WATUHUMIWA WA MAUAJI YA MTOTO ASIMWE WAKIFIKISHWA MAHAKAMANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 253

  • @user-hu8um8vj4r
    @user-hu8um8vj4r 3 วันที่ผ่านมา +27

    Hawa.wapigwe risas adharan watu washuhudie ndo tutalizika

  • @jafarimwikalo8145
    @jafarimwikalo8145 3 วันที่ผ่านมา +20

    Dogo alipitia maumivu Makali sana 😢

    • @eddaathuman2584
      @eddaathuman2584 2 วันที่ผ่านมา

      😢😢😢😢😢

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 2 วันที่ผ่านมา +2

      Wababa wote hao,kumchinja MTOTO WA miaka 2,tena binti? 😭😭😭, mtoto wangu ASIMWE SIJUI ALIITA BABA,MAANA ALIKUWA ANAMUONA HAPO AKIJUWA YUPO SALAMA,AU ALIITA MAMA?! 😭😭😭😭

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 2 วันที่ผ่านมา

      DogoAlinilizasaanaNipoOman

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@israelkisaila8401weAchaTuNililiaNabadoNaliaNikikumbukaAliliaMtoto

    • @kedirckmlongo8152
      @kedirckmlongo8152 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ii​@@SalmanMughal-lq5lt

  • @BibieMakame
    @BibieMakame 3 วันที่ผ่านมา +15

    Wanamaliza mafuta ya gari bure wanyongwe haraka

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 2 วันที่ผ่านมา +14

    Halafu Mimi sioni umuhimu WA kesi,HAPO wawakabidhi wananchi Wa kagera wamalizane nao,kutuulia MTOTO wetu mzuri 😭😭😭😭

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 2 วันที่ผ่านมา +1

      Kwel

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 2 วันที่ผ่านมา +2

      kesi ya nn hapo sasa...dah au mpk waue mwngne!!!! Tuachien raia sie tumalize shoo

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 2 วันที่ผ่านมา

      @@salamasaidi6620 yani,Mimi inaniuma yule MTOTO SIJUI aliliaje,huku ANAMUONA baba yake😭😭😭

    • @verobecamfipa8655
      @verobecamfipa8655 2 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisaaaaa mahakani kufanya nini na ushaidi upo dawa na wao wangenyongwa

    • @KelvinConorard
      @KelvinConorard 2 วันที่ผ่านมา

      Mhh we una ushaidi vp yakikuta wew na ukawa ujafanya

  • @OnesmoEmmanuel-xr2rf
    @OnesmoEmmanuel-xr2rf 3 วันที่ผ่านมา +16

    𝐌𝐚𝐬𝐡𝐞𝐭𝐚𝐧𝐢 𝐦𝐚𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐧𝐲𝐢𝐞 𝐦𝐧𝐚𝐚𝐜𝐡𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐚𝐟𝐮𝐭𝐚 𝐡𝐞𝐥𝐚 𝐡𝐚𝐥𝐚𝐥𝐢𝐢 𝐦𝐧𝐚𝐮𝐰𝐚 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐌𝐔𝐍𝐆𝐔 𝐚𝐰𝐚𝐥𝐚𝐧𝐢 𝐧𝐲𝐢𝐞 𝐦𝐡𝐮𝐮

    • @eveliynejoseph7944
      @eveliynejoseph7944 2 วันที่ผ่านมา

      Watu wazm ovyo watu 9 wanamkatili Maisha mtoto mmoja jaman mxiuuu,na huyo padri wa mchongo 😏😏😏

  • @user-ky4rb2lg3h
    @user-ky4rb2lg3h 2 วันที่ผ่านมา +4

    Nimejifunza kitu kupitia hili jambo,nitamsujudia Mungu wangu peke yake, sintamwamini mtu yoyote kwenye dunia hii,na nikiwa shida, nitapiga magoti,nitasema na Mungu wangu,binadamu hatujakamilika.

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 2 วันที่ผ่านมา

      Je Mungu naye unamwambia je ???? Katuumba ki makosa?

  • @RehemaMissinzo
    @RehemaMissinzo 3 วันที่ผ่านมา +11

    Dhuu mungu liponye taifa lako

  • @HafsaAmour
    @HafsaAmour 2 วันที่ผ่านมา +2

    Yaan wengine hapo wazee na mmvi tele M.mungu kawapa uhai mmeishi mpaka sasa leo hii mnaenda kumdhulum Mtoto uhai wake looh jaman hata huruma mkakosa kundi lote nyie mmemungamiza mtoto M.mugu atawapa malipo yenu mashetan wakubwa nyie 😭😭

  • @cosein
    @cosein 2 วันที่ผ่านมา +3

    Hakimu ni Mungu unakuta si wote wanausika ndo maana wamepelekwa mahakamani

  • @FastonNsangila-mr4bq
    @FastonNsangila-mr4bq 2 วันที่ผ่านมา +12

    Yaaan hao jamaaa wana bahat sana wamshukuru Mungu sijaletwa hapo kituon kama asikar haki ya Mungu ningewachoma moto make mtoto Asimwe aliumia sana

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 2 วันที่ผ่านมา +3

      Kwel kabisaa hawa wakatwe kiongo kimoja kimoja mpaka wafeee

    • @Alexismadimo
      @Alexismadimo 2 วันที่ผ่านมา

      Mhhh msimamia sheria ndo una akili izi dahh

    • @johaali9959
      @johaali9959 2 วันที่ผ่านมา

      𝒎𝒖𝒏 𝒖𝒉𝒂𝒌𝒊𝒌𝒂 𝒌𝒎 𝒏𝒊𝒘𝒂𝒐 𝒂𝒖 𝒌𝒎 𝒌𝒂𝒘𝒂𝒊𝒅 𝒚𝒆𝒏 𝒌𝒖𝒋𝒊𝒇𝒂𝒏𝒚 𝒎𝒂𝒎𝒍𝒂𝒌 𝒎𝒖𝒏𝒂𝒔𝒂𝒉𝒂𝒖 𝒌𝒎 𝒌𝒖𝒏 𝒌𝒖𝒇𝒂😂😂

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hawa wsuliwe hadharan jaman watu 9 mtoto wa miaka miwili ya Allah 😢😢😢

  • @patrickfanuel
    @patrickfanuel 3 วันที่ผ่านมา +5

    Nao wanyongwe kama walivyo muua mtot😢😢

  • @angelmauja1846
    @angelmauja1846 3 วันที่ผ่านมา +6

    Mungu unajua asee ndio maana sikupata mamlaka,Yan Hawa wangeshanyongwa muda sanaaaaa

  • @jacksongeorge3964
    @jacksongeorge3964 2 วันที่ผ่านมา +2

    Hizo Shetani ziUWENI mahakamani ya nin tena jamani😭

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 วันที่ผ่านมา +1

    Mahakama yann jaman jaman nyongeni iyo mbwa 😢

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 3 วันที่ผ่านมา +4

    Mm nashangaa mbona wengi hvyo' jmn" mkamuue mtt mdg jmn 😭😭 kwakwel malipo dunian acha mpelekwe sehem husika na Cha moto mtakiona

  • @user-yb1mv2nx6m
    @user-yb1mv2nx6m 2 วันที่ผ่านมา

    Uwiii Asante mungu kwa ili🙏🙏🙏

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pumbavu sana mlio mshika mtoto na kumuua
    Mungu awahukumu

  • @RahimaMct-ik8mr
    @RahimaMct-ik8mr 2 วันที่ผ่านมา +1

    Yan mungu awafichue wote

  • @MonaJuma-cp3jg
    @MonaJuma-cp3jg 2 วันที่ผ่านมา +1

    Wanyongetu

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 วันที่ผ่านมา +1

    Wachunguze kikamilifu muwahoji vixuuri atakae bainika kweri kashiliki bilaya zurmayaainayoyote nae auwawe. Maana.nasemahivyo linapotokea tukiokubwakamahili wanawezabebwa na wasiousika. ... Allah.awatangulie.katika kuhukumu haki. Inshaallah

  • @rahellubandila1928
    @rahellubandila1928 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu irehemu Tz

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 2 วันที่ผ่านมา

    NababaMzazi.kiongoz.wao.SubhanaAllah.yeyeNdyeAliyeTakiwaKumlindaMtoto.yeye.ndyo.chambo

  • @gregory6165
    @gregory6165 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu awalaani, Mnaiabisha Tanzania na jamii ya waafrika

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 3 วันที่ผ่านมา

      Ni kweli Tanzania inao goza sana kuwaua ma Albinos

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 2 วันที่ผ่านมา +2

    Wakatwekatwe pia kama walivyomkatakata Asimwe, tena iwe hadharani kila mtu aone, hivi ni maumivu ya kiasi gani alioyapata mtoto wakati wakimuua. Na wewe baba wa mtoto unamuua mtoto wako bila huruma, huku mtoto anakuangalia. yaani ni uchungu sana kwa kweli.

    • @user-sv6zy3hc8o
      @user-sv6zy3hc8o 2 วันที่ผ่านมา +1

      Ndugu yangu açha kabisa kwer mtot wako mpka anakata roho na wew unamuona daaa yani ni msiba mzito kwa kwer

    • @mariamfritsi4943
      @mariamfritsi4943 2 วันที่ผ่านมา +1

      @@user-sv6zy3hc8o yaani mimi machozi yananitoka kwa uchungu nilioupata. Haya huyu mwenye mtoto wake amekuwa na roho gani jamani, ila hawezi anaishi kwa amani hata.

  • @teddymassawe3583
    @teddymassawe3583 2 วันที่ผ่านมา

    Serikali yetu hongereni sana kwa jitihada zenu,inauma sanaa jamani uwiiiiiiii kiumbe hakina kosa lolote

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 2 วันที่ผ่านมา

    Wauawe mara moja

  • @ShemsaKiobya-x8h
    @ShemsaKiobya-x8h 2 วันที่ผ่านมา

    Mtoto kabla ya kifo albumin sana na wao wanyongwe mpaka kufa

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa 2 วันที่ผ่านมา

    Wangenyongwa Hazarani hao

  • @rukiahamad8435
    @rukiahamad8435 2 วันที่ผ่านมา

    Hii kesi itafwatilia sanaa mpaka ionekane hatima yake na ikitokeaa moja kaacha huru labda ahame nchi wananchi watachukua sheria mkononi

  • @swaiagnes6696
    @swaiagnes6696 2 วันที่ผ่านมา

    Duuh.. lord have mercy on us 😢

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa 2 วันที่ผ่านมา

    Kazi wanayo awo Wameyakanyaga

  • @mabulajoel1967
    @mabulajoel1967 2 วันที่ผ่านมา +1

    Shuti shuti risasi haraka waharifu hao padre hovyooo!!

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 2 วันที่ผ่านมา

    Daaah

  • @user-he2pk6io4d
    @user-he2pk6io4d 2 วันที่ผ่านมา +1

    Wana washikaga hivo na baadae uwaachia 😢😢 watu kama hao ni wakuwachoma moto tu wasiendelehe kuonekana kwenye jamii tena

  • @user-qg3nu1kv2n
    @user-qg3nu1kv2n 2 วันที่ผ่านมา +1

    Watuhumiwa wenyewe wamejichokea balaa hakuna hata anaefaa kwa kitoweo mamae zao ningepita nae

  • @Dulla_kite
    @Dulla_kite 2 วันที่ผ่านมา

    Alhamdullha 😢

  • @user-fd5jq9nu1l
    @user-fd5jq9nu1l ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanasumbua mahakama tia kamba hao

  • @mungholomakalanga8958
    @mungholomakalanga8958 3 วันที่ผ่านมา

    Aibu kwa kweli,padre!!!!

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we 3 วันที่ผ่านมา +2

    Hao wakusanyiwe mafuta meengi kama walivo wengi kisha wawashiwe moto ndio machungu yetu yatsisha

  • @luluray2115
    @luluray2115 2 วันที่ผ่านมา

    Dah dogo alisikia maumivu makal sana aliita majina yote anayoyajua kwa maumivu aliyo yasikia Mungu amlaze mahara pema pepon dah

  • @user-fp5to3bu4s
    @user-fp5to3bu4s 2 วันที่ผ่านมา +1

    Sidhan kama walistahili kupoteza Mafta na asikali kuwalinda wangewaachia2 wananchi wawachome moto polis mngesema. Wametukimbia

  • @MrishoHussein-oz9nr
    @MrishoHussein-oz9nr 3 วันที่ผ่านมา +2

    Yani wanapelekwa mahakamani hata miguu hawabururi Yani ulikua wabakishiwe mdomo na masikio tu ya kuongea mahakamani na kusikia watakacho ulizwa viliobakia mgevipunguza kabisa kama wao walivyo mfanyia huyu mtoto kama inawezekana ikitokea hukumu ya kifo wasinyongwe na wao wakatwe viungo kama walivyo mfanyia huyu mtoto waone raha

  • @BibieMakame
    @BibieMakame 3 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe askari uliyeshika bunduki wafyatulie tumalize kesi

  • @user-vc8pn4lp3h
    @user-vc8pn4lp3h 2 วันที่ผ่านมา

    Wanyongwe kabisa mbele za Raia ili iyo tabia icjirudie

  • @PascalMwita-bv8kr
    @PascalMwita-bv8kr 3 วันที่ผ่านมา +1

    Me nadhani mnawaombea mabaya lakin amjawa na ushaidi maake kila comment inawatukana unaeza kuwa ujafanya na ukakumbwa humo iogope jela usifurahi mwenzio kwenda kabla haujawa na huakika tuulize sisi ❤

    • @walio_na_tusio
      @walio_na_tusio 2 วันที่ผ่านมา

      kwel kabisa

    • @user-sv6zy3hc8o
      @user-sv6zy3hc8o 2 วันที่ผ่านมา

      We mpuuzinin kwa kesi ya mauaji au kwakua hujui uchungu wa mtoto

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 2 วันที่ผ่านมา

      Kama hujawahi kufiwa😢😢,huwezi kujuwa,bora unyamaze tu😢😢😢

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-sv6zy3hc8oanadhani polisi uwa wanakurupuka,mpaka wasome report yao Kwa jamii,ni wamejidhisha,hapo ni UTARATIBU WA kisheria TU inabidi ufuatwe,😢😢huyu hajawahi kufiwa tena pale anapopapenda ndo siku hiyo atajuwa dunia ipoje😢😢😢

    • @PascalMwita-bv8kr
      @PascalMwita-bv8kr 2 วันที่ผ่านมา

      @@user-sv6zy3hc8o iwapo akifa mtu katika pitapita zako wakakudaka mtuhumiwa sio mu hukumiwa kuusu kufa woote tutakufa ila me sjasema kwamba waalifu waache naisi amjawa waelewa me namaanisha iwapo wakiwa sio wauwaji mungu awaepushie lakin wanao nielewa ndoo wanajua namaana ipi kama ujawai kupitia kwenda jela kwa kesi isio yako unfetulia2 boss ila yote na yote kama ni wauwaji hau wameshiliki kwa namna yotote basi mungu awape adhabu kali ila iwapo awaja shiliki mungu awaepushie kikombe icho

  • @NeemaDaud-zb3dd
    @NeemaDaud-zb3dd 2 วันที่ผ่านมา

    Serikari tunashukuru Sana kwajuhudi zeni hawa mbwa waueni kabisa

  • @steramwanakira7183
    @steramwanakira7183 วันที่ผ่านมา

    Yaani baba nae

  • @ShemsaKiobya-x8h
    @ShemsaKiobya-x8h 2 วันที่ผ่านมา

    Wanyongwe hap
    O

  • @momweus
    @momweus 3 วันที่ผ่านมา +2

    Sheria ya kunyongwa ingewafaa hawa mbwa 😢

  • @EddySempay-qf1on
    @EddySempay-qf1on 3 วันที่ผ่านมา

    Wauwawe nawao

  • @mkalimalela2421
    @mkalimalela2421 3 วันที่ผ่านมา +2

    Washinzi wakubwa hao wasitoke maisha

  • @user-jt7uv6vu1d
    @user-jt7uv6vu1d 3 วันที่ผ่านมา +1

    Na wao wangekatwa viungi vyao kimoja kimoja mpaka wafe

  • @user-qb3nr6gl1z
    @user-qb3nr6gl1z 2 วันที่ผ่านมา +1

    😭😭Mim nauliza huo mfuko ndio wamebeba viungo vya mtt 😭😭😭

  • @TeddyNtale48
    @TeddyNtale48 2 วันที่ผ่านมา

    Wanyongwe

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 3 วันที่ผ่านมา +5

    Kiukwel mapadri mnatukatisha tamaa kabisa mm sitoungama dhambi zangu kwa padri yyt japo n mkatolik mm" mana naona kabisa mioyo yenu mepes n Bora nimuungamie Mungu wangu ndan kwangu" huyo baba kwenye mfuko sijui ndo vizibiti! Kubeba" hongeren Sana maaskar kwa kuwaburuza kama mambwa hao na huko mahabusu wamepata wachumba watakutana na mahabusu waliovurugwa wamekaa miaka na miaka wanaham Sasa hao ndo wake zao

    • @flavianajohn5250
      @flavianajohn5250 3 วันที่ผ่านมา +2

      Hapo umemuona padri ? au hujafwatilia kilichotokea?🤔🤔🤔🤔

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 3 วันที่ผ่านมา +1

      Yaan saiv ata sadaka yangu bora nimpee ata mtu barabarani kulikooo watumishiii uchuroooo

    • @mungholomakalanga8958
      @mungholomakalanga8958 3 วันที่ผ่านมา +2

      Umefika mbali,usifanye hivyo,mwachie mizigo yake mwenyewe.

    • @user-princs
      @user-princs 2 วันที่ผ่านมา

      Ukweli usemwe

    • @user-sv6zy3hc8o
      @user-sv6zy3hc8o 2 วันที่ผ่านมา

      Wana upwilu 😂😂😂😂

  • @FrankGasper-eq2ui
    @FrankGasper-eq2ui 2 วันที่ผ่านมา

    Wanyongwe tu

  • @MojamojaMojamoja-lw2ph
    @MojamojaMojamoja-lw2ph 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnawapeleka mahakamani kufanya nini hukumu ya kifo ni kifo wapanda gari wanasikia raha mnawalea bora hata sikusoma ningesoma mimi watu hao

  • @BenjaminTz-fg1lu
    @BenjaminTz-fg1lu 2 วันที่ผ่านมา

    Wawauwe

  • @Japhary-sx3je
    @Japhary-sx3je 2 วันที่ผ่านมา

    Ongeleni polisi tanzania usalama upo tujiepushe na maovu unaweza sema rast kumbe afande

  • @user-nn5lv6nb6i
    @user-nn5lv6nb6i 2 วันที่ผ่านมา

    Asa ww padri unahubiria wt waache dhambi kumbe ww n Kinrara wa mauaji yn dam y yul mtt haitakuach Salama.aisee

  • @gloryjoseph1981
    @gloryjoseph1981 3 วันที่ผ่านมา +1

    Padri tena😢

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 2 วันที่ผ่านมา

      Ndo maana yake,PADRI NDUGU YANGU,POLE MROMANI Mwenzangu 😢😢

  • @bossykalewa
    @bossykalewa 2 วันที่ผ่านมา

    Kwani hao wanafaida gan tena huku,, si wanyongwe tu,, achaneni na habar za kifungo cha maisha

  • @greenwellnsyukwe4729
    @greenwellnsyukwe4729 2 วันที่ผ่านมา

    Wawekeeni na picha ya Mtoto hapo mbele Ili waone ujinga wao.

  • @user-ky4rb2lg3h
    @user-ky4rb2lg3h 2 วันที่ผ่านมา +1

    Acheni kutumia mafuta ya Jamuhuri vibaya, yani mbwa kama hawa wanapakizwa kwenye gari, hawa ni wa kufungwa kwenye Piki piki,na kuburuzwa mji mzima mpaka wafe,

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 2 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂nakubali hoja​@@salamasaidi6620

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wanyongwe hadi kufa kabla ya hukumu mahabusu wapewe ugali robo mboga chunvi na kukaa selo yamaji paspot saizi kwawiki mala 5

  • @minahsamwel
    @minahsamwel 2 วันที่ผ่านมา

    Wangelimwa risasi tu hao wauaji wakubwa hao

  • @ShemsaKiobya-x8h
    @ShemsaKiobya-x8h 2 วันที่ผ่านมา

    Mimi ningekuwa polis ningewakata mapumbu yao alafu ningewalazimisha wayatafune mbwa hao

  • @allyadam7355
    @allyadam7355 2 วันที่ผ่านมา

    Yani daaah! inaum san walichokifany nizaid ya unyam wakatwe kiungo nawao kimoj kimoj mpak wafe

  • @user-fd5jq9nu1l
    @user-fd5jq9nu1l ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yani hao kama mm ningekua serekali ningepiga lisasi chapu kwa haraka

  • @aminamareta9297
    @aminamareta9297 2 วันที่ผ่านมา

    Mibaba minzima aina ata uruma baada yakufanya kanzi wananzuruma lhoo nzawatu

  • @user-ph2lt8tx4t
    @user-ph2lt8tx4t 2 วันที่ผ่านมา

    Jamnan naumia mim

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hao ni mafisi kabisaa wawekeni katikati ya wananchi wauwawe kwa mikuki na mapanga na sime.ndio dawa yao.

  • @user-rf9vn7lz1n
    @user-rf9vn7lz1n 2 วันที่ผ่านมา

    Wauwawe nao jaman wametuulia mtot wetu bil hat makos yoyot mtot ambay akuwez hat kujitetea kabis hap nawaz waliaz,kumyong kwanz ndip wakamkat au walimkat akiwa anawaon daah 😢😢😢

  • @DevotaIjumba
    @DevotaIjumba 2 วันที่ผ่านมา

    Wanyonge haraka mnatuliza tena😭😭😭😭😭

  • @chobushaka7650
    @chobushaka7650 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mashetaniiii😢

  • @DaudiSaid-bj7dh
    @DaudiSaid-bj7dh วันที่ผ่านมา

    Funga korodani zao juu ya mti chini unawasha moto wakuni waive wakijiangalia

  • @ashurahamiss
    @ashurahamiss วันที่ผ่านมา

    Mbwa hawa walivyo wanaonekana hawana katia kenge kwel😢

  • @LamaribamJumbe
    @LamaribamJumbe 3 วันที่ผ่านมา

    Wauliwe tu na wao Hawana Faida kabisa Hao😔😔😔😔😔😔

  • @anodearsulusi7536
    @anodearsulusi7536 2 วันที่ผ่านมา

    Na wao wawapitishe walikompitisha huyo mtoto katika maumivu hayo

  • @MsalabaniReko
    @MsalabaniReko 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hawa jmn naomba mkawafire tu adi mikundu iwe ngemwa

  • @omaryally1532
    @omaryally1532 2 วันที่ผ่านมา

    Malipo ni hapa hapa Dunia

  • @athumankisisa
    @athumankisisa วันที่ผ่านมา

    Dah wamefanya ukatili mkubwa, wanastihili adhabu kali sana, halafu pia eti padri anahusika, kweli hawa watu wa dini wengine hutumia nafasi hizo kuficha mambo yao maovu.

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 วันที่ผ่านมา +1

    Baba 👀yake mtoto ten👀makubwa wanaume mwanalana

    • @doreenemmanuel9483
      @doreenemmanuel9483 2 วันที่ผ่านมา

      hyo imeniuma sana nikajua nimeskiq mwenyewe

  • @WilliamLuhanga-t7c
    @WilliamLuhanga-t7c 2 วันที่ผ่านมา

    Game 🎮

  • @user-vt4vd5rh8u
    @user-vt4vd5rh8u 2 วันที่ผ่านมา

    Hauwawe kabisa hawa mashwetwani

  • @KelivnevaristiKelvnevari-ih2sx
    @KelivnevaristiKelvnevari-ih2sx 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa mahakamani yanini wanyongwetu😮

  • @sharifanyumayo6314
    @sharifanyumayo6314 2 วันที่ผ่านมา

    Yani hao wasirud uraian na wauwawe kabisa mtoto alipitia mateso Sana jmn inaumiza!

  • @user-sp7cm8pm4w
    @user-sp7cm8pm4w 2 วันที่ผ่านมา

    Dunian hii Bora ukutane na simba kuliko mwanadamu,

  • @Mirriansiwale-f8y
    @Mirriansiwale-f8y 2 วันที่ผ่านมา

    Kesheni kwaya moraviani yeriko

  • @aminamareta9297
    @aminamareta9297 2 วันที่ผ่านมา

    Wangenyongwa anzarani tu

  • @florakweyunga4490
    @florakweyunga4490 2 วันที่ผ่านมา

    Hata kama Mungu hatoleta gharika ya moto wala maji,....tutauwawa wenyewe kwa wenyewe,.....NA WEWE PAROKO MSAIDIZI UNAUWAA.....!!!KUMBUKA UMETUFUNDISHA AMRI ZA MUNGU TUSIUWE.EE MUKAMA WANGE....😭😭😭

  • @neema-ee6qm
    @neema-ee6qm 3 วันที่ผ่านมา

    Poleni san ila mungu anawaona ten san na mzindi kuombe san mtasamehewa

    • @hameezhami7795
      @hameezhami7795 3 วันที่ผ่านมา

      Na waliomuuwa atarudi?

  • @evansmoshi1923
    @evansmoshi1923 3 วันที่ผ่านมา +2

    Yan mm kinacho niumiza nikwamba padri ameingiaje hapo kwenye huo mfumo jamn, mungu tusaidie.

    • @FatumaMamlo-st8pj
      @FatumaMamlo-st8pj 3 วันที่ผ่านมา

      Sasibora kaingia kafiri mfanya biashara ya kanisa kuliko angeingia shekhe mindoningeumwa kasa uchixi

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 2 วันที่ผ่านมา

      Tena padri ndiye kinara,ndiye aliyepanga mpango mzima wa KUMUUWA MTOTO wetu ASIMWE😢, IMAGINE ndiye aliyetoa gharama zote za Kulipia kila kilichohitajika ili kukamilisha mauwaji ya ASIMWE,MIMI NIKIUMIA BASI TU,Kanisani nilishaacha,nasali ndani kwangu ,sadaka yangu napeleka Kwa wahitaji,siitaji kusikia wala kujuwa habari ya uromani cathoric tena.😢😢

    • @user-gu3px5me6u
      @user-gu3px5me6u 2 วันที่ผ่านมา

      Tusubiri huwezi Jua kwa Sasa ni tuhuma wahusika watapatikana tu

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 2 วันที่ผ่านมา

      @@user-gu3px5me6u ulisikiliza report ya polisi ya mwanzo? HAPO ni taratibu za kisheria TU zinakakilishwa,ili ionekane taratibu zilifuatwa,hao ndiyo wahusika wakubwa,HASA HUYO PADRI.

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 2 วันที่ผ่านมา

    Mbona kamera ikofikanlwa Paroko inarusha haonekani

  • @user-qb3nr6gl1z
    @user-qb3nr6gl1z 2 วันที่ผ่านมา +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @allysimu6856
    @allysimu6856 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hakilazima kamawaliuwa basi nawao wanyogwe mpaka kufa

  • @abdallahdataguy
    @abdallahdataguy 2 วันที่ผ่านมา

    Sina huruma hata chembe na hawa watu kwa ukatili waliomfanyia kiumbe asiye na hatia wala dhambi yeyote

  • @rosesilio9008
    @rosesilio9008 2 วันที่ผ่านมา

    Anaeuwa na ye ye auliwe na embu wauweni ao ao ndo wanaoitia rahana nchi yetu

  • @wilfredywilhelm1426
    @wilfredywilhelm1426 2 วันที่ผ่านมา

    Yaani mibaba yote hiyo inashambulia katoto kadogo vile yakaua katoto kasioweza hata kujitetea bali kulia tuu na kusikilizia maumivu makali mashetani hawa. Hawana aibu wala utu. Wakatwe nao kiungo kimojakimoja pambaff kabisa