NAKUOMBEA BY BISHOP ERICK-KISINDJA FT MARTHA MWAIPAJA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
- NAKUOMBEA NI WIMBO AMBAO TUMEIMBA KWA AJILI YA KUOMBEA WENGINE ILI MUNGU HAWAFANYIKISHE NA KUWAINUWA WENGINE NA KUALINDA PIA KUWAFARIJI WENGINE WANAOPITIA CHANGA MOTO MBALIMBALI.TENA NA MUSHUKURU MUNGU KWA KUTUWEZESHA KUKAMILISHA HUDUMA HII.
#erickkisindja #marthamwaipaja #nakuombea
Kama unasema matha hajawah kukosea gonga like apa , hallelujaaaah
Dada Mungu akubariki saaana! Uzidi kuinua injili yaBwana.
Yuko ok
Duniani hakuna apendwaye akiwa na taabu.Hata wasipokutazama MUNGU ni wa wote atakuinuwa tena.Kama umebarikiwa na hawa watumishi wa Mungu gongeni likes hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hakuna atakaye kupenda lakini mungu hatuachi
Amen hongereni sana watumishi wa MUNGU kwa kazi nzuri sana
another good artist mwaisumo ..God bless you
Ni ukweli wakati wa shida watu hutoroka lakini Mungu anabaki kuwa Mungu katika maisha yetu
Drop hear your namba sr mwaisumo
Ameeen MUNGU NI MWAMINIFU kwetu wote
Amen asante Sana Kwa baraka
The Love I have for this amazing woman of God is on another level . You're annointed Martha
GpG AFRICA GROUP OF MUSIC CEO on it now .. kazi nzuri
Asante Sana
Martha you are the real definition of beauty. Blessed with beauty and voice 🤩.from Kenya, i say, you are the best.
Amen amen watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nawapenda watumishi wa Mungu awape nguvu na miaka mingi mtume message kwa wengi
Wimbo wa mwaka 2020 ni wakwetu MUNGU 💘🔥🔥🔥💞💞💞
Amen Amen
Wimbo mzuri sana,,,,Mungu aendelee kuwatumia Amina🙏🙏🙏🙏
Bro erickoo ....kitu safiiiii .gotea Martha kazi poa sana
i play, rewind, rewind and replay.....this song just blesses me.
I feel releaved when i hear her songs God be praised..
Who is here 2022 after one year? the song still ministers into my heart
Amen barikiwa Sana dear
I just came across it a few days ago.
Mungu mwema kila wakati, barikiwa dada Martha, penda sana wewe, nyimbo zako huwa zinanifariji sana.
Amen Amen
Mama Martha, you are such a blessing to my soul, especially when am passing through hard time,May God protect you and add you more years and knowledge to continue blessing our soul,am🙏🙏🙏
Amen
Martha mwaipaja every collabo you do is fire your anointed mum to raise new talent ndio maana na kupenda
Rudicitizen.tenamartha...nyimbozako.zina.encarege2.sana.....ukifanyakolabo.namtu.nilazihit.aaaaaaaaaaa.ubarikiweeee.amen
Amen Amen
Kama si baraka, jameni hii ni nini? Martha kabarikiwa kweli.
Mungu anaenua nami aniinue anibariki maana ni mwaminifu amen
Amen.vumilia Tu na umwachie Mungu mda ukifika utainulia dear
Martha u are a definition of beauty🌷🌷🌷🌷be blessed dadaaa and u are annoited woman
Amen Amen
This song, waaa, i have been almost everywhere in youtube looking for it. thank you Martha and Bishop
Asante pia zidi kubarikia
Nazidi kubarikiiwa Sana na huu wimbo barikiwa Sana Bishop
Amen..nimepokea katika jina la Yesu..
Amen
Marha anaimba uhalisia jmn Mungu akuweke hai na uzima tele ❤❤❤❤
Wimbo wa mwaka2020
Kabisaaa
Amen Amen
Nakubali sana nyimbo zako martha
Amen Amen Barikiwa Sana ndugu
Hi Martha we umebarikiwa kweli,we all loves you
Nita songa mbele napenda na Mungu wa Kwetu
Amen songa mbele Mungu ni wetu sote
Nabarikiwa sana na hii nyimbo dada matha love u so much
Amen zidi kubarikia mpendwa
26 DECEMBER THIS YEAR karibu kenya wapendwa nipo na uzinduzi
Amen
Wimbo Bora wa mwaka 2020nasikiliza bila kuchoka.niwakwetu Mungu ni wa kwetu Baba mwenye rehema na fadhili hatatubariki.
Ubarikiwe.sanaa.kwa.maneno.mazuri
Asante Sana Kwa baraka
Nakuombea Nimebarikiwa Sana
Amen Amen
Yaani ua song ama any colab is just safi sana,4 sure weneva am stressed ap i must listen 2 ua songs n' thy stress free my mind.Nasidisha kuni ili huu moto uzidi kuwaka moo n' moo.
Amen Amen
From. tiktok, upendo wa kweli niwa Mungu pekee, God bless brother and sister Martha 🙏🏿
Amen
We really love your songs martha listening to it just makes my day
Amen
I love this song
Amen Amen
Wimbo mzuri. Hongera watumishi wa Mungu.
Amen na Asante Sana ndugu
I lyke the verse unapendwa rafiki yangu wala usirudi nyuma, martha mwaipajaa,, good song, Mungu awainue pia
Amen Amen
Nakuombea my dr husband safari yko y kwenda abroad iwe salamu na baraka tele unapofika huko...Mahali utakapokanyaka akupe kipali na akufanikishe...all the best
Thank you
Unaimba vzr Bishop Erick Mungu AKUTUNZE
Asanti Sana my dear
Asanti Sana my dear
Jambo dada miimbo yako Ina nifaridji Sana mingi Aku bariki na weye pia
Amina kubwa
Ubarikiwe Sana Pastor Mungu akubariki Sana,
Wimbo mzuli mungu akutunze sana🙏🙏
Asante Sana
Very amazing song may God bless you martha
Thank you so much
🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ l love you so much wimbo mzuri nime guswa
Amen zidi kubarikiwa mpendwa
Nnavyopenda huu wimbo... 🎼💃💃
Amen mpendwa zidi kubarikiwa nakuombea mwaka huu Mungu wangu akuuinue ni kiroho na kimwili
@@erickkisindja2670 Mungu Mwenyezi awazidishie Mafuta Makuu,Uzima Na Baraka kwa ajili yetu wote.. Kwako Wewe Na Dada Mtumishi.. 🙏🙏.
Kweli mungu ni wa ajabu c kama mwanadamu 🙏🙏🙏☺☺
Amina
Nakupenda sana da matha mungu akupe miaka mingi
Amen Amen nakupenda pia
Such a blessing song, keep it up mr. Erick
Thank you so much my brother
Ni wa kwetu mungu.... atatufanikisha!
Amen Amen
Ni WA kwetu MUNGU mwenye REHEMA na FADHILI ATATUBARIKI
This is great Mr. AYUBU@ ERIC and MARTHA
Amen Amen
Mungu anikumbuke na mimi,mubarikiwe mungu azidi kumpa kipaji Cha kuimba
Amen,atakubarikia dear Kua na Imani ma yeye Tu.
Aki you never disappoint martha,,your music heals my soul,,may God bless you more
Waooo nilijua ni Mr & Mrs,ila mmependeza sana hongerni sana
Asante Sana
Amen Mungu akubaliki sana wimbo mzuli sana janani
Amina kubwa na Asante Sana Kwa baraka
Amina
Nyimbo zur sana watumishi pia mm naimba naombeni support yenu
Amen Amen usijali utasapotia
I am really blessed 🙏🙏🙇♀️
Amen Amen
Ndio nimeujua huu wimbo jamani,🙏
Amen Amen
Asantee Mungu nifanikishe unilinde👏👏💃💃💃🙏🙏🙏
Amen Dada akika Mungu akufanikishe pia akulinde
Nyimbo zako huwa zinanipa faraja sana
Amina kubwa kipenzi
Amina, kazi zuri sana ujube mzuri kabisa ubarikiwe dada
Amina mpendwa
Amen hinyimbo inanihariki sana
Amen
Mbarikiwe kwa hiyo huduma
Kazi safi..na Mungu azidi kuwainua katika Huduma yenu..Amen.
Kazi nzuri Sana My Kaka
Asante Sana Dadangu
Amen Martha ubarikwe sana am blessed kupitia your songs 🙏🙏🙏
Barikiwa saana kakangu na Dada Martha mwaipaja
kazi nzuri sana Mungu awabariki
I have played this song countless times,,,great song, God bless you 🙏 watumishi
Amen Amen asante Sana Kwa baraka
@@erickkisindja2670 welcome 🙏🙏
Amina.Napokea katika Jina kuu la YESU KRISTO.
Nashukuru.MUNGU awabariki pia.
Amen amen this song is so amazing 👌nimebarikiwa sana MUNGU awape nguvu watumishi wa MUNGU
Amen Amen
Am in love with it ❤❤🔥🔥💯💯💯
Amen Amen
Keep it up Bishop Erick
Amen
Such a great piece of music. Am a big fun of Martha. This song is great and very spiritual
Amen Amen
Nice song. Keep up the good work Martha. I love your songs plus your are very beautiful and humble ❤❤👍👍🙏🙏
Asante Sana,barikiwa
Mungu akubariki sana Bishop
Asante sana mungu awabariki kwa ujumbe mzuri
Mungu nitangulie maishani kwangu Nami pia unibariki🙏🙏
Amen Amen nakuombea Mungu akulinde akufanikishe pia akuinue Kwa kila ulifanyalo
Huu wimbo ni mtamu Sana asante yesu kristo
Praying for my ex husband,,Mungu amtetee maana tamaa imeangusha wengi😢😢
Amen tutaomba na Mungu wetu atasikia usijali.
Amen amen mungu atungumbuke kaka n Kali sana tume barikiwa 🙏🙏🙏🙏🙏
Amen brother Erick, wonderful. More grace 🙏🏽🙏🏽
Amen Amen
Such a prophetic song🙌
Amen
Umebarikiwa my brother.hii ndio tamanio la Moyo wangu siku moja tuimbe collabo.this song is a blessing.sikiza msalaba by me
Be blessed powerful song
Thank you so much
Oooh waoooh nakuombea
Amen
Good song for sure may God surprise them wherever they passing through
Mungu akuinue zaidi mtu wa Mungu
Asanti Sana mtume wa Mungu
Amen Mungu awabariki saana
@@ElizabethNyamai-me2id Amen
Nice song I love it
@@kevinmoranga5242 thanks
Love the message.
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪hakuna matata
Mungu awabariki sana huduma yenu izidi kutubariki hakika nimefarijika sana zaid ya sana.
Barikiwa sana Dada martha. Nani alikuja ana jina .nani alikuja anacho wote tumekumbwa kwa neema. Nasikia kutiwa moyo hata km sina one day nitakuanacho
Blessed by this song.
Mama Martha wewe ni wa msaada nyimbo zako zina nifaa.
Amen Amen
I thought sauti ni ya Pst Tumaini I had to kuitafuta before nione video.... God bless you you Bishop Erick
Asanti Sana my dear
Amina. 🥰🥰🥰
Amen my dear sister
Haleluyaaa.my.deary
Amen
I love this woman of God, her songs are giving me hope,. more grace beautiful ❤️
Amen Amen
She is blessed