NUH MZIWANDA X BEN POL - KITU NA BOX (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
- #NuhMziwanda #KituNaBox #BenPol #SlideDigital
(c) Slide Digital
Nuh Mziwanda Songs are Available WorldWide on All Digital Platforms
bfan.link/wonders
Follow Nuh Mziwanda
/ iam_mziwanda
www.facebook.c...
se...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
hiii bonge la ngoma sijawahi oonaa aisee kiukweli nisiwe mnafk i love this song nipo canada kitu kina hit balaaa kama wakubaliana na mm gonga like
This song is living 2023 n beyond may children in 2050 know this was a hit.
Bonge langoma mzee baba
Kama na ww hauna la kusema kwenye hii nyimbo ilivyo kali basi like apa
Nyimbo Kali Sana nuh safi Sana kaka komaa kwn Hakuna nyimbo ulioimba vbaya saluti sana mzee baba..
Imetisha ngoma kali
Tamu sana kama kuma yangu 🤣🤣🤣🤣
Daah mzigo uko powa...
Bonge la kazi ila basi ndio platform yake sio kubwa
kungekuwa na sehemu ya kulike zaidi ya mara moja, ningelike tena na tena hii nyimbo
Much love from Zambia
huu ndo mzki mzee baba kama unaniunga mkono gonga like hapa
Daaaah ngoma Kali🔥🔥🔥🔥🔥🔥kama unawakubali wote gonga like hapa
nice song. nuh & ben keep goin' up. kitu na box
#mgogo mwenzang Ben Paul umeua umemfunika mwanaume wa dar........nimeskia Ben Paul
Daaa fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wallah....hapa umeua mzee mkubwa ngoma naiangalia mara sita sita sichoki👏👏
Respect mzee kitu cha rdim ragger flava mzee,,, jamaica one blood
Ngoma kali sana
Nuh mziwa......
Usipotee
Kazi safi
Huu wimbo nimeusikiliza zaidi ya mara 10 na sichoki huu wimbo ni 🔥🔥💯💯
#Kama namuona Shilole anamuomba nuh mziwanda wakumbushie kwa sabab ya hii nyimbo😂😂😂 umetisha Sana mzee baba bonge moja la song
Ayoub Busanya lazma atamani kukumbushia😂😂😂
Ayoub Busanya weka comment kaa kimya ushaanza umbea wa kisenge tena humu
Nani mwengne anasikiliza huu wimbo ryt now???
Qaali sana
Powa sana kweli. Nuh ume jiongeza saaaaaaanaaa
HESHIMA ITAWALE KWA NUH MZIWANDAAA FT BEN POLL
niliizarau sana ila Kwa hii mziawana umekaza Sana'a ngoma kali
Umebadilika sanah kwenye hii ngoma ikopoa sanah endelea moto huuu
mabitoz wanawinda wachi,ba chumvi wanakujaaa mabitoz wanakuja nshaaachana na skendoooooooooooooooo...... Mombasa
who's here for BENPOL ?
2023 tupo nayo🔥
Benpol msanii pekee anayeongoza kwa kolabo bongo kwa ss kma unakubaliana na mm piga like hpo....#pierre99
Ngoma ilitoka niko chuo first year nililiskiza san nikiwa narud apprrtment daaah those days
nimechelewa2 kukoment ngomaimekaa. Kizazisana.
Ngoma kali sana, naamin itafika mbal sana👊👊
Hii inaitwa kiboko kabisa safi na baba kanya 💪💪💪💪
Mzee baba huwa na Imani xana Juu yako full respect Bablai
Bonge ngomaaa kaka we nomaaaa
daaah...tofauti sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 254 representing
Ebhnaaa ngoma kaliii iii n Nouma labd n mamb ya nyota tuuu!!! Iiii ya kipekeee kbxaaa
umebadikika umefanya poaa sana bru
Ngoma Kali sana nuh kazi mzuri
keep going niggaa nimekubar...🏹💰💰💴
Nimekubali kweli umeachana na skendo
Nuh mzuwanda mziki anajua Sana big up
This song deserve remix with any reggae artists
Kaazi nzuri sanaaaa mnyamaaaa
Beuty song i like it ben paul umeaua dingi,nuh salute kwako
kaliiiii kinyama mzee baba
Kumbe shishi alikuwa anaficha Kipaji chako bro... nyimbo Iko good
Nuh kama nuh ngoma nzuri sana
Safi, bonge la ngoma. kama DJ, naona jinsi watu watavyokuwa wanaruka na hiii Dude
Woyooooooooooo ikibamba wapi nduruuuuuuu
Dancehall ya kizazi sana hapo mwanzoni aiseee
Still hit 2024
Kitu konki kabisa ni 🔥🔥🔥🔥🔥
ngoma kali mwanangu umebadilika
MWENDO HUHUUUU NDIO SAFI DOGO NUH
Kalii 254 inatishaaaaaaaaaa
Bt video umezngua ila nymb kali snaaaa
Ben umeua sna yan n hiv 🔥🔥🔥🔥🔥
watanzania tuna vpaji vikali sanaa
Umeshinda sana humu mzazi kaza nakukubali
Ngoma kalii kiukweli ben pol kaua
ngoma Kali sana iko kizazi sana
nuh sikujui ila Leo nimekujuwa jmn umetisha
big up san ngoma imetulia
hiii sindano imepenyaa kazi nzurii
Santaaaaa mumeweza.
Good song #mziwanda cool man, haichoshi kuitizama na kuisikiliza best song kwangu Mimi kutoka kwako ukiiacha jike shupa keep it up #kazaaa
Hawa wasanii wetu bana diamond anakopy Nigeria hawa nao wanakopi Kwa diamond
toka bariadi simiyu nawamini wote
daaa kumbe ngoma qalii kinyama
nashngaa haiko on trending wakt gomaa kaliii
Ngoma kali #nuhmziwandabenpol❤❤
Iko poa sana nimekubali mkali
Ngoma Kali sana hongera.
nyimbo kali sana kaka sema support ndogo hii ngoma na asume ingetokea under wasafi label saiv ingekuwa 5M.....Kaka track kali sana amin
WOW!!!!!!!! Am short of words this combiantion is an overdoze ,
Qali sna hii ngoma
Nasema iv UMETISHA MZEIYAAAAAA
umekujaa kvngnee bro saluteee
Kama unamkubali Hawa Jamaa gonga like hapa
Mmetisha sanaa
Wayaaaaaaaa=/Gd Gd Sana aaaaaaaa
Deo longine Deo longine ila,,,ben,pol,,ajafanya,,powa,,sanaaa,kwa,,,audio,maneno,yaki,
ground. sanaa alio. yatumiaaa wakta. song,,ni. fire firee fireee
nc
Umeua bro ngoma fire
Hakika benpol yupo safi
Nice big up ngoma kali San
Gonga like hapa kama umeupenda huu wimbo
nimeipenda
Dogo ,,lol,,,hukoseagi
umejitahidi Bob chuma kikaliiiiii
Fire... Piga kazi Nuh...
Goooooooooo mziwandaaaaaa goooooooooo
Hiii nyimbo kubwa sana asee
Safi kijana
Ngoma Kali kushinda video
apa team kiba damu nuh ziwanda umetisha sana
HII KALI SANA.. #NJOMBEboy #MZIWANDA
Kitu Kali ume change mzee baba.....so appreciating dis
wimbo mzuri good job
masssiveeee.... biiiig tuneeee
Unajuwa kk njoo na mwendo uwo uwoo kk
Umekuwa one love bro
kaz nzuriii dingii
Nyimboo kaliiiio kushinda shishi chilly
Bro hapa respect kwenye hii ngoma
Ngoma Kali sanaaa
Hakika nyimbo hii wameitendea hak kwa kila kitu
Yaan ivo nyimbo inavyoanza Hapo mwanzo tu Narudia mara km zote cjui ni kijamaica vile