Nina video ya hiyo soon. Ila kuwa na wasi wasi na mawazo yako hiyo inamaanisha unadoubt kichounachofikiri train akili kujiamini kwenye kila wazo lako na utaweza fanikisha kila unalowaza. Kila unaloona limefanikiwa lilianza kama wazo au mawazo.Jaribu kutuliza akili yako na jiamini
Being shy it has affected me for more than two years n for sure it has kept me away from even those who could help me alot expecially in my studies bt those who understand me they have been standing with me until I realized that I have lost very important pple bt right know it's like two weeks I can't believe my eyes I can't be stopped 💃💃 I opened up my mouth speak out confidently 👏👏👏 I appreciate your good work brother God bless you 😇
aibu imenifanya nikose vitu vingi katika maisha yangu shulen nafel nikiwa nawatu najitenga yani imenifanya nisiwe bora kwasababu nilikua na shindwa ata kuuliza kitu nilikua sijuw ruga yaapa nilipo ivo sababu ya aibu imenifanya nichelewe kujua vitu vingi ila kwasa abu ya ushauri wako I hope nita badilika🙏🙏 ahsante
Duh nashukuru sana kwayote umeongea ni sahihi kabsa.Mimi ni mfanyabyashara tatizo la aibu li menitesa kiukweli nimekuwa na tatizo la kushindwa kukutanisha macho nawatu hata wafanyakazi wangu wamekuwa wakiniaribia kuniibia na mengi maovu nimekuwa nikijihami kwa kuwafukuza ila hata nikileta wengine na wao wanakuja na yaleyale.kiukweli aibu yaweza kukupa karaha bada yaraha.Mungu akupe umri murefu afya njema mafundisho yako huwa yanatupa kujuwa muelekeo bola na sahihi
Nimekuwa nikishindwa hata kuuliza maswali ninapokuwa chuo baada ya mwalimu kumaliza kusomesha au pale anapotoa nafasi ya kuchangia kitu pia nimekuwa nikishindwa kumfundisha mwenzangu kile tulichosomeshwa hata kama nimefahamu vizuri sana hasa hasa mwanamke
Aibu imenifanya niwe mtu mpweke na mtu mwenye uoga wa hali ya juu yaan imefkia sehemu na namuongopa mtu nimpendaye mpaka najihisi labda mimi nikimwongelesha huyu dem nahisi nitatukanwa
nimekosa mengi sana kwa kweli aibu ni mbaya imenifanya nimeshindwa kuongea na watu inanifanya nakuwa mpweke sana kweli elimu unayotoa imenifuraisha yani aibu ni kitu kibaya siipendi ata kidogo nilikuwa natafuta mbinu ya kuondokana nayo ivo asante sana kweli imeniasi li pia akili mana nakosa ata kufikilia vitu nashindwa kutoa maoni mbele ya wenzangu aiseee naichukia sana aibu kwenye maisha yangu
Nna tatizo kubwa Sana kisaikology na inanipelekea kufel katika kufikia malengo yangu tatizo kubwa n aibu nashindwa kumface hata mtu mmoja napochangamana na watu nahisi kuwa uncomfortable na nnashikwa na uoga saana ata nashindwa kutoka kukutana na watu tofaut muda mwingi nakuwa pekeangu ndan nahisi hili tatizo linaendelea kukua na umri wangu unazidi kwenda kabla nitimize ndogo muda mwingne nashinda nikilia nikihisi nmerogwa nahitaji msaada nahitaji mtu wa kunijenga kiakili na kunfunza mbo mengi nisiyoyajua nataman kuishi Kama watu wengne Ila nmeshndwa🙏
Kuna mambo mengi ambayo yanaweza kuchangia mmomonyoko wa hali ya kujiamini kwa mtu, hata baada ya kujiamini mwanzoni. Baadhi ya mambo hayo ni pamoja na: Maoni Hasi au Ukosoaji: Maoni hasi yasiyobadilika au ukosoaji, iwe kutoka kwa wengine au kutoka kwa kujikosoa, kunaweza kuondoa hali ya kujiamini ya mtu hatua kwa hatua. Hii inaweza kutoka kwa wenzao, watu wenye mamlaka, au hata mazungumzo ya ndani ya mtu mwenyewe. Kufeli au Vikwazo: Kukabiliwa na kushindwa au vikwazo kunaweza kuwa pigo kwa kujiamini kwa mtu, hasa ikiwa mtu huyo anachukua vikwazo hivi kama kushindwa binafsi badala ya fursa za kujifunza. Kushindwa mara kwa mara au vikwazo vikubwa vinaweza kusababisha kupoteza kujiamini kwa muda. Kujilinganisha na Wengine: Kujilinganisha kila mara na wengine, haswa inapoonekana kuwa wengine wamefanikiwa zaidi au wana talanta, kunaweza kusababisha hisia za kutostahili na kupungua kwa kujiamini. Ukosefu wa Usaidizi: Kutokuwa na mazingira ya kuunga mkono au mfumo wa usaidizi kunaweza pia kuchangia kupungua kwa kujiamini. Kuhisi kutengwa au kutoungwa mkono kunaweza kufanya iwe vigumu kwa watu kujiamini na uwezo wao.
⚡SLL⚡Kitendo cha kuwa na aibu ya kuongea na watu kimekuletea athari gani gani /kupoteza nini katika maisha.
G Online nilimpoteza mchumba wangu
Pole sana husiruhusu next time ikutokee tena. Aibu inaharibu mambo mengi. Asante kwa comment yako
Na chengine mi Nina wasiwasi na siwezi ku control mawazo yangu
Nina video ya hiyo soon. Ila kuwa na wasi wasi na mawazo yako hiyo inamaanisha unadoubt kichounachofikiri train akili kujiamini kwenye kila wazo lako na utaweza fanikisha kila unalowaza. Kila unaloona limefanikiwa lilianza kama wazo au mawazo.Jaribu kutuliza akili yako na jiamini
Being shy it has affected me for more than two years n for sure it has kept me away from even those who could help me alot expecially in my studies bt those who understand me they have been standing with me until I realized that I have lost very important pple bt right know it's like two weeks I can't believe my eyes I can't be stopped 💃💃 I opened up my mouth speak out confidently 👏👏👏 I appreciate your good work brother God bless you 😇
am so inspired ...i also escaped to give a morning speech when i was at school .....but thanks to u
Iko vizur sana be blessed keep it up kutuelimsha bro
masomo yako yanahelemisha na kufudisha watu🙏🙏🙏🙏🤲🙏🙏
Kwanzia sasa nitajifunza kijiamini na kuongea vizur na watu bila aibu nakuangalia watu usoni Amen
Amen
Asante sana nimeongeza kitu katika maisha yangu
Mwenzako adi mm Nina AI u atasijui nifanyaje
aibu imenifanya nikose vitu vingi katika maisha yangu shulen nafel nikiwa nawatu najitenga yani imenifanya nisiwe bora kwasababu nilikua na shindwa ata kuuliza kitu nilikua sijuw ruga yaapa nilipo ivo sababu ya aibu imenifanya nichelewe kujua vitu vingi ila kwasa abu ya ushauri wako I hope nita badilika🙏🙏 ahsante
Asante san maana maana aibu ni kitu kinacho notesa san lakin naamini kuanzia leo nitakuwa wa tofaut
Shukran my brother mungu akujazie killa laa kheeri. Maana umetu nnufaisha na elimu ulio nayo thank you very much broooo👌👏
Karibu sana broo
Mungu akutangulie uzid kutuelimisha hakika inapendeza sana.
Asante sana
Duh nashukuru sana kwayote umeongea ni sahihi kabsa.Mimi ni mfanyabyashara tatizo la aibu li menitesa kiukweli nimekuwa na tatizo la kushindwa kukutanisha macho nawatu hata wafanyakazi wangu wamekuwa wakiniaribia kuniibia na mengi maovu nimekuwa nikijihami kwa kuwafukuza ila hata nikileta wengine na wao wanakuja na yaleyale.kiukweli aibu yaweza kukupa karaha bada yaraha.Mungu akupe umri murefu afya njema mafundisho yako huwa yanatupa kujuwa muelekeo bola na sahihi
Asante sana, ndugu ubarikiwe.
Vp kaka
Unatatizo Kama langu nitumie nambako tubadilishane mawazo kaka
0746-674596
Ngoja nifanye mazoezi maana naibu sana Ahsante sana
imenikosesha kazi nyingi sana
Shukrani Sana Kaka🙏🏾
Iyo kweli. Songa mbele kijana.
Thank you so much
Mungu akubariki . Uzidi kutuelimisha
Mungu akubaliki uzidi kutuelimisha
Nice brother god bless u💥
Thanks ✌️
Ninzuri sana
Thank u.
Nikweli kabisaaa
Shukran
🙈🙈 That was my problem thanks brother l
I appreciate thank you too for being here. God bless you
Bro nikama ulikuwa unanizungumzia mm et sema maneno haya yame kuwa na impact kwangu nahs nisha pona. Thkxfuly
Asante sana kaka
Good job bro
Aibubimenifanya nifeli Sana katika masomo yangu,maranying ntakua muoga wa kuliza pale sipo elewa na kujipa usahihi wa jambo nililofanya Mimi mwenyewe.
Thank you so much brother nimejifunza kitu so i have to change my life style now
Good
Shukrani sana kaka
Asante karibu
Thanks
love you video for us 🇺🇸🇺🇸😘
Thank you
Asante san bro
Asante
Nakubali Kaka nmekuelewa
Nimekuwa nikishindwa hata kuuliza maswali ninapokuwa chuo baada ya mwalimu kumaliza kusomesha au pale anapotoa nafasi ya kuchangia kitu pia nimekuwa nikishindwa kumfundisha mwenzangu kile tulichosomeshwa hata kama nimefahamu vizuri sana hasa hasa mwanamke
Asante sana
Very story
Ahsantee Sana umenipa ujasir mungu hakujlie kwani napenda kuimba kwaya kanisani ila nahofu aibu imenijaa
Safi sana, endelea kuwa jasiri.
Nimepta somo zuli sana Jins ya kutokuwa na aibu
asante sana kwan mm hiyo tabia nilikuwa nay aso now nitajifunza
Keep going
Aibu imenifanya niwe mtu mpweke na mtu mwenye uoga wa hali ya juu yaan imefkia sehemu na namuongopa mtu nimpendaye mpaka najihisi labda mimi nikimwongelesha huyu dem nahisi nitatukanwa
Asante kaka
naaibu sana nashindwa kuongea na watu najikuta mpweke
na aibu sana nashindwa kuongea na watu najiisi mpweke sana
Tatizo langu kubwa ni uoga Mimi ni muoga huta kudai Haki yangu naogopa nifanyeje
#umeeleweka kaka
Daah kinani Fanya nionekane shaif mbele za watu
Kuchekwa
kitendo Cha kuona aibu kimenifanya niishie peke peke, bila marafiki hata nakosa mtu wa kushare naye changamoto za maisha
👊
Kwanzia Leo niteza kuongea na watu bila uwoga nakuangaliana uso Kwa uso
Kutokujiami kumenikosesha mambo mengi Sana kielimu na kimaisha ki ujumla ninaomba nikushirikishe jambo langu kama utaweza kunisaidia
Sawa nichek tu 0629-718385
Kitendo cha kutwakujiamin kimenisababishia bishara yang kufaa
nimekosa mengi sana kwa kweli aibu ni mbaya imenifanya nimeshindwa kuongea na watu inanifanya nakuwa mpweke sana kweli elimu unayotoa imenifuraisha yani aibu ni kitu kibaya siipendi ata kidogo nilikuwa natafuta mbinu ya kuondokana nayo ivo asante sana kweli imeniasi li pia akili mana nakosa ata kufikilia vitu nashindwa kutoa maoni mbele ya wenzangu aiseee naichukia sana aibu kwenye maisha yangu
Aibu
Nna tatizo kubwa Sana kisaikology na inanipelekea kufel katika kufikia malengo yangu tatizo kubwa n aibu nashindwa kumface hata mtu mmoja napochangamana na watu nahisi kuwa uncomfortable na nnashikwa na uoga saana ata nashindwa kutoka kukutana na watu tofaut muda mwingi nakuwa pekeangu ndan nahisi hili tatizo linaendelea kukua na umri wangu unazidi kwenda kabla nitimize ndogo muda mwingne nashinda nikilia nikihisi nmerogwa nahitaji msaada nahitaji mtu wa kunijenga kiakili na kunfunza mbo mengi nisiyoyajua nataman kuishi Kama watu wengne Ila nmeshndwa🙏
Nakuelewa sana, naandaa video kwaajili yako.Pole sana, actually hilo sio tatizo la kisaikology unahitaji counselling tu.
Dear,. You're not alone
🙏🙏🙏
Aibu imeniletea kuto kupiga hatua kwenye maisha kwa mfano napenda kufanya biashara ila naona kuongea watu kabsa
Pole sana jitahidi kuishinda hiyo.
@@GOnlinepositivity ndo ivo cjui chakufanya brother
Naanza haya mazoezi sasa
Mimi na jisikia aibu kila nataka kuongea naomi
Pole sana. Unaweza kuishinda hiyo hali. Fuatilia video vizuri
Niko na swali naomba nisaidie
Je kitu gani kinaweza kuondosha kujiamini kwa mtu baada ya kuwa anajiamini mwanzo
Kuna mambo mengi ambayo yanaweza kuchangia mmomonyoko wa hali ya kujiamini kwa mtu, hata baada ya kujiamini mwanzoni. Baadhi ya mambo hayo ni pamoja na:
Maoni Hasi au Ukosoaji: Maoni hasi yasiyobadilika au ukosoaji, iwe kutoka kwa wengine au kutoka kwa kujikosoa, kunaweza kuondoa hali ya kujiamini ya mtu hatua kwa hatua. Hii inaweza kutoka kwa wenzao, watu wenye mamlaka, au hata mazungumzo ya ndani ya mtu mwenyewe.
Kufeli au Vikwazo: Kukabiliwa na kushindwa au vikwazo kunaweza kuwa pigo kwa kujiamini kwa mtu, hasa ikiwa mtu huyo anachukua vikwazo hivi kama kushindwa binafsi badala ya fursa za kujifunza. Kushindwa mara kwa mara au vikwazo vikubwa vinaweza kusababisha kupoteza kujiamini kwa muda.
Kujilinganisha na Wengine: Kujilinganisha kila mara na wengine, haswa inapoonekana kuwa wengine wamefanikiwa zaidi au wana talanta, kunaweza kusababisha hisia za kutostahili na kupungua kwa kujiamini.
Ukosefu wa Usaidizi: Kutokuwa na mazingira ya kuunga mkono au mfumo wa usaidizi kunaweza pia kuchangia kupungua kwa kujiamini. Kuhisi kutengwa au kutoungwa mkono kunaweza kufanya iwe vigumu kwa watu kujiamini na uwezo wao.
Siwezi kujitoaa mbele za watu
Inakupasa ufanye hivyo sasa, unless utakosa connections nyingi na watu ambao kwa namna moja au nyingine wanaweza kukusaidia.
aibu ilinikosesha pisi kali nyingi tu 😑
Na kwann mtu anatetemeka akiwa mbele ya watu
Ni kukosa kijiamini mbele za watu.Tips hizo zitasaidia , kama kuna mtu na tatizo hilo share naye hii video.Asante
Kitendo chaaibu kimenipa hasara kubwa kwenye biashara yangu ya netwek kuongea Nawatu naona kama atanikosoa kiufup nakosa komfidens
Pole jitahidi kutengeneza confidence yako
Na mm pia ningeomba urafik ili tuwe tunafahamishana mambo
Alafu sisi wenye atujui kigerenza ndio atari nifanyeje? Brother
Nitashughulikia hilo
Imesaidia naqbal
Asante hilo ndo lengo letu
Mm ninahaya kwl na sijajuwa tatzo nini
Haujiamini ndo maana. Tengeneza KUJIAMINI kwanz then unaweza kumface yoyote bila haya.
Yaan ni mm kabisa niko na aibu so poa 😆😆😆
Fanyia kazi hilo
Ahsante
namba zako za Whatsapp naomba
0629718385
Asante bro...
Ukovizuri bro andika kitabu tununue
Asante sana
Asante
na aibu sana nashindwa kuongea na watu najiisi mpweke sana
Asante xn
na aibu sana nashindwa kuongea na watu najiisi mpweke sana
Asante
Karibu
Asante
na aibu sana nashindwa kuongea na watu najiisi mpweke sana