KANUMBA HAJAFA: KIJANA ALIYEKUWA FREEMASON ATOBOA SIRI AMTAJA MWAMPOSA NA EZEKIEL ODERO KUWENI MA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • SIKILIZA MBAKA MWISHO

ความคิดเห็น • 148

  • @Fredrickadeya
    @Fredrickadeya หลายเดือนก่อน +8

    Kijana wewe ni mdongo sana wacha upuzi maisha yako itapoteya gafla coz unazungumzia watu wa mungu vibaya like Ezakiel Odero, ukona evidez yakutosha, kemeya upepo uliyo nayo coz auko sawa kiakili, shemon you.

  • @user-zz9gr1vd9h
    @user-zz9gr1vd9h หลายเดือนก่อน +6

    Shida kuna watu hawataki kumjua Mungu wa kweli wanapenda miujiza ya kutumia vifaa Mungu hahitaji msaada anajitegemea hahitaji kusaidiwa na vitu someni Neno la Mungu mtajua hao mnaowatetea muone kama hayo anayosema mi kweli au siyo kweli

  • @FarhanSalimbukheit
    @FarhanSalimbukheit หลายเดือนก่อน +5

    Allah subhaana wataala hakufanana na kitu chochote kila hakuzaa wala hakuzaliwa na Yesu sio mungu na Yesu na sisi waislam tunamwita Issa atarudi kabla ya Qiyama atakuambieni mimi sio mungu wala si mtoto wa Mungu

    • @EsterMachea
      @EsterMachea 27 วันที่ผ่านมา +2

      Pole Yesu ni Mungu tuh atabaki kuwa Mungu

    • @user-be8mu6fm3t
      @user-be8mu6fm3t 21 วันที่ผ่านมา +2

      Jidanganye ,,,, Yesu akija anakuja kuchukua watakatifu kwenda nao mbinguni usipomkubali sasa ni moto tu

  • @roshirash-uv3mz
    @roshirash-uv3mz หลายเดือนก่อน +25

    Niwewe unakuwa sio muwazi unakweoesha kusema ukweli unazunguka harafu husemi ambayo umeagizwa na mungu nenda street kwa nini husemi unakera bwana nenda kwenye point moja, kwa moja

    • @millicentouma1838
      @millicentouma1838 24 วันที่ผ่านมา

      Na vile nimejitolea kumsikiza nla shang'aaa vipi ukweli uko wapi?

  • @user-rg3lq7sd9f
    @user-rg3lq7sd9f หลายเดือนก่อน +2

    😭😭😭😭😭Kanumba may your soul continue resting in peace

  • @HusnaAbdalla-c2g
    @HusnaAbdalla-c2g 13 วันที่ผ่านมา +1

    Pole sana kaka

  • @JosphineKarambu-cq4mf
    @JosphineKarambu-cq4mf หลายเดือนก่อน +1

    Umelipwa kusema uongo kuhusu watu wa mungu kumbuka ata mungu alisema tusiwaelekeze kidole watu wake

  • @panadomadola3064
    @panadomadola3064 หลายเดือนก่อน +5

    Kwa hili la Kanumba eti akuwahi kuwa Freemason hapa mtumishi unatudanganya au pengine uwelewi chochote kuhusu kanumba

  • @EstherStephen-rg6ew
    @EstherStephen-rg6ew 17 วันที่ผ่านมา +1

    Me nakuamini sana kak💒💒💒💒

  • @THURAMLEBONGOUT
    @THURAMLEBONGOUT 10 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa ni Muongo, anaposema eti kanumba alikuw si freemason, mpumbav zak

  • @matanobaya619
    @matanobaya619 หลายเดือนก่อน +3

    Unaudhi unapozunguka zunguka na unachukua dakika nyingi, sina mda na upuuzi.

  • @Isaihloishiye
    @Isaihloishiye หลายเดือนก่อน +1

    Mbn shetani amefungiwa ww ulimuonaje ss wacha uwongo mtaft Mungu ndungu yangu sifa sio nzuri kamwe

  • @EmmanuelPiusi
    @EmmanuelPiusi 17 วันที่ผ่านมา

    Nikweli kijana ubarikiwe sana na Mungu akulinde na asiye amini uyasemayo 7babu yakutajwa mapasta wao bac Mungu awasaidie sema watu wanaipenda miujiza ya upako injili za ovyo watu wanazipenda ety pokea gari pokea pesa duuuuuuuu!!!!!!!!!!

  • @AminaKavuo-gj3oc
    @AminaKavuo-gj3oc 16 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu asifiwa mutumishi naomba tu maombi naomba tu hukiomba unikumbuke kwa maombi

  • @AsdASD-xc3sw
    @AsdASD-xc3sw หลายเดือนก่อน +2

    Huweleweki kabisa 🤔🤔🤔🤔🤔🥺🥺

    • @kuschprince3216
      @kuschprince3216 29 วันที่ผ่านมา

      " Nlidhani ni mimi tu kumbe pia wewe? Huyu atubeba ufalah!

  • @JesseMutethia
    @JesseMutethia 18 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe hokoka

  • @MohammedMzee-e5f
    @MohammedMzee-e5f หลายเดือนก่อน +1

    Hujui waongea nini wewe .....shika point Moja ueleze umalize....Wacha kuchanganya mambo mengi ....Kwa wakati mmoja

  • @ABUUALLY-ch5jr
    @ABUUALLY-ch5jr 25 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂ivoo unavyoongea tu unaonesha wazi kuwa ni muongoo

  • @Marthachacha-n1i
    @Marthachacha-n1i 19 วันที่ผ่านมา

    Wewe toka hapo usiwahukumu watumishi WA mungu nakuhulumia wewe kijana

  • @AngleCharles-o8y
    @AngleCharles-o8y 3 วันที่ผ่านมา

    Yaukweri ayo kanumba yupo hay nawe umo unawajuje acha umbea

  • @Young_boys24609
    @Young_boys24609 21 วันที่ผ่านมา +1

    polesana❤

  • @rassyb-ij9md
    @rassyb-ij9md 29 วันที่ผ่านมา +1

    Kama kanumba hajafa mlete kazi kumkubusha machungu mama wawa2 unajuwa kanumba alikuwa naumhimu Gani jitambuwe ufanya Yako acha kuliza mama wawa2 et hajafa mlete Sasa kiki za ajabu

    • @Imaniamockgmail
      @Imaniamockgmail 23 วันที่ผ่านมา

      Inaumiza sana Kwa kweli hawajui tu🤔💔 kama hayajawahi kukuta unaona kawaida tu subiri yakukute ndo utajua nimependa kauri Yako ndugu yangu🙏🎉

  • @Young_boys24609
    @Young_boys24609 21 วันที่ผ่านมา

    very good ❤

  • @user-io9mx3lk5q
    @user-io9mx3lk5q 18 วันที่ผ่านมา

    Ninge kuwa rahisi mimi watanzania mnavyo ongeyaga utumbo ninge wa weka sawa

  • @matanobaya619
    @matanobaya619 หลายเดือนก่อน +4

    Wew inafaa upimwe akili, sababu leo unasema ivi kesho vile, walishambulia sehemu ya kichwa chako baada ya kuenda kinyume.

  • @LilianIngosi-hh7ex
    @LilianIngosi-hh7ex 27 วันที่ผ่านมา

    Unatafuta comments na likes 😂 uko na shida sisi tunaamini mungu anawatumikia pastor Ezekiel we love you Ezekiel God protect you and continue using you to spread Gospel Amen

    • @EZEKIELIMUWANJE
      @EZEKIELIMUWANJE 6 วันที่ผ่านมา

      Hulazimishwi kuamini nimaamuzi yako siimeandikwa walumi10:10

  • @SamiaMwenjuma
    @SamiaMwenjuma 12 วันที่ผ่านมา

    Kweri kabsa😊

  • @RachaelGuni
    @RachaelGuni หลายเดือนก่อน +3

    Mm nmkenya na pastor ezekiel odero tuna mjua sana atakabla awe pastor mwambieni awachane na ezekiel

    • @emmahbooooo
      @emmahbooooo หลายเดือนก่อน

      Kabisa

  • @RachaelGuni
    @RachaelGuni หลายเดือนก่อน +1

    Huyu sio freemason huyu kijana anatafuta uchawi wa makaburini hana lolote

  • @JanethAssenga-j9m
    @JanethAssenga-j9m หลายเดือนก่อน +2

    Mbona hatukuewel

  • @ApolloniaMwinula
    @ApolloniaMwinula หลายเดือนก่อน

    Huyu kaka hajui kupanga point akaeleweka!? Mm sijamuelewa anazungumzia hoja gani

  • @user-yl2rq6wz2r
    @user-yl2rq6wz2r หลายเดือนก่อน +2

    Kanumba hajafa ako hai tena vizuri sana acheni matusi please narudia kanumba hajafa

    • @user-lo6sy9zz2f
      @user-lo6sy9zz2f หลายเดือนก่อน

      Mtoeni bas kama hajafa tumuone na sisi ju mnavosema hajafa yupo bas mnajua kwenye yuko nyinyi

    • @RehemaKatana-hb4ei
      @RehemaKatana-hb4ei 28 วันที่ผ่านมา +2

      Uongo tu kuoga Aaaaaaah mtoeni tumuone basi

    • @Mjombaa-k22
      @Mjombaa-k22 13 วันที่ผ่านมา

      Au ww ndo kanumba

  • @user-zz9gr1vd9h
    @user-zz9gr1vd9h หลายเดือนก่อน

    Jamani Mungu mbona hasaidiwi na vitu jamani anajitegemea sijaelewa hapo mwazo ulisema tuwaogope leo tuende tena

  • @Leonidha-o6g
    @Leonidha-o6g 14 วันที่ผ่านมา

    Aja kuubilii mjinga ndanganya utoke ata nimejoka na ww

  • @maliustibendelana9453
    @maliustibendelana9453 26 วันที่ผ่านมา

    Wacha kuzunguka sana mpaka mwisho unakoswa kituo cha simlizi ako,
    Fanya hivi chukua pointi tueleze mpaka mwisho bila kuichanganyia mambo ingine

  • @mahinditv342
    @mahinditv342 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanangu tafuta view's vizuri juzi ulisema pastor Ezekiel ni freemason na ukasema yeye si free mason wacha upuzi kina

  • @LinaMsiska
    @LinaMsiska 23 วันที่ผ่านมา

    Ungeya basic tujuwe kanumba Yuko wapa and Hera zake ziko WaPo iyo ndiyo habari

  • @user-ui4no9ft8u
    @user-ui4no9ft8u หลายเดือนก่อน

    Umetumwa na kuzimu mmeona wanaalibu vitu vyenu😊

  • @user-bv9hs7re6l
    @user-bv9hs7re6l หลายเดือนก่อน +2

    Weeee bado ni shetani

  • @MiriamNajala
    @MiriamNajala 21 วันที่ผ่านมา

    Unajijosha bure kaka sikuelewiii😊

  • @VioletKnight-nh1ln
    @VioletKnight-nh1ln 19 วันที่ผ่านมา

    Utachoka buree,lakini kwa ezekiel sitoki ninacho kipatanakijua mm

  • @EmmanuelPiusi
    @EmmanuelPiusi 17 วันที่ผ่านมา

    Shida yako unaficha ukweli nimeshindwa kukuelewa

  • @agnesssinandi8442
    @agnesssinandi8442 16 วันที่ผ่านมา

    Okoka acha kutoa shuhuda zisizo na maana .

  • @JamesSaasita
    @JamesSaasita 21 วันที่ผ่านมา

    Dieu tjrs aux contrôles

  • @samsonsimon3138
    @samsonsimon3138 27 วันที่ผ่านมา

    Hawa watu wa aina hii huwa siwaamini sababu wanastori za kuumba hazina verification zozote

  • @EmmanuelNdahya-ud5nj
    @EmmanuelNdahya-ud5nj 29 วันที่ผ่านมา

    Uya ijamaaa so mkweli alisema amejiunga akiwa anauza chipis leo akiwa mdogo acha uongo brow 😮

  • @KhalifaChuma
    @KhalifaChuma 22 วันที่ผ่านมา

    Kwel kbs shetani ni Bab wauwongo lipo wazi ilo

  • @CallenNyanchama
    @CallenNyanchama 24 วันที่ผ่านมา

    Wewe tunakuskiliza mbaka tunachoka acha umbwakin ongea faster faster,,,tunajua kanumba nimuigizaji

    • @MichaelDeusi
      @MichaelDeusi 24 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂Uko siliz na bndo lako

  • @giftmed1a332
    @giftmed1a332 18 วันที่ผ่านมา

    Unatuleteha hadisi za kusadikika kazi humbeya tu kwenda kwa mwamposa kuhokoka haaaaaa!!

  • @isaacmsomi4853
    @isaacmsomi4853 16 วันที่ผ่านมา

    Kama mimi sija kuelewa akika

  • @KemmyPrince-r4l
    @KemmyPrince-r4l 29 วันที่ผ่านมา

    Punguza bangiiii njaaa zitakuuwaaa kenge uww😂😂 ata shetan mwenywe anangalia bhna watu wenye akili ww kichwa Kama bosk akil 0 😀😀

  • @user-wp5tt3en6f
    @user-wp5tt3en6f 18 วันที่ผ่านมา

    Pua yako ndioambayo inakuacha unasema hayo yote au wewe mwanga umetumwa

  • @user-vo8mm5bt4o
    @user-vo8mm5bt4o หลายเดือนก่อน

    Unatafuta Kiki Kwa pikipik uyoooooooooooooo😝😝😝😝 acha kumuomgelea mtu ambaye ameshakwishakufa 😏😏😏

  • @Jescadidas
    @Jescadidas 29 วันที่ผ่านมา +1

    Acha uongo

  • @MgrethCharles
    @MgrethCharles 25 วันที่ผ่านมา

    Ila wew mungu mogop

  • @FarajaMuhombo-yl8nc
    @FarajaMuhombo-yl8nc 11 วันที่ผ่านมา

    Toka hapo

  • @robysonpaul1958
    @robysonpaul1958 หลายเดือนก่อน +1

    Kils siku neno mojs

  • @estherobed8693
    @estherobed8693 28 วันที่ผ่านมา

    Rekebisha kwanza kiswahili chako yaan cjui hata cjakuelewa kwanza kan we kabila gan😏😏

  • @JanethAssenga-j9m
    @JanethAssenga-j9m หลายเดือนก่อน

    Samwel usitudanganye umetoka kwenye chama bado upo umeona wanavyokupeleka mpwita mpwita wee si ulishaawauwa wazaz wako wote sasa tunakuelewaje

  • @user-gt4rp4bo8y
    @user-gt4rp4bo8y 29 วันที่ผ่านมา

    Tafuta Mungu super kaz sina uhakika na ww

  • @AminaMlindima
    @AminaMlindima 4 วันที่ผ่านมา

    Mmmmh

  • @RaulyMega
    @RaulyMega 22 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa ametunga uongo ili apate umaarufu tu

  • @user-zm7kk1tr5l
    @user-zm7kk1tr5l 25 วันที่ผ่านมา

    Kwahiyo na wewe unataka kufunguwa kanisa hebu wacha kutuleta inamaa nawewe nifirimasoni mimi ata sijakuelewa mpaka umefoka mwisho

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 หลายเดือนก่อน

    Kama kanumba yupo hai kwanini usimtoe hadhalani mnafikitu

  • @user-et8wy1us9t
    @user-et8wy1us9t 29 วันที่ผ่านมา

    Sema mungo lkn me naona kweli

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 หลายเดือนก่อน

    𝙼𝚒 𝚙𝚒𝚊 𝚋𝚊𝚍𝚘 𝚗𝚊𝚊𝚗𝚐𝚊𝚕𝚒𝚊𝚐𝚊 𝚖𝚘𝚟𝚒𝚎 𝚣𝚊 𝚔𝚊𝚗𝚞𝚖𝚋𝚊 𝚖𝚙𝚔𝚊 𝚕𝚎𝚘 😢😢😢😢

  • @MsBily
    @MsBily หลายเดือนก่อน

    Mbona kama sauti yake ni ya kanumba?au ndio yy Kaka na Sura ya MTU mwengine msikilize kwa umakini sana😢😢😢😮

    • @NeemaHamissi
      @NeemaHamissi หลายเดือนก่อน

      Kama kweli hivi maana shuhuda nyingi nilizosikia kanumba yupo kuzimu atakuwa ametumwa kuzimu huyu

  • @paschalcharles3953
    @paschalcharles3953 หลายเดือนก่อน

    Daaaah! Mara kanumba alikua freemason saiv kanumba tena hakua freemason sasa hapo ukweli ni upi???
    Unatuchanganya bwana vedio clip zako zote tunazifatiliaaa.....
    Leo unazungumza hiv kesho unapindua ya jana unazungumza vileeeeee!!!!!

  • @user-zm7kk1tr5l
    @user-zm7kk1tr5l 25 วันที่ผ่านมา

    Wewe unatafuta umarufu mtandaoni wacha kuptosha jamii wewe unaogea uongo tu yooka kwenye poiti inamaa huogei kitu kinachoeleweka

  • @johnmusau89
    @johnmusau89 18 วันที่ผ่านมา

    Ww haujawawai kuwa freemason

  • @jemskefa
    @jemskefa 19 วันที่ผ่านมา

    Watu kweli hamueleweki ninyi munazakwa kila pastor ni mutumishi wamungu sasa fungukeni masho uyo pastor unamujuwa kweli kubisha eti sio shetani munaambiliwa munafanya mioyo yenu kuwa migumu ila kama kweli hamutumikiyi mungu kwakweli nakwahaki basi siku yake ipo ataumbuliwa naye

  • @user-zm7kk1tr5l
    @user-zm7kk1tr5l 25 วันที่ผ่านมา

    Yaaani wewe nimuongo sana kumbuka nyuma uriongea nini urisema mwaposa na mtumishi Ezekiel urisema kuwa niwatumishi wamungu kweli kwa sabababu wanaomba sana ukasema kuwa firimasomani wanawaogopa leo tena unaongea kivingine hebu tuche sisi maaana huelewiki kama mvua za masika

  • @BakariLambae
    @BakariLambae 19 วันที่ผ่านมา

    We kichaa muongo uweleki

  • @Saidaliy-v2g
    @Saidaliy-v2g 19 วันที่ผ่านมา

    Ukiona hivyo hana kaz anatunga umbea ili apate koment kabugiiìi😅😅😅😅😅

  • @PiutenziAkhonya
    @PiutenziAkhonya หลายเดือนก่อน

    Next episode kuja na kanumba ajielezee alikua wapi ndio tukwamini ndogo wewe

  • @emmanueljuma-ju9ox
    @emmanueljuma-ju9ox หลายเดือนก่อน

    Dakika zinaisha haujaongea jambo la maana

  • @LukaMwilafi
    @LukaMwilafi 25 วันที่ผ่านมา

    Acha uongo bhanaa

  • @floraflora9490
    @floraflora9490 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni sifa mwamuumiza sana mamake kanumba , kwani wangapi wamekufa mbele ya kanumba ama nyuma yake mbona msiwataje ,

  • @Janetyjanety-sj5gw
    @Janetyjanety-sj5gw หลายเดือนก่อน

    Kwenda uko kwanza umesema Ezekiel sio mtumishi wa mungu naukamalizia na Ezekiel ni mtumishi wamungu watu waende kwakanisa yake ueleweki unaonekana uko kazini Uma ulichotumwa na mungu umekosa kaziyakufanya wewe ata uelewi uliyo aza na uliyo maliza

  • @WilkisterKemy-df3mt
    @WilkisterKemy-df3mt 20 วันที่ผ่านมา

    Wajinga n wengi kweli ujui la kusema ajana na kanumba plus waja ujinga ujinga wa kiongelelea mapastor kaa Ezekiel

  • @Barnizeboy
    @Barnizeboy 18 วันที่ผ่านมา +1

    Ku danganya tu ku oga Aaaa

  • @beatricekagali1048
    @beatricekagali1048 หลายเดือนก่อน +1

    Agent wa kuzimu unajulikana.

  • @ev.jeconiahondieki9182
    @ev.jeconiahondieki9182 17 วันที่ผ่านมา

    Huyu Jamaa vitu vingi anadanganya

  • @faridakigava4904
    @faridakigava4904 27 วันที่ผ่านมา +1

    Namuelewaga Katekela sana

  • @VailethChimais
    @VailethChimais 21 วันที่ผ่านมา

    Sasa kama hajafa c mwambh arudi kuiga jaman

  • @SauliYohana-q3d
    @SauliYohana-q3d 16 วันที่ผ่านมา

    Sasa Leo nimekugundua kuwa wewe ni Muongo na hujawahi kuwa freemason Wala nini unatumia hiyo chance kutafuta views au sio

  • @RoseKasichana
    @RoseKasichana 26 วันที่ผ่านมา

    Hata sasa bado unatumikia shetsni

  • @RajabuMohammed-b4l
    @RajabuMohammed-b4l 26 วันที่ผ่านมา +1

    We we Ajent wa kuzimu na shetani umepokea Oda ya kuwapotosha watu

  • @DedanTheuri
    @DedanTheuri 22 วันที่ผ่านมา

    Kwa iyo lucifer ni nyoka sio mtu🤔🤔

  • @loner-r3n
    @loner-r3n 24 วันที่ผ่านมา

    Akili zako zipo kwenye makalio

  • @Georgejohnmakoye
    @Georgejohnmakoye 27 วันที่ผ่านมา

    Bonge la kuma la kijana matako wewe huna sifa za kuw free mason matako yako kumanyoko

  • @AminiBaba-q4f
    @AminiBaba-q4f หลายเดือนก่อน

    Hueleweki ongea ukweli

  • @Leonidha-o6g
    @Leonidha-o6g 14 วันที่ผ่านมา

    14:24 🎉

  • @user-bb2ng2ml4h
    @user-bb2ng2ml4h 19 วันที่ผ่านมา

    Sasa wewe ua. Chatu kama ujafia jela

  • @MagdalenaJohn-y4v
    @MagdalenaJohn-y4v 22 วันที่ผ่านมา

    Unaongea upumvavu tu

  • @WaziliWawasega
    @WaziliWawasega 26 วันที่ผ่านมา

    Collect

  • @JohnMulwa-i1n
    @JohnMulwa-i1n 18 วันที่ผ่านมา

    Are you sure what your saying

  • @user-pk2ph5kc3e
    @user-pk2ph5kc3e 21 วันที่ผ่านมา

    Ila wewe ni muongo nimeona Tena saana unafanya ni vyashara

  • @StevenGalusi
    @StevenGalusi 17 วันที่ผ่านมา

    1🙉🙉🙉🙉 uongo tupu

  • @ReeneJoyce
    @ReeneJoyce 23 วันที่ผ่านมา

    Nikibok😂😂😂