Watanzaniya huko kila mtu msomi na anajuwa skuizi mbona huku nchi za kiarabu hata hapa daudiya wanapiga na kucheza hizo dufu tuache hukumu mungu ndo anajuwa kila kitu
😮 Mtume yetu kipenzi alopofika madina alipokelewa na matari ma kasida ya Twalaalbadru alayna mbona hakukataza ww kasome huna unachojua katika dini, pole sana
Mufti wa bakwata mambo hayo ktk dini ya uislamu hayapo, mmeayatoa ktk dini gani? Mufti na mashekhe wenzako na wazee wenzako mnajidhalilisha ktk uislamu mambo hayo ni upotofu na udhalilifu,Mtume swallallahu alayhi wasallamu amesema aswaliwe kwa amri aya ALLAH, hakusema watu waserebuke na kucheza ngoma hiyo mnayocheza hapo ni ngoma na si ibada, mufti baba unapotea na kuupotosha umma unabeba dimma kubwa mbele ya ALLAH, na nyinyi channel hii ya babdeo miladu fikisheni coment hii kwa mufti, haya sio matusi wala sio kashfa ila ni nasaha, na ujumbe huu ALLAH ni shahidi
Mlipaji ALLAH mnapenda Sana Kauli hii kuitumia kuna vitu ukiviona unajua haya makosa na unajua KAMA Mungu anakupa Dhambi na mshahara WA dhambi ni jahanam
@@omarishabani5249 mnapotosha ummah wa kiislamu daima tutaongea kwa kuwa mmeigusa dini ya ALLAH MFANYE mkiona mnakosea sisi hatutaacha kuongea na kuwarekebisha
Huna jipya utakalo lisema Wala kulifanya likatushughulisha kwasabab yote Quran imeeleza na huenda ndio kheir ilipo ....ww kama unachukia chukia2 Wala chuki yako haitabatilisha thawab za wenye kumpenda mtume ...😊😊😊
Mashallah mufti wetu Allah akalipe,unanikumbusha Tamta day Tanga🎉🎉🎉🎉🎉
Maashaallah Allah akujaalie umri mrefu wenye kheri muft wetu
Mashallah safi sana
Mashaallah wa Barakallah
ياآل باعلوي الشفاعة ❤❤❤❤
Maasha Allah.Hawa ndio Mashekh waliosomeshwa wakasomesheka
Sheikh kasim tunamuomba allah akulinde sana na akupe umri mrefu sana
Uzidi kuitetea dini yake
Mnafiki mkumbwa ww
Mashallah
Wewe maarfa Yako mepesi kakae kwenye jamvi uchane kanzu kwanza wenye elim wkfundshe adabu
MashaAllah!!!
Masha Allah
mashallah
Mashallah
Mawahabi roho zinawauma sana Mtume akitajwa kunyweni sumu mfe
Kidole juu
hadi raha
Kweli hili tawi la kanisa haswaaa
Waislam hatuwezi kuwa Woote sawa lazima wawepo kama wewe ili motoni pia wawepo
Tuache kukosoa wanapofnya jambo wenzetu, nasi tufanye kile tunachoweza.
Mufti anakula nini naona anachakuwa tu😂
Dini yetu wenyewe tunaipiga na mwichi alafu muje msingizie wengine 😂😂😂
Watanzaniya huko kila mtu msomi na anajuwa skuizi mbona huku nchi za kiarabu hata hapa daudiya wanapiga na kucheza hizo dufu tuache hukumu mungu ndo anajuwa kila kitu
@@roudhamahmoud763 wakila nguruwe kisa Saudia basi itakua halali pia, usiishi kwa kukariri wewe??
Uislam ni furaha tutaimba qaswida na kumsifu Mtume wetu kipenzi tunajivunia Mtume kaja kutuongoa na kuokoa ulimwengu ni rehema ya ulimwengu wewe unayechukia Mtume kusifiwa nenda kanywe sumu ufe
Ivi ni sheikh mkuu wa Tanzania au sheikh wa bakwata mcheza ngoma maana ukimuona2 unajua km uyo sio sheikh Bali ni msanii
Kama barahiyani tu
ujakwenda madrasa muislamu jina ivi vitu razima utaviona tofauti
Waislamu wanahitaji maendeleo.
Hospitals, shule, wajue ufundi.
Sasa huo umufti wa kushinda kila siku kwenye ubwabwa tu....
Povu ruksa
Mbna una maneno ya kishoga povu ndo nn??
Kwaiyo we mambo unayoyafanya ndo yapo kweny dini pumbafu zako kafie chooni huko
😮
Mtume yetu kipenzi alopofika madina alipokelewa na matari ma kasida ya Twalaalbadru alayna mbona hakukataza ww kasome huna unachojua katika dini, pole sana
Aliwakataza ndio nenda kaangalie vizuri
Aliwakataza na halikuwa jambo la kuendelea
Na wewe kakataze familia Yako kwani umelazimishwa kuimba qaswida pilipili usiyoila inakuwashia Nini manafiki nyie
Wewe na mufti nani mtaalamu wa dini mpaka unauliza ayo mambo wameyatoa wapi kua na adabu na mashekh
Mufti hakosei sindio
Mufti wa bakwata mambo hayo ktk dini ya uislamu hayapo, mmeayatoa ktk dini gani? Mufti na mashekhe wenzako na wazee wenzako mnajidhalilisha ktk uislamu mambo hayo ni upotofu na udhalilifu,Mtume swallallahu alayhi wasallamu amesema aswaliwe kwa amri aya ALLAH, hakusema watu waserebuke na kucheza ngoma hiyo mnayocheza hapo ni ngoma na si ibada, mufti baba unapotea na kuupotosha umma unabeba dimma kubwa mbele ya ALLAH, na nyinyi channel hii ya babdeo miladu fikisheni coment hii kwa mufti, haya sio matusi wala sio kashfa ila ni nasaha, na ujumbe huu ALLAH ni shahidi
Mlipaji ni Allah Wala sio nyie..
Wee Fanya unayoona yanafaa kwako hayo tuachie sisi ambayo hatufai
Mlipaji ALLAH mnapenda Sana Kauli hii kuitumia kuna vitu ukiviona unajua haya makosa na unajua KAMA Mungu anakupa Dhambi na mshahara WA dhambi ni jahanam
@@omarishabani5249 mnapotosha ummah wa kiislamu daima tutaongea kwa kuwa mmeigusa dini ya ALLAH MFANYE mkiona mnakosea sisi hatutaacha kuongea na kuwarekebisha
@Farheen-l7s watu kama nyie Toka hizo zama walikuwepo wenye hekima na wasio kua na hekima
Hakuna kitu nachukia sana kwenye hii dunia kama
Mijitu ya bidaaaa