KISA ÇHA MASIH DAJJAL NA MWISHO WA DUNIA - SHEIKH OTHMAN MICHAEL

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 138

  • @swafiamohammed1708
    @swafiamohammed1708 4 ปีที่แล้ว +5

    Allahumma audhu bika min adhabil qabr wa min adhabinnar wa min fitnati mahyaa wa mamati wa min fitnati masihi dajal

  • @shaibushaaban1538
    @shaibushaaban1538 5 ปีที่แล้ว +18

    Hakika hii nisiku ngumu Sana Allah atunusulu shukrani shekhe othman Michael umeiyona Haki Kabla hujafa ukaifwata Allah akuongoze

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 5 ปีที่แล้ว +26

    Yaa Rabb tuepushe waja wako na shari na fitna ya masihi dajjal, Amiin

  • @salimmluta3514
    @salimmluta3514 5 ปีที่แล้ว +7

    Wallahi shaikh uthman Allah amekupa nuru akujaze nuru kila mahali na nuru yako izid kungaa

  • @ahmadjuma6083
    @ahmadjuma6083 5 ปีที่แล้ว +11

    Maashaa Allah shekh Othman mayko nakukubali zaidi ninavyojikubali mwenyewe uko vizuri sana Allah akuzidishie elimu tuzidi kunufaika nawe Allah akukinge na mahasaidi.

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 5 ปีที่แล้ว +25

    Maa shaa Allah nikimsikiliza sheikh huyu najisikia km namsikiliza sheikh Othman Maalim. Allah akuhifadhini Masheikh wote na akupeni umr wenye manufaa na khatima njema, Amiin

  • @nasraalismailiy5188
    @nasraalismailiy5188 5 ปีที่แล้ว +6

    subhanaAllah Allah awahifadhi masheikh wote na kila anaependa jambo zuri na kututia moyo waislam napenda sana mtu mwenye hekma na maneno mazuru namuomba Allah nanapenda niwe karibu na watu ambao hata ninapokosea wananisemeshe kwa maneno mazuri sipendi mtu mkali ktk maisha yangu .

  • @wondersmotivation5543
    @wondersmotivation5543 5 ปีที่แล้ว +19

    Jazakha Allah kheer,,,Allah atuepushe na fitnatul Dunia,,Wa adhabal Kabur,,,Wa fitnatul Masih Dajaal,,,

    • @trustciousmakungu4646
      @trustciousmakungu4646 4 ปีที่แล้ว

      wonders motivation sheikh othumni Tunashukuru sana Allah akupe umri mrefu Tunafaidika namawaidha imani zetu zinjengeka kikamilifu Alhamdulilahi.

  • @user-sq8pq1xj7m
    @user-sq8pq1xj7m 2 ปีที่แล้ว

    Ewe Mwenyezi Mungu tuepushe na athar za masihdhajall kafr huyu akikuandama hna chko insha'Allah Mwenyezi Mungu atulinde Ameeen ameeen ameeen

  • @anitaciza7660
    @anitaciza7660 5 ปีที่แล้ว +13

    Subuhanallah Shukurani shekhe Allah atunusuru wajawake tuwe na imani kamili.

  • @jabalfondo3805
    @jabalfondo3805 4 ปีที่แล้ว +4

    sikujua yote haya lakini kwa kusikiliza khutbah hakika nimezinduka. Shukrani SHEIKH OTHMAN

  • @ibrahimwario3177
    @ibrahimwario3177 5 ปีที่แล้ว +11

    Masha Allah shukran shk.umetuelemisha nyingi na uzidi kutuelemisha zaidi Allah akujalie uzima wa afya na maisha marefu,ya Allah tuepushe na adabu ya kaburi,jahannam,fitina ya mahya wamamatii na shari yke masih dajjal.Ameen

  • @abdulrahmanngaluma3768
    @abdulrahmanngaluma3768 5 ปีที่แล้ว +17

    Kikubwa ni kuyafanyia Kazi haya mawaidha .....👋🏾👋🏾👋🏾👋🏾👋🏾

  • @selemanmajaliwa1240
    @selemanmajaliwa1240 4 ปีที่แล้ว +6

    Yaa ALLAH tuepushe na fitina za masihi Dajjal 🙏🙏🙏🙏

  • @ashalaurent2465
    @ashalaurent2465 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashaa alha mungu azidi kukupa umri mrefu wenye faida

  • @mussajuma7460
    @mussajuma7460 5 ปีที่แล้ว +4

    Daah wapo kwel na mimi nawajuwa hapa hapa nchini hao masheikh waongo wanatumika vibaya wanatugawa sisi

  • @HABIBULLAH-nd9ft
    @HABIBULLAH-nd9ft 4 ปีที่แล้ว +4

    Kwa kufananisha saut hivi sidhan kama shekh Othman maalim Alisha wahi kumskia mrithi wake huyu na siku akimskia atasema yaa Rabbi jaalia wawe hata wengi kama HAWA maasha allah

    • @basharahamtzhalisi6871
      @basharahamtzhalisi6871 ปีที่แล้ว

      Habibu kumbe hata wewe umelijua hilo, BARAKALLAHU FIYKA AKHY FIY LLAH.

  • @yanikdabo2137
    @yanikdabo2137 5 ปีที่แล้ว +9

    Allahumma swalli alaa muhammadin waali sayyidna muhammad ( saw ) rehma a amani ziwe juu yake inshallahu

  • @jasminali5921
    @jasminali5921 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaaallah tabarakallah shukrani sana shekh othman Michael kwa ukumbusho Allah akujaalie Kila la kher 🌹🙏🙏🙏

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 5 ปีที่แล้ว +10

    Masha Allah Masha Allah sheikh Othman mawaidha safi sana na mada ya leo muhimu kuhusu daiili za kiyama..lnshallah mungu atupe neema dhabiti sote kwa ujumla Ameen yarab

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 5 ปีที่แล้ว +8

    Shukran yaasheikh othman mungu akuzidishie nuuru kifuani mwako amiin yaallah

  • @samutykuntathebantu8402
    @samutykuntathebantu8402 2 ปีที่แล้ว

    Yesu Kristo alimaliza yote msalabani. Wakristo Wana bahati tuna Roho mtakatifu...

  • @chunaamina8719
    @chunaamina8719 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah, Tabaraqah Allah,Mungu akupe umri mrefu Na uzidi kutuongoza inshaalla🤲🙏

  • @kulwabakari2166
    @kulwabakari2166 5 ปีที่แล้ว +8

    Shukrani shekh mungu akuzidishie umri utujuze mengi

  • @aishaabdallah4560
    @aishaabdallah4560 4 ปีที่แล้ว +2

    MaashaAllah napenda mawaidha ya huyu sheikh mungu akuzidishie kheir na km hayo ya vifo vya wengi mfano hiyo corona watu wapupitika yarab tustiri🙏

  • @hajatihajati5357
    @hajatihajati5357 5 ปีที่แล้ว +8

    Jazaka Llah khayrah. Allah akupe umri murefu uzidi kutu juza na kufikisha Elimu yake kwa waja wake

  • @sleymohamed935
    @sleymohamed935 5 ปีที่แล้ว +5

    Subhanallah. M/Mungu atuepushie mbali na hiki kiumbe ni mtihani sana

  • @ummulkheir8321
    @ummulkheir8321 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah,yarabbi tuhifadhi

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 ปีที่แล้ว +9

    Subuhanallah mungu atuepushie na masahid dajjal

  • @omadybinumady5427
    @omadybinumady5427 5 ปีที่แล้ว +5

    Mashaa Allah shukrani shekhe

  • @ziadasadiki8196
    @ziadasadiki8196 3 ปีที่แล้ว +1

    ALLAH AKUSTIRI na SHARI za Dunia na Ukujaalie PEPO BORA INSHAALLAH.

  • @sweetysamsat
    @sweetysamsat 5 ปีที่แล้ว +9

    Asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh
    Ma shaa Allah mawaidha mazuri Saana Mie nimesikia yote na hakuna kilichonivutia zayd km story fupi ya SHEIKH ATHMAN ALLAH IHFADHKUM
    Naomba hicho kipengele cha story yake maana kuna watu wako giza hasa kijijin kwangu na ukoo Wangu wanaihama saana dini hasa mabinty tukitaka kuolewa
    Hivo naomba hiyo clip waweze kumsikia sheikh huenda ikawagusa kwa namna moja ama nyingne in shaa Allah
    Shoukran jazakallahu khayr

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 4 ปีที่แล้ว

      samahir, kama upo dar es salaam wasiliana na masjid mtoro online tv watakupatia video yake au kama upo nje ya nchi download aidha ktk simu yako au pc, au kama ni ndefu ina mb nyingi hauwezi kuwatumia bonyeza hapo kulia upande wa chini ya video kwenye neno SHARE halafu watumie link yake kwenye namba zao za whatsapp wataziangalia moja kwa moja youtube ktk chanel hii kama unavyoangalia wewe.

  • @blakshajaa4418
    @blakshajaa4418 5 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah Allah atulindie waislam na mashehk zt

  • @championshahidu2465
    @championshahidu2465 5 ปีที่แล้ว +11

    Thank you so much sheik, I love your recitation, stay blessings

  • @almassoud3109
    @almassoud3109 5 ปีที่แล้ว +7

    Maashallah. Khutba mzuri. Faida kubwa ilioje. Allah ampe umri mrefu tuzid kupata faida

  • @mirajisaid3591
    @mirajisaid3591 5 ปีที่แล้ว +4

    Shekh Allah akulipe kila la kher

  • @ismailelfadhil6813
    @ismailelfadhil6813 3 ปีที่แล้ว +1

    sheikh Allah akubarik akujaze ilmu yenye manufaa kuhusu huyo shekh makame shekh nilikuwa nawasha redio kl cku wakat wa magharib nimfuatishe anapo adhin japo nilikuwa nakosea kufuatisha adhana baada kuitikia namuomba allah anisameh nilikuwa bd mtoto pia nilikuwa nataman nije kuadhin km hy shekh

  • @mwanahamisimkilalu3892
    @mwanahamisimkilalu3892 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah atuepushe na masih dajal tusimfate

  • @mwaks3347
    @mwaks3347 5 ปีที่แล้ว +5

    Mash Allah,,hasnal khatimah

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 5 ปีที่แล้ว +4

    Inshallah mungu atupe emaan dhabiti na utuepushe na adhabu za motoni Ameen yarab

  • @leylerahmed1677
    @leylerahmed1677 5 ปีที่แล้ว +3

    Laaa haaulaaaa walakuwwatah illa billah duh

  • @ntakirutimanamaisara4529
    @ntakirutimanamaisara4529 5 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah jazzakum rakhreil sheikh mim nakosa cakusema Allah mwingi warehma akupe umli mulefu uzidikutupa elim tofauti

  • @MOMOsisterinthesports
    @MOMOsisterinthesports 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashallaha tabarak llah shekh unatujeng kiimani

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 5 ปีที่แล้ว +7

    Waalaikumu ssalam warahmatullahi wabarakatuh
    Namuomba allah atuepushe ns huyu mkufurishaji masihi dajjal allahumma amiin

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah shukuran

  • @habityabsa997
    @habityabsa997 5 ปีที่แล้ว +9

    Asalaam alaykum wa rahmatullah wa barakatuh! Tafadhali anae jua dua aliyo funguliwa sheikh Othman anifahamishe. Ni dua nzuri maana nahisi kama anaomba nusra ya adhabu ya kaburi, umri🤔 tafadhali nifundisheni na Allah atawalipa kheri duniani na akhera In shaa Allah

    • @issaramadhani9714
      @issaramadhani9714 5 ปีที่แล้ว +1

      Tafuta kitabu cha Husni'l Muslim ghalama yake ni ndogo tu miongoni mwa dua unazohitaji hiyo ni mojawapo utaipata ndani ya kitabu hicho.

    • @rashidvuaimwadin1914
      @rashidvuaimwadin1914 5 ปีที่แล้ว +3

      Allah humma inny aundhubika min adhabilkabur waaunzubika min fitnatul mayahaya wa mamaty waaundhubika min fitnatul masihidajar

    • @habityabsa997
      @habityabsa997 5 ปีที่แล้ว

      Issa Ramadhani Shukran akhy!

    • @habityabsa997
      @habityabsa997 5 ปีที่แล้ว

      rashid vuai mwadin shukran kwa dua!

    • @issaramadhani9714
      @issaramadhani9714 5 ปีที่แล้ว

      @@habityabsa997 nawe pia ALLAH akukunjulie mlango wa nuru ya ilmu na kupenda diyni yake.uwe miongoni mwa wanawake wema.

  • @jumannemashaka1034
    @jumannemashaka1034 5 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akujalie

  • @salumothman7548
    @salumothman7548 5 ปีที่แล้ว +3

    Shukrani jazirra ya sheikh

  • @abdallahmustapha7125
    @abdallahmustapha7125 5 ปีที่แล้ว +4

    allahu akbar

  • @rukiamanjicha1157
    @rukiamanjicha1157 3 ปีที่แล้ว

    Lailaha illa anta... Allah atukinge na fitna za masihu dajjal

  • @yusufsuleiman1391
    @yusufsuleiman1391 5 ปีที่แล้ว +4

    Subhana llah

  • @waynejohn2239
    @waynejohn2239 ปีที่แล้ว

    Asante Allah ukizidishiye ilim

  • @abdalahsuleiman8989
    @abdalahsuleiman8989 5 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah

  • @blackberryberryblack9093
    @blackberryberryblack9093 5 ปีที่แล้ว +3

    Allah akuhifadhi oustadh wangu

  • @khadijaal6548
    @khadijaal6548 5 ปีที่แล้ว +6

    Ma shaa Allah
    Shoukran saana
    Mie naomba clip yotee

  • @salumkirumi5527
    @salumkirumi5527 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh nakupenda Sana napenda unavyozungumza Hadi nahsi kusisimka

  • @aminamichael1706
    @aminamichael1706 5 ปีที่แล้ว +5

    Shukran shekh

  • @allyzicko8149
    @allyzicko8149 5 ปีที่แล้ว +3

    Shukrn

  • @asyaluay5787
    @asyaluay5787 5 ปีที่แล้ว +7

    ALLAH ATUEPUSHE NA FITNA ZA MASIH DAJJAL

  • @zobidaal4423
    @zobidaal4423 4 ปีที่แล้ว +4

    Yaaarab tuepushe na fitna kubwa za masihi dajjal

  • @hafsaali7976
    @hafsaali7976 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @mgenijuma3939
    @mgenijuma3939 5 ปีที่แล้ว +3

    shukrani

  • @abuuhafsah9630
    @abuuhafsah9630 5 ปีที่แล้ว +4

    Iyakallah .....

  • @jasminyiddysulaiman9807
    @jasminyiddysulaiman9807 4 ปีที่แล้ว +3

    Maashallah tabalaqallah

  • @mudrickramadhan4292
    @mudrickramadhan4292 5 ปีที่แล้ว +4

    ALLAH akujalie uhai mrefu

  • @al-quwiyyiislamicschool8685
    @al-quwiyyiislamicschool8685 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulipe kheir.

  • @swahibal-karama145
    @swahibal-karama145 5 ปีที่แล้ว +4

    Je kuna DALILI YOYOTE YA KUJA KWA NABIYYULLAHI ISSA ALAIHI SSALAAM...MAMBO YA KIIMANI HUTAKA DALILUN QATWIYYAH SIO KHABARI AHAD.

  • @farajabdul6482
    @farajabdul6482 3 ปีที่แล้ว

    Yaani Sheikh mzima anatoa no za pesa kwa watakaotaka dua!!!La haula.Dini italegea tukianza mambo ya wasiokuwa waislamu.Tuambieni ukweli bana

  • @makenakendi282
    @makenakendi282 4 ปีที่แล้ว +1

    Amiin

  • @Keymolin
    @Keymolin 5 ปีที่แล้ว +4

    Nilickiliza kisa cha tamimu darri ambae na wenzie walikutana na masihi addajar ktk kisiwa macho walijikuta baada ya Nashua kupotea na akawauliza kuhusu mtume asiejua kusoma na mitende ya Jordan na wakamwambia mtume je ina ukweli kwa upande wako?

  • @swalehmuhsinhassan9413
    @swalehmuhsinhassan9413 4 ปีที่แล้ว +4

    Fundisha kitabu at tawheed cha sheikh muhammad ibn abi wahab watu wataacha shirk

  • @Unknown-lp5xr
    @Unknown-lp5xr 3 ปีที่แล้ว

    Masha allah

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @nathanwakitaa8875
    @nathanwakitaa8875 2 ปีที่แล้ว

    Aundhubilka min fitinat massii dajjal

  • @Keymolin
    @Keymolin 5 ปีที่แล้ว +5

    Sheikh nina swali

    • @Keymolin
      @Keymolin 5 ปีที่แล้ว

      Nilickiliza kisa cha tamimu darri ambae na wenzie walikutana na masihi addajar ktk kisiwa macho walijikuta baada ya Nashua kupotea na akawauliza kuhusu mtume asiejua kusoma na mitende ya Jordan na wakamwambia mtume je ina ukweli kwa upande wako?

  • @subiramohd885
    @subiramohd885 4 ปีที่แล้ว +2

    kiabu punguza wengine hawajui kiarabu sasa wewe Unaboa kiukweli naicjo kiarabu Chako

  • @makondenimissionteam
    @makondenimissionteam 5 ปีที่แล้ว +4

    Unatuchanya na kiarabu kingi bana kama utaendelea kuongea kiarabu kingi basi uache kutuubiria maana unaboa bana wewe tufundishe mukiswahili ili tuelewe. Tambua unapotia video youtube tambua hata sisi wakristo tunafatilia

    • @fatmakuchanda530
      @fatmakuchanda530 5 ปีที่แล้ว +1

      mbona anatafsir

    • @faizasaid8262
      @faizasaid8262 5 ปีที่แล้ว +1

      Bojardo mbona analolisema atafsiri ila wwe nikiziwi husikii mpaka uwe muislam

    • @khadijaal6548
      @khadijaal6548 5 ปีที่แล้ว

      @Faiza Said
      Inshallah atakuwa
      Polepole tuende nae

    • @shabanimohamedimiraji309
      @shabanimohamedimiraji309 5 ปีที่แล้ว

      hujalazimishwa kumfuatilia ukiona vp pita kushoto

    • @kambiabdallah8276
      @kambiabdallah8276 5 ปีที่แล้ว

      Bojardo we chiziiiii nini peke yako ndio huelewi humu umeitwa au

  • @idrisjames9392
    @idrisjames9392 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @mohammedhassanabdulkhadir761
    @mohammedhassanabdulkhadir761 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah