Hongereni sana wachezaji wetu hongereni sana benchi la ufundi hongereni sana viongozi wetu pamoja na Gsm Kwa kazi kubwa mliyoifanya mpaka Leo hiii tumechukua ubingwa wa mara 3 mfululizo na ubingwa wa 30 haikuwa kazi rahisi pia Hongera za dhati Kwa mashabiki wote wa yanga Africa, Kwa pamoja tunasema Asante Mungu Kwa kutulinda na kutupa furaha nyingine tena na tena🙏
Hongereni wachezaji wote kwa moyo wa kujituma,bechi la ufundi na mashabiki wote ambao muda mliisapoti timu Mungu awabariki sana.Yanga daima mbele nyuma mwiko
Yanga lahaaa sana, yani yanga mnatufanya tubebe mimba kila siku, maana mawazo atuna, tunakula nashiba pesa inaingia, nikilud kwenye timu langu lahaa kama yonte, sasa kwa nini mtoto asipite tumboni ,💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛🏆🏆🏆🇹🇿✔️ nakupenda yanga kama kazi yangu
Tunamshukuru saana mungu Asante saana viongozi wetu benchi la ufundi wachezaji madankitari kwa kuipambani nembo yetu mungu awatunze tunategemea kuwa mwendelezohuhu🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂
Mashaallah Alhamndulilah tunamshukuru sn Allah M/Mungu nakuomba tuzidishie zaidi na viongozi wetu na wachezaji wetu Allah tuwekee na tulindie zaid Inshaallah
Shalom shalom Jipatie vitabu vya maombi ya kiroho bureee 1=Maombi ya kuvunja madhababu za kichawi 2=Maombi ya kuzima mashambulizi ya kuzimu 3=Maombi ya vita vya kiroho Bonyeza picha kushoto mwa chanel hii
RAISI ANAFURAHI ANATANIANA NA WACHEZAJI WAKE HAYA NI MAFANIKIO MAKUBWA YANGA KIONGOZI UNATAKIWA KUWA KARIBU NA UNAOWAONGOZA ILI MUFANYE KAZI YENYE TIJA NA UFANISI
Mpenja hongera kwa kuwa na host kama huyu dada anapiga kazi kiukweli 🎉
Nafurahi sana kuwa yanga mwisho niseme Eng Heris na menejimenti yako mungu awalinde zaidi
amiina
MUNGU ni mwema hongera Sana Engineer Hers kila la kheri kwenu kazi njema barikiwa Sana Yanga
Hongereni sana wachezaji wetu hongereni sana benchi la ufundi hongereni sana viongozi wetu pamoja na Gsm Kwa kazi kubwa mliyoifanya mpaka Leo hiii tumechukua ubingwa wa mara 3 mfululizo na ubingwa wa 30 haikuwa kazi rahisi pia Hongera za dhati Kwa mashabiki wote wa yanga Africa, Kwa pamoja tunasema Asante Mungu Kwa kutulinda na kutupa furaha nyingine tena na tena🙏
Yanga Bingwa 💚💛💚💛 wananchiiiiiiiiiiii
Mungu akisema ndio hakuna wa kusema hapana ,Asante mungu
Hongereni wachezaji wote kwa moyo wa kujituma,bechi la ufundi na mashabiki wote ambao muda mliisapoti timu Mungu awabariki sana.Yanga daima mbele nyuma mwiko
Mungu ni mwema kila wakati🙏 I love u Yanga💚💛
Mungu awatangulie kwa kila hatua. Rais wa Yanga. Pamoja na wachezaji wako wote bila kuwasahau mashabiki wote wa Yanga
Yanga bingwaaaaaaaa, congratulations wananchii❤❤❤❤❤❤❤
MUNGU ni mwema hongera Sana Skutu kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
Nimependa maojiano kati Jein na Injinia Heris Inshaallah M/Mungu aeazidishie Inshaallah
Alhamdullillah, kiongozi pekee duniani anayekuwa karibu na wachezaji wake, big up Heris
Let's Go Wananchi Yanga Bingwa Tena💚💛💚💛🏆🏆🏅🥇🥇🥇🔥🔥🔥
NIMEFURAHI SANA TUMEPITIA MAMBO YAKUTISHA SANA NDANI NA INJE YA UWANJA LAKINI TUMESTAHILI KUPÀTA USINDI WETU MUNGU YU MWEMA❤❤ ASANTE MUNGU
Hongera sana viongozi nawachezaji wote na mashabaki wa yanga❤
Injinia very friendly na wachezaj, najua vilabu vingi vinamiss.... Hivi unapataje jeuri yakumwagia raisi wako shampain?? Very frndl
Pata picha Chama anamwagia champagne 'try again'
Yanga lahaaa sana, yani yanga mnatufanya tubebe mimba kila siku, maana mawazo atuna, tunakula nashiba pesa inaingia, nikilud kwenye timu langu lahaa kama yonte, sasa kwa nini mtoto asipite tumboni ,💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛🏆🏆🏆🇹🇿✔️ nakupenda yanga kama kazi yangu
Alhamdulillah yanga ooeeeeeee❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongereni wananchi
Tunamshukuru saana mungu Asante saana viongozi wetu benchi la ufundi wachezaji madankitari kwa kuipambani nembo yetu mungu awatunze tunategemea kuwa mwendelezohuhu🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂
Tumefurahi sanaaaaaa mwenyez mungu katukubali asante mungu
Mashaallah Alhamndulilah tunamshukuru sn Allah M/Mungu nakuomba tuzidishie zaidi na viongozi wetu na wachezaji wetu Allah tuwekee na tulindie zaid Inshaallah
Ni rahaaa sanaaa kombe la 30 jaman duuu nirahaaa tupuuuuu nikiwa arusha stand kubwa terminal
Rahaaa sanaaaaa asante MUNGU
Raisi wa ball respect kwako 🎉🎉🎉
Daaaa nimependaaa utani wenuu baba na wanaeeeee🎉🎉🎉🎉🎉
Congrats YANGA AFRICANS
Kibabage namkubali
Hongereni wananchi
Yanga bingwa 🎉🎉🎉💚💚💚💛💛💛
Yanga bingwa wa muda wote makolo mtafukuza sana
Yanga rahaaaaaaaaaa
Congratulations wanainchi 🎉🎉🎉🎉🎉
Yanga oyeeeeeeee wachezaji viongozi coach wapenzi pamoja na washabikl wetu yanga oyeeeeee madunduka wamelala yombo
Hongera...kwetu
Nakubal Sana tunaipenda yanga yetu
Asante. Saasaaana. Wachezaji. Wa. YANGA. Woooote. Viongozi. Woooote. Coaches. Woooote. Mashabiki. Woooote. Wanachama. Woooote. Kama. Mwanachama. Wa. YANGA. Nina. Furaha. Kubwa. Isiyoelezeka. Yaani. Imepitiliza. YANGA. Oyeeeeee. Ubingwa. Mtamu. Jamani. Daima. Mbele. Nyuma. Mwikooooo
Mangungu ukimwagia shampen anakukata mshala wa miezi miwili kwa utovu wa nidham 💛🏆🏆
😂😂
😂😂😂😂
Hongereni sana my team young African
Jamani naipend yang❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Job kafurahi ila inamuuma sana inginer very good leader
Wao!,wao!,wao!
Ukiwa yanga unaongeza Siku za kuishi
J naona nuru na tabasam kubwa katika uso wko❤❤❤
Ukiwa yanga
Hongera yanga 😀😁😂
💚💛💚💛🔥🔥🔥👍
🎉 alhamndullah 🤲🤲🤲🎉😂😂😂😂💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛👏👏👏👏👏👏🍾🥂
Tulipata raise Bora jmn yang lah San tunawashukulu San timu yetu hongelen San 😊
Champiooooon Champioooon 💥💥💥💥💥💛💚
🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Alhamdulillah
MECHI imechezwa J'TATU....GOLI 3...POINT 3....UBINGWA mfululizo mara 3...na MAKOLO wapo nafasi ya 3...!..🤣🤣🤣
Yanga kunaraha yaketuu
💚💛💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛
Allaah Akbar
Nawatamani sana wale wahuni waliopora ushindi wetu wa CAF Champions League.
Mangungu Oyeeeeee.................Simba nguvu moja.
Thanks God
Allah is great
Shalom shalom
Jipatie vitabu vya maombi ya kiroho bureee
1=Maombi ya kuvunja madhababu za kichawi
2=Maombi ya kuzima mashambulizi ya kuzimu
3=Maombi ya vita vya kiroho
Bonyeza picha kushoto mwa chanel hii
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bingwaaaaaaaaaaaa mala 30 na tunachukua adi 230 yanga bingwaaaaaaaaaa😂😂😂
Khaa😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤
Parade ya msim huu itaanzia nyumbani kwa Ahmed Ally
Hv simba wanao muda wa kucheza na boss wao kma hv?
Huyo jamaa ananunua sana Mechi anaharibu soka letu sana
😂😂😂😂😂Hongera sana wananchiiiiiiiiii 😂😂😂😂😂yanga bingwaa 😂😂😂😂
Wachezaj hawatulii kujojiwa 😅😅
RAISI ANAFURAHI ANATANIANA NA WACHEZAJI WAKE HAYA NI MAFANIKIO MAKUBWA YANGA KIONGOZI UNATAKIWA KUWA KARIBU NA UNAOWAONGOZA ILI MUFANYE KAZI YENYE TIJA NA UFANISI
Hii title mbona haifahamik
Hadi Raha jamani yanga
unawahoji wachezaji wa Mbao ndefu wote hao
Yanga
Raisi wetu watu wamemlaki vizuri sana hongereni mashabiki wa simba vipi mletewe mangungu ila tunaogopa mtamuua😂😂
💛💚💛💚💛💚💚💚💛💚💚💚💚🙏
Injinia ni mtu wa watu ndio maana wachezaji wako huru
Job unaionea huruma timu yako😂
🎉
Nyumbani sinyumbani tumewapiga tibwaa
Oyeeeeeeee
rais kijana na mamb yanaenda kwa ujan ujan msimtafsir mtu kwa mavaz fyoooooo
Tutarogwa!!!!!
Hakuna kmmyangaaa
Sikudu sijui kalogwa nanani ?
Tunawasubi kuwapokea
Astaghafiru Allah kwel mpira haramu waislam wanakumbatia mapombe kwl kwawenzetu Iman nindogo japokuwa muislam
Mmhhhh nawewe ni haramu umekuja kutafuta nini humu?
Huna baya kaka
🥰🥰🥰
Usikute gamond ndo anatuaga 😮 the way anavyupunga mkono kama nabi mwaka jana
Usiseme hivyoooo aiseeeee
Hahahaa we have wewe
We Jack unatabia mbaya usiseme mala aondoke kweliii😢
Gamondi bado yupo ...yeye Ana tabia ya waargentina they always communicate and integrate with fans ....so that is the main reason
Yanga bingwa
Kibabage bana
Hongereni wananchi
💚💛💛💛💚💚💚💛💛💚💚💛💛💚💚
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤