +1

    Acha kurudia maneno plz.

  • @dioclesrevocatus-kx9yd
    @dioclesrevocatus-kx9yd 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuadhibu

  • @DaudiIbrahim-lr3eb
    @DaudiIbrahim-lr3eb หลายเดือนก่อน

    Ukweli huuma sana mungu tusaidie

  • @ChancellineMusanga
    @ChancellineMusanga 10 วันที่ผ่านมา

    Naitaji number ya Ezekiel pastor pa kenya

  • @MarianoAly
    @MarianoAly 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusayidiye.

  • @PaskaziaMbani
    @PaskaziaMbani 25 วันที่ผ่านมา

    tumuombe mungu

  • @PatrumayoWekesa
    @PatrumayoWekesa หลายเดือนก่อน

    🎉i trust this boy , remember we can only be Christians by birth not never believers by birth,i do really wonder which kind of God we are currently serving ,i dont want to mention but just read your back bibles ,we are not following christ in anyway ,guys wake up

  • @JaphetChama-y2j
    @JaphetChama-y2j 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unasema kweli

  • @FrankPetro-l7z
    @FrankPetro-l7z หลายเดือนก่อน

    Aiseee fanya Kaz uliyotumwa na mungu na sioo kuongea usivyo vijuaa Yan huelewek upo kama haupoo auu utoto unakusumbua

  • @NgatwileKijati
    @NgatwileKijati 2 หลายเดือนก่อน +4

    Njoo kwa waislamu uko akuna din sujudu kwaajili Allah

    • @ShedrackSaulo-h2p
      @ShedrackSaulo-h2p หลายเดือนก่อน

      🎉 😂😂😂

    • @EDWARDZIRO-v2l
      @EDWARDZIRO-v2l หลายเดือนก่อน

      Kwa usilam ndo kunani?hebu chunguza waganga wengi hapa duniani kama wanadini gani.

  • @samuelwambua37
    @samuelwambua37 2 หลายเดือนก่อน +1

    John 8
    [vs: 12] - [NIV] When Jesus spoke again to the people, he said, “I am the light of the world. Whoever follows me will never walk in darkness, but will have the light of life.”
    [vs: 44] - [NIV] You belong to your father, the devil, and you want to carry out your father’s desire. He was a murderer from the beginning, not holding to the truth, for there is no truth in him. When he lies, he speaks his native language, for he is a liar and the father of lies.

  • @cheronomercyline3753
    @cheronomercyline3753 16 วันที่ผ่านมา

    Catch fire 🔥

  • @MalebaEunice
    @MalebaEunice 2 หลายเดือนก่อน

    The truth will set you free

  • @MkapaHamsi
    @MkapaHamsi 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli wew umetumwa tofauti unahubili mambo ya xhetani

  • @mercyNdushi-c1n
    @mercyNdushi-c1n 12 วันที่ผ่านมา

    Chunga kufa mapema kijana,,and never talk to pastors ata kama Ako aje ,

  • @davsonk
    @davsonk หลายเดือนก่อน

    Zichunguzeni roho maana zote hazitoki kwa Mungu.kipimo ni Biblia.usemi wako unaenda ukikosa njia.Hata hizo siri za Kuzimu huzijui

  • @AgnesAdidas
    @AgnesAdidas หลายเดือนก่อน

    every one do her business

  • @AdventMtavangu
    @AdventMtavangu 15 วันที่ผ่านมา

    Atar aiseeeeeee

  • @EmanuelSimon-v3u
    @EmanuelSimon-v3u หลายเดือนก่อน

    The truth must be revealed

  • @KennedyMusau-gz7mx
    @KennedyMusau-gz7mx 3 หลายเดือนก่อน

    We Ni fala sanar nakuhurumia Sana mjinga wewe Ady mungu anaweza kufanya Bubu ,zuzu Na mjinga Zaidi Enda utubu dhambi kijana otherwise utajizi nanii

  • @Leonidha-o6g
    @Leonidha-o6g หลายเดือนก่อน

    😢ww umechanganyikiwa nkt!

  • @23568982
    @23568982 3 หลายเดือนก่อน +2

    Benny hinn alikuja Kenya ,sasa kuna shida Sana

    • @phionahsimiyu8334
      @phionahsimiyu8334 3 หลายเดือนก่อน

      It's true vile alikam Kenya ni makubwa yameibuka mengi

  • @AbelOkongo
    @AbelOkongo หลายเดือนก่อน +1

    Amini Analowaambia Huyu Kijana Acheni Mabishano Yasiyokuwa Na Maana Unless Unasupport Sheitani

  • @WALTERODIWUOR-n4g
    @WALTERODIWUOR-n4g 20 วันที่ผ่านมา

    I believe 😐😐

  • @estermmafie1758
    @estermmafie1758 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli umesema vyema kuhusu kutaman kumtumikia Mungu, lakin mambo ya kwamba ni wa kweli ama si wa kweli mwachie aliyemwita we fanya yako aliyokuitia Mungu achana na mambo ya watumishi, izo picha mnazowawekelea sii nzuri fanya yako kijana acha kiki

  • @tonykonki1437
    @tonykonki1437 3 หลายเดือนก่อน +19

    Kijana kama kiki tafta kwingine itakucost kundanganyana kutumia majina ya wachunganji.

    • @EmmaJohnson-nc7sk
      @EmmaJohnson-nc7sk หลายเดือนก่อน +2

      Wakati wa nuhu watu walitahadharishwa hawakuskia,,sasa huyu anayo siri kubwa

    • @JacklinNgabane
      @JacklinNgabane หลายเดือนก่อน +1

      Sema yote tujue kweli
      😢

    • @YoshuaNgasa
      @YoshuaNgasa 21 วันที่ผ่านมา +1

      Ametaja wachungaji wenu mmekasilika!...mimi wangu alivyotajwa nikafatilia...sikujua mchungaji wangu ni warlot and wizard ila nilibaini kuwa mch wang ni womenizer kapiga mabinti about whole church...nikaona hata kuitwa freemason ni kutumia tafsida.

    • @ZulfaMwasa
      @ZulfaMwasa 18 วันที่ผ่านมา

      Kama na wwe umosema mwache aseme ukwel tunajua Ving nasi

  • @DorcusAjando
    @DorcusAjando 11 วันที่ผ่านมา

    Mmmh toboa 2jue ukwel

  • @JoramSamweli
    @JoramSamweli 10 วันที่ผ่านมา

    Sidhani kama Kuna ukweli hapo

  • @AmbishenKevin
    @AmbishenKevin 2 หลายเดือนก่อน

    Aya bn

  • @Davidanthony-dw6ti
    @Davidanthony-dw6ti 3 หลายเดือนก่อน +1

    Acha kuwazungumzia watu kwa ubaya Broo

  • @RamadhaniOmary-z3h
    @RamadhaniOmary-z3h 19 วันที่ผ่านมา

    Msisemee kwa akili zenuu Munguu uwa afichii jamboo wewe kama unaona ni uwongoo ni boraa uwendee ukamliliee Munguu ali asemee ukwerii yeye ndo mwenye majibuu yotee na Munguu uwa afichi jamboo kwa Mtumishi wakee
    Ila kikubwa ni kufunga na kuombaa maana hata yesuu aliona na akasemaa WATAKUJA KWA JINA LANGUU. Kikubwa ni maombii kila wakatii sio kupoteza muda wa kubishanaa kila wakatii

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai หลายเดือนก่อน

    Kweli

  • @MichaelStephano-s2b
    @MichaelStephano-s2b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tayali kengele ya atali imekwisha Lia samwel kiujumla unatukumbusha kuwa macho kwani Dunia Ina waya waya cna

  • @brightergermanus2163
    @brightergermanus2163 2 หลายเดือนก่อน

    MBONA WALE WASIO NA ROHO WA MUNGU HAWAFANYI MIUJIZA BALI NI WALE TU WATUMISHI WA MUNGU WALIOJAZWA ROHO MTAKATIFU TU NDIO WAFSNYAO MIUJIZA. WEWE NI MUONGO MKUBWA BWANA AKUKEMEE

  • @BalickMgaya
    @BalickMgaya 20 วันที่ผ่านมา

    lisemalo lipo kama hakuna linakuja emung tusaidie wajawako

  • @YonathanMsamba
    @YonathanMsamba 2 หลายเดือนก่อน

    Sawa kama nikweli unachokisema maketuko nyakati zamwisho 6:16

  • @joymarion1045
    @joymarion1045 29 วันที่ผ่านมา

    Kindly leave for Himself to judge please

  • @JoyceWasikeLirhu
    @JoyceWasikeLirhu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kama umekosa kazi,utalaniwa kwa uongo wako, mpuuzi we ushindwe.

  • @beatricekagali1048
    @beatricekagali1048 2 หลายเดือนก่อน +1

    Agent wa kuzimu unajulikana umekuja kuhari ukweli wa Mungu.

  • @BeatriceSoka-c7c
    @BeatriceSoka-c7c 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka achana na hizo story zako hazina mashiko pia hueleweki aliyekutuma mwambie afanye mpango mwingine huu umedunda

  • @evakai6895
    @evakai6895 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kijana chunga utapigwa upofu wa laana usiingiliye wachungaji

  • @RehemaMsosa
    @RehemaMsosa 11 วันที่ผ่านมา

    usiniambukizee ugumu wako wa Maisha

  • @ElnorahKivunga-w1z
    @ElnorahKivunga-w1z 2 หลายเดือนก่อน

    Ndugu yangu kama wewe mungu ashakukomboa wao waache wafanye yao na wewe fanya yako unatukata mastimu Mimi mwenyewe nategemea hao wachungaji wanisaidie wewe nawe watafuta kujulikana Wacha basi ata mara moja😮😮😮

    • @فاطمهال-ص7ت
      @فاطمهال-ص7ت 2 หลายเดือนก่อน

      Mapast wengi sahii wanatumikia shetani chungeni

  • @ashurasaid8409
    @ashurasaid8409 2 หลายเดือนก่อน

    Ukweli ni mchungu Sana

  • @BentaAmukhuma
    @BentaAmukhuma 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndio unamkashifu wacha nikwambie kijana umetumwa na watu wako. Bibilia inasema waheshimu wakubwa wako hao watumishi unaowaharibu marina yao utawakumbuka siku moja .The Bible says do not judge Judgement is 2 God usitwambie ujinga kwani umelipwa pesa ngapi?

  • @RobertKarisa-tm9ts
    @RobertKarisa-tm9ts 2 หลายเดือนก่อน

    Mm ata sikuelewi

    • @kuschprince3216
      @kuschprince3216 2 หลายเดือนก่อน

      " Waamwa kilamo! Hedu akale waira msumbo!!

  • @raymondrayfat3845
    @raymondrayfat3845 2 หลายเดือนก่อน

    mbona ni mdogo saaaana

  • @MaggieKazungu
    @MaggieKazungu หลายเดือนก่อน

    Ezekiel simpendi kabisaa

    • @YoshuaNgasa
      @YoshuaNgasa 21 วันที่ผ่านมา

      Ezekiel humpendi kwa sababu gani?

  • @WINGSTONOCHIENG
    @WINGSTONOCHIENG 21 วันที่ผ่านมา

    Mwongoo uyu kijana

  • @AlbertOmayo-w4j
    @AlbertOmayo-w4j 12 วันที่ผ่านมา

    Atawewe umeisha

  • @BeatriceSoka-c7c
    @BeatriceSoka-c7c 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka unakera hubir injil achana na hiz habar unajichanganya

  • @davsonk
    @davsonk หลายเดือนก่อน

    Hizo sauti za kunguru mnyuma yako zaeleweka pia.

  • @patrickallan8694
    @patrickallan8694 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu kijana haeleweki anachoongea hajielewi

  • @PaskaziaMbani
    @PaskaziaMbani 25 วันที่ผ่านมา

    beni hini

  • @Leonidha-o6g
    @Leonidha-o6g หลายเดือนก่อน

    Aja ujinga bana Ezekiel n nabii WA kweli tangu lini mwenye amekudanganya naenda mkatase mwambie naye ajaribu sense

    • @EmmaJohnson-nc7sk
      @EmmaJohnson-nc7sk หลายเดือนก่อน

      Mpime kwa sheria na ushuhuda kisha uniambie

  • @EverlineOnkundi-fn8bn
    @EverlineOnkundi-fn8bn หลายเดือนก่อน

    Huyu kijana hanaraniwa sana

  • @Vionanandy
    @Vionanandy หลายเดือนก่อน

    Na pia ww unasinya kuongea pole pole kila mara unatoboa siri siutoboe tusikiye mshenzi nini

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 3 หลายเดือนก่อน +1

    HIVI WEWE FREE MASONS UNAIJUWAA?. 😢

  • @bishingwemaxime3655
    @bishingwemaxime3655 2 หลายเดือนก่อน

    Na yeye huyu mbona hatukumuona akiwa na pesa alizopewa na freemason

  • @CollinsAmayi
    @CollinsAmayi หลายเดือนก่อน

    We mshenzi

  • @AgnesMbindo
    @AgnesMbindo 3 หลายเดือนก่อน

    Psams 35:5 kwa ajili ya watumishi wa mungu, na huwe makapi mbele ya upepo malaika wa bwana akikufuatilia

  • @bishingwemaxime3655
    @bishingwemaxime3655 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu anasema atatoa siri. Siri gani sasa

  • @GfGf-y4f
    @GfGf-y4f หลายเดือนก่อน

    😭😭😭

  • @JohnBayona-i7d
    @JohnBayona-i7d หลายเดือนก่อน

    Wew ni mbuz kam mbuz wengin

  • @MariamBiu
    @MariamBiu 3 หลายเดือนก่อน

    Ht sikuelewi unabadilisha maneno Kuna kipindi ulisema Eze na mwamposa iweje leo unasema una Mashak nao muongowewe

  • @samuelnthia8858
    @samuelnthia8858 2 หลายเดือนก่อน

    Kijana unaongea ukweli.

  • @AndrewchirwaChirwa
    @AndrewchirwaChirwa 2 หลายเดือนก่อน

    Anasema ukweli uyu

  • @estomihawary4647
    @estomihawary4647 9 วันที่ผ่านมา

    Nafikiri unatakuwa uende kuombewa kwa pastor Ezekiel ukombolewe! Inaonekana una mapepo. Bado na nadhani umetumwa ili kupata kick pumbavu wewe

  • @HappnecPaullo
    @HappnecPaullo 2 หลายเดือนก่อน

    Ukweli ukweli ukweli tunaskiliza uoukweli wenyewe uko wap

  • @Blessing_uk
    @Blessing_uk 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sema sometime naweza sema naamni maneno ya hyu dogo kwa sababu lait ungekua uongo ao anao wachafua wangekua wamesha mtafta wamnyooshe..hvi nyie mnadhani isinge kuwa ukwer fremason wangekubali kuchafiwa?wangemfata dogo wakamkanda kama chapati unafanya masiara nin,

    • @HeppyRafaeli
      @HeppyRafaeli 3 หลายเดือนก่อน

      Binafsi niseme, Watumishi wa Mungu wapo ngazi za kila aina. Kuna Mashemasi,Wachungaji,Wainjiristi na Manabii wa Munguu. Na kila mmoja ana nguvu zake kadri Munhu anavyomtumiaa.

    • @HeppyRafaeli
      @HeppyRafaeli 3 หลายเดือนก่อน

      Nasema hivi! lipo andiko limeandikwa Usiende,Usiingie nyumbani mwa Bwana Mikono mitupuuuu. Sada ni sawasawa na nihaki. Pia Waacheni Manabii wa Bwana waponye watu kadri Mungu alivyowatuma na kuwapatia kiballi kikubwa cha kuona shida za wanadamu na kuwasaidiaa. Tusiwaseme vibaya Manabii wa Bwana tuwaombee wana kazi kubwaa sana Mungu azidi kuwapa Kibali. Tusiwaseme watumishi wa Mungu kila mwenye utumishi apambane na hali yake mwenye kutaka nguvu zaidi ya kuinuliwa kihuduma basi achuchumilie mbele ya Nabii na kupata kibali zaidi. lakini sio kujinuua kuwasema vibaya. Mungu awabariki wte

    • @estermmafie1758
      @estermmafie1758 2 หลายเดือนก่อน

      Akuna mtu mwenye muda wa kushindana kwenye mitandao, acha Kila mtu afanye mwito wake

  • @PaulinaLodboi
    @PaulinaLodboi หลายเดือนก่อน

    Wewe pia nishadadi wa shetani kama kweli wewe umeokoka usingekuwa unang'ata na kupuliza Mungu hapendi watu vuguvugu. biblia inasema huwezi kukiona kibanzi kwenye jicho la mwenzio wakati wewe una boriti kwenye jicho lako....biblia inasema toa boriti kwenye jicho lako kwanza ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzio

  • @MinahMjeni
    @MinahMjeni 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe nawe hatukuelewi,kipindi kile ulisema kanisa la ezekiel ni moto kuna mungu wa kweli,hivi leo ushageuka.yafaa upimwe akili pia

  • @sindiheburasylvester2942
    @sindiheburasylvester2942 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huu bado yuko pale pale muongo

  • @kazungudaniel9314
    @kazungudaniel9314 2 หลายเดือนก่อน

    Mshenee n dhambi jitakase sn kk

  • @AminaSanga-pr8li
    @AminaSanga-pr8li 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe acha uongo

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 2 หลายเดือนก่อน

    Mtu anaongea vitu vya maana na tusimu twenu mmeshavamia wengine hata mlango wa kanisa hauujui embu mpishe kijana wa maana aongee

  • @lucydaniel8304
    @lucydaniel8304 หลายเดือนก่อน

    NATAMANI NINGEKUKAMATA KIPIGO CHAKO CHA MBWA KOKO MBWA WEWE

  • @EvePatrick-u7m
    @EvePatrick-u7m 2 หลายเดือนก่อน

    kama wachngaj n freemason s uponye ww wagnjwa ,we acha upuuz bs hvyo watu wafe tu bs taja manabii wa kwel wakapnye watu mana we unajfnya una maono au watatlie matatzo ww 19:25

  • @StarRobby
    @StarRobby 21 วันที่ผ่านมา

    Kumbe una akir et????😢😢😢 alafu ni thambi kuwasema vibaya watumishi wa mungu iv we uwog0p?? au ndo unatafuta kik kwa watumish wa mungu??? tunajua ata yesu alisema watakuja manabii weng wa uwongo na watap0nya kwa kutumia jina lake ww nan ulie shindwa kukaa kimya ukaenda shamban kurima maind ule ujaze choo mbwa weweeee

  • @NeemaMdoe-sr6ci
    @NeemaMdoe-sr6ci 3 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli inaleta kigugumzi sana huyo eze siyo much wakweli lakin anachanganyaa

    • @greysonmalila1296
      @greysonmalila1296 2 หลายเดือนก่อน

      Na hiyo yako yaukweli ji gani sema tuisikie pia tukufuate wewe sababu Kama mtu anafunza watu kuacha dhambi na kurudia ndoka zao za kwanza ambayo ndio imeandikwa kwa bible na mwasema ni uongo si museme yenu ya ukweli tuisikie

  • @Priscakeneth
    @Priscakeneth 3 หลายเดือนก่อน

    Ss tukuelewe vp maana kuna crip ulisema Ezekiel na mwamposa wako sahihi leo umesema mengine mhh mtihan

  • @StarRobby
    @StarRobby 21 วันที่ผ่านมา

    Kapime akir weee kenge alaf mind your life