duuuu!!huu wimbo unanishibisha hata kama sijala, unatibu maralia, unatibu kisukari, unaondoa mikosi na baraa za hatari napia unaongeza furaha ndani ya familia, hongera Nuhu
Kazi nzuri Nuh ,kuanzia kwenye uandishi,vocal,video mpaka beat,its a fully package ,watasikia tu,mziki mzuri hauitaji kiki kufika mjini,utachelewa lkn utawafikia wa mjini
Tulio kuja hapa baada ya kumuona mtandaon tujuane hapa😢😢😢
Tuliosikiliza 2024 tujuane
Nuh hapa umeimba hili gomaa halichuji paka kiama walah tena!!
Gosh, searched for this song for like 3 years now😢 finally 😍🌹
Nuh anajua sana
Mwanangu kaz
Jaman Nuh mziwanda uko wp??umepotea😭😭😭♥️♥️♥️
Naupenda sana nyimbo hii unanikumbusha mbali sana nikitoka Kwa mchumba wangu
Ukiskiliza mpaka mwaka 2028 nipeni like
😂😂so kwa ubaya bd upo nae
Brother imewenza
Jamani napenda sana huu wimbo
I find myself here 24 August, 2023
I think will be Forever,
I belong here ,
Hatali saana
But let's say this Talent 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤
🤝🏼
huu wimbo unanikumbusha bint ambae nilimpenda toka nikiwa sekondari ihanamilo geita mhoja zazalaza❤
Kizazi sana 👊
Wimbo mtamu tujuane ambao tunatamani siku moja tuolewe na tumelemete
Big up Man wimbo ikom poa.....imetuliaa na ni tamu kusikiliza.....
duuuh!!! bro hiyo nyimbo very nice, hongera snaaaa!!!!
Nice song
Naikubali sana hii song weeeh acha 2.i really appreciate this song big up Nuh.yaaani naona 2 vnye unafeel huo wimbo hta mm naifil 2.
duuuu!!huu wimbo unanishibisha hata kama sijala, unatibu maralia, unatibu kisukari, unaondoa mikosi na baraa za hatari napia unaongeza furaha ndani ya familia, hongera Nuhu
Congratulations Nuh mziwanda kwa kazi safi.waoooh anameremeta mtoto.
nuhu jamn...kinymbo kinachoma ad kweny blood vessels...lov t thnaaa yaaan cchok kuckiliza daah big up ...
big up nuh mziwanda umetisha sana
hongera sana kijana song limetulia mnoooooooo mpaka Lina keraaaaaa
Wimbo mzuri sana. Keep it up bro
ukopoa can bro
bado tunalikumbuka
Daa aisee toangoma baba umetisha hapa sana kila saa naisikilizia sana
Uliua ase❤❤ rudia kama huu
umetisha baba video queen mzuri wewe Ndio kabisa mmeendana keep it up aseeeeeeee haikuhitaji madancer hapo nyie wenyewe mlitosha kabisa
kweli wimbo mzuri na utapigwa sana kwenye maharusi
Yaan mm napendea tu ,Nitunzie penzi langu mamaaaa maliza ni mengi ooo
respect bro una sautiiii hatari watu hawajui kipaji chako but kuna vitu unani angusha mze kazaaaaaaa
big up ngoma kari kinyama na mapozee ndo zako anamelemeta
wimbo mxur sana nakupa big up nuh mzwnda uko poa sana inaujumbe na ina hisia za juu katika upendo Mungu akupe zaid
nakupendaga tooo,yni unajua achana nawpanga mkaa
nuhu mweee utaniuaaaaa.....tumbojoto wamevimba atiii simooo
nuh mziwanda huko wimbo unahiti sana pandehizi hauchachi babu
Wow! huu wimbo unakosha sana roho.....jamaa amewika kimya kimya, big up sana!!!!
Ruth Isaac unaonaje
shida zetu zenyewe tunazijua!!!!congz
anameremeta imenikosha Sana😍😍😍😍nice one
waoo nyimbo nzur ,vidio hatareee big up mziwanda
wimbo mzuri sana ....salute Nuh mziwanda
big up nuh mziwanda💪
shida zetu tunazjuaaaa safiiiii sanaaaaa ongeza juhudiiiii
Nuh napenda nyimbo zake anaimba sana ngoma kali huchoki kuskiliza 2023 🔥🔥💕✌️
🤝🏼
2024 listening from Tabora
From nzega 2024
Safi saaana Nuhu mziwanda We mkali sana
Huu wimbo naupenda sana❤❤❤❤
nuh ww ni hatari nyimbo hii nimeipenda xn mungu azidi kukupandizia kipaji chako
iwe special kwa mke wako nuh na muwe na maisha yafuraha
Nuhu ngoma nzuri na sauti why usiwe rockstar ,mungu akuzidishie upeo zaidi nikuone CNN
Wimbo mzuri hongereni San wafunga harusi
aisee umetisha buu anameremete ni nomaaaa
kaka video kali. congrats
Hii mziki nizaidi ya ngoma❤❤❤❤
Hatariii Sana hii ngoma
wimbo huuu naupenda hatari unanikumbusha siku ya harusi yangu
Hongera kwa kufunga ndoa
Ata mim nakubuka harus ya dad yangu nakubukia kweli
Hongera
ase huu wimbo siuchokaki hongera sana maana haujawahi achwa kila harusi ninayohudhulia lazima kapigwe
mwimbo hu unapendeswa watu kijiini kilimanjoro ndio nahuko upareni na rombo wanapenda kufunga ndoa kweli wimbo msuri kasabuti boss
nyimbo nzuri sana sema ndio hivo usimamizi shida lkn uko juu jmni uko vizuri nuh
iyo nyimbo inanikunaaaaaaaa,,,,Hongera Nuhu Mziwanda
Kweli kabisa
We nuh ulipoterega wap bhn
Wimbo mzuuur mno, big up nuh
ninayisikiliza vizuli kweli.OOoooh!!!!muziki nzuli sanaaaaaaaaaaa
Nyie Nyie Love is beautiful.... #corby4rever ❤️🔗
Kazi nzuri Nuh ,kuanzia kwenye uandishi,vocal,video mpaka beat,its a fully package ,watasikia tu,mziki mzuri hauitaji kiki kufika mjini,utachelewa lkn utawafikia wa mjini
Handsome boy hatare sana
Napend San nyimb zakee🎉🎉🎉🎉🎉
Ngoma kali sana miaka10000🎉🎉🎉
Nomaaa sanaaa❤❤
nice bro nuh
Nimekuja tenaa wimbo wangu boraa
Mwenzako kamoyo kangu kadogo 💝💝💝💝💔
Nyimbo nzuri sana, umetisha baba!
The song inspiring so much...... Nakaribia pia kuitwa baba.... So kananipa moyo sana nag kunifanya nimpende Mkewangu sana
My favourite song nuh bigup sana Egypt tunakupenda sana
Great job 👍
Niko nay ty hiii
Senkyuuuu mbenaaa uko vizurii
safi sana nashindwa Hata Fanya Nazi anameee
hatariiiiiiiiiiii kazuriiiiiiiiiiiiiiii kanyimboooooooooooooooo bombaaaaaaaa lakini huyo video qun nguo haikushaka matiti vizuri nuhmziwandaaaaa
Nyimbo zuri sana tena sana
mushaishiwa mistari ss ilobaki mwatwaa nyimbo zakanisani mukibadilisha !!!! chefuuuuuu
Tunaeangalia hii nyimbo 2023 tujuane kwa like hapa ❤❤❤❤❤❤
nyimbo iko poa ila huyo video queen sijamwelewa bora ungemweka hata mkewe tu ila ngoma iko poa sana big up
Kanyimbo kazuri sana big up😕😕😕😕😍😍
madem wa bongo kila mmoja na bonge la tako ,bongo bila tako wewe si dem anyway am Sudanese sielewi swahili vizuri good work Nuh Mziwanda
Josephine Andeso nimekupenda bure
hahaa what's the meaning of nimekupenda bure
You wise woman(girl) i love 4 u free..
Habby Mangata oooh really thank you
Josephine Andeso ...Yes thanks ..Hav a nice day!!!!!
Uko vizuri kakangu
Wakenya msije jamni maana mkija mtatuchamba yakutosha😂😂
Wimbo ulipigwa kwa harusi yangu was so amazing
nice song god bless you mziwanda
comment langu la kwanza kwa nuh mziwanda,kipofu hao,kiziwi hasikiii du noooouuumaaa
Hong era muziwanda nakupendaga sana
daaa Tanzania kuna vipaji sana nuhu uko poa sana unamelemeta.
hongera kwakupata mtoto ilajina lake sio zuri kanya jina gani hilo, ila ngoma poaw sana
Shuweha Haruna Omari Ikwena 😃😃😃😃
Shuweha Haruna Omari Ikwena Nailah
+Shyne Platnumz poaw sana
Saida kaloli
Bravo NUHU
Wabongo makocha, wabongo madirector, wabongo kila kitu kwa iyo nuh we yasikufelishe
Ah saf sana
Wajinga sana
hii ndio bongo kasura kake kazur anamelemetaaaaaa suti na shera duh Bonge LA nyimbo twende kwa king tukakisanue nuh mpaka wcb wakubal
kiukweli wimbo mzuri sana yaani mpaka siuchoki kuusikiliza,japo vidio fupi sana natamani iongezwe tena
kenedy muganyizi fupi tam ndefu inakera..
Bonge la nyimbooooo
l like it
bigup nuh
John George fr
Nic Nuh...