Taasisi yoyote ya mikopo ina vigezo na masharti yao, mkopaji ndio una jukumu la kuona utaweza hayo masharti au la. Wahanga wakubwa wa hii mikopo ya rejesho la kila siku ni wanawake. Sababu kubwa ni tamaa, na kwenda kutumia hela nje ya malengo ya mkopo.
Sasa kwa nn msiwakopeshe nyie kwa riba ndogo? Pesa za kuwakopesha hamna halafu mnataka muwawekee wenye pesa zao masharti, kwa hili hamtafanikiwa, mm kama hufati masharti zangu sikupi pesa zangu nenda kakope kwny riba nafuu hukoo, sitaki kupangiwa kwny pesa zangu

Waacheni,mbona nyie huko benk mashart mengi sana
Mnachelewa sana kujua hizi mambo
Kausha damu tena
Wanatuibia sana
Kausha DamU
Riba kubwa sn laki kwa laki kwa laki na 40 unalipa miaka 8
Sasa kwa nn msiwakopeshe nyie kwa riba ndogo? Pesa za kuwakopesha hamna halafu mnataka muwawekee wenye pesa zao masharti, kwa hili hamtafanikiwa, mm kama hufati masharti zangu sikupi pesa zangu nenda kakope kwny riba nafuu hukoo, sitaki kupangiwa kwny pesa zangu
Mtangazaji umechapia 0:36-0:38 kusajili taasisi sao😅
Neno kausha damu huwa linakuja baada ya kuchukua pesa basi wasikope wanasumbua ofisi za watu
Ila uyo dada anamacho ya upole sana
Yanavutia kinyamma
@@Ndu-wa.uroony2 sana yaan sana mnyenyekevu
Huyu dada kama haumwi macho basi kuna kitu ametumia 😮😂
Huyu dada anatumia ''lubisi