Mashallah shukrain shekhe wetu allah akujalie afya njema mashallah mawaidha mazuri allah atujaliye tuwe miongoni ya wanawake wema nashukru allah kunipa rafuraha ya Ndoa yangu mashallah ss hv nina miaka17 Allah ajaliye yenye kudumu na Baraka tele na tushi mpaka tuzikani inshaallah nawaombea na wengine awajalie walio kuepo kwenye Ndoa allah awajalie Ndoa za kudumu na lakuwa awajaowa,ajaolewa allah awajalie wapate wake wema 'Waume wema inshaallah allahuma ameen 🤲
Shukra shekhe wetu Othman Michael Allah akujalie kila lenye kher na barka hapa dunian na akhera pia Allah atujalie tuwe waja wema miongoni mwa waja wema walokwisha kutangulia 🙏Amin yaaraby
Shukrani shekhe Allah akujalie na ww pia uwe na mke mwema na mm pia Allah azidishe busala niliyo nayo kwa mme wangu inshaallah niwe miongoni mwa wale walio tangulia amiina
Masha Allah Shekh,mawaidha yamenigusa Sana Mimi binafsi tangu nimeolewa nimekuwa wa kukosolewa na si kusifiwa kwa kila nililololifanya,Allah awabadilishe wanaume kupitia mawaidha haya Insha Allah..
Jazakha Allah,,, kheeir,,nafurahia xana darsa lako,,,Allah akuzidishiye umri refu duniani,,,uzidi kutunufaisha na ilmu,,,ningeomba utupe jina la mahad ambaye umepata ujasiri ya Dini,,ili watoto wetu,,,kaka zetu pia wajiunge nalo,,,Wa billahi taufiq,,,
Shukran jazillah Allah akulipe kher shekh,lkn umenifrahisha 😃wanawake wanarudisha pumz kwa amri ya Allah aliosema waume waoe zaid ya wanne subhanna Allah vp tutaipata pepo jaman Allah aniepushe na wanawake km hao na waliotajwa wote kwa jumla allahumma aminy
Shukran shehe wetu mm yamenikuta hayo Lakin nimesubiri kwa Allah kwani katika yule mume mbaya nikipata watoto wa zuri mungu aniongozee watoto wangu inshaallah
Am muna fro tz Mashaallah mi niliolewa miaka 7 nilipata mtoto wa kike 1 nikakosa matuzo kwa mume mwisho nilijiachisha mpaka sasa ni mwaka wa5 naishi peke yang sitamani ndoa kwa yaliyonipata mume mzizi sana
Asante sheikh wetu,naomba mungu anipe mume mwema inshaallah.
Mashallah shukrain shekhe wetu allah akujalie afya njema mashallah mawaidha mazuri allah atujaliye tuwe miongoni ya wanawake wema nashukru allah kunipa rafuraha ya Ndoa yangu mashallah ss hv nina miaka17 Allah ajaliye yenye kudumu na Baraka tele na tushi mpaka tuzikani inshaallah nawaombea na wengine awajalie walio kuepo kwenye Ndoa allah awajalie Ndoa za kudumu na lakuwa awajaowa,ajaolewa allah awajalie wapate wake wema 'Waume wema inshaallah allahuma ameen 🤲
Allahumah Ameen Ya Allah🙏
Shukran saana sheikh Allah akupe pepo uipendayo
Mimi cyo muislam ila napenda saana mawaidha yako sheikh m/mungu aendelee kukulinda akupe afya njema
Mashallah, wanandoa tujitahidi kuyashika hayA
Shukra shekhe wetu Othman Michael Allah akujalie kila lenye kher na barka hapa dunian na akhera pia Allah atujalie tuwe waja wema miongoni mwa waja wema walokwisha kutangulia 🙏Amin yaaraby
Hapo kwa bikra Allah atusamehe🥺🙏
Allah atujaalie tuwe wanawake wema inshaallah
Mashaallah shehe wetu mungu akupeni afya na siha njema muzidi kutukumbusha yalio mema ili tuyafanye
Asante ustaadh ishallah mungu akujaze zaidi baraka,tunaomba nasi kina mama tujue wanaime na tabia zao tofauti tuwe na uchaguzi
Shukran Jazakallahu kheir.wake wangu wanatabia izo.naomba yarabi anipe mke mwema
Shukrani shekhe Allah akujalie na ww pia uwe na mke mwema na mm pia Allah azidishe busala niliyo nayo kwa mme wangu inshaallah niwe miongoni mwa wale walio tangulia amiina
Ma shall ah ustadh wetu allah akujaalie
Napenda mawaidha yako japo cjaolewa bado
Napenda mawaidha yako japo cjaolewa bado
Mashaallah nimeelimika xn
Mashallah Allah sw atujaalie tuwe miongoni mwa wanawake wema yarab. Shukran sana Allah barik
Asante shekhe ila hizo tabia na wanaume wanazo na wanatuvunja moyo kwa kweli cc wanawake
Masha Allah nampenda huy sheikh kwanza mawaidh yake manzuri Allah akupe umri mref wenye kheri Insha Allah
Ahsante sana sheikh kwa mawaidha mazuri naomba Allah anijaalie mume mwema inshaallah
Mashallah mungu akuzidishie utoe mawaidha mazuri zaidi
Mashalla nimekupenda kwajiri ya allaa mungu akuweke mywaka miya ishallaa
asante saana sheikh wangu ,jamani naomba niwe mke mzuri kwa mme wangu ameen
Upo wap kwa sasa
Sawa mke wangu
Juhudi ipite Sasa sio uwebora2
Amiin
Shehe mimi piya yamenikuta kwamume wangu nimatisho yatalaka na nishehe anajua sheriya napaka sasa kanitenga bila sababu nikimuliza akasema nikutumiye talaka yako nashidwa ?
Allah ajaalie nizidi kuwa mke mwema kwa mume wangu. Maana hizo sifa ulozitaja sina ht moja Alhamdulillah
Masha Allah
Mashallah
Allahubaariq
Mashaallah shkh Mungu akupe afya Yarrab... (amiin)
Ameen
Amiin
Maaaashallaaah, nimept darsa kubwa sn maana nipo mbioni kutft mke Allah aniongz
Allahu Akbar......mashaalah uislamu n dini alhamdulilah
M.a sh.othman
masha Allah, Asante kwa mafunzo mema Allah azidi kukuhifadhi sheikh wetu
Mashaallah Allah Akbar mungu akujalie mwisho mwema
Amiin
Maashallah tabaraqallah nakupenda kwa ajil ya allah
Mashaallah ustadh mungu akupe kheri 🙏 kutu jenga
Alhamdulillaaah,,mashallaah.allaaah akuzidishie elimu
Masha Allah Shekh,mawaidha yamenigusa Sana Mimi binafsi tangu nimeolewa nimekuwa wa kukosolewa na si kusifiwa kwa kila nililololifanya,Allah awabadilishe wanaume kupitia mawaidha haya Insha Allah..
Ni kweli. Hata mimi. Nakosa. Hara. Ya. NDOWA. Yangu. Kabisa Sana tu na mchukiyA. Ndoa. Hii
Yaani unakosolewa hadi unajiona takataka
Mashallah Allah akuzidishiye riziki na ilimu akupe mwisho mwema
Mawaidha mazuri mashaalah mungu akuzidishie
Shukran ya sheikh. Allah atujaalia nyumba nzur, zilizoepushwa na umal'un
Daaah Ni kweli kbs
MaashaaAllah sheikh mawaidha mazuri Allah akupe afya na umri uzid kutuelimisha
MashaAllah
ماشاء الله
جزاك الله خيرا يا شيخ عثمان
Umetunza mazuri tumepata faida shukran sheikh othman mola akubariki akuruzuku Afya njema
Shehe ubarikiwe
Jazakha Allah,,, kheeir,,nafurahia xana darsa lako,,,Allah akuzidishiye umri refu duniani,,,uzidi kutunufaisha na ilmu,,,ningeomba utupe jina la mahad ambaye umepata ujasiri ya Dini,,ili watoto wetu,,,kaka zetu pia wajiunge nalo,,,Wa billahi taufiq,,,
Maashaallah tabarakallahu Rahman Sheikh umetupa darsa nzur tutaitumia kwa familia zetu na ndugu zetu ktk maisha yetu
Allah akujaalie kila la kheri inshaallah
Baarakallahu fiik.
Mashallah allah akuzidishie
Manshaallah nimejifunza asante kwa elimu allah akulipe inshaallah haya mawaidha namsilizisha mume wang cku ya ndoa inshaallah soon
Shukran
Jazaak Allah kheir. Niliwahi kuzisikia sifa hizi kwa sheikh Othman Maalim namfatilia sana.
Jazakallahulkheir.
my favourite all time sheik
Manshallah shekh mungu akujalie kila LA kheri inshallah
Taqwa
Subhanalha
Takbiri..ALHAHU.AKBAR
Nashukuru kwa mafunzo mema na nimekuelewa Sheikh
Mashaallah shekhe nimekupnda bure nimejifnza mengi allah akuweke inshaallh
Nimekupenda shkeikh Allah akuwekee miaka yenye kheir na ww inshallah🤝
Aamin thumma aamin
Nimekuelew sn Mwalim Allah akubarik
Mashallah mungu akupe wepesi
Mungu akupe maisha malefu
Mashaallah. Shukran sana shekhe
Shukran jazillah Allah akulipe kher shekh,lkn umenifrahisha 😃wanawake wanarudisha pumz kwa amri ya Allah aliosema waume waoe zaid ya wanne subhanna Allah vp tutaipata pepo jaman Allah aniepushe na wanawake km hao na waliotajwa wote kwa jumla allahumma aminy
Shukran sana shekhe wetu.Allah akuzidishie hekma.
Maashalah
Mashalha shekhe
Mwnyazi Mungu awzindishie hekima 💖
Nmekuerew maalm
Mashaalla
@@khadijamsongo7681 ommysum08@gmail.com Mom me mom mmmpmmmmmm
Mazinge
Mashallah tabaraka Allah....
Shukran sheikh wetu Allah akulipe kila la kheri
Nimeipenda allah nijalie niwemke mwema kwa mumewangu
Aaaaamin
Asante kwa mafundisho mazuri
Shukran shehe wetu mm yamenikuta hayo Lakin nimesubiri kwa Allah kwani katika yule mume mbaya nikipata watoto wa zuri mungu aniongozee watoto wangu inshaallah
Manshaa Allah Tabaraqhallahu khair Allah akulipeni kila lakheir sheikh Othman😍😍
Silimu kwa ajili ya allah
Napenda sn sheh anaetoa mawaiza na ayaa asant sn shegh
Mashaallah mawaidha mazur sana
Masha Allah tabaraka Rahman,tunashkur kwa mawaidha sheikh
Ma shaa Allah nimepata kujifunza mengi Allah akupe siha njema shk wetu
Mashaallah shehe nimejifuza mengi
Mashallah shukran umetufunza
Ni kweli sauti yake ni kama ya sheikh Othman maallim. Allah Awajaze wote wawili ksa mawaidha mazuri
Inshalaah ostathi wetu alllah akujalie umri mrefu
mashallah huna tofauti na sheikh Othman maalim kasoro ni ndevu tu
Mashaallah shekhe tunakuelewa sna shukrani
Balaka allahuh fii ya ustadh
Allah Akubaariki Shekhe wangu
Asante mwenyezi mungu akubarik
Mashaaallhu shekh nakupnd kw akij ya Allah alhh akujaaluye kil l khyr inshaallh
Mashallah mashallah Allah akubarik na akuhifadhi amiin
Pongezi Sanaaa sheikh kwa mafunzo mazuri 🔥🔥🔥💥💥
Shee Allah Akulip kwa Mawaiz yko mazr
Manshaalha mafunzo mazuri sana rakini wenyewe awataki kusikiriza mawaiza kama hayo mtihani shekhe
Mwenyezi mungu akuinuwe sheikh wetu
Alhahu.maswali.aaala.Nabiii..Muhammad
Nz
Mashallah mashallah mawaidha mazur sana Shukran ustadhi
Kumbuka kujistiri Bi fatmah jina LA mtoto wa mtume wetu badilika
Mungu atunusuru na utusamehe Kwan mngne tushayafanya mungu tusameje inshallah
MashaAllah
Mashaallah sherk kwa mawaidha Aya mazr...inshaallah tutabadilika kw uwezo w Allah n kusikiza mawaidha km Aya ...aaamin
Aaamina
Huyu Sheikh namuelewa sana.. Mungu hakupe umri mrefu
mashaa ALLAH tabaaraka LLAH huyu othman maalim mwengine nimetaladhadh
isha allah
Mashaallah sheikh Allah akulipe kheri
mashallah allah akupe naisha yenye manufaa akueke katika makundi yawachamungu
Mimi ni Mkiristo lakn napenda mawaidha ya huyu jamaa, Barikiwa sana bro
Amos Mwanga karibu zaidi na uitwe ISSA.
Mashaallah.. Amos Mungu akupe kher
Karibu Dini ya Unyenyekevu..
@@zahramunir8596 Amina
@@aishamaulid2358 hahahaaaa ubarikiwe
MaashaaAllah
Swadakta
Jazakallahu kheir
Mashallah
Khutba nzuri sana ila toa kwa ukali kama shekh hamisi
Mtume Muhammad swalla llahu aleyhi wasallam hakuwahi kuongea na watu kwa ukali hata kafiri
Maashaallah
Allah atubadilishe wanawake na atujaalie waume wenye kheri nasi.
Maa sha Allah jazakallah kheri shukran sana
Mashallah allah akupe taufiq zidi toa elimu zaid ikhwaa
Mashaallah
Mashallah mashallah sheikh Allah akujalie pepo
Mashaalh mungu akubarikie
Mashanllah mawaidha tumeyaelewa vzr shukran
Barikiwa she wangu
Ahallawah akujalie kila lenye kheri ndan ya din na juu yamaisha yako
Ahallawah ndio nini Ndugu? Ni ALLAH ama Allah wala sio hivyo ulivyo andika wewe
allah akupe mwisho mwema sheghe
Allah atuongoze wanawake wote wakiislam yaarab
Ameen yaarab
Am muna fro tz Mashaallah mi niliolewa miaka 7 nilipata mtoto wa kike 1 nikakosa matuzo kwa mume mwisho nilijiachisha mpaka sasa ni mwaka wa5 naishi peke yang sitamani ndoa kwa yaliyonipata mume mzizi sana
Amin thumma amin
Asalam alaikum
52710094
MASHA ALLA.. WANAWAKE TUEPUKANE NA HAYO
NIMEPENDA NA NIMEELEWA
inshallah sheikh wtu kwa ktujuza
Mashaalah she he allha akuhifadhi
Na aurally heri ya hapa ndunia Na ahera