ITAKUSHANGAZA HIFADHI YA NGORONGORO MAULID KITENGE AFUNGUKA USIYOYAJUA NI HATARI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 41

  • @jambotanzaniaecosafariscom
    @jambotanzaniaecosafariscom 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri Kitenge!!

  • @WisdomPhiri-b8z
    @WisdomPhiri-b8z 10 หลายเดือนก่อน

    Kuma wew rudi shule kuma

  • @mateysumuleki9528
    @mateysumuleki9528 2 ปีที่แล้ว

    Nyingi tunawajua Sana hamna msaada wowote Bali ni team manongi Wala serikali yetu haiwezi kuwasikiliza maana na mpo kimaslahi yenu tu ngorongoro tumeilea sisi kwenu mnapotoka hamna hata digidigi

  • @mateysumuleki9528
    @mateysumuleki9528 2 ปีที่แล้ว

    Kitenge Wewe ni msenge Sana huna mamlaka yoyote nchi hii na Mambo ya ngorongoro yetu hayakuhusu

  • @pascaldonati2410
    @pascaldonati2410 2 ปีที่แล้ว +1

    Brother umefeli acha hao wana Afya kuliko wew toka umetumwa

  • @Titostanzaniasafaris
    @Titostanzaniasafaris 2 ปีที่แล้ว

    Hakuna kitu yoyote unayojua bro.

  • @eliamsuya5869
    @eliamsuya5869 ปีที่แล้ว

    Kitenge chawaa

  • @sikudhanikuhanzibwa5524
    @sikudhanikuhanzibwa5524 2 ปีที่แล้ว

    Naomba kujua sifa tano za ngorongoro maana mnadandia treni kwa mbele balance habari yako sio kulopoka bila kuuliza wenyeji

  • @charlesmartin9522
    @charlesmartin9522 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwandishi wa ovyo

  • @mybrain8940
    @mybrain8940 2 ปีที่แล้ว

    Nenda Mtwara nenda Dodoma acha upuuzi

  • @ayubutenges8718
    @ayubutenges8718 2 ปีที่แล้ว

    Magufuli eeee tumekukumbuka najua ushaingia mbinguni watanzania wananyanyasika hasa wamasai inuakichwa Magu Taifa lako lateketeswa wananji wamekukumbuka

  • @nadiakarata8984
    @nadiakarata8984 2 ปีที่แล้ว

    Hawa wote kina kitenge wanahitaji elimu wajue nini mana ya uhifadhi. Anataka ngorongoro iwe kama magomeni au temeke.

  • @mwlobedmwale334
    @mwlobedmwale334 2 ปีที่แล้ว

    Nimezaliwa huko,,mtanga unatafuta kiki na nikuulize lini ulishaona au kusikia kwamba wamaasai wametuma taarifa ya kuomba msaada wa chakula??na tangu enzi ya baby yangu alikuwa na ng'ombe 400 na mbuzi 80 alafu eti Leo anakuja mtu na kusema hapafai ,,,,yaani wewe utazeeka hata ukuuu wa wilaya haupati kama mwenzako alivyoupata

  • @2003hintay
    @2003hintay 2 ปีที่แล้ว

    Kitenge huna unalojua hao wananchi wanaishi maisha Yao ya Amani kuliko nyie waswahili wengine. Toka miaka ya 1950 wanaishi hivyo. Mnataka kupandkkiza waswahili ili waende kuhujumu hifadhi

  • @ezekieltate4877
    @ezekieltate4877 2 ปีที่แล้ว

    Sisi kukaa na wanyama hatujaanza Leo isijeikawa ni vitisho kwa umma lkn endelea kuchafua ngorongoro kwa kutumia media Yako ipo siku utaona Dunia ni chungu kwako! Kuongea narahisi sana lkn ungetafuta maneno mengine ya kuongea umekuwa vitisho sana kwetu na wewe too na hakuna media nyingine ya kutuchafua zaidi Yako! Usoela ulizopewa ili utuchafue zitakuotea tumboni wewe na watoto wako

  • @erickdioniz8277
    @erickdioniz8277 2 ปีที่แล้ว

    Safi maulid

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 2 ปีที่แล้ว

    Umesema ukweli hata mimi ninavideo za hao madogo

  • @madetetv6576
    @madetetv6576 2 ปีที่แล้ว

    Ww kama nani unawaongelea Wamasai

  • @mussathomasdossa4687
    @mussathomasdossa4687 2 ปีที่แล้ว

    Wandishi acheni kutumika kwenu kijijin wanahari nzur ? Hujui kufuga ww mnaongea pumba

  • @thomassilamoy1520
    @thomassilamoy1520 2 ปีที่แล้ว

    duh kumbe Kuna mxenge mwingine anaitwa maulid kitenge kumbe mlikuwa wawili na oscka oscka nyinyi hamjui chochote na una jipya nyinyi wajinga tu🔥🔥🔥

  • @leshingaosekei5929
    @leshingaosekei5929 2 ปีที่แล้ว

    wewe nani kakuambia, sisi maisha yetu haya tunaenjoy na ndo our choice "working on something behind"

  • @saruni5673
    @saruni5673 2 ปีที่แล้ว

    Kha kaka uwongo na laana zitakupteza uisahau dunia wanyama wanaishi ama niseme wanategemeana na wananchi hao 2 njaa gani umekuta iko ngorongoro 3 unaongea kama nani 4 wilaya hiyo haina viongozi ? 5 ume wa hoji wahusika alo kutuma hakukueleza unacho enda kufanya naa wengi wanao tumiwa hvyo kama wewe hutangulia sana kutoina mwanga ,nimeenda

  • @thobiaskatoyo8622
    @thobiaskatoyo8622 2 ปีที่แล้ว

    Kwani hawana viongoz huko??

  • @simionngayayi6903
    @simionngayayi6903 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe maisha ya Wamasai hayakuhusu wewe unauhakika gani kama Wamasai wanaliwa wanyama na unajua hao watu walikuja hapo kwa mda gani achana na mambo ambayo huyajui Kuma wewe

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 2 ปีที่แล้ว +1

      Mnafiki huyu jamaa anataka Wamasai wafukuzwe hapo hifadhini hajui ndo maisha yao

    • @afsaiddy5648
      @afsaiddy5648 2 ปีที่แล้ว

      We kitambaa hakuna maji hakuna chakula kwanini serikali isiwajike kuwapa hiyo huduma sababu kwa miaka yote inachukuawa pesa kwa watalii wanawafanyia mambo mengine wenyeji na walinzi wa wanyama hawafaidiki hatakidogo ningekuona wa maana kama ungewashauri serikali iwapelekee hayo mahitaji siyo kuwahamisha wamasai waacheni hao wamasai huko ngorongoro ni kivutio kikubwa huko ngorongoro kwabwatalii

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 2 ปีที่แล้ว

    Wamasai hameni mtatuaharibia utalii ambao nipato lataifa

  • @ezekieltate4877
    @ezekieltate4877 2 ปีที่แล้ว

    We mzee wewe umri wako umeshaenda unatafuta kifo afu uzingizie au shida Yako nn? Unatafuta nini kwa jamii ya watu wenye hekima na busara kwa taifa lao!

    • @nassorbinfundi1196
      @nassorbinfundi1196 2 ปีที่แล้ว

      Anazungumzia ualisia wamaisha unatetea nini, wewe kiumbe wa haina gani asee?

    • @ezekieltate4877
      @ezekieltate4877 2 ปีที่แล้ว

      @@nassorbinfundi1196 brother wangu acha kumtetea kitenge kaka yangu coz humtakii mema yaan badala umshauri unamtetea soma comment za watu wengi afu uoneanapolaumiwa asee na hapo wazee wa Mila weshamlaani na naomba ulewe hvyo yaan mtu anathubutu kusema Ngorongoro hakuna kusikana kana kwamba mtu akifa anatupwa kwakweli imetuuma sana bro lingine anawaita watoto wadogo afu anasema wananjaa jamani mtoto yupi asiyeitwa afu asije labda anayejielewa tu plz usimtete kitenge coz waandishi wenzake wanamtuhumu kwa ukiukaji wa haki za bidamu afu wewe unamtetea bro utakuwa wa ajabu wewe plz tulia mwenyezi mungu yupo na atafanya kazi yake manake sio kwahaya tuliyosemwa na kitenge pamoja kundilake

  • @ejulaizerjulaizer128
    @ejulaizerjulaizer128 2 ปีที่แล้ว

    Wewe maisha ya wamasai yanakuhusu nini stupid wewe kitenge

  • @mr.petrokhuni9363
    @mr.petrokhuni9363 2 ปีที่แล้ว

    Nenda kawasaidie wahadzabe. mnajifanya mnasaidia kumbe mna ajenda yenu ya kuwanyanyasa wanyonge
    . wamewazuia kupeleka umeme au barabara kaama hakuna barabara nani alaumiwe.

  • @elymollel
    @elymollel 2 ปีที่แล้ว +1

    Huna akili wewe utakuwa unetumwa. Nani aliyekuambia sisi tuna shida ya kuhama?

  • @bjshio3249
    @bjshio3249 2 ปีที่แล้ว

    Toa mfano wa aliyeliwa

    • @ahmedyussuf7820
      @ahmedyussuf7820 2 ปีที่แล้ว

      Acha kusem uwong watt at wawe wanakula ukipit n chakula atakuomb

  • @MarioMooga
    @MarioMooga 2 ปีที่แล้ว

    Acha uchocheshi wewe nani hakuna kuhama

  • @Kevjoseful
    @Kevjoseful 2 ปีที่แล้ว

    Muongo wewe