Kweli pastor hapa umenigusa kwa sababu mm hua naota kisha namuona kabisa na sura yake mfanyi kazi mwenzangu usiku ananijia akifika tuu namkemea katika jina la yesu,nilimuota Mara mbili nilimpomkemea Mara tuu akija,kuanzia hiyo siku ananiogopa na anaongea na mm nadhani alijua mm ni moto wa kuotea mbali In Jesus name.
Roho haiwezi kuuacha mwili na kwenda kufanya jambo lolote baya au zuri. Hivyo, wachawi hawawezi kuiacha miili yao au kujibadili kuwa wanyama. Kwa kweli hawafanyi mambo wanayodai au wanayofikiri wamefanya.
Amina, Nimewekwa huru na damu ya Yesu Kristo.
Aminaaa , asantee . Mungu kunikomboa
Macho yangu ya roho imefuliwa kupitia hayo mafundisho , amen
Asante sana Wise man ningependa uniombee. Kwa sababu neno lako linatoka kwa Bwana.
Amen mchungaji umenigusa maan mimi huwa nafukuzwa na ng'mbe lakin huwa namshinda,
Amen umenifunza jambo mchungaji
Asante Yesu kwa mafuno ya ajabu jina lako libarikiwe
Asante mchungaji nimebarikiwa na ujumbe wako na umenifungua macho Leo.
Amen,amen nimepokea kwa jina la Yesu
Bishop nimebarikiwa sana nikiwa hapa Kenya. Umenifungua macho kweli. Asante sana.
Asante Baba nimeimarika kwa mafundisho yako MUNGU akulinde Amin.
Kweli pastor hapa umenigusa kwa sababu mm hua naota kisha namuona kabisa na sura yake mfanyi kazi mwenzangu usiku ananijia akifika tuu namkemea katika jina la yesu,nilimuota Mara mbili nilimpomkemea Mara tuu akija,kuanzia hiyo siku ananiogopa na anaongea na mm nadhani alijua mm ni moto wa kuotea mbali In Jesus name.
Amen barikiwa mtumishi
Nashukuru kwa mafundisho yako mtu wa mungu
Wakome kwa jina la yesu
Oh God deliver me in Jesus name 🙏
Napenda sana masomo yako baba.
Asante mchungaji maan mimi huwa naota ndoto mbaya mbaya mara nafukuzwa na ng'ombe! ndoto nyingine nasahau.
Bishop,am mercy from Kenya naomba unifungue nipone,niokewe na nimfanyie yesu kazi
Amen and Amen 🙏🙌👏
ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
kkkkko
,
mungu akubariki sana mtumishi wa mungu!
Pamoja nkiwa kenya
Umefungua macho hakika umebarikiwa
amenn
❤
yani unanifunza kila siku Mungu akuzidi kukuinua
Amen
Nimebarikiwa Sana nikiwa hapa KSA nimejifunza mengi
ameni
hii kuota nakusahau Mimi imenilemea sana yani naitwa sikumbuki
I receive spiritual eye In Jesus name
Nimejifunza waa uwasijui
Roho haiwezi kuuacha mwili na kwenda kufanya jambo lolote baya au zuri. Hivyo, wachawi hawawezi kuiacha miili yao au kujibadili kuwa wanyama. Kwa kweli hawafanyi mambo wanayodai au wanayofikiri wamefanya.
mimi jamani hapo kwa kusahau ndio naomba sana niwe nikikumbuka coz sikumbuki kitu
Thanx pasta
PRAY for me I dream alot
Ameeeeeen
Nimebarikiwa kutoka 1-5 hatari ya ndoto
We nikweli mtumishi ila utajiokoaje? Maana Mimi naotasana
be bless man of God +966.
Õoóìoõī ooîoo ìkoooooîõõô
Òoôu
Ameeeeeeeen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen