WAKILI MWABUKUSI NA RAIS WA TLS AMVAA WAZIRI "NI SHERIA GANI UMETUMIA NA BUNGE LINI KUFUTA VIJIJI "

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    TH-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

ความคิดเห็น • 112

  • @winniefridamutakyawa5943
    @winniefridamutakyawa5943 22 วันที่ผ่านมา +13

    Asante sana rais TLS. Mungu akubariki sana.Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.Viongozi wengi hutazama kwa macho ya nyama na si ya rohoni.Tukumbuke haya maisha yana mwisho na mwisho wake hatujui siku wala saa vyote twaviacha sana sana twaenda na jeneza na sanda tu. Hivyo tufanye ya kumpendeza Mungu na watu wote kwa haki kama Mungu wetu alivyo wa haki.Amen.

    • @petersilas4234
      @petersilas4234 21 วันที่ผ่านมา

      Hivi wewe hapo unapoishi pakigunduliwa mafuta utaakataa kuhama kwa maslahi ya uchumi mpana wa nchi. Kuhama ni muhimu mradi Sheria ifuatwe. Uchochezi wa kufuata hisia za binadamu za mazoea hazitusaidii. Tunaihitaji ngorongoro na UNESCO ndio walioshauri kitaalam kwamba hifadhi haiwezi kuhimili idadi ya watu . Huu ni urithi wa dunia, Tanzania ni yetu wote na wamasai wapo Songea rufiji Sumbawanga na nchi nzima. Ni mazoea tu na hayo hubadilika baada ya muda. Ngorongoro ni zaidi ya mgodi kwa taifa letu, tuitunze kwa vizazi vya Sasa na vijavyo.

  • @barakakevela245
    @barakakevela245 22 วันที่ผ่านมา +9

    TUNAWASHUKURU SANA MAWAKILI KWA KUMCHAGUA RAISI JASIRI

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 22 วันที่ผ่านมา +8

    Mungu awalinde kwa kazi nzito mlionayo

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 22 วันที่ผ่านมา +12

    Hongereni sana mpo vizuri kusimamia sheria

  • @dkalbertoanyasime9357
    @dkalbertoanyasime9357 22 วันที่ผ่านมา +8

    Kila mmoja afate Sheria alie anzisha vijiji pia afate sheria

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 22 วันที่ผ่านมา +4

    Safi sana 🔥🔥🔥 Tunawaombea mtupambanie hivyo hivyo

  • @samsonogunde4508
    @samsonogunde4508 22 วันที่ผ่านมา +6

    Rais wa Sheria Mungu Akulinde na Maadui, huyo Waziri Kama Kuna kipengele Cha kumshitaki ni Sawa,

  • @isamony58
    @isamony58 22 วันที่ผ่านมา +5

    Safi kabisaa

  • @DavyShine-pb7jb
    @DavyShine-pb7jb 22 วันที่ผ่านมา +5

    Serikali haipo katika kutetea wananchi bora wananchi tuamke kulisemea hili

  • @user-lx2lo2lp8m
    @user-lx2lo2lp8m 22 วันที่ผ่านมา +14

    Tatizo mwabukusi hii nchi hatuna rais!..haya yalitakiwa yasemwe na raisi,amegeuka chura hataki kusema,bubu!..halafu anataka uraisi tena,we mama kapumzike!..we vp?!

    • @mussamdoe4619
      @mussamdoe4619 22 วันที่ผ่านมา

      Chura ana ruka ruka

    • @TNgwale-eu3xl
      @TNgwale-eu3xl 22 วันที่ผ่านมา

      Si ni Son-in-law kaamua kufuta vijiji na vitongoji sio !!!

    • @antidiusalfred4686
      @antidiusalfred4686 21 วันที่ผ่านมา

      Unazungunzia chura wa sinura???​@@mussamdoe4619

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 22 วันที่ผ่านมา +8

    Mungu tusaidie Watz tuungane kutetea haki zetu.

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 22 วันที่ผ่านมา +3

    Big up Mwabukusi Mungu atakusimamia.

  • @user-kq9lb7bd8l
    @user-kq9lb7bd8l 13 วันที่ผ่านมา

    rais washeriya mungu akulinde piya akuepushe na magonjwa napiya mungu akupe ujasiri uzidi kuteteya nchi asante sana

  • @makelelebahati5236
    @makelelebahati5236 22 วันที่ผ่านมา +2

    Mh, rais mwabukus mungu akulinde kwa ujasir wako kwa kupitia wewena wezio utawapa nguvu ,mungu akusimamie.

  • @KasimMamboleo
    @KasimMamboleo 21 วันที่ผ่านมา +2

    Uko sawa sana Rais naitaji cad ya chama TLS

  • @EmmanuelKazimili-ky1ss
    @EmmanuelKazimili-ky1ss 22 วันที่ผ่านมา +2

    mungu akutunze mkuu mwambukusi kazia apoapo

  • @BarakaMole-n8f
    @BarakaMole-n8f 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akupe maisha marefu

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 22 วันที่ผ่านมา +2

    KWELI SECTION FOUR ..SASA RAIA TUMEANZA KUFEEL UWEPO WA TLS NA MAWAKILI KWA UJUMLA..WE DON'T NEED A TOOTHLESS BULL DOG..AHSANTENI SANA TLS.❤

  • @GMM-nt1rd
    @GMM-nt1rd 17 วันที่ผ่านมา

    Hivi unachukua fomu ya urais lini ....?? Kwa sababu wanatanzania wanakuhitaji Kwa nafasi ya juu.

  • @MatheoMwanaloga
    @MatheoMwanaloga 22 วันที่ผ่านมา +3

    Magufufi aliipenda Sana hii nchi

  • @ruthdavie1175
    @ruthdavie1175 22 วันที่ผ่านมา +1

    Akili kubwaaa❤ tunakuamini Mwabukusi, wewe mtu na nusu, na ndio tumeona sasa nguvu ya TLS

  • @RahimRashid-u9j
    @RahimRashid-u9j 18 วันที่ผ่านมา

    Asitumie sheria kama ukoo wao

  • @user-pi5df7qu3y
    @user-pi5df7qu3y 21 วันที่ผ่านมา +2

    Haki itendeke

  • @MakoroSimba-eb6lp
    @MakoroSimba-eb6lp 22 วันที่ผ่านมา +2

    Watanzania ili tusizunguke saana wasiojulikana ni usalama wa taifa ndio wanao fanya mambo ayo kwa sababu usalama wamekuwa awangalii nchi wanafanya kwa masilai ya watu amini nawahambia usalama sasa imekuwa ya wahuni wavuta bangi majambazi yaani Atari

  • @bonifacemuya2406
    @bonifacemuya2406 22 วันที่ผ่านมา +2

    Kaka mwabukusi Mimi ukivyosema tu unagombea uraisi nilikuwa tumeshaokoka unaweza kala unapenda haki namungu hata kuacha ningependa nipate namba yako kala KAZI zako zinanitia ujasiri sana mungekuwa watu kumi tu nchi hii udikiteta ungeisha

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akupe nguvu mwabuks usiludi nyuma pambana huundo witowako fanyakazi usivunjike moyo nakomenti ambazo hazikuungi mkono tusemee sisi ambao hatuna pakusemea pambana watanganyika wengi wapo nyumayenu

  • @RahimRashid-u9j
    @RahimRashid-u9j 18 วันที่ผ่านมา

    Ajuuzulu huyo waziri hatumtaki kabisa

  • @ezammwakisambwe-t8u
    @ezammwakisambwe-t8u 18 วันที่ผ่านมา

    Mungu baba usimwache mtu huyu mtetezi wa wanyonge umlinde kisawasawa katika taifa hili la kinafki na kidhalimu😢

  • @HarunJonass
    @HarunJonass 18 วันที่ผ่านมา

    🎉❤❤❤

  • @ndiditheodore8272
    @ndiditheodore8272 19 วันที่ผ่านมา

    Who is mchengerwa?

  • @HamisiNguche
    @HamisiNguche 21 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni msomi wa Hali ya juu. Unajiamini Sana tu tena hauna doa. Ni mtetezi mkuu, yawezekana wewe ni Yesu tayari amerudi

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 22 วันที่ผ่านมา +1

    Ngoja inyeshe tuone panapo vuja

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 20 วันที่ผ่านมา

    Waburuzwe mahakamani kwa kuvunja sheria...

  • @AtanasKameja
    @AtanasKameja 19 วันที่ผ่านมา

    😢mungu yupo

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter 19 วันที่ผ่านมา

    Mchengerwa umeyakanyaga

  • @JohnTobiko
    @JohnTobiko 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu awe nasi daima

  • @josemalley1691
    @josemalley1691 22 วันที่ผ่านมา +1

    Natamani kufanya kazi na ww rais msomi

  • @ASALABOY
    @ASALABOY 22 วันที่ผ่านมา

    👏👏👏👏👏👏👏

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 22 วันที่ผ่านมา

    Nimegundua tls ilikuwa ina ussm ndani hi tafsri leo ndio nasikia ukweli toka tls sikuwahi skia haya ndio nimegungu dua mamluki wapo wengi sana

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 22 วันที่ผ่านมา

    Utawala bwana. Mtu moja hanafuta vijiji .mbunge hoi

  • @juliuszakayo6771
    @juliuszakayo6771 22 วันที่ผ่านมา

    Wakili msomi mabukusi mbona kunanhabari zinasema kuanzama sheria hazikua zinawaruhusu usalama wa taifa kukamata watu ila kwa uongozi wa samia waunda sheria yakuwapa usalama wa taifa kukamata watu ilhali wao hawana vituo vya polisi jee siinawezekana ndio hao wanawapoteza watu , hio sheria ipo nakama ipo tunafanyeje tuitoe

  • @samsonogunde4508
    @samsonogunde4508 22 วันที่ผ่านมา

    Swala Siyo Yeye, Swala Mambo maovu ni Mengi Tunafichwa tu

  • @cloudjulius-sf6nw
    @cloudjulius-sf6nw 22 วันที่ผ่านมา

    Safisana hayondio tulikuwa tunayasubilia maamuzi ya ukweli

  • @AbdulrahmaniNjechele
    @AbdulrahmaniNjechele 22 วันที่ผ่านมา +2

    Ni zaid ya siasa uyo ajenda yake kubwa ni udini tu.

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 22 วันที่ผ่านมา +1

      Washenzi ndo zenu cijui huwa hamna akili? Watu wafukuzwe apewe mwarabu dini imeingiaje?? Mengine meusi tii kama mkaa kujifanyaga maarabu sasa

    • @Werema3760
      @Werema3760 22 วันที่ผ่านมา

      Pole

    • @williamsenkoro2210
      @williamsenkoro2210 22 วันที่ผ่านมา

      Zuzubwee

    • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
      @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 22 วันที่ผ่านมา

      Abdli akili zako ziko matakoni shetani wewe usiye na utuu

    • @TNgwale-eu3xl
      @TNgwale-eu3xl 22 วันที่ผ่านมา

      Kama wanawapenda hao waarabu na wazungu mpaka wanawamilikisha architect na kufukuza wenyeji..waende wakaishi nao huko Uarabuni - Dubai na Oman. Viongozi wa Africa washenzi mno. Wanauza ardhi na Mali za wananchi kwa Waaarabu na Wazungu kwa sababu tu wamepewa vidolla kadhaa...akili fupi na ndogo mno.

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 22 วันที่ผ่านมา

    Mwabukusi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @gallusmbaga5522
    @gallusmbaga5522 22 วันที่ผ่านมา

    Amefuta uwepo wa Kijiji. Ninachojua Kijiji kinadajiliwa. Uwepo wa watu hauhusiani na uanzishwaji wa ufutaji wa kijiji

  • @hassankidilikia5566
    @hassankidilikia5566 21 วันที่ผ่านมา

    God bless you 😅

  • @user-ou7jp8ug7z
    @user-ou7jp8ug7z 20 วันที่ผ่านมา

    Wataku loga mama weeeeee

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 21 วันที่ผ่านมา

    Pongezi kwako TLS

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 22 วันที่ผ่านมา

    Hapa ni mpaka kieleweke

  • @KaleleyanKashuma
    @KaleleyanKashuma 22 วันที่ผ่านมา

    Tunaunga mkono TLS

  • @gallusmbaga5522
    @gallusmbaga5522 22 วันที่ผ่านมา

    Unaweza kuzaliwa mahali ambapo sio Kijiji

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 22 วันที่ผ่านมา

    Bado kuna tour guard watatu wa Arusha wamepotea tena na watu wasio julikana. Mpaka sasa familia zao hazijui walipo

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 21 วันที่ผ่านมา

      SUKUMA GANG VYUMA VIMEKAZAA😢😢😢😢😢

  • @sizorstartv6168
    @sizorstartv6168 21 วันที่ผ่านมา

    Vitafutwa vyote na ndo kuuuzwa

  • @user-hu3bz3lv7s
    @user-hu3bz3lv7s 22 วันที่ผ่านมา

    Kiongozi Nchi bado tunayumba

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 22 วันที่ผ่านมา

    AYO TV HAWAWEZI KUONYESHA HAYA MAMBO MAANA ANAOGOPA KUFUNGIWA TV ZOTE ZIONYESHE LIVE

  • @KasimMamboleo
    @KasimMamboleo 21 วันที่ผ่านมา

    Rais cad ya chama anapate

  • @EssauMahundi
    @EssauMahundi 22 วันที่ผ่านมา

    1:01 😅

  • @JohnTobiko
    @JohnTobiko 22 วันที่ผ่านมา

    Kuna wengine wanampinga huyu mzee lkn mimi nawaona ni wajinga, tena ni wale wanaoihujumu nchi

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 22 วันที่ผ่านมา

    Rais tls oyeeeeeeeee

  • @MajutoSangu
    @MajutoSangu 18 วันที่ผ่านมา

    .

  • @cosmaskamugisha5918
    @cosmaskamugisha5918 22 วันที่ผ่านมา

    Tunakushukuru sana waziri kuwatetea wanyonge na vizazi vijavyo kuinusuru ngorongoro hakika wewe ni mzalendo, ngorongoro kamwe siyo Mali ya kabila la wamasai ni mbuga yetu wote watanzania, wamasai waungwana walitoka Kwa hiari na wakaidi waache mkaidi hafaidi Hadi Siku ya
    idi, wanaojifanya kuwatetea wanatafuta kupata chochote achana nao.

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa 22 วันที่ผ่านมา

    Tatizo hata ukiongea hakuna badiriko ni maelekezo kutoka juu

  • @alphoncekagezi4950
    @alphoncekagezi4950 21 วันที่ผ่านมา

    Nchi hii ina maeneo mengi ya mito ambayo wanyama aina ya mamba ukitupwa umo dk 3 ni nyingi umeisha tafunwa.

  • @jumanneratili9829
    @jumanneratili9829 22 วันที่ผ่านมา

    Kwani jeshi la police nina unamshitaki mtu wakati mtu alikuwa kikazi fafanua

  • @nhandimasalu4741
    @nhandimasalu4741 22 วันที่ผ่านมา

    Kaka wajinga hawawezi kukuelewa.

  • @adammbaruku2499
    @adammbaruku2499 22 วันที่ผ่านมา

    Mbona km kila siku yuko tofauti au kupamban na Serikali hicho kiti nadhani kakaa kwa muda tu hakimfai kabisa yeye anadhani atenda kazi kumbe anatengeneza zengwe kubwa baina ya Serikali na wananchi. Na akiachiwa hivi tutakuja kulia na kusaga meno huko tuendako.

    • @user-jm3rp3nv5z
      @user-jm3rp3nv5z 22 วันที่ผ่านมา +1

      Rais wa Tls ana uelewa mkubwa hawezi kuwa sawa na wewe.

    • @jacksonmboya5320
      @jacksonmboya5320 22 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-jm3rp3nv5zmwache uyo 🍑

  • @ShaphyJamaly
    @ShaphyJamaly 22 วันที่ผ่านมา

    Kwan hichi chama hakina msemaji

    • @nhandimasalu4741
      @nhandimasalu4741 22 วันที่ผ่านมา

      Kaka wajinga hawawezi kukuelewa

    • @obednyagani506
      @obednyagani506 22 วันที่ผ่านมา

      Unazungumzia msemaji yup?

    • @PaulMsema
      @PaulMsema 22 วันที่ผ่านมา

      Mambo ya haki Huwa hayana msemaji

  • @Shabani-uz1sb
    @Shabani-uz1sb 22 วันที่ผ่านมา +2

    Ww, Hutofanyamaendeleo, TLS, Umekaliasiasa, Vijijivimeanzishwa, na ,nani?

    • @boniphacesandarya2259
      @boniphacesandarya2259 22 วันที่ผ่านมา +2

      kwaiyo hayo xio maendeleo wewe ni wakili

    • @pioado7135
      @pioado7135 22 วันที่ผ่านมา +1

      Wew ni tahila ata kuandika ujui😂😂😂

    • @evelynmwaimu-vd9jo
      @evelynmwaimu-vd9jo 22 วันที่ผ่านมา +1

      haki za watu siyo maendeleo!!?

    • @jamessiame5169
      @jamessiame5169 22 วันที่ผ่านมา +1

      Kuandika alijuwi ilo lisilo kuwa na akiri

    • @jamessiame5169
      @jamessiame5169 22 วันที่ผ่านมา

      Kuandika alijuwi ilo lisilo kuwa na akiri

  • @MmjhHgds
    @MmjhHgds 22 วันที่ผ่านมา

    Wamepita wengi wewe ni mdogo tu

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 21 วันที่ผ่านมา +1

    Wakili Mwambukusi unatetea mambo bila kujali kilicho nyuma ya pazia. Tafiti kwanza, ardhi ya asili ni ipi. Watu wamekuwa wakihama kulingana na uchumi. Wamasai Leo wako Songea na Rukwa, Sasa hiyo ni ardhi yao ya asili? Tanzania ni yetu wote na maslahi ya nchi ni juu ya maslahi ya mtu au kikundi. Chunguza kwanza walio nyuma ya pazia la huu mgogoro. Hivi hayo mamlaka unayapata wapi. Kuna vikao vya chama au ni feelings zako. Kuna chembechembe za udikteta kwa mbali, yaani ninachofikiri Mimi ndio sahihi 😢 Ngorongoro ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi na ni urithi wa dunia hivyo tuitunze kwa vizazi vya Sasa na vijavyo.

    • @nathanpallangyo5244
      @nathanpallangyo5244 21 วันที่ผ่านมา

      Kwa hiyo wewe unaona sawa wanavyofanyiwa Hamasaki siyo😮

    • @nathanpallangyo5244
      @nathanpallangyo5244 21 วันที่ผ่านมา

      Unafurahia mateso ya wamasai siyo?

    • @petersilas4234
      @petersilas4234 21 วันที่ผ่านมา

      Sifurahii ila najua kwamba pale ninapoishi yakigunduliwa mafuta itabidi nihame kwa maslahi ya uchumi mpana wa nchi yangu, na nitahama kwa kufuata Sheria na taratibu zilizowekwa. Ni wajibu wa Kila raia mwema, na Tanzania yote ni yetu.​@@nathanpallangyo5244

  • @mwalimulossilamsuya1944
    @mwalimulossilamsuya1944 22 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa binafsi simpendi.. Ni kama MPINZANI KATIKA KILA KITU... AMEUMBWA KUONA UBAYA TU.. PAMOJA NA KUWA NI WAKILI LAKINI NA AKILI ZANGU MBOVU NAAMINI UWEZO WAKE WA KUCHAMBUA MAMBO NI MDOGO SANA

    • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
      @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 22 วันที่ผ่านมา +4

      Kwanza we mwenyewe unajijua ubongo wako ni mudgo na nikweli akili yako ni fupi? Huwez tambua umhimu wa huyu jamaaa

    • @farajansekela5763
      @farajansekela5763 21 วันที่ผ่านมา

      Ilitakiwa ufilwe wewe ndio ungejua umuhimu wake,,

    • @JoelRichard-hj3bi
      @JoelRichard-hj3bi 20 วันที่ผ่านมา

      Kama una familia kweli iltakiwa wafilwe wote ndio ujue umuhimu wa Mwabukusi.

  • @jumanneratili9829
    @jumanneratili9829 22 วันที่ผ่านมา

    Mamlaka yapo kwa rais kuhusu arhi wewe unaongea nini soma katiba una njaa

    • @jacksonmboya5320
      @jacksonmboya5320 22 วันที่ผ่านมา

      😢 lete icho kifungu ucpanue domo Kama🍑

  • @dicksonlucumay4551
    @dicksonlucumay4551 20 วันที่ผ่านมา

    Piga hao majmbaz wakalamu

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter 22 วันที่ผ่านมา

    Tusimamie Sheria hii hii iliyozeheka.