DANGER episode 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 320

  • @mussamussa-jf3fh
    @mussamussa-jf3fh 18 วันที่ผ่านมา +19

    Dah huyudada aliebakwa anatia huruma Kani kaigiza kama kweli kabisa yani anajua apewe mauwa yake mashallah 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @CHRISMANNEQUIN8
    @CHRISMANNEQUIN8 18 วันที่ผ่านมา +84

    Kama unapenda mungu kuliko danger liké apa

    • @LilianAchieng-x4f
      @LilianAchieng-x4f 18 วันที่ผ่านมา +2

      Alafu usitupime imani😂😂😂😂😂

    • @CHRISMANNEQUIN8
      @CHRISMANNEQUIN8 18 วันที่ผ่านมา +1

      @LilianAchieng-x4f wewe aupende mungu

  • @osmanmafimba
    @osmanmafimba 18 วันที่ผ่านมา +11

    Daah uy dada aliyebakw anajua kwel apew maua yake ana kipajii namuon mbalii ikiendlea iv iv❤🤝😍👏

  • @Nuratysaimon
    @Nuratysaimon 18 วันที่ผ่านมา +6

    Kuna watu wambea jaman yan mama zima limekalia umbea km alitumwa kwenda kusema apigwe hyooo uache umbea😂😂

  • @TonyCristy-j6e
    @TonyCristy-j6e 18 วันที่ผ่านมา +10

    Leo mimi wakwanza kutoka Moçambique naombeni like 👍🔥🌹💐❤️🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @EmmanuelChikombo
    @EmmanuelChikombo 18 วันที่ผ่านมา +7

    Muvi Kali sana ❤❤❤❤❤

  • @FredybVictodestin
    @FredybVictodestin 18 วันที่ผ่านมา +3

    Wakwaza Kutoka Congo drc🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @PatrickKandonga-w3s
    @PatrickKandonga-w3s 17 วันที่ผ่านมา +8

    timu mwakatobe naombeni like zangu❤❤❤😂😂😂

  • @NabbiiWamungu
    @NabbiiWamungu 18 วันที่ผ่านมา +7

    Ndo nmefika sai kasongo mwakatobe aka mchawi 😅😅

  • @abduli_karimkhamadi1730
    @abduli_karimkhamadi1730 18 วันที่ผ่านมา +4

    Noma sana

  • @mickdad8309
    @mickdad8309 18 วันที่ผ่านมา +2

    Duuuuuh msunuu wena😂😂

  • @JaphetKarisa-d4g
    @JaphetKarisa-d4g 18 วันที่ผ่านมา +6

    Pole usiliaa bas mana hata ukilia sana hueZ saidika labda ukimbie

  • @Shadia544
    @Shadia544 18 วันที่ผ่านมา +11

    😂😂😂Kazi kuna kazi jamaniii 😂😂😂mtu analia kama kweli 😂😂

    • @thedon8467
      @thedon8467 18 วันที่ผ่านมา

      Uta jiri uo utajiri gani ubakwe na ndugu yako. Kama wewe vipi utakubali ?

  • @MarcelinbbmBirindwa
    @MarcelinbbmBirindwa 18 วันที่ผ่านมา +3

    Safi sana from DRC 🇨🇩 congo

  • @HamisiMasele-p5v
    @HamisiMasele-p5v 18 วันที่ผ่านมา +2

    Nakubari mwaka tobe

  • @Namwaulila
    @Namwaulila 18 วันที่ผ่านมา +3

    From mozambique nimeipenda sanaa hi movie

  • @SamwelLugulu
    @SamwelLugulu 18 วันที่ผ่านมา +1

    Napend cn move zko mwkatobe mungu akupe upeo mpna wakufikil nakutuletea vit vzur

  • @rahmrashid8025
    @rahmrashid8025 18 วันที่ผ่านมา +4

    Msitu Sio rahic kutokaa lkn mijengo tunaiyonaaa, Kazi mzuriii ila mujitahid kucheza na uharisiaaa

  • @salumuwembo-fo5rr365
    @salumuwembo-fo5rr365 18 วันที่ผ่านมา +4

    Good luck to you, I love your videos from Congo 🇨🇩🇨🇩🥰🥰🥰🎉🎉🎉💯💯💯💯

  • @MlimanyikaJohn
    @MlimanyikaJohn 18 วันที่ผ่านมา +4

    Kazi nzuri ila hapo uongeze watu ,kama mama migomba, pashambe, mbwela, kipara, tanu, Mr.kawaida, mwas, hawa, misigalo, mwanji, butua, Sanura, chibu, mzidole, sengo, matilda, bravo, Mgaya halima. Najua wapo wengi ila kwa hii list niliyo iweka ukichagua baadhi nadhan kitu itakua ya moto sana

  • @AbdulMahmud-e3s
    @AbdulMahmud-e3s 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mwakatobe namkubali sanaa

  • @SanitoLucas
    @SanitoLucas 18 วันที่ผ่านมา +2

    Noma sana mwakatobe 🎉❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @AbdullDjamal
    @AbdullDjamal 15 วันที่ผ่านมา

    Mtanzania halisi mwakatobe hongera kwa dude hili Danger nipo south africa 🇿🇦 big up mwakatobe unaweza kazi nzuri

  • @AmaraNyongole
    @AmaraNyongole 18 วันที่ผ่านมา +1

    Daaa! Mdada alobakwa na kakake kajitahidi kuvaa uhalisia wa maumivu kiukweli kaweza maua Yako tafadhali 🎉🎉🎉

  • @JAY_P_THE1
    @JAY_P_THE1 18 วันที่ผ่านมา +3

    Nakubl sana mwakatobe🎉🎉

  • @WanboyXavier
    @WanboyXavier 18 วันที่ผ่านมา +3

    from mozambique naitwa wanboy naku bari sasa kanzi zenu

  • @thedon8467
    @thedon8467 18 วันที่ผ่านมา +1

    Movie nzuri sana

  • @stephanoplugendo3861
    @stephanoplugendo3861 18 วันที่ผ่านมา +2

    Ngoja nikupe maua yako 🌹

  • @emmanuelmbito9108
    @emmanuelmbito9108 18 วันที่ผ่านมา +1

    Am ur fan tunkupata vzur hapa kenya

  • @issapere8283
    @issapere8283 18 วันที่ผ่านมา +5

    Nomaaa sana mwakatobe🔥🔥🔥

  • @Morteza7MrWigans
    @Morteza7MrWigans 18 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi wakwanza from DRC #Mwakatobe_The_great_films_of_Dangerous☠️☠️☠️☠️👹👹👹

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 18 วันที่ผ่านมา +3

    😂Mwakatobe tuko pamoja mpk siku uwe kigagula kweli

  • @SelinaLiveth
    @SelinaLiveth 17 วันที่ผ่านมา +1

    Daah hy mdad aliye bakw anajuw jamn apw mauw yak jamn👐👐

  • @ArlindosilvestreAlisse-n7l
    @ArlindosilvestreAlisse-n7l 18 วันที่ผ่านมา +2

    Kaká mwakatobe mungu akubariki na kazi yako uzidi kusonga mbele 🙏🙏🙏

  • @ChaqueAmane-w1k
    @ChaqueAmane-w1k 18 วันที่ผ่านมา +10

    Wakwanza kutoka Msumbiji pemba 🇲🇿🇲🇿 🇹🇿 sucesso sempre

  • @Noela-l8e
    @Noela-l8e 18 วันที่ผ่านมา +4

    Mmmh watu hawachelewi washa luka na bland haya mimi mchelewaji kila siku 😂😂😂😂nawapenda jamani hongeleni kwakazi nzuri TEAM mwakatobe🎉🎉🎉

  • @davidzakaria3241
    @davidzakaria3241 18 วันที่ผ่านมา

    Huyo dada alie bakwa kafanya vizuri sana🥰🥰 apewe maua yake kabisa.

  • @SONIAFUNGAFUNGA
    @SONIAFUNGAFUNGA 17 วันที่ผ่านมา +1

    dada kacheza sana vizuli 🎉🎉

  • @AbdiSalum-rb6um
    @AbdiSalum-rb6um 18 วันที่ผ่านมา +2

    Siwez kosa hii mzee wa kasongo 😅😅 like kwa wingi 🇹🇿 tanzania moja to ❤❤

  • @HussenRamadhani-g9w
    @HussenRamadhani-g9w 18 วันที่ผ่านมา +2

    Good job mwakatobe 🎉🎉🎉

  • @BolvineStorryOficiel
    @BolvineStorryOficiel 18 วันที่ผ่านมา +2

    Moto sana Kaka 🫶🫶🫶🫶🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @LisahFundi
    @LisahFundi 18 วันที่ผ่านมา +2

    🎉🎉🎉 jamn kazi nzuri

  • @paulokemark7398
    @paulokemark7398 18 วันที่ผ่านมา +5

    Mwakatobe umetisha sana, nafwatilia kazi zako kutoka Kenya. Kipaji unacho

  • @hamzaally2283
    @hamzaally2283 18 วันที่ผ่านมา +4

    KUTOKA KWENYE MSITU NI NGUM SANA
    harafu nyumba na makazi mengi tuu yanaonekana nyuma apo😂

    • @maryoommaryoom
      @maryoommaryoom 17 วันที่ผ่านมา

      Ndio maigizo😂😂😂

  • @mariemtambala4441
    @mariemtambala4441 18 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤😂😂😂😂😂kaz nzuri mwakatobe

  • @maurine3503
    @maurine3503 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani unabaka dadako ndiyo uende South Africa😂😂😂😂😂 . Mwakatobe komaaaaa😂😂😂😂😂

  • @KatunziHassan
    @KatunziHassan 17 วันที่ผ่านมา

    Mwakatobe sio poa unajua kaz enderea usiwaze kazaaa🎉

  • @kaponatz
    @kaponatz 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mussa venasi andika story vizuri, Mwakatobe mchezaji mzuri, ukweli kwamba sijaelewa inahusu nini hii DANGER au nitaelewa mwishoni ,wabongo tunajielewa Hatudanganyiki tena

  • @Kifutubrandfilm
    @Kifutubrandfilm 18 วันที่ผ่านมา +3

    Kazi iendelee

  • @MizabuAmani
    @MizabuAmani 17 วันที่ผ่านมา

    hii ni kali kuliko my daughter ya clam vevo. mwakatobe una tisha sana. Smakk samy zarois

  • @Iddijumahamisi-x2m
    @Iddijumahamisi-x2m 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mwamba anayaweza

  • @KemeiK
    @KemeiK 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mwakatob eti Kasongo yeeyeeeee😂😂. Jaman mambo gani haya

  • @fortyegoodone8985
    @fortyegoodone8985 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kofi la mwana ukome😂😂😂😂😂😂😂🇨🇩

  • @Akilimbilicomedy77
    @Akilimbilicomedy77 18 วันที่ผ่านมา

    Jamani hii movie nzuri sana mwakatobe🎉🎉🎉❤❤❤

  • @MizabuAmani
    @MizabuAmani 17 วันที่ผ่านมา +1

    congo rdc mwakatobe una andaa ma maiti siku una fariki dunia mimi njo nita kuja kuku andaa naku kafini vuzuri. smakk samy murhula

  • @wangumsanii254
    @wangumsanii254 18 วันที่ผ่านมา +14

    Wakwanza kutoka kenyaaa nipeni maua yangu

    • @JasmineJamal-k6i
      @JasmineJamal-k6i 18 วันที่ผ่านมา

      ♥️🥰💘❣️💓💞💕💌💟💖💝💔💛💚💙💜🤎🖤🤍🧡

    • @JaphetKarisa-d4g
      @JaphetKarisa-d4g 18 วันที่ผ่านมา

      🎉🎉

    • @سوزي-ي6ظ
      @سوزي-ي6ظ 18 วันที่ผ่านมา

      From somalia 🎉❤

  • @Directorfeloh
    @Directorfeloh 18 วันที่ผ่านมา +2

    Kali mwaka mwakatobe #kenyafollowing

  • @pastor-Chrisfeston1
    @pastor-Chrisfeston1 12 วันที่ผ่านมา

    Huyu dada amebakwa nayule kijana msituni wanajua sana mno❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @NKESHIMANABarton
    @NKESHIMANABarton 18 วันที่ผ่านมา +5

    Msitu gan ambao nyumba za watu zinaonekana 😂😂😂,mwaka-tobe we Bado sana

  • @munirdermireynoh9268
    @munirdermireynoh9268 17 วันที่ผ่านมา

    Mganga anachamba uyo😂😂 eti Akili ninywele zako umenyongolota na Akili zimenyongoloteka😂😂😂

  • @JaphetKarisa-d4g
    @JaphetKarisa-d4g 18 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂mwakatobeee unaeza sana kwa kweli ipo vzur

  • @SamwelKanele
    @SamwelKanele 18 วันที่ผ่านมา +1

    Wa2 amlali nimekuwa wa 241 aya furaieni xx

  • @Leilampenda_og
    @Leilampenda_og 18 วันที่ผ่านมา +2

    Nzur sana hii kaz

  • @AdimuDeda
    @AdimuDeda 18 วันที่ผ่านมา +11

    Nimekuwa wa kwanza

    • @moodjeco5844
      @moodjeco5844 18 วันที่ผ่านมา

      @@AdimuDeda basi mpo wengi wa kwanza leo

    • @moodjeco5844
      @moodjeco5844 18 วันที่ผ่านมา

      @@AdimuDeda umechelewa

  • @AbdulHamis-e2d
    @AbdulHamis-e2d 17 วันที่ผ่านมา

    Dah huyo dada na kakaake wametisha sana asee 🎉🎉 maua yao❤❤ nawapenda sana mmetisha sana🎉🎉

  • @GiftMichael-l4e
    @GiftMichael-l4e 18 วันที่ผ่านมา +3

    Unawashwa eeeeh unaamu ya kupigwa 😅mwakatobe jaman nakubinya mpak unatoa mnyaaaa😂😂😂😂

  • @OscarHabakuk
    @OscarHabakuk 18 วันที่ผ่านมา +4

    Wa Kwanza leo Ku toka Congo like zangu❤️

  • @Fm-MornStar2014
    @Fm-MornStar2014 18 วันที่ผ่านมา +15

    Huyo dada aliyebakwa na kaka yake hamkumuandaa vizuri kucheza hio sehemu!
    Samahani, sio kwa ubaya, napenda kazi zenu.

    • @Noela-l8e
      @Noela-l8e 18 วันที่ผ่านมา

      Umeonaee😂

    • @eneswaggy1835
      @eneswaggy1835 18 วันที่ผ่านมา

      Toa sababu ulizoona

    • @SarahChombo
      @SarahChombo 18 วันที่ผ่านมา

      @@Fm-MornStar2014 😂labda nmeona vibaya mimi

    • @Manyanda-j9v
      @Manyanda-j9v 18 วันที่ผ่านมา

      Ku act movie ni jambo la kuanza kulizoea so kwa upande wangu dada kacheza vizuri maana ata kuendesha gari mtu huanza taratibu

    • @JacksonLitto
      @JacksonLitto 18 วันที่ผ่านมา

      Mbona kacheza vizuri tu labda kama Kuna sababu nyingine

  • @LettyLussi
    @LettyLussi 18 วันที่ผ่านมา +2

    Lete utosii😂😂😂 nimecheka mnoooo 🙌

  • @HamisiMachinda
    @HamisiMachinda 16 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzul sana mwakatobe kwenye ubola wako 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤🎉😂😂😂😂

  • @Anordrobert-c8x
    @Anordrobert-c8x 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwenyau na kukubali 👊😂😂

  • @NgusaMlevi
    @NgusaMlevi 18 วันที่ผ่านมา +4

    Shabiki yenu kutoka moro🎉 good job

  • @FahmiOmar-o8e
    @FahmiOmar-o8e 11 วันที่ผ่านมา

    Bila ya shaka kaka kambaka kwel dada yake maana sio kwa kilio hich😅😅😅

  • @BankerBugy
    @BankerBugy 18 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂 ila mwakatobeee

  • @Jannert
    @Jannert 2 วันที่ผ่านมา

    Oyaah Mwakatobe Fundi nyinyi miaka 1000 kwake namuelewa ile mbaya

  • @OnaryYohana
    @OnaryYohana 18 วันที่ผ่านมา

    Tamthiliya nzuri sana aisee

  • @EspoirOkandju
    @EspoirOkandju 18 วันที่ผ่านมา +2

    Uko chief baba

  • @Djbentusheetz
    @Djbentusheetz 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kumekucha kinywele ndani😂😂😂😂

  • @MADINATV-k9g
    @MADINATV-k9g 18 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂Ret utosi jmn mwakatob

  • @gaelniyonyichu
    @gaelniyonyichu 13 วันที่ผ่านมา +1

    TEAM MWAKATOBE weka bando ata like ata moj jameni🎉🎉🎉🎉 conglomérats ❤❤❤ nawa pend sn GN❤❤❤😅😅😅🎉😢😊 9:41 9:45

    • @gaelniyonyichu
      @gaelniyonyichu 13 วันที่ผ่านมา +1

      Unawez kbx ✌️🥰🥰

  • @NaimaHamis-p7h
    @NaimaHamis-p7h 18 วันที่ผ่านมา

    Jmn mwakatobe mungu akulinde

  • @MtumwaHamis
    @MtumwaHamis 18 วันที่ผ่านมา +2

    Nimewahi na mimi

  • @BahaDePrince
    @BahaDePrince 18 วันที่ผ่านมา +7

    Mtu anaweza toka Tanzania akuje kuuza kahawa Kenya 🇰🇪 ama hao n ma FBI 😂😂😂😂

    • @JaphetKarisa-d4g
      @JaphetKarisa-d4g 18 วันที่ผ่านมา

      Anaeza

    • @Noela-l8e
      @Noela-l8e 18 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @LettyLussi
      @LettyLussi 18 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

    • @Emmanuel-f4r
      @Emmanuel-f4r 18 วันที่ผ่านมา

      😮😮

  • @RamaNeva-q7n
    @RamaNeva-q7n 18 วันที่ผ่านมา +3

    Saf san mwakatimbe kazi bora

  • @SponsorBazuuComedy
    @SponsorBazuuComedy 17 วันที่ผ่านมา

    Mbona unanyambanyamba🤣🤣🤣🤣🤣jikaze ww n mtoto wa kiume.

  • @moodjeco5844
    @moodjeco5844 18 วันที่ผ่านมา +6

    Wa 2 leo mwakatobe comment hapa

  • @KidalosMafumbula
    @KidalosMafumbula 18 วันที่ผ่านมา

    Mwakatobe champion

  • @HajratHajrat0501
    @HajratHajrat0501 17 วันที่ผ่านมา

    Naombeni namba za huyu kaka alonunua nyumba 😂😂😂😂😂😂Nina shida nayeeeeee

  • @ZakayoMabula
    @ZakayoMabula 16 วันที่ผ่านมา

    Nakubali sanaa

  • @FatmaShuguli
    @FatmaShuguli 17 วันที่ผ่านมา

    Aliebakwa ywalia kweli ila sijaliona chozii😂😂

  • @FredybVictodestin
    @FredybVictodestin 18 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni mkali sana Brown 🎉🎉🎉

  • @BIRIAOH-BIG-CRIS
    @BIRIAOH-BIG-CRIS 18 วันที่ผ่านมา +1

    Wa kwanza kutoka Kenya shusha like zangu hapaa

  • @SufyanahAomabdalazez-dk9pw
    @SufyanahAomabdalazez-dk9pw 18 วันที่ผ่านมา

    Mganga apunguze sifa wallah ila movie nzuri sana❤❤❤🎉

  • @abuusungura1115
    @abuusungura1115 17 วันที่ผ่านมา

    MWAKATOMBEE UNA HATARII MSENGEWEWEE UNAJUA MBAKA UNA KERAAA😂😂😂

  • @idricemachudemachude1607
    @idricemachudemachude1607 17 วันที่ผ่านมา

    sio vizur kulilia lia sana munapunguza utamu

  • @nicksonosward7805
    @nicksonosward7805 18 วันที่ผ่านมา

    Kazii mbovuu hii aielewek hiii

  • @AndersonruwaahRuwaah56
    @AndersonruwaahRuwaah56 16 วันที่ผ่านมา

    Huyu mwakatobe huku sio kuigiza 2 huyu n mchawi kwel bana🤣🤣🤣🤣

  • @ArafaAmirAmir-ci7ld
    @ArafaAmirAmir-ci7ld 16 วันที่ผ่านมา

    Mwakatobe chogo kaa mwikoo😂😂😂

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 18 วันที่ผ่านมา +14

    *Mtoto wa CHUMVI NYINGI namuona huku 😂 Kama kawaida kalithi vikoba vya CHENDU 😂*

    • @mwanamisishaban4083
      @mwanamisishaban4083 18 วันที่ผ่านมา +1

      ❤❤❤❤❤

    • @DonMooFILMES_Express
      @DonMooFILMES_Express 18 วันที่ผ่านมา +1

      @mwanamisishaban4083 🤝❤⚘

    • @Noela-l8e
      @Noela-l8e 18 วันที่ผ่านมา +1

      Don kama Don ktk uborawako huchelewi😂🎉🎉🎉🎉

    • @LettyLussi
      @LettyLussi 18 วันที่ผ่านมา

      Sijakuona Kwa chado😂

    • @DonMooFILMES_Express
      @DonMooFILMES_Express 18 วันที่ผ่านมา +2

      @LettyLussi 😁 niliangalia namba 1 na 2 kwasababu nilikuwa nimemmiss sana BAGA. Kwa sisi wakongwe wa MUVI za CD tumajua BAGA ni nani... nilipomaliza kuangalia vipande 2 vya mwanzo nikapotea.

  • @DorcasKadama
    @DorcasKadama 18 วันที่ผ่านมา

    Mwakatombe punguza utani kwenye movie serious❤