TISAIDIEN JAMN HAWA WATU SO WAUNGWAN KBC UNAWEZ UKAOMB ULIPIE AT JION ILA SIKU NI HIYOHYO UNAAMBIWA ET UNAINGIZWA KWENYE MAGROUOP YA UCHI MDA UMEISHA NA MESEJ ZA VITISHO PIA ET UNAUNGIWA GROUP LAKO WANAWA ADD WATU WAK WAKARBU WAKUCHNGIE NI UDHALILISHAJI😢😢
nyingi miongoni mwa hizi kampuni za mikopo mitandaoni ni tasisi zinamilikiwa na wachina almost 90% na kwa taarifa na makala chunguzi mbalimbali katika vyanzo mbalimbali wachina ni masters wa Money laundering in global stage na mojawapo ya njia wanazotumia kufanya hivyo ni online money lending.
Wazee wa minyamaaa safi sana😂 Kuna kampuni inaitwa mkopo huru hii balaa jomba wanatuma picha mpk kwa watu wako wasio husika
Yani ni hatari
Mm watumage watachok walintumia had mume wangu
Huyu hando leo katumia kinywaji gani 😮
Wafanyakazi wao wafungwe wanahack au wapigwe faini hasa USTAWI LOAN AU BOBACASH
Bora maana wametesa sana watanzania
App zimebadili majina tu sijui wanatuonaje mfano USTAWI LOAN AU BABOCASH imekuwa BENEFITSPESA , serikali fanyeni jambo wahuni hawa
Hao pumbvu juz na jan wametma mesg shenzi hao nilicho kifnya nikapig sm polis
Hivi Hando akili zake zinarudi utoto au mbona kachachuka siku hizi😂😂😂😂😂
Wazo langu mikopo yote ifungiwe ya mtandaoni,,, kwakweli hawako sawa kbsa,,,, ni kunyonya watanzania Tu, liba kubwa
Tunaomb tuu zifungiwe wandhalilisha hawaa watuu 😢 na wanatish et wanatuunga kweny magroup ya uchiii
Flex cash tena wafanyakaz wao wasipate kazi maana wanatukana sana wateja
Tumechoka udhalilishaji wafungiwe t2'hiso app
Tupo tayar kutoa ushahid na smg zao zipoo wafungweee
TISAIDIEN JAMN HAWA WATU SO WAUNGWAN KBC UNAWEZ UKAOMB ULIPIE AT JION ILA SIKU NI HIYOHYO UNAAMBIWA ET UNAINGIZWA KWENYE MAGROUOP YA UCHI MDA UMEISHA NA MESEJ ZA VITISHO PIA ET UNAUNGIWA GROUP LAKO WANAWA ADD WATU WAK WAKARBU WAKUCHNGIE NI UDHALILISHAJI😢😢
Mm wamead leo nikawatumia mesg nikawambia nitumien nilio uchi kabic 😂 mm sijali be watajua wao
Kwakweli mkopo Hulu ni hatar saaana kwa kuzalilisha hata mda hujafka unasumbuliwa liba sasa inalingana na mkopo
Wivuuuuu
Hizi application zipo nyingi Bado nyengine hawaja zifungia
Okoa Maisha wamepinda balaaaa
hawa hatar mzee
Kwan waliruhusiwa na nan?
Songesha wanariba kubwa kila siku inaongezeka
Na ambao tunadaiwa sasa tunafanyaje
Wivu

😂😂😂