SHEIKH ALHAD ALIVYOTINGA KWA MNDOLWA NA FAMILIA YAKE, MUFTI AMPOKEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น •

  • @KhamisMchina
    @KhamisMchina 9 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah allah awabariki masheikh zetuuu woteeee sheikh alhad mussa

  • @omarishabani5249
    @omarishabani5249 9 วันที่ผ่านมา +2

    Asalam alykum..mtoto nae angevaa kanzu na kofia kama wewe sheikh....

  • @MohamedibrahimMwatembo
    @MohamedibrahimMwatembo 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi sina natamani nikutane na mashekhe hwa muft mkuu,shekhe warid,shekhe mussa aihad ,shekhe mziwanda niwashike mkono tu ili nipate baraka zao

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 9 วันที่ผ่านมา +1

      Huna nini Kutaka kukutana na waabudu makaburi wakina Walid wachawi hao watakutia ujinga2 baraka fanya sana ibada n kufuata sunna utapata baraka za Allah sio hao watu wa maslahi.

    • @DR.SAIFILLAH.5363
      @DR.SAIFILLAH.5363 9 วันที่ผ่านมา

      ​@Hamis-ks1sy HAO MUNGU AMESHA WAENUA HATA UWE NA CHUKI KWAO UTAKUFA NAZO TU CHUKI ZAKO

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 9 วันที่ผ่านมา +1

      @DR.SAIFILLAH.5363 Sema hivi hao ni maarufu Allah kuwainua ni siri yake hata wewe huenda umeinuliwa zaidi ya hao unaowataja na daraja lako likawa la juu lakini inabakia kuwa siri ya Allah,lakini kama umaarufu sio tatizo hata Firauni ni maarufu mwisho ikawaje?? Unavyisema hawainua fafanua vizuri akhy.Mfano Dr.Sule nae si maarufu lakini mchawi kwahiyo nae Allah kamuinua daraja la uchawi au??

    • @ShafiiIsmail-zk9lq
      @ShafiiIsmail-zk9lq 9 วันที่ผ่านมา

      Omba barakha kwa mwenyezimungu na mtu me wake si kwa mtu

    • @lacroquetalacroqueta6813
      @lacroquetalacroqueta6813 8 วันที่ผ่านมา

      Allah ndio wakutegemewa sio binadamu

  • @Abuuabdillah259
    @Abuuabdillah259 8 วันที่ผ่านมา

    Hiyo ndo kazi ya masufi kurambana mikono tu.