Wapendwa tumuombee hakuna mwenye kujua lililopo nyuma ya pazia. Tumuachie Mungu mwenyewe, tusiwe wepesi wa kuhukumu tusije hukumiwa. Ukweli wa tuhuma hizo yy Martha anazijua amen
Ulikaa tumboni mwa mama yako miezi tisa,akakuleta duniani kwa mapenzi ya Mungu,akakulea kwa shida na tabu #ACHA___KIBURI_CHA__UZIMA mfuate mama alipo umuombe msamaha ili moyo utulie na iwe baraka kutoka kwa Mungu
Bana acha porojo jibu hoja usijifananishe na mungu, mungu hakua na huo uchafu wako wa kusafil na joan kujifungia chumba kimoja kama wachungaji wa kongo na kenya wanavosema jibu hoja rudi kwa mama ako yule ni mungu wako wa duniani acha porojo hyo ni aibu hakuna hotuba hapo
Mungu wa kwanza ni huyo aliyekuumba Mung wa pili ni wazaz wako ,hakika kama unaabudu katika roho na kwel ,nenda ukatubu mbele ya mama Yako la sivyo utafunzwa na ulimwengu huu ,
ndugu ACHA kumsemea mtu uliakiki Kwa macho na siku ukagundua matha ndio mkweli ao wanaosema Ivo ni waongo utafanyaje. sema sisi wanadamu tunamaneno mengi sana. akuna mtu anaekataa kumsaidia mzazi wake au ndugu ujue apo familia Ina shida kubwa nyie waombeeni
Ungeenda kwaza kwa mama kabla hujaenda kanisani, coz hata neno lasema,ukikumbuka Una neno na jirani yako ,heri usitoe sadaka ,Kwanza nenda ukarekebishe na jirani ndo uje utoe sadaka yako
Kukosea Kwa mwanadamu ni kawaida....ila kuendelea kuficha uovu au mapungufu na kushupaza shingo kuliko kutibu kidini Cha tatizo ataendelea kupaita shida hata para amani ya kudumu....angalia wapi ulikosea,tubu,nenda Kwa mzazi wako kasema nimerudi mwana mpotevu Mimi...Mila kujali yanayo semwa ni sahihi.......fukuza hiyo Joan.......àcha kuishi na watu wengi nyumbani kwako utajuta sanà.....kama mmeo hajaoa Rudi kashike mimba myajenge .....
Hawezi hata kuongea sauti haitoki nafsi inamsuta mapenzi ya jinsia moja siyo mchezo hadi familia yake kaikataa laana tupu nyimbo zake zimejaa shombo tupu na uasi 😢
@@Paul-u3k3w ndiyo. Kwasababu hii imezidi sasa analidhalilisha kanisa la Mungu na hicho kipepo chake joan' na bado anakilea" halafu bado anaonyesha kiburi! maana hapo ndiyo ilikua nafasi yake ya kuongea lakini kakaa kimya' mwenzie kamwita mara mbili hapo ili atoe dukuduku lake' lakini kiburi ndiyo anacho' mpaka Christina anaonekana msaliti wa kanisa kwa kumtetea mtu mwenye kiburi' tena aache kuimba nyimbo za masimango kwa kanisa' eti "ushindi ni lazima"! how!?😢
Siku utaonekana uko na Mamako na dadako Beatrice pasipo kua na Joan hapo ndipo maneno za mtandaoni yataisha. Mama ni 2nd to God ana funguo ya kufuta Jina mbaya kwako. Utaombewa kwanza na Mamako ndo watu wote Dunia mzima wakuombee. Laa sivyo utalia sana
Tunasimama na kweli ya MUNGU 1Timotheo5;8 mtu asiewatunza wa nyumbani mwake ni mbaya kulikoa ASIE amini.hapa MUNGU anamanisha ni Bora mtu ASIE mjua yeye kuliko mlokole asie jali ndugu zake
Hamjamgunduaga tu Martha, hajawahi imba wimbo wa kuwaambia watu kuhusu kuokoka. Yeye ni kujisifiaga yeye tu na Mungu wake. Yaani taarabu ya gospel 😂😂😂.. Pwagu na Pwaguzi wamekutana. Katubuni kwanza ndipo kristo atawatetea.
@Lilianawinner0 Hekima ya kipepo ndio hekima? Machozi huwa yana Sauti ndani yake subirini yaanze kujibu machozi ya mama yake, kamkosea Mungu, mama yake na wokovu kiujumla
Sio kwamba namhukumu dada matha na wala siamini kama anafanya usodoma ila why anaambatana na yule dada mwenye majibu machafu vile hadi kuutukana ukristo?, na kumtelekeza mama ake na ushahidi kabisa upo wazi mama ake analia jamani😢 halafu anasema amesikia Mungu anasema ni Mungu uyu uyu au Mungu yupi duhh nashindwa kuelewa
Huyu Martha ameshaambiwa Sana,ni muda sasa wakimwacha aendelee na kiburi chake na huyo mtoto wake anaewatukana wakristo,anaemtukana YESU...ila anguko lake liko very very close...Familia yake iendelee tu kumuombea maana ipo wazi kabisa huyu Martha anaishi na shetani nyumbani kwake...
Nimeamini Joan atakacho fanya na yeye anaona sawaaa tu....Kweli unaweza jiweka nafasi ya Yesuuuu....aliyesulubiwa??? Hakuna kitu hapo ...Hapana nasema hapana Ila Christina Jifunze Hekimaaa zaidi
Martha anashindwa kumzungumzia kwa sababu yakuumbuka mambo yake yapo hazaran huyo shosha awe mshaur asiache Martha apotee shusho ampeleke Martha kwa mama yake
Ninachokijua ,,ndani ya Martha Mungu kawekeza vitu vingi,,Namaanisha martha ni mtumishi wa Mungu ,,hivyo niwaombe watumishi wenye ukomavu wakae nae ,,watafute namna ya kumsaidia ili mgogoro na mama yake uishe,lakini sinlaumu Saana shusho kwani Martha pia anahitaji mtu wa kumtia moyo kwenye hiki kipindi hivyo martha ajengwe tu kisykolojia,,ila Joan imeshadhihirisha kuwa sio mtu mzur hata kidogo kwa matamshi yake na picha zake za ajabu,,,Tumsaidieni tu Martha wetu arudi kama mwanzo
Cha msingi mama ni Mungu wa pili kwa maana ya wazazi ni Miungu ya pili Msiki lize mamaako huyo shusho sio mamaa ko nae anayake Kib ao muombe mamaa ko msamaha
Rudi kwa mama yako huyoaliekuarika na ww ndio haohao. Utawapendaje waumini ukamchukia mama yako mzazi hata bibilia inasema uwezikumpenda mungu ukamchukia jirani yako. Naje mama mzazi ambae mungu wako Wa dunia
Bora amepumua hata kama amekosea lakini ni mwanadamu angalau amecheka kidogo Mungu ni mwema. Ila bado tubakuomba uende kwa mama umuombe msamaha akuponye. Haujui madhara ya hiki kinachoendelea , mtumishi nakushauri nenda utapona. Mama ni dawa
HILI LISHUSHO LINAWEZA LIKAWA LISAGAJI. TU. SHUSHO UMEMWACHA MUME WAKO NA MARTHA AMEMWACHA MAMA YAKE NA UKOO WAKE!!! MARTHA AACHANE NA JOAN,, AENDE KWA MAMA YAKE APATANE NAYE,,
Kwa sababu kaanzisha upuuzi mwenyewe aende akaombe msamaha peke yake utaachaje mtu Baki atawale familia yako hapo kati Yako na Hy Binti Kuna kitu japo unajifanya kujisafisha
Martha mdogo wangu.... Anayekutia moyo na yeye Ndiyo wale wale kasoro majina YENU.... Baada ya Diamond kushusha nyavu kutoka kilindini hakuona tena, uthamani wa kuwa na ndoa wala kuona uthamani wa mume.... Ushauri WANGU mrudie mama, tubu dhambi achana na ako kambwa kako kanakobwekabweka nakusema hakana Cha kupoteza kwake.... Bado unanafasi.... ! Acha kiburi Cha uzima... Mrudie mama....
Mnyakyusa wa wapi wewe una roho mnaya,unamfuga huyo shetani nyumbani kwako,acha ujinga km wewe ni mtu wa Mungu kweli ongea ukweli wako na Joan? Acha kujibaraguza na ujinga Laana ya Mungu itakuandama Martha
Hapo ni kopo na mfuniko,shusho kamkataa na kumdhalilisha mumewe aliyemsaidia na kumuinua, Martha kamkana mama yake mzazi aliyemuweka tumboni miezi 9. Hata maandiko matakatifu yanasema Kabla ya kumpenda kwanza Mungu mpende kwanza jirani yako. Pia Uumbaji wa Mungu unakamilishwa na wazazi. Kabla ya kwenda madhabahuni mpende kwanza mzazi, nduguyo. Other wise hayo mengine yanabaki kama maigizo tu.
Mtumishi wa Mungu ni kioo KATIKA JAMII kuonyesha UPENDO unyenyekevu na utii .kwa JAMII inayomtizama yaani kwako Martha tunajigunza kitu gani ? Kuwafharsu wazazi na ndugu zako huku Ulisema tumjue Mungu kwa kuinba
Christina shusho God bless you for giving sister Martha a shoulder to lean on,i have been in this situation where lies spread more than the truth,Christina shusho you went through all tough times so that you can be a place or a home for those who are in pain and nobody understands them but one day they will know the truth. Later my story came out to be the truth now those who attacked me because lies they trust me more and suprised how people can spread lies just to Destroy others. Hata yesu aliambiwa anatumia pepo kutoa pepo. Hata Martha atatoka salama.
Martha anamaumivu na mm nashkuru shusho atamtia nguvu, depression ipo na pia ni aibu,be strong Martha ❤❤
dada yangu Martha polesa mungu wangu akufariji
Mungu au mungu😢😢
Yaanii Martha hatuna Tena Iman na weweeee
Shusho acha kutetea dhambi unampoteza mwenzio kwanza mshauri aachane na Joan
March love keep going we love you and God loves ❤❤❤ more keep shining Martha
Having christina susho as a mentor is just a 😢😢😢
Kabisa huyo christina ana matatizo kama yote.kama ni wokovu alishaachaga zamani.na hapo wananena kwa Lugha we waache waendelee kumchezea Mungu
Martha tunakupenda.Tunaheshimu tena Christina shusho.mungu aendelee kuwabariki.
Wapendwa tumuombee hakuna mwenye kujua lililopo nyuma ya pazia. Tumuachie Mungu mwenyewe, tusiwe wepesi wa kuhukumu tusije hukumiwa. Ukweli wa tuhuma hizo yy Martha anazijua amen
Neno lenyewe uhukuma kabla binadamu, neno linasemaje? Kuhusu wazazi Ephesus 6:1
Kumuombea afunguliwe labda
Ulikaa tumboni mwa mama yako miezi tisa,akakuleta duniani kwa mapenzi ya Mungu,akakulea kwa shida na tabu #ACHA___KIBURI_CHA__UZIMA
mfuate mama alipo umuombe msamaha ili moyo utulie na iwe baraka kutoka kwa Mungu
Martha umepewa moyo Mgumu kama wa Farao. ujione uko sahihi? Aya machozi ya Mama na Watanzania ayatskuacha salama
Bana acha porojo jibu hoja usijifananishe na mungu, mungu hakua na huo uchafu wako wa kusafil na joan kujifungia chumba kimoja kama wachungaji wa kongo na kenya wanavosema jibu hoja rudi kwa mama ako yule ni mungu wako wa duniani acha porojo hyo ni aibu hakuna hotuba hapo
Namwamin Mungu na SI Mwanadamu ila km unasimama kwenye madhabahu ya Mungu na kweli ni msagaji Ulaaniwe tuuu
Mwenye kubali 🎉
Mungu wa kwanza ni huyo aliyekuumba
Mung wa pili ni wazaz wako ,hakika kama unaabudu katika roho na kwel ,nenda ukatubu mbele ya mama Yako la sivyo utafunzwa na ulimwengu huu ,
Mungu akutie mungu
Sema Amina nzuri😅
Kusagana na kutelekeza mama mzazi ni dhambi kubwa sana. Hata usipoongea, umeshachafuka vya kutosha .
Mimi binafsi najivunia sana matha amekuwa mfariji wangu kupitia nyimbo zake kwakweli kunakitu matha I love you
Taarabu sio😂
Hata Mimi nilikuwa nanpenda sana lakini ukimuona mama yake lazima utatoa machozi.
Kwa yote acha tuu nikupende Martha 😅😅 ya Dunia yapo lakini Bado Nakupenda tuu Martha
Dada from birundi tunagupenda mungu agutie nguvu❤❤❤❤
Mungu akutie nguvu watu wengi wanasahau kuwa yeye ni binadamu na hapaswi kujitetea mbele za binadamu ,,,,Muachieni Mungu ahukumu yeye mwenyewe
Hakuna Mungu anayekubali usagaji, halafu usimlinganishe YESU na huo uchafu
ndugu ACHA kumsemea mtu uliakiki Kwa macho na siku ukagundua matha ndio mkweli ao wanaosema Ivo ni waongo utafanyaje. sema sisi wanadamu tunamaneno mengi sana. akuna mtu anaekataa kumsaidia mzazi wake au ndugu ujue apo familia Ina shida kubwa nyie waombeeni
Ungeenda kwaza kwa mama kabla hujaenda kanisani, coz hata neno lasema,ukikumbuka Una neno na jirani yako ,heri usitoe sadaka ,Kwanza nenda ukarekebishe na jirani ndo uje utoe sadaka yako
Ni mama tu urudi kwake,that pain of labour na 9months
Kukosea Kwa mwanadamu ni kawaida....ila kuendelea kuficha uovu au mapungufu na kushupaza shingo kuliko kutibu kidini Cha tatizo ataendelea kupaita shida hata para amani ya kudumu....angalia wapi ulikosea,tubu,nenda Kwa mzazi wako kasema nimerudi mwana mpotevu Mimi...Mila kujali yanayo semwa ni sahihi.......fukuza hiyo Joan.......àcha kuishi na watu wengi nyumbani kwako utajuta sanà.....kama mmeo hajaoa Rudi kashike mimba myajenge .....
Amen and amen 🙏🙏🙌🙌
Kipaji au jeuri jitambue kosa lako
Cristina shusho kama unampenda matha mwaipaja mpeleke kwa mama yake akamwombe msamaha Ili awe na amani,mama anakuhitaji,hakuna kama mama.
Wanafki tuu woo
Mungu nguvu Martha 😢😢
Utamwabudu vip yesu ambae hujamwona kwa macho ukamdharau mamako mzazi
Hawezi hata kuongea sauti haitoki nafsi inamsuta mapenzi ya jinsia moja siyo mchezo hadi familia yake kaikataa laana tupu nyimbo zake zimejaa shombo tupu na uasi 😢
Wewe msafi
Muombee
😂😂😂
Sema tusimuhukumu jamani, hakuna mkamilifu chini ya jua. Tumuombee na tuiombee familia yake waelewane, wasaidiane na washirikiane tena.
@@Paul-u3k3w ndiyo. Kwasababu hii imezidi sasa analidhalilisha kanisa la Mungu na hicho kipepo chake joan' na bado anakilea" halafu bado anaonyesha kiburi! maana hapo ndiyo ilikua nafasi yake ya kuongea lakini kakaa kimya' mwenzie kamwita mara mbili hapo ili atoe dukuduku lake' lakini kiburi ndiyo anacho' mpaka Christina anaonekana msaliti wa kanisa kwa kumtetea mtu mwenye kiburi' tena aache kuimba nyimbo za masimango kwa kanisa' eti "ushindi ni lazima"! how!?😢
Siku utaonekana uko na Mamako na dadako Beatrice pasipo kua na Joan hapo ndipo maneno za mtandaoni yataisha. Mama ni 2nd to God ana funguo ya kufuta Jina mbaya kwako. Utaombewa kwanza na Mamako ndo watu wote Dunia mzima wakuombee. Laa sivyo utalia sana
Tunasimama na kweli ya MUNGU 1Timotheo5;8 mtu asiewatunza wa nyumbani mwake ni mbaya kulikoa ASIE amini.hapa MUNGU anamanisha ni Bora mtu ASIE mjua yeye kuliko mlokole asie jali ndugu zake
Nacho jiuliza unashidwa enda kumwona mama ili utubu et unaenda kwa uyo aliye mkimbia mume wake wazinzi wakubwa
Jamani😂😂😂😂😂
Tunakupenda sana ,
Hamjamgunduaga tu Martha, hajawahi imba wimbo wa kuwaambia watu kuhusu kuokoka. Yeye ni kujisifiaga yeye tu na Mungu wake. Yaani taarabu ya gospel 😂😂😂.. Pwagu na Pwaguzi wamekutana. Katubuni kwanza ndipo kristo atawatetea.
Sio hujui kuongea bali ni aibu utasema nn, scandal ni chafu sana? Na hivi unamwacha mtoto amkashifu mpaka Yesu tunaona haupo sehemu nzuri kiroho
Kabisaaa hapo Hana cha kusema maana mtoto anaropoka tuu na. Anamwachia tuu na anathibitisha kuwa Hana cha kusema maana anaogopa kuna ukweli
Kwendeni huko wahukumu wa wenzenu mafarisao nyinyi
Hamuoni Martha anahekima hakuna kitu mumesikia akisema na hatasema chochote anajua mbona ananyamaxa nampenda nitampenda Bado nyinyi nani anajua Yale mnafanya kisiri
Hao ni watu ajuae Martha ni Mungu na mm nampenda Martha.
@Lilianawinner0 Heri wapatanishi hao wataitwa Wana mungu kinyume chake ole wao wafarakanishaji maana hao waitwa Wana wa shetani
@Lilianawinner0 Hekima ya kipepo ndio hekima? Machozi huwa yana Sauti ndani yake subirini yaanze kujibu machozi ya mama yake, kamkosea Mungu, mama yake na wokovu kiujumla
Ambao tumewahi kuzushiwa maneno nakuchukiwa tunakuelewa matha Mungu ndio anajua
Dada pole hata hili litapita tu Mungu anaeona na kusikia na ndiye anayejua ukweli atayamaliza yote
Sio kwamba namhukumu dada matha na wala siamini kama anafanya usodoma ila why anaambatana na yule dada mwenye majibu machafu vile hadi kuutukana ukristo?, na kumtelekeza mama ake na ushahidi kabisa upo wazi mama ake analia jamani😢 halafu anasema amesikia Mungu anasema ni Mungu uyu uyu au Mungu yupi duhh nashindwa kuelewa
Tumuachie mungu ndie muamuzi wa hili
Kuna wengi mmekuwa wasemaji kwenye hili lakini najua Mungu ni mwema dada Matha kaza mwendo utafika
Huyu Martha ameshaambiwa Sana,ni muda sasa wakimwacha aendelee na kiburi chake na huyo mtoto wake anaewatukana wakristo,anaemtukana YESU...ila anguko lake liko very very close...Familia yake iendelee tu kumuombea maana ipo wazi kabisa huyu Martha anaishi na shetani nyumbani kwake...
Jamani huyu masa ni Nyimbo zake ni zakinabii, ila hapo akitoka kwenye Jaribu hili nasema Tanzania tutajivunia kuwa na Martha
Kanisa la wanawake au😂😂😂
Rudi kwanza kwa wazazi wako awo wapambe wanakupoteza2
Huyu dada anakipaji kikubwa sana. Kunyamaza nikipaji aiseee ningeshajieleza😂 nimejifunza sana kwake
😄😄😄😄tunaita nineema. Kuongea ni rahs San lkn kunyamanza akt unatupiwa maweee. Niroh ngumuu. Mungu amsaidieee.
Martha kama kweri yasemwayo Acha .watu Congo na Kenya wasinge ongea uongo.acha mfuate yesu wa kweri
Nimeamini Joan atakacho fanya na yeye anaona sawaaa tu....Kweli unaweza jiweka nafasi ya Yesuuuu....aliyesulubiwa??? Hakuna kitu hapo ...Hapana nasema hapana Ila Christina Jifunze Hekimaaa zaidi
Nenda kwa mama yako acha kujitetea martha
Ila Martha ❤❤❤❤mungu akusaidie ulivuke hili pito na naamini utalivuka mungu unayemtumikia na kumwamini hawezi kukuacha uaibike 🙏
Aainike mara nhap
Mbona kashaaibika
Martha anashindwa kumzungumzia kwa sababu yakuumbuka mambo yake yapo hazaran huyo shosha awe mshaur asiache Martha apotee shusho ampeleke Martha kwa mama yake
Pole jmn hat hil litapita
Mpende mama yako kwanza kabla haujatupenda sisi.
Piga kazi mtumishi wa Mungu Marther wengi watatumiwa kukukatisha tamaa usiogope songa mbele.ila nakushauri achana na Joan.
Kutokuzunguza hajusaidii kitu saidia mama yako
Mtunze mama yako kibuli Cha uzima kisikudanganye kukulinda uyo anakupotosha akuna kama mama ata iweje
Ninachokijua ,,ndani ya Martha Mungu kawekeza vitu vingi,,Namaanisha martha ni mtumishi wa Mungu ,,hivyo niwaombe watumishi wenye ukomavu wakae nae ,,watafute namna ya kumsaidia ili mgogoro na mama yake uishe,lakini sinlaumu Saana shusho kwani Martha pia anahitaji mtu wa kumtia moyo kwenye hiki kipindi hivyo martha ajengwe tu kisykolojia,,ila Joan imeshadhihirisha kuwa sio mtu mzur hata kidogo kwa matamshi yake na picha zake za ajabu,,,Tumsaidieni tu Martha wetu arudi kama mwanzo
Mtunze mamako Kwanza
malaya wapo kanisani dunia ngumu
Wote hao wameachika au Bado?
Cha msingi mama ni Mungu wa pili kwa maana ya wazazi ni Miungu ya pili Msiki lize mamaako huyo shusho sio mamaa ko nae anayake Kib ao muombe mamaa ko msamaha
unasauti kama ya mama yako kweri mama ni mama
Acheni kutumia mistari ya biblia kufunika uovu nenda kwa mama yako 😂😂 nenda kapatane sehemu ya kwanza ingekuwa kwa mama sio kweli stage kama hizi
Matapeli wakike ktk ubora wenu
Hata kama mama alimuudhi bado anatakiwa kama mtu aliokoka na kioo cha jamii atengeneze na mama yake
Rudi kwa mama yako huyoaliekuarika na ww ndio haohao. Utawapendaje waumini ukamchukia mama yako mzazi hata bibilia inasema uwezikumpenda mungu ukamchukia jirani yako. Naje mama mzazi ambae mungu wako Wa dunia
TUNAKUPENDA, JIPE MOYO MARTHA, MUNGU HATAKUACHILIS, NI MAPITO TU, LAZIMA USHINDI UUPATE
Christina ww hufaiu ulitakiwa umshauri mwenzio aende kwa mama yake.bado ww ni kichomi
Matha l love 5:18
Love your neighbor as you love your self and if you don't do that how will you love God and how will you manage to preach to people surely
Bora amepumua hata kama amekosea lakini ni mwanadamu angalau amecheka kidogo Mungu ni mwema. Ila bado tubakuomba uende kwa mama umuombe msamaha akuponye. Haujui madhara ya hiki kinachoendelea , mtumishi nakushauri nenda utapona. Mama ni dawa
Nenda kwa mama martha utabarikiwa
birds of the same feathers.......flew together. jeremiah 5:21.-22
Kayamalize kwanza ya famili
Biblia inasema asiyewajali wakwao nisawasawa namtu asiyeamin.
HILI LISHUSHO LINAWEZA LIKAWA LISAGAJI. TU. SHUSHO UMEMWACHA MUME WAKO NA MARTHA AMEMWACHA MAMA YAKE NA UKOO WAKE!!! MARTHA AACHANE NA JOAN,, AENDE KWA MAMA YAKE APATANE NAYE,,
Huwezi kupenda watu, wakati mamako humpendiii. 😢 penda mamako. Sio kutupenda sisi. Wotee mmeachika hukoo mnatuambia ninii...😢😢😢
Stop talking if you doesn't know the truth please
Msagaji wewe nyooo😢unashindwa kumsaidia mama ako mmbwa wewe
Kwa sababu kaanzisha upuuzi mwenyewe aende akaombe msamaha peke yake utaachaje mtu Baki atawale familia yako hapo kati Yako na Hy Binti Kuna kitu japo unajifanya kujisafisha
Sasa kushauriwa umsaidie mamako ni kupigwa vita
Martha mdogo wangu....
Anayekutia moyo na yeye Ndiyo wale wale kasoro majina YENU....
Baada ya Diamond kushusha nyavu kutoka kilindini hakuona tena, uthamani wa kuwa na ndoa wala kuona uthamani wa mume....
Ushauri WANGU mrudie mama, tubu dhambi achana na ako kambwa kako kanakobwekabweka nakusema hakana Cha kupoteza kwake....
Bado unanafasi.... !
Acha kiburi Cha uzima...
Mrudie mama....
Songa mbele hakuna kurud nyuma,wasikukatishe tamaa
Songa mbele Martha kuleta mambo ya familia kwenye mtandao ni ushabiki na wala sio ukristo,yesu akutie nguvu
Lea mama jaman😢😢
Kwani mtu kukusimamia ni vibaya? Wewe mwenyewe jibebe urudie bhana. Wewe ni mtumishi. Elewa ufanye keeli bhana.
Watanzania acheni kumponda mtumishi wa Mungu matha huwezi kujua moyo wa mtu
Jinsi mtu alivyo live ndivyo moyo ulivyo Biblia inasema
Mnyakyusa wa wapi wewe una roho mnaya,unamfuga huyo shetani nyumbani kwako,acha ujinga km wewe ni mtu wa Mungu kweli ongea ukweli wako na Joan? Acha kujibaraguza na ujinga
Laana ya Mungu itakuandama Martha
Hapo ni kopo na mfuniko,shusho kamkataa na kumdhalilisha mumewe aliyemsaidia na kumuinua, Martha kamkana mama yake mzazi aliyemuweka tumboni miezi 9. Hata maandiko matakatifu yanasema Kabla ya kumpenda kwanza Mungu mpende kwanza jirani yako. Pia Uumbaji wa Mungu unakamilishwa na wazazi. Kabla ya kwenda madhabahuni mpende kwanza mzazi, nduguyo. Other wise hayo mengine yanabaki kama maigizo tu.
Hata hao anao wahutubia ni wanafiki hawafagiliii ila wafanyeje
Mbona humtaji YESU wewe..nii MUNGU acha zako wewe
Joan anamchukua video kwa mbali
Mtumishi wa Mungu ni kioo KATIKA JAMII kuonyesha UPENDO unyenyekevu na utii .kwa JAMII inayomtizama yaani kwako Martha tunajigunza kitu gani ? Kuwafharsu wazazi na ndugu zako huku Ulisema tumjue Mungu kwa kuinba
Muogope Mungu tubu tubu ndiyo umeenda kujificha uko, huoni hata aibu huyo yesu gani
Msimaeme Martha hili ni jaribu kwake, huyu anaenda kuinuliwa akiimba tuu, watu wanaona Kuna utukufu unakuja unamvika Martha Tanzania watajivunia
Wewe sio kweli kwamba hujui kuongea ila unaona aibu kukaachia kale kaumbwa kako kumuthalilisha mama yako mzazi
Huyo Shusho amesharudi kwa mumewe??????
Unapiga kelele wewe ondoka hapo hio illuminati uliingia inakufanya hukose kusaidia mamako hio pesa ina maana gani
Huyu dada hata nyimbo zake sisikilizi tena anaimba kutafuta hela
Christina shusho God bless you for giving sister Martha a shoulder to lean on,i have been in this situation where lies spread more than the truth,Christina shusho you went through all tough times so that you can be a place or a home for those who are in pain and nobody understands them but one day they will know the truth.
Later my story came out to be the truth now those who attacked me because lies they trust me more and suprised how people can spread lies just to Destroy others.
Hata yesu aliambiwa anatumia pepo kutoa pepo.
Hata Martha atatoka salama.
Huna jipya matha mama yako aliekuzaa kweli hata aibu huna kweli nenda kwa mama kwan yule ni mama yako