MCHUNGAJI AFUNGUKA MAZITO YA FREEMASON

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 592

  • @KelvinAmos-ow7pf
    @KelvinAmos-ow7pf 3 หลายเดือนก่อน +2

    Blother utalaniwa na mwenyez mungu we ichezetu dunia

  • @lamoslameckekitambala8863
    @lamoslameckekitambala8863 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu azidi kukupa maarifa na kutadharisha watu wengine maana wengi wanaendelea kujiunga.

  • @GuzuraGuzura
    @GuzuraGuzura 7 หลายเดือนก่อน +14

    Jitahidi uwe unafupisha hbr, lkn ueleweke, mb huku n changamoto sana

    • @Victorinjames
      @Victorinjames 5 หลายเดือนก่อน

      Anasema ukweli uyukijana nimekanae namfaham

  • @LauSeven-vj1tf
    @LauSeven-vj1tf 4 หลายเดือนก่อน

    Ndug yang wewe umli huo unajiunga na mali za kichawi bora umemludia mungu wako ubarikiwe pia utafte maisha kwanguvu zako god bless u

  • @AmbonisyeMwanda
    @AmbonisyeMwanda 6 หลายเดือนก่อน +6

    Ndugu kutoa siri ya watu cndiko kuokoka 'we kama umeokoka shukur Mungu 'batrimao alisema yote cjui ninachojua nilikua kipof sasa naona ndo ushuhuda siri hazitoweza kusaidia anajua Mungu

  • @mussarizzyofficial7898
    @mussarizzyofficial7898 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ulisema utawataja watu waliojiunga na freemason wasanii, wachungaj,wachezaj viongozi wa umma,lakn nimekuckiliza mapaka mwisho hujawataja hata mmoja but thanks for ur advice broo

  • @jetuwalugano6976
    @jetuwalugano6976 7 หลายเดือนก่อน +16

    Sio kwamba ulitii amri zao acha kuwapigia debe mungu ataongoza watu wake

    • @ElinaNyangachi
      @ElinaNyangachi 5 หลายเดือนก่อน

      Fatilia kosa cha tajiri na lazaro wenye hekima ndio hutambua yasemwayo

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 หลายเดือนก่อน

      Ww acha hzo ww

  • @user-xx1wp2re5t
    @user-xx1wp2re5t 6 หลายเดือนก่อน +14

    Brother Mungu akupe nguvu endelea. usiache kuwaaibisha hao watu imenifunza kwa kiasi fulani

  • @tinnabernard3538
    @tinnabernard3538 6 หลายเดือนก่อน +13

    Mungu akupe nguvu zaidi na zaidi amen

    • @Dominant97
      @Dominant97 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @niolaussdavid
      @niolaussdavid 4 หลายเดือนก่อน

      kwa upumbavu wake

  • @user-vt4vd5rh8u
    @user-vt4vd5rh8u 6 หลายเดือนก่อน +6

    Kuna ushuhuda mwingine nmesikilza imefafanua zaidi mwamposa me cna Imani nae Wala mahybiri yake cyahitaji Tena,

    • @PhennyBunde
      @PhennyBunde 2 หลายเดือนก่อน

      nakuunga mkono

  • @lightnessassery9876
    @lightnessassery9876 5 หลายเดือนก่อน +2

    We ongea habari za Yesu achana na watu Mungu Mungu anawajua mwenyewe

  • @gershombwana
    @gershombwana 4 หลายเดือนก่อน

    Shida ni kwamba watu wanapenda Sana kuamini miujiza ndio waamini kitu Fulani,binafsi Mungu wangu wa mbinguni awe anatoa ishara,au miujiza au asitoe ishara au miujiza nitaendelea kumwamini sababu Imani yangu haikujengwa kwenye misingi ya ishara Wala au miujiza,pili watu wengi naamini hawasomi maandiko wao wanapenda maneno ya kuambiwa ambiwa pasipo kusoma ,tatu baadhi ya watu wengi hawamwabudu Mungu wa mbinguni bali huwaabudu watu kwa maana ya baadhi ya wachungaji utasikia MTU anakwambia mi nasali kwa mchungaji fulani............fikiria andiko hili ....watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Mungu awabariki nyote

    • @niolaussdavid
      @niolaussdavid 4 หลายเดือนก่อน

      mpumbavu mmoja anasimama kupotosha na watanzania mnavyopenda kupotoshwa mnaingia kichwa kichwa

  • @EstherMgala
    @EstherMgala 6 หลายเดือนก่อน +4

    ubarikiwe kaka mungu yupo pamoja nawewe

  • @user-cr9op3bz1u
    @user-cr9op3bz1u 4 หลายเดือนก่อน

    The way the son of God came world, the is people who loved him and others no, live that man Alo be looking at fmy . from ug❤❤❤❤

  • @alphonceamon5419
    @alphonceamon5419 7 หลายเดือนก่อน +24

    Daaaaaah uyu nimdanganyifu ametumwa kupoteza watu kabisa watu wa Mungu kuweni makini jamn asee daaah uyu kijan jmn namuurumia jaman niwakala wa ibirisi kabisa yan jmn kuweni makini watu wa Mungu😂😂😂

    • @leilakira
      @leilakira 5 หลายเดือนก่อน +3

      Unajua aje anadanganya mungu aliwapa macho lakini hamwoni😭😭ambia mungu akupe macho ya kiroho

    • @JenipherMourice
      @JenipherMourice 5 หลายเดือนก่อน

      Mmmmh yote ni mauongo tupu kwenda huko hunalolote

    • @AvuraKashindy
      @AvuraKashindy 4 หลายเดือนก่อน +1

      Acha kutukan nyie muombee tu kam ni huongo Mungu atambadilisha na kutukana sio njia sahih ata Mungu hapendi kuwa makin na muwe na kiasi cha maneno yote mtamkayo msitukane jmn

    • @jafarimsigwa277
      @jafarimsigwa277 4 หลายเดือนก่อน

      Naona kama naibiwa Mb vile:

    • @samjohn7230
      @samjohn7230 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu kijna anatafuta kiki tuu

  • @user-ki4ps2yg3x
    @user-ki4ps2yg3x 7 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu akubark lakn kama umetumwa kuokoa watu wa Mungu kua sirious acha mzaha, cku ya mwisho utaulizwa weka u sirious kwenye testimony

    • @gracesidi1174
      @gracesidi1174 6 หลายเดือนก่อน +1

      Tuombee Mchungaji,twaumia na jamii yangu

    • @samjohn7230
      @samjohn7230 4 หลายเดือนก่อน

      Dg anatunga, mambo yke

  • @tinnabernard3538
    @tinnabernard3538 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mtumishi Samwel asante sana umenifungua asante Mimi na watoto wangu tumepigwa nakitu kizito asante mtumishi

  • @user-de3hn6nk5h
    @user-de3hn6nk5h 5 หลายเดือนก่อน +5

    Ongea point

  • @beatricejohn7569
    @beatricejohn7569 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu akubariki,usjali maagent wanaotumika kukuvunja moyo,piga kazi dogo

    • @CatherineShipimilu
      @CatherineShipimilu 6 หลายเดือนก่อน

      Yes

    • @NUSURA
      @NUSURA 5 หลายเดือนก่อน

      Umelipwa shingapi na mwaposa😅😅

    • @niolaussdavid
      @niolaussdavid 4 หลายเดือนก่อน

      ambariki kwa upuinbavu wake

  • @user-xe3wp3hd3u
    @user-xe3wp3hd3u 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera Kaka mungu akupe uelewa zaidi na nguvu

  • @Pilausbwinyo
    @Pilausbwinyo 5 หลายเดือนก่อน

    Omben
    Mungu awafunulie macho ya rohoni ,msipende kuwa watu wakusikia tu ndomaana Kuna nulu na Giza Yesu alisema watu wangu wanaangamia kwakukosa maalifa,ukiwa thabiti katka maombi Mungu lazima akufumulie, je hyo yakwel ama la

  • @user-dj4de6kt4p
    @user-dj4de6kt4p 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu azidi kukutianguvu yupo pamoja nawe

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 3 หลายเดือนก่อน

    Yesu kristo Anakuja kila mtu ajipime mwenyewe kama kateuliwa au kakataliwa , kumuona mwenzio kapotea hiyo sio kweli unatakiwa ujione we we kuwa umekubalika au. Umekataliwa

    • @mamu-fl9dj
      @mamu-fl9dj 3 หลายเดือนก่อน

      Amina, Mungu azidi kukulinda na kukuinua

  • @JulesKalombe
    @JulesKalombe 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi Niko kongo 🇨🇩 Kaka mungu akubari kweli njia mbaya ya freemason 😭😭

  • @cadsonesmo
    @cadsonesmo 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mwenyez mung akuongezee na akutie nguvu cads@

  • @user-bj9fp7vt7g
    @user-bj9fp7vt7g 6 หลายเดือนก่อน +2

    barikiwa kijana ayo major nikweli Walton amacho yakiroho waelewa na wanna usiongope matisho yao ata Bambang yao akuwezi maana yesu wake alimshida

  • @user-te7mc8gw8o
    @user-te7mc8gw8o 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu akuinuwe sana

  • @EdouardJohnson-pw6lt
    @EdouardJohnson-pw6lt 3 หลายเดือนก่อน

    Watu wa Mungu kuweni makini si mtumishi wa Mungu huyu ni mtumishi wa ibirisi

  • @MaureeneWasilwa
    @MaureeneWasilwa 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akutie Mungu daima na akupe rafaeli malaika wa vita apigane na hayo mapepo

  • @BenardSimon-me5ky
    @BenardSimon-me5ky 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kama wajua mafuta ya kawe yanasidia sana kwanin ww usichukue upelekeeee kwa rusifaaa ili akose nguvu ya kuua wanadam. Kwan ww rusifa wamjua na Mungu amekutuma, ww umekimaa au furaha yako ni kuona watu wanateseka na magonjwa au waendeee kawe kila siku. C utusaidiee kuzuia kazi ya rusifaaa

  • @AvuraKashindy
    @AvuraKashindy 4 หลายเดือนก่อน

    Watumishi tusipende kuhukumu kbla hatujahukumiwa mbn tunatukan ivo jmn tusiruhusu. Vinywa vyetu kutenda zambi zisizo za lazim kumbuk ata Bwana yesu alitukanwa na kupigwa mawe na alipingwa na kukataliwa ko msiwe wepesi kuhukum kuwen na busara watu wa Mungu. Watumishi wa Mungu na manabii walitukanwa sembuse uyu Acha kutukn kbsa na Mung atusaidie

  • @user-uy3gy5gx4o
    @user-uy3gy5gx4o 7 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu yu mwema❤❤

  • @CatherineKimoso
    @CatherineKimoso 5 หลายเดือนก่อน

    Imani ni matishio au nikumjua mungu?mungu hachunguzwi.wachunguzi wa kwanza walimchunguza yesu wakasema ana pepo la bezibebuli. ndugu simama

  • @miriamkaaya3618
    @miriamkaaya3618 4 หลายเดือนก่อน

    Tumia mamlaka na damu ya YESU,uondoe huo mlango wao YESU atawale mwenyew,wameshashindwa mwache MUNGU aitwe MUNGU.

  • @RehemaJuma-bb6py
    @RehemaJuma-bb6py 5 หลายเดือนก่อน

    Eeeee. Hiyo ni kaz, ya mungu kununuwa mtumishi was kwel na wa kweli , yy atabaguwa kondoo, na mbuzi, Asante.

  • @RevocatusKisaba
    @RevocatusKisaba 3 หลายเดือนก่อน

    An afadhali hata umelitambua hlo muomb sana mungu usiweze kuyarudia hayo 🙂🙂

  • @user-yp2sf7yx4k
    @user-yp2sf7yx4k 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akupe nguvu zaidi n'a uendeleee kuwaaibisha wasikutishe

  • @miriamkaaya3618
    @miriamkaaya3618 4 หลายเดือนก่อน

    😭E MUNGU naomba utuzidshie macho ya rohon kwan ktk wewe tunayaweza mambo yote 🙏 GOD

  • @user-mt8mj9qw8z
    @user-mt8mj9qw8z 5 หลายเดือนก่อน +5

    Acha stori naenda kwenye pont

  • @AngelaWillison-yi3fm
    @AngelaWillison-yi3fm 4 หลายเดือนก่อน +1

    Saaaaana kaka ata bibilia inasema tusiione haya injili kwakua ni uweza uletao wokovu sema kaka uokoe wengi na roho wa mungu akutumie

    • @miriamkaaya3618
      @miriamkaaya3618 4 หลายเดือนก่อน

      Right

    • @user-dj4de6kt4p
      @user-dj4de6kt4p 4 หลายเดือนก่อน

      Ila Kuna watu hawalisikii neno wabishi sanaa

  • @user-fr4lw2wd3q
    @user-fr4lw2wd3q 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ndugu yangu samweli sasa unawambiaje waende sehemu pabaya wakati unajua kabisa sio wachungaji sahibi,ebu naomba tunyoshee maelezo

  • @user-jy5di4hh8l
    @user-jy5di4hh8l 5 หลายเดือนก่อน

    Brothey uxichok kwa ukubwa na uzito unao pitia kunasehem ume tutoa nakutuweka tunashukuru sana mungu akuongozesa kwakirahatua unayotu weka tunapata kuelewa atatusiyo yajuwa

  • @user-ob6qy8py6l
    @user-ob6qy8py6l 5 หลายเดือนก่อน

    Huna nguvu za mungu usiwadanganye watu wa mungu,hakuna jina liwezalo kutuokoa Kwa loho Bali jina la YESU mafuta yanini maji yanini

  • @JenipherMsisi
    @JenipherMsisi 5 หลายเดือนก่อน +2

    Fupisha bro tukuelewe ucwe na maneno mengi

    • @Dominant97
      @Dominant97 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @zipporahkathure5828
    @zipporahkathure5828 6 หลายเดือนก่อน +5

    Acha ufala bro,tafuta pesa kwa njia nyingine

    • @janewanjiku3716
      @janewanjiku3716 6 หลายเดือนก่อน

      True

    • @leilakira
      @leilakira 5 หลายเดือนก่อน

      Don't be quick to judge one day guys you will know the truth

  • @ReaganGT-ww4vu
    @ReaganGT-ww4vu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hi my best family, mwenzenu ni mwimbaji wa nyimbo za injili, nawaomba supports zenu plz, follow Reagan Enzi ili uwe wa kwanza Ku pata Ngoma Zetu 🥰🥰 Asante sana barikiwa

  • @PatrickMutunga-lo9pb
    @PatrickMutunga-lo9pb 4 หลายเดือนก่อน

    Unajua walimuita yesu mkuu wa mapepo,kwahivyo mwenye hekima adanganyiki...ndungu zangu watu wa Mungu,chagueni ukweli wacheni kupotezwa.

  • @user-ht4lq4is1f
    @user-ht4lq4is1f 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mh !!! Nimeishia apa kukusikiliza maana shetan tayar kashakutawanyisha ata hujui nn unaongea

  • @user-oq5cy9rc4s
    @user-oq5cy9rc4s 5 หลายเดือนก่อน

    Muim sana naomba moyo wako ushirikiana na sauti ili kinacho toka moyoni Baci kisikike kupitia sauti kwasababu inafasi kubwa sana kwa mwanandam kuzungumza lugha nyingine moyoni ila kwa mdomo awezi . Kwailo ndio ilivyo kwako wewe moyo unazungumza ili lakini mdomo lile kwaiyo tuwe makini sana 🙏

  • @user-ut1ls8fi8f
    @user-ut1ls8fi8f 6 หลายเดือนก่อน +1

    Aisee jamaa eleweka na useme ukweli usikute unawatetea hao watumishi watu wa Mungu wazidi kupotea hakika utaulizwa na MUNGU MWENYE ENZI YOTE we haya

  • @akumbaoderostephen7184
    @akumbaoderostephen7184 6 หลายเดือนก่อน

    Sema kweli nayo ikuweke huru! Mbona roho ya uoga hakumiliki kaka? Taja wachunguji, wanamziki walioko freemson kwa majina yayo!!

    • @nurufranklin225
      @nurufranklin225 6 หลายเดือนก่อน

      Kunawatu wanaandaliwa ,na viongozi wengine wadini wenye wafuasi wachaache ila kijana aeleze uongo mwingi, in short ipo kibiashara ,
      JAMAN SIMAMENI KWAMIGUUYENU MUMJUE MUNGU ,HAKUNA FREEMASON KAMA HIO ,POOR MIND ,POOR KNOWLEDGE, FANYENI KAZI ,
      UKIMJUA MUNGU NA MGUVUZAKE ,IZI BRABRA NI UCHWARAAAA TU, KNOW GOD AND SEEK HIM ,ACHANA KUCHAFUA WATU, WAPO WALIOPONA KUPITIA HAO,

  • @dorcaslundumen4370
    @dorcaslundumen4370 3 หลายเดือนก่อน

    Asante kuttia moyo Mungu akubariki

  • @furahazero6559
    @furahazero6559 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kama hujatumwa Na lusifa Basi wewee Kwa Nini usiamini Kia Mungu ndiye king wa makingi Muamini bwana Mungu wako tuu

  • @soniaramadhani668
    @soniaramadhani668 5 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa kaka na Mungu azidi kukulinda

  • @HidayaMnindila
    @HidayaMnindila 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona husemi ww umeombewa wapi tukaona uponyaj wako ulikuaje buanaa😊😊😊

  • @user-ox6hg1wm1h
    @user-ox6hg1wm1h 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwakuni nipa fuzo na ufaham zaaidi

  • @BenardSimon-me5ky
    @BenardSimon-me5ky 4 หลายเดือนก่อน

    Before hao watu wawili wa Mungu kuja / kuzaliwa rusifa hakuwepo. Kwann usemi rusifa anapatikana wapi uko ulikoenda ili tuandamane kumfukuza maana dunia tumeumbiwa kutawala wanadamu sasa wajua shetan aliko sema wanadamu wamfukuze ili tuwe uru

  • @MariaMzava
    @MariaMzava 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie wapemdwa tuwe tunsoma neno la mungu ili tusidanganyike

  • @AnnastasiaSylivester
    @AnnastasiaSylivester 4 หลายเดือนก่อน

    Hata biblia huijui,hata kusoma unajua kweli,mwamposa baba songa mbele umeinuliwa na mungu sio wanadamu,na injil hujaianza leo,nakupenda we ni kifaa Cha bwana❤❤❤❤❤

  • @MichaelMoye-gw1yr
    @MichaelMoye-gw1yr 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuongoze

  • @user-do8ue3wy9v
    @user-do8ue3wy9v 6 หลายเดือนก่อน +1

    Acha bas maana Ata maandiko tunayajua Ata wewe yawezekana mbigu usipate. Maana kumkana lusifa c kupata mbigu .unajua ukimbia dhambizako kwani ulivo jiunga nani alikutumaaa. Acha kumjalibu mungu..

  • @user-tf7hz6mw1o
    @user-tf7hz6mw1o 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli Sheitani mudaganyivu, Mungu akutie nguvu bro uzidi kutoboa siri

  • @user-et7km8uz8g
    @user-et7km8uz8g 5 หลายเดือนก่อน

    Honger kak mungu akupe nguvu na uelew

  • @JacklineMsaki-wj5pl
    @JacklineMsaki-wj5pl 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mbona hajielew 😂😂anaongea nn Yaan Ebu Njoo kwny ibada jpil

  • @mussapaul3295
    @mussapaul3295 4 หลายเดือนก่อน

    God bless you

  • @user-wd5uh7dh8i
    @user-wd5uh7dh8i 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi uliyo ipewa na mungu ifanye bila wasi maana mtetezi yupo

  • @user-bk8pe4qe6j
    @user-bk8pe4qe6j 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akupe nguvu

  • @PaulMurhabazimasumumu-lz3rx
    @PaulMurhabazimasumumu-lz3rx 6 หลายเดือนก่อน

    Ndugu Sam we l wewe ni mwongo kweli kweli kabisa tangu sasa ujuwe hakuna wokovu unaopatikana kwa makuta kwa Majid ao vitu vingine vyovyote isipokuwa kufuata taratibu ya matendo 2:37-38 na kuendelea mu Imani mitume walio tuachia sema wewe ni mujumbe WA lusufer na unapenda watu wajiunge achat Yale mambo Yako mitandaoni amini yesu

  • @yehoshafatisuhuzwa4399
    @yehoshafatisuhuzwa4399 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ongea point acha kuzunguka zunguka neno moja unaludia mala 2x2 unaboa

  • @user-zl4bk5bn4t
    @user-zl4bk5bn4t 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki

  • @ZuDadi
    @ZuDadi 5 หลายเดือนก่อน

    MUNGU anaishi umilele lakini manabii na mitume wanazaliwa, wanakufa
    Anachosema huyu ni kweli mtu wa kwanza kutumwa alikuwa kerubi alimjua Muumbaji kuliko wote akafeli, Adam alikuwa mkuu lakini alifeli
    Huyu mtumishi sio muongo kuna kitu anakieleza jaribuni kusoma kitabu
    Waliomwangusha Yesu hawkuwa wale akina Herode walikuwa watumishi au mafarisayo
    Walivamiwa kwa hiyo unaweza ukamuona mtumishi yuko vizuri baada ya muda ameanguka.
    Tuna maaskofu walisema hawawezi kugombea uongozi wa siasa ndani ya taifa hili leo ni wabunge
    Tunatakiwa tuwaombee.
    Yesu alitakiwa msamaha Bure.

  • @MathiasNzungu
    @MathiasNzungu 6 หลายเดือนก่อน +2

    Umetumwa na national toka hapa mungo walioitwa wanahekima

  • @user-wd5uh7dh8i
    @user-wd5uh7dh8i 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuinie zaidi maana unayo sema nanimazito

  • @WarthaNungu
    @WarthaNungu 5 หลายเดือนก่อน +1

    mungu azid kukulindaa kwakweli

  • @RehemaRehemaJosephbaraka
    @RehemaRehemaJosephbaraka 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona hao watu anao sema ndo sina imani nao kabisa jamn

  • @mariamchannel9234
    @mariamchannel9234 5 หลายเดือนก่อน

    Hahaha nimemuelewa sana , kaongea kinyume kawataja wachunguji kinyume

  • @user-hr5qr1jv5x
    @user-hr5qr1jv5x 6 หลายเดือนก่อน +3

    Safi ujasiri

  • @user-ns9bn1mu1y
    @user-ns9bn1mu1y 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona uelezi Bwana alivyokuokoa,unatupa wasiwasi kama ushuhuda huu si wakubumba!!

  • @athumanimwaimu3460
    @athumanimwaimu3460 5 หลายเดือนก่อน

    Umeona usagaji tu mashoga nao ataww muongo mungu akuoteshe kwautakatifu gani achabifu

  • @EmilyNanjala-fz9je
    @EmilyNanjala-fz9je 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuebushe kabisa na freemason

  • @JeankissKalonda
    @JeankissKalonda 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi napenda kipande iki kya Freeman, mimi n'a taka niwe pamoja n'a jama cha Freemanson

  • @NephaelMoriasi
    @NephaelMoriasi 4 หลายเดือนก่อน

    😢wee hata haujielewi wala haujitambui toka hapo nenda zako

  • @GraceMakoye-zu1ux
    @GraceMakoye-zu1ux 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde❤

  • @user-hj5mv9bc9p
    @user-hj5mv9bc9p 7 หลายเดือนก่อน +2

    🎉❤ nimekukubali sana nisingeyajia haya 20:04

    • @bethnjeri1697
      @bethnjeri1697 7 หลายเดือนก่อน

      Na Kwa sababu umeokoka na kutoka freemanson wacha kuongea mambo ya kule Sana muda mwingi hubiri neno la mungu ili watu wapate kukobolewa,shetani Hana nguvu juu ya yesu

    • @bethnjeri1697
      @bethnjeri1697 7 หลายเดือนก่อน +1

      Preach the gospel hiyo muda mwingine umebakisha

  • @warinimasanja6738
    @warinimasanja6738 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂hii nchi uhuru umezid mtu analala akiamka anaamua kuongea lake sas huyu kijana anaongea ujinga gani apo😅

  • @user-md6zl9wv5e
    @user-md6zl9wv5e 7 หลายเดือนก่อน +3

    Unakera sana kwenye maelezo yako huna utulivu wa kuelelezea kile kilichokuleta mtandaoni broo bora uondoe hii

  • @user-ok1ts9cn9j
    @user-ok1ts9cn9j 6 หลายเดือนก่อน

    Ikiwa yesu mwenye mamlaka hashuguliki nao nyie visismizi mnawatangaza kwanguvu hongeleni kwakumtumikia huyo frimason, acha wakuingilie maana ndio unao wawaza, badala yakumtanaza Yesu mnawatangaza watuwenu,,, haaya hongeleni

  • @samuelwambua37
    @samuelwambua37 5 หลายเดือนก่อน +1

    Baba soma bibilia thambi abayo aitawai samehewa kuongea vibaya kuhusu roho mtakatifu

  • @user-qk9iz5lt8q
    @user-qk9iz5lt8q 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndg NIMEMFWATILIA SANA ila bado cmuelewagi japo natamani sana ILI nimuekewe nimeshindwa KABISA kama ni masomo bas Mimi yamenipita mbali

  • @MathiasJames-mr4vc
    @MathiasJames-mr4vc 6 หลายเดือนก่อน +2

    Zungumzia manabii wengine lakini usimzungumzie mwamposa

    • @user-hn1ou2rc6x
      @user-hn1ou2rc6x 5 หลายเดือนก่อน

      Kkkk mwamposa nn nani?? Hawezi yeye kwenda huko au umebeba loho yake semea yako usiamini mwezio jiamini mwenyewe

  • @BenardSimon-me5ky
    @BenardSimon-me5ky 4 หลายเดือนก่อน

    Kama hauwezi kutaja wachungaji wa Tz why umetaja kawe umesemaa unanguvu umekomaaa ukomavu wako uko wap, ww nae ni agent wa uko ukusemakooo, c useme kweli ya Mungu ata wanaoshirki ibada uko wapone. Ww ulipoingia ulitafuta utajili uko ila walikukataa Mungu akusaidie usirudi tena, sasa watu wawili African mashariki ndo sehem sahihi, all East Africa waje kawe how that population, kama uko na uwezi wa kunyonga c umnyonge rusifaaa asisumbue wanadam. Sena watafuta hela , washauri wanadamu wamuamini Mungu wa mbinguni,

  • @marrygicho4050
    @marrygicho4050 6 หลายเดือนก่อน

    Hao watumishi unawatuma kwao mbona ndio wanatumia nguvu za kishetani 'watu wanauza mashamba na mali zao wanawapelekea' andiki lasema tumepewa bure nasi tutoe bure wacha kutuchanganya kijana.

  • @FaithWanjiru-im3gy
    @FaithWanjiru-im3gy 5 หลายเดือนก่อน

    Just because all those people are rich don't mean ni illuminati some people have worked for it and some ilikua bahati ,the end days are day where true prophets will be criticize nd force prophet will be loved ,Ezekiel huchukiwa ju husema ukwl what ppl love ni pastor anawambia u will all be millionaire, blessed ,rich but you don't want to know where the problem is coming from ,

    • @winniewambua1972
      @winniewambua1972 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🚮🚮🚮🚮

    • @winniewambua1972
      @winniewambua1972 5 หลายเดือนก่อน

      Nioneshe tu mahali popote alihubiria watu kuhusu Mbingu, zake tu ni nyota za ndoa, Mbinguni hatupelekwi juu ya ndoa wake up na utafute Mungu uwache kuambudu nyota na watu, huo ukweli Sijai usikia siku ata moja, the guy anahubiri about Jesus not prophets na Yesu tu ndio njia ata mshidie oh esekieli oh oh😅

  • @faustinshauri3794
    @faustinshauri3794 4 หลายเดือนก่อน

    Jaman muwen makini huyu anampigia debe mhusika, mafuta n maji hayasaidii kitu, nakushauri tumia damu ya Yesu n jina la Yesu.

  • @MathiasNzungu
    @MathiasNzungu 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi sijui alijiungaje na alitokaje? Hivyo saivi kila muujiza feemansono tuliangalieni hili

  • @AtwonBanks
    @AtwonBanks 4 หลายเดือนก่อน

    Kama uko na muonekano kama wa Yesu, na uko na ujasiri kama wake, vip kuhusu kujigamba, mbona Yesu alifanya zaidi matendo na yakaonekana?? Mmh mmh kuna majina yametajwa hapo

  • @user-yq4gj4xg9d
    @user-yq4gj4xg9d 5 หลายเดือนก่อน

    😮Amin's mtumixhi xamwer🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋

  • @user-jy5di4hh8l
    @user-jy5di4hh8l 5 หลายเดือนก่อน

    We sio brother tuwe nimutumishi ulio letwa namungu Mungu atusamhe sana kwawatu ambao turiwafikiria vibaya Susan watumishi wamungu

  • @MarthaChinunka
    @MarthaChinunka 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe umepew sh ngap mpaka unamsaliti mungu?? Ole wako kijana ole wako wewe. Na utubu mbele za mungu . N