Hongera kipenzi nimejifunza vingi kutoka kwako hongera sana .wapenzi tujifunze unapotaka kufanya kitu angalia mwisho wake na pia usipuuze mawazo ya mtu na lait anachozungumza huyu dada tungekua watanzania tunajiamini na pia kuwa na watu wanaotusikiliza ña kutusapoti basi tungekuwa mbali wengi sana
Niko na mshangao kwenye part one ya hi video watu wametoa hate coments part two naona love coments congrats girl wangap wanadanga tu na kwao pesa ipo it takes a strong soul to get it on ur own
Mungu akuhifadhi ndugu yangu. Amin. Sasa jamaa... mjuwe hupati mafanikiyo bure bure lazima upambane kwenye maisha. Msione watu wana PESA wametoka mbali.
Huyu dada acha kabisa ..mbunge msukuma atasubili sana ....huyu dada kichwa sana, huyu haolewi na kanyaboya kanyaboya tu..mwenye kutaka kumuoa huyu heee ajichunguze sana kwanza .huyu ataoa siyo kuolewa
Tungekuwa tunapta klip nying za namnahii huenda vijna tungefokas ktk mambow ya msng kuliko hzo klip za kina Wema sepetu,,hta suara la kutaka kuajiliwa tusingezskia jama ilivo sasa
Anamjua mungu lakini nywele wazii ili ni kosa kwa mungu na munajua uchi wa mwanamke unaanza wapi jamani?!...abadilike mungu amzdishiee lakini nywele asiaje wazi
Ndugu zangu Mimi ni kijana mwenzenu mpambanaji naombeni kutazama video yangu kwa kugusa picha yangu I hope utaenjoy nakuomba u subscribe Ahsanteni sana
Nasabu ya mtume kucha km hizo nywele wazi then umetia mkia wa farasi htr jmn tuache kujinasabish na mtume wey sema tu km umepata rangi ya mtume sio nasabu alf jmn pls someni huyu muachen ajitajirishe kw pesa ya baba ake mn hiii kali kucha km jini alf ahhh tunamkosea mungu jmn
So umeacha shule bc ilikuwa mbali na nyumbani. Lakini sasa hivi una business yako mjini karibu na shule 😂🤣😂😆. Napita tuu. Hongera na business zuri. My papa no Ndangote or Adeleke but I will be okay OoO
Wapo watoto wengi tu wa matajiri lakni hawana akili hizi..yan wazembe tena ndo wanafuja mali za wazazi..lkn huyu kaenda extra mile kuweza kujiamjni na kutumia mali za wazazi wake vizuri..hongera saana
Huyu Dada mungu ampe maisha marefu ameniinspire hata mm mtoto wa kiume more life to you
Nafurahi sana nikiona wasichana wenzetu wanajitambua kama hv wanamaendeleo am so proud of u mungu akusimamie ufike mbali zaidi
This girl is really focused , I wish many more young girls would borrow a leaf from her book instead of depending on sponsors for money.
She's my new inspiration God protect her
One can see how one is intelligent from juss how one speaks and make conversation..this lady is truly intelligent! Mungu aendelee kukusimamia🙏🏻
Hongera sana mdogo wangu endelea kupambana maisha hayatabiriki kuna leo na kesho yetu hatuijui
,9¥
Mashallah Mashallah M.mungu Azidi kukubariki ziada nimependa sana huyu Bint ni MCHAPAKAZI
May Allah fulfill your dreams...am so excited to hear you looking after the orphans...always more and more blessing keep it up😎😎😎✌️
SAFI SANA DADA, WANAWAKE TUJITUME SIO KUNGOJEA KUPEWA AU KUDANGA
Kabisa
Hongera kipenzi nimejifunza vingi kutoka kwako hongera sana .wapenzi tujifunze unapotaka kufanya kitu angalia mwisho wake na pia usipuuze mawazo ya mtu na lait anachozungumza huyu dada tungekua watanzania tunajiamini na pia kuwa na watu wanaotusikiliza ña kutusapoti basi tungekuwa mbali wengi sana
Nimependa story yako,una roho nzuri that's why unafanikiwa nakuombea zaidi
MashaAllah MashaAllah MashaAllah...TabaraqaAllah, Genius❤
Great inspiration. You have inspired many. You have sent me back to my talent.
Hongera sana lkn umezikuta hela nyumbn ungekutana na sisi baba na mama shambani kulima ungesubiri kdg
Allah akuongoze saana, japo upande wa ddini na stara pia muhimu
Kaahaaanza kuachia nywele nusu maakini
MashaAllah MashaAllah
Asbiallahu waneghmal wakel
Allahu Barik bint 🤲🏿
Umeni inspire sana MashaAllah 😍😍😍♥️
Watu msijifananishe n uyu muamala uliisha soma ndomaana akaacha shule kwao Ella ilikuepo n utajir akaona shule inampotezea muda
Haswaaaa
@@aminahassanmashaallah8983 kweli kabisa
Kweliii
Kwelii
Kabisa
Na muomba Mwenyezi Mungu azidi kukufungulia milango ya kheri na mafanikio zaidi.
Masha Allah,God bless you. Congratulation sister
Masha Allah Masha Allah Masha Allah Masha Allah mungu aku ungee mkono dada baraka Allah
Mashaa allah ila jitahidi kujifunga vizuri mtandio ili nywele zisionekane dada yetu
Mungu akisaindi dada uendelea kuwasaidia watu
Dada hongera sana kwa interview yako umeimsha nilikuwa nimell.Akieamshwa kama mm like hapa chini kama mm👇
Congratulations girl and blessings
Mungu akusimamie dada nimekupenda nimependa mdimamo wako
Niko na mshangao kwenye part one ya hi video watu wametoa hate coments part two naona love coments congrats girl wangap wanadanga tu na kwao pesa ipo it takes a strong soul to get it on ur own
Mshlh keep it up sis Allah ibarik fik
Mungu akuhifadhi ndugu yangu. Amin. Sasa jamaa... mjuwe hupati mafanikiyo bure bure lazima upambane kwenye maisha. Msione watu wana PESA wametoka mbali.
MashaAllah jazzakallahu kher dada
Very smart girl!
Hongera sana mdogo wangu imeni inspire sana nitapambana bila kukata tamaa
MIMI NAMPONGEZA MAASHAALLAAH NA NATAMANI KUPATA MKE KAMA YEYE..
Mashallah honger she bless 🙏 ❤
Love you sister sooo much kwa ukakamavu wako n kujiamini
Mashaa Allah amazing hardworking lady mabrook
Mashaallah hakusoma kihivyo lakini anaakili Sana Sana
Masha Allah Allah akuzidishia
Mashaallah Allah akujalie kheri Zena natamani nikuone maybe unisaidie mawazo
yes nimependa ya kwamba hana rafiki wala shoga.nimepensa sana
Sikulaumu na maugali yao
Huyu dada acha kabisa ..mbunge msukuma atasubili sana ....huyu dada kichwa sana, huyu haolewi na kanyaboya kanyaboya tu..mwenye kutaka kumuoa huyu heee ajichunguze sana kwanza .huyu ataoa siyo kuolewa
Mashaa Allah mashaa Allah
Tungekuwa tunapta klip nying za namnahii huenda vijna tungefokas ktk mambow ya msng kuliko hzo klip za kina Wema sepetu,,hta suara la kutaka kuajiliwa tusingezskia jama ilivo sasa
eeh mungu nisaidie na mm🙏🏿🙏🏿
congrats mamy allah atuongoze sote tunaotaka kufanikiwa kwa kheri
Very confident yaan AF ni wakishua ....na ugali hajui kupika
Do you have any of Royal cards in Kenya or similar to that.
Ongera sana mdogo wangu mungu azidi kukuongezea
MashaaAllah
Nilitakaga kumuoa aisee sema sikuwa myemen.... saivi ningekuwa mkwe wa scaba scuba.
Cheka kwa Afya we
Huyu binti anaonesha atakua na future nzuri sana ikifanikiwa kufungua chuo cha bekary.
Hongera Sana dada umeweza
Maashaallaah 👏👏👏
Nimejifunza kitu
𝐌𝐚𝐥𝐢𝐤𝐢𝐚 𝐰𝐚 𝐧𝐠𝐮𝐯𝐮
Mtoto wa Skabah huyo, pesa hipo kwao
Nmependa hapo kujingea 👍
Ni kweli kabisa Maneno unayo. Sema
Big up zena sharif 😍
Sijui akili kapata wapi huyu mtoto😍😍😍
hata mm bado nawaza"maana mdogo kweli.Maa shaa ALLAH lkn tuseme tu hivoo ndo kubwa inavo takiwa
Anamjua mungu lakini nywele wazii ili ni kosa kwa mungu na munajua uchi wa mwanamke unaanza wapi jamani?!...abadilike mungu amzdishiee lakini nywele asiaje wazi
Nahitaj ushaur wako dadaa ntakupataje
Nimependa mawazo yako. Hata na mimi napenda kujituma safi sana
Nimembenda sana huyu bint bahati mbaya hapendi rafiki
Nadhani hapendi hana na hapendani na bf
Huyu nimwalim wa masomo ya biashara nanimbunifu kinoma alitakiwa apate kipindi chuo kikuu
Looking nice
Sasa ndugu mtangazaji mmesema huyu Dada ni Tajiri mbona hujatuambia unamiliki utajiri wa Milioni ngapi au bilioni????.
Embu nisaidie kumuuliza.
Tajiri awe yy huyo hajapty changamoto yyt ahh some time wanaujingahh
Mashaallah
Big up keep it
Umenipa moyo wakujituma🌹
Kwanzia mtangazaji Hadi huyu Dada wote wamejielezea vzr na wanaongea vzr mno
👏👏👏 kila la kher
Mmbongo amfanyie mdada Interview bila kumuuliza umeolewa, upo kwenye mahusiano! Kama swali hilo halijaulizwa ujue sio mbongo!
Wanapenda kuuliza vitu visivyojenga
@@samsonkivuyo9548 sababu ikili zao ni wanawake tuu
Congratulation
Ndivyo inavyo takiwa sababu mambo ya kum tegemea mzazi no kitu kibaya bora kuji tegemea
Mmmmmh qur an uko kichwa wazi mmmh
Mmmhh
Nice
Hongera lkn hii n PESA ya home ijapo umetumia akili lkn
dah ila watu mna nongwa jmn😂
@@evancenicholaus7739 mm sijasema kwaubya lkn support kubwa niya babake lkn yy mwenyewe alitumia akili wangekua wengine wangezila viazi😂😂😂
Me naona mapicha picha tu hv huyu anajihusisha na nn eti
Huyu ndo akija kuwa millionaire atajiita self made wakati kila kitu kapewa na baba
Ada ya watoto yatima ikoje
Maasha Allah
Asha Olewa au
Naomba number yako sister au email address yako please
vp hajaolewa
Kama wakenya tutakupata wapi
Wakenya mnapenda sana story za TZ.Karibu sana
Ndugu zangu Mimi ni kijana mwenzenu mpambanaji naombeni kutazama video yangu kwa kugusa picha yangu I hope utaenjoy nakuomba u subscribe Ahsanteni sana
th-cam.com/video/vUHJ5D9TJus/w-d-xo.html
👆👆👆👆👆👆
Lifahamu Kabila la DANI Kabila katili 😭ambalo ukifiwa unakatwa vidole 😳kisha vinazikwa na mwili wa marehemu 😭
kuna kitu umesahau kumuuliza. vp swala la ndoa
𝐃𝐚𝐡! 𝐧𝐚𝐡𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐢𝐲𝐨 𝐋𝐎𝐘𝐋𝐓 𝐂𝐀𝐑𝐃 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐳𝐢 𝐲𝐚 𝐨𝐧𝐥𝐢𝐧𝐞 𝐢𝐥𝐚 𝐬𝐚𝐬𝐚 𝐧𝐚𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐢𝐩𝐚𝐭𝐚𝐣𝐞 𝐦𝐢𝐦𝐢 𝐧𝐢𝐥𝐢𝐞𝐤𝐨 𝐦𝐛𝐚𝐥𝐢 𝐧𝐚 𝐝𝐬𝐦?... 𝐧𝐢𝐩𝐨 𝐛𝐤𝐛.
Mkuu hujui kuhoji. Mpaka hapa umehoji lkn msikilizaji na mtazamaji haelewi hiyo biashara ni ipi, rangi za kucha? Kuta? Wali?
Nasabu ya mtume kucha km hizo nywele wazi then umetia mkia wa farasi htr jmn tuache kujinasabish na mtume wey sema tu km umepata rangi ya mtume sio nasabu alf jmn pls someni huyu muachen ajitajirishe kw pesa ya baba ake mn hiii kali kucha km jini alf ahhh tunamkosea mungu jmn
Like seriously
So umeacha shule bc ilikuwa mbali na nyumbani. Lakini sasa hivi una business yako mjini karibu na shule 😂🤣😂😆. Napita tuu. Hongera na business zuri. My papa no Ndangote or Adeleke but I will be okay OoO
Mungu akuzidishie
H
SIKILIZA WIMBO WA TANASHA DONA ULIODAIWA UMEIBWA NA ZUCHU th-cam.com/video/UEBnT7gV04Y/w-d-xo.html
Naomba mnieleweshe kaz ya uyu Dada sijaijua kaz yake nieleweshen wadau
Mfanyabiashara
Hahahahha Anna loth unanitowa mbavu sawa tunajua kuwa ni mfanyabiashara lakini uyo aliokuuliza alikuwa anataka kujua anafanya biashara gani?
Dizaya🤣🤣🤣🤣
Interior designer
Kujisifia nd kaz yake mn han moja apo
Wapo watoto wengi tu wa matajiri lakni hawana akili hizi..yan wazembe tena ndo wanafuja mali za wazazi..lkn huyu kaenda extra mile kuweza kujiamjni na kutumia mali za wazazi wake vizuri..hongera saana
cyo za wazazi wake,za kwake hakuna hata senti ya babaake hapo,kama umemsikiliza vzuri.
Mashallah
Anaakili sn uyu dada nimempenda bure❤
Huyu mtoto ni genius
Mbali na nia aliyokuwa nayo ila connection alikuwa nayo ya kuanzia ndio mana yupo hapo alipo. Mashaallaa mwenyezi mungu amuongezee