TUERNY NALALA NA MISHUMAA/ROMY ANAUMIA/NIKITABIRI LINAKUJA/WANASEMA FREEMASON

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 89

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 2 ปีที่แล้ว +9

    I like her ,she is unique 👌

  • @miriamngosha6856
    @miriamngosha6856 2 ปีที่แล้ว +9

    Uyu dada anaonekana ana vitu ving sana anavijua au kuvitambua nataman atokee mtu mmoja wakae chin waongee story hizo tu tunaweza jifunza meng sana kuhusu yeue kuna mawswali meng sana bado amjamuliza

  • @glaqgloryaqram7511
    @glaqgloryaqram7511 2 ปีที่แล้ว +15

    Maskini ur speaking about universe hapa Tz sio watu wengi ambao wako awaken dear,hawakuelewi unless wako enlighten about universe,sio uchawi,mm nimekuelewa!peace!

    • @eightofhearts
      @eightofhearts 2 ปีที่แล้ว +1

      I KNOW! Sad, i’ve always wanted to have an astrology club in Tanzania, i believe the tribe is growing

    • @sarahmero4561
      @sarahmero4561 2 ปีที่แล้ว +1

      Ifkyk

    • @florajumbe7284
      @florajumbe7284 2 ปีที่แล้ว +1

      Maskin hawajui kama hivi vitu vipo na vinafsnya kazi

    • @odalomary5446
      @odalomary5446 ปีที่แล้ว

      Nikweli ukiwa karibu na ulimwengu...ni kawaida kuwa kama uyo dada..ila watu watajuwa kama anatafuta kiki kumbe hapa na❤

  • @aselangonzi7206
    @aselangonzi7206 2 ปีที่แล้ว +4

    Media mjifunze pia, pendeni kureseach mpate taarifa juu ya mambo mbali mbali. Elimu ya ulimwengu ni pana sana. Huyo dada anachokisema kipo kweli.

  • @beatricemtui3766
    @beatricemtui3766 ปีที่แล้ว

    Manifest watu wapende nyimbo zako

  • @elisanteshayo3882
    @elisanteshayo3882 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ni malaya aka kahaba aka mtu wakuuza mwili dubai South Africa Ghana nigeria ndio nchi hutembelea kwa ajili ya kuuza mwili wake kiufupi anasafari ndefu sana maishani yakuwashawishi malaika na mitume kutokumuadhibu siku ya mwisho mwanamke pekee aliyeimba nakuwa mwanamuziki wakike ni lady jaydee tu aliimba kwa hekima nabusara na hakulazimisha umaarufu

  • @Witnes1234
    @Witnes1234 2 ปีที่แล้ว +3

    Hatutakiwi kuzitegemea nguvu za universe bali nguvu za Mungu ambaye ameumba universe . Elimu za nyota, sikukuu za miandamo ya mwezi ,Mungu anazichukia. Tuweni makini na elimu tunazozitafuta.

    • @catherinekiwipa9271
      @catherinekiwipa9271 2 ปีที่แล้ว

      yeap elimu ya universe ,nyota naielewa Sana lkn nilijifunza kuamini ktk Mungu tu ichi kitu sikipend coz kinanisumbua had Leo naweza kujua nn kitatokea ktk ulimwengu wangu kubwa tujifunze kuamini ktk Mungu tu Yesu ktk kristo tuern pole Sana

  • @Mjomba_Side
    @Mjomba_Side 2 ปีที่แล้ว +7

    Ngoja na mimi ni manifest bei ya mchele irudi jero

    • @taqozer
      @taqozer 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

  • @yashinchembo5424
    @yashinchembo5424 2 ปีที่แล้ว +13

    Na mm nimekaa naangalia kama jinga vle😏🤣🤣

  • @happinesskitali164
    @happinesskitali164 ปีที่แล้ว

    Mungu akusamehe yaan baada ya kumuabudu yeye aiseee na unajiona mjanja daah unapotea et nalala na mishumaa si uchawi uo

  • @sabrinaomary458
    @sabrinaomary458 2 ปีที่แล้ว +3

    Mmmmh ila wadada wa kibongo sijui kwanini mnakua hivi..!

  • @salmasalma-pv2ue
    @salmasalma-pv2ue 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli dada jinga kabisa

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 2 ปีที่แล้ว +2

    Unajitapa sana. Wewe nidanga tu

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 2 ปีที่แล้ว +3

    apo kabda nilijuaga uyu dada na wa mambele uko kumbe ni mswahili kunizidi ata mm nyie anaongea kama fala vile 😂😂🙌🏻

    • @kazkaz1943
      @kazkaz1943 2 ปีที่แล้ว +1

      Hata mimi ndo mana tunaambiwa tunyamaze ulimi unaponza kichwa

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyu Leo tu ndio nimejua. Kwani ni Nani? Lakini wanini nataka nimjue maana sio hata sababu jinga jinga tu hili Lina dd. Halafu halijui kutofautisha L na R.

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 2 ปีที่แล้ว +3

    Kwa uzur gan ulionao make up zinakubeba toa hilo wigi na hzo make up tuone hilo lisura lilivyokuparama

    • @Mimy_keys
      @Mimy_keys 2 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂 Na Trako lake hulioni afu pia ana hela 😊👌😉

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 2 ปีที่แล้ว

    Mashauz mengii sura km umepigwa kofi

    • @happylynguya3464
      @happylynguya3464 2 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅ila wewe. Mwenzio kasema ni mrembo saaaaana.

    • @leaherasto929
      @leaherasto929 2 ปีที่แล้ว +2

      Hujamjua kwauzuri kweli nimzuri

    • @starvista823
      @starvista823 2 ปีที่แล้ว

      Uzuri wa mwanamke tunakua sisi wanaume

  • @oscarj....5979
    @oscarj....5979 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye manifest nimekuelewa dada,

  • @Chakulachakiroho
    @Chakulachakiroho 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyie Bangi mbayaaaaa 😂

  • @miriamngosha6856
    @miriamngosha6856 2 ปีที่แล้ว +3

    Sasa ukisha manifesi hizo safar ndo unaenda kwa kupaa au unatumia pesa 🤔

    • @Mimy_keys
      @Mimy_keys 2 ปีที่แล้ว

      Waza sasa 😂😂😂😂😂

    • @taqozer
      @taqozer 2 ปีที่แล้ว +1

      Itakua ana paaa😅🤣🤣si anamanifest anaita tu dubai dubai dubai... akiita anaanza kupaa😂😂

    • @ppcltdppc3402
      @ppcltdppc3402 2 ปีที่แล้ว

      Anafanya kazi zake hizi za ki universe na ndio zinazompatia pesa coz anawatabiria watu wanye mapesa yao

  • @kolethafabian2618
    @kolethafabian2618 2 ปีที่แล้ว

    Umaarufu kazi kuupata.

  • @helensaulanga1595
    @helensaulanga1595 2 ปีที่แล้ว +2

    🌃

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 2 ปีที่แล้ว

    Mrembo Nani mm mbona naona hapo salehe ndio hb

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 2 ปีที่แล้ว +2

    Lile jini mahaba ndio hili labda

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 2 ปีที่แล้ว +1

    MTANGAZAJI KAPIGWA NA KITU KIZITO.AMESHINDWA KUMUULIZA BAADHI YA MASWALI MUHIMU ANAISHIA KUSEMA DAAAAH!

  • @babynahiya6640
    @babynahiya6640 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba aniambie kabla mwezi huu haujaisha nitapata pesa mingi

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 2 ปีที่แล้ว +1

    Unamanifest vp tupe iyo siri

  • @aminakazogolo2229
    @aminakazogolo2229 2 ปีที่แล้ว +1

    Salehe😅😅😅😅🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 2 ปีที่แล้ว +5

    Dangaji lililokubuhu ulimwenguni 😏

    • @elisanteshayo3882
      @elisanteshayo3882 2 ปีที่แล้ว

      Anajiuza South Africa na dubai ethiopia na ghana anaitwa kwaajili ya kufirwa nakisha kurudi bongo njaa mbaya sana tulee watoto wetu kwa maadili mema huyu hamna kitu tundu zote 2 zikowazi

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 2 ปีที่แล้ว

      @@elisanteshayo3882 😳

  • @kwizerajamila6682
    @kwizerajamila6682 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbn hujajitabiri uyo mziki wako unefikie views 10mill kwa sa limoja hhaaa bado unaomba support kuwatu naww nimutu waunivers hhaa jamani

  • @anneyrommoka9024
    @anneyrommoka9024 2 ปีที่แล้ว

    We ungekua Ka Poshqueen ungefanye

  • @helensaulanga1595
    @helensaulanga1595 2 ปีที่แล้ว

    👋

  • @agnesmanimba8548
    @agnesmanimba8548 2 ปีที่แล้ว

    Ana mapepo huyuuu

  • @anethd1319
    @anethd1319 2 ปีที่แล้ว

    HUYU MWANAMKE MBONA KANENEPA HIVYO AMEVIMBA SANA.

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu dada nilijuaga bonge la mjanja kumbe zero

    • @rafathealfa2237
      @rafathealfa2237 2 ปีที่แล้ว

      Kwanini!??

    • @jan6703
      @jan6703 2 ปีที่แล้ว +1

      @@rafathealfa2237 msikilize vizuri huyu hayuko sawa kichwani. She smokes or drinks or injects something deadly 🤔

  • @asifiwekitunga4655
    @asifiwekitunga4655 2 ปีที่แล้ว +1

    We mganga😂

  • @stelamwakatulile2455
    @stelamwakatulile2455 2 ปีที่แล้ว

    Punguza huongo utafika mbali ndugu

  • @dannywiston6391
    @dannywiston6391 2 ปีที่แล้ว

    Tapeli hili

  • @anneyrommoka9024
    @anneyrommoka9024 2 ปีที่แล้ว

    Univers maana yake ulimwengu WA roho anazozitegemea yeye uyu dada ni kama ana Walimu

  • @sherin3171
    @sherin3171 2 ปีที่แล้ว +1

    Nipende unavyo ongea 🤣🤣

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 2 ปีที่แล้ว

    jinga saaana

  • @aminakazogolo2229
    @aminakazogolo2229 2 ปีที่แล้ว +2

    😅😅😅

  • @neemaalex728
    @neemaalex728 2 ปีที่แล้ว

    😅😃😅😃😃 universe

  • @vickydan2869
    @vickydan2869 2 ปีที่แล้ว

    Mbn kama ckuelew dada

  • @lesusi7872
    @lesusi7872 2 ปีที่แล้ว

    Peleka utapeli wako huko

  • @shamsasoud2989
    @shamsasoud2989 2 ปีที่แล้ว

    Liongo

  • @mimifineliving2022
    @mimifineliving2022 2 ปีที่แล้ว +1

    Porta potty

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 2 ปีที่แล้ว

    kwani akisema anadanga anapungukiwa nini nimepoteza MB zangu matter call yake

    • @al.mansoor_baluch6647
      @al.mansoor_baluch6647 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂daa

    • @aliciasultani755
      @aliciasultani755 2 ปีที่แล้ว

      Uyu dada anajionaga mzuri ana miguu mibaya tofaut na ye mwenyew jinsi alivyo miguu kma njiti za viberiti

    • @anneyrommoka9024
      @anneyrommoka9024 2 ปีที่แล้ว

      Kwa miguu hanw

    • @taqozer
      @taqozer 2 ปีที่แล้ว

      matter call🤣🤣🤣🤣🤣