Hongera Odero,unajieleza vizuri nimekuelewa vizuri sana. Ila tahadhari: Usije kuwa unatumika na ccm kuvuruga uchaguzi wa chadema kwa nafasi ya mwenyekiti. Pia nakushauri umuunge mkono Tundulissu anatosha kwa sasa kuwa mwenyekiti wa chadema Taifa. Tunaomba kura zote za wajumbe ziende kwa Tundulissu. Mbowe awe mshauri wa chama. Wewe Odero unafaa ila jiandae kuwa mwenyekiti baada ya Tundulissu kumaliza kipindi chake miaka 10. Asante.
Maoni yangu ni kwamba mweshimiwa Mbogwe. Yeye amwachie risu achane na tama ya uongozi. Pia ajifunze kama nyerere alivio akiwa kung'atuka heshima ikawa palepale
C h adema mjitambue acheni kuiweka CCM kwenye matatazo yenu.Tafuteni Sera ya maana. CCM tuiheshimu.Mbona CCM hawana maneno kuwahusu nyie Chadema.Sera siyo CCM
+Wote wenye sifa gombeeni msiogope hiyo ndo demokrasia inayotafutwa kwani hawa wengine wamezaliwa na wamama tofauti na mama zenu? Utamu wa demokrasia ni mshindane apatikane mshindi kihalali. Simba mwendakimya ndio mwindaji mzuri.
Huyu naye Kakrupuka Vibaya... Alitakiwa anshirikiane na moja ya wagombea kunadi mgombea mojawapo.. Huyu naye Ujinga umemzidi, Kama ni Arusha bora Lema Angegombea tu...
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Hongera Odero,unajieleza vizuri nimekuelewa vizuri sana.
Ila tahadhari: Usije kuwa unatumika na ccm kuvuruga uchaguzi wa chadema kwa nafasi ya mwenyekiti.
Pia nakushauri umuunge mkono Tundulissu anatosha kwa sasa kuwa mwenyekiti wa chadema Taifa.
Tunaomba kura zote za wajumbe ziende kwa Tundulissu.
Mbowe awe mshauri wa chama.
Wewe Odero unafaa ila jiandae kuwa mwenyekiti baada ya Tundulissu kumaliza kipindi chake miaka 10. Asante.
Hiyo nimeipenda,,hiyo ndio demokrasia,,odelo tupo pamoja,,ila msipunguze kura za nabii lissu
Ocelot yuko vizuri sana kuliko mwandishi anauliza maswali yanayojibiwa vizuri lakini haelewi lakini mimi sishangai hawa waandishi wengi sana ni vipele
Huyu jamaa uhakika anaweza
Mimi kwa uchache nakubali sana kazi zako
Wewe nadi sera zako usiwajadili wagombea
Maoni yangu ni kwamba mweshimiwa Mbogwe. Yeye amwachie risu achane na tama ya uongozi. Pia ajifunze kama nyerere alivio akiwa kung'atuka heshima ikawa palepale
Bado sana wew hata pesa ya form mtihan
Kumbe mtangazaji akiuliza maswali yenye kuzidi uwezo wa kufikili anageuka kuwa kipele.
Kuna maswali mengine hata watoto wa nursery hawezi uliza
Huyu jamaa namuamini sana!
Kumbe chadema ni chama cha matajiri😮tu
Huyu bwana nilikuwa namuona na kumsikia pale Saut Malimbe
Du huyu mtangazaji ni kiboko unamaswali magumu mpaka mtia nia anajikanyaga kweli kweli, lakini atatoboa kwa maswali.
Hapo hakuna kitu
C h adema mjitambue acheni kuiweka CCM kwenye matatazo yenu.Tafuteni Sera ya maana. CCM tuiheshimu.Mbona CCM hawana maneno kuwahusu nyie Chadema.Sera siyo CCM
Hamna kitu hapo
Kwa sasa chadema inahitaji viongozi wakali si mpole kama huyu Odelo
Ongelea ya chama chako tu. Ccm mgombea anateuliwa na kamati kuu halafu rais anachaguliwa na wananchi wote.
Usimpangie au hujui maana ya demokrasiya?
Hafanani kabisa wala hatoshi
+Wote wenye sifa gombeeni msiogope hiyo ndo demokrasia inayotafutwa kwani hawa wengine wamezaliwa na wamama tofauti na mama zenu? Utamu wa demokrasia ni mshindane apatikane mshindi kihalali. Simba mwendakimya ndio mwindaji mzuri.
Hakuna kitu apo mchosho tu
Huyu jamaa lazima nimpe kura
Huyu jamaa atashinda maana anagombea kwa maono
Mbona kapooza kama uji wa mgonjwa
Bwana wewe inaonekana wewe ni mvurugano tu huna hisitolia ya upambaji ila angalia usivuluge
Wengine wametumwa kuchanganya watu tu au katumwa na Ccm
Kweli akili zenu zimezidiwa na ccm ukilala ukiamka unaweweseka ccm tu Yan kwakweli cc wa ccm had raha
Kwa nini lazima awe ametumwa na CCM na isiwe ni utashi wake na haki yake ya kikatiba?
Tujifunze kuwa na mitizamo chanya katika maisha.
Hiki chama cha chadema ni chama kinachoelema dini moja tu ambayo ni ya kikristo tu
Kwani Jamii nyingine inakatazwa?
Kutokana na akili zako za kufikiri kwa kutumia tumbo lazima uwaze hivyo! Hizo ni Akili au mavi???
Huyu kumbe anatafuta kutrend hana maono
Huyu jamaa amemzid akili yule mla punda anaongea kwa hekima sana
Huyu naye Kakrupuka Vibaya...
Alitakiwa anshirikiane na moja ya wagombea kunadi mgombea mojawapo..
Huyu naye Ujinga umemzidi, Kama ni Arusha bora Lema Angegombea tu...