kasongo imefika tanzania😂ruto baba utaficha wapi sura yako hakuna raisi ameai ekewa majina mengi kama yako😢 jiulize mbna wewe.kasongo,zakayo kufa dereva next yr tukuangushe na wheelbarrow😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Napendaga sana mwakakatobe, kweli anawezaka mambo kama haya ya uganga na uchawi, mimi shabiki wako wa kwanza toka Congo DRC mujini Bukavu. 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Oyebi kosala mosala nayo moninga nanga.
Afazali mwakatobe umeludi maan tuli kumiss wangapi tulimiss mwakatobe jamani.....❤❤❤❤
Mimi apa
Pia
🎉🎉🎉
Mwakatombe twakupenda sana ndungu tafuta monja upinge na mzee kicheche
❤❤❤❤❤❤❤❤ tuko wengii sanaaa
Watanzania tumpeni maua yake brother mwakatobe anajua sana embu tuache ubinafsi tupendane
🎉🎉🎉
Kasongo wa tz😁😂anyway love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Moto wakuotea bali nimengojea sana i hope ii itaenda sana haishii halaka🥰😘😘😘😘🤩
Eti kasongo yeye mobali nanga mbona weyo 😂😂😂😂I love it 😊 nime ku miss sn mwakatobe
Salim kutoka South Africa,nakubali sana Mwakatobe mtuu wangu,karibu tena siku nyingi!!!
Mwakatobe wewe ni noma sana from. Mozambique naomba like zangu
Mambo
Naomba namnba yako
Danger by mwakatobe mwamba naipenda pamoja na #kasongo👐
Nina uhakika hio umeigiza kwa ajili ya wakenya😅 jamani kama wewe ni mkenya tujuane hapa😅😅😅
YES
😂😂😂😂 our own kasongo
Imagine wanachokoza kasongo wetu 😅😅@@christinemaronga1844
Kasongo must go
Tuko apa watoto wa kasongo😂😂
hahahahahahahaa Kasongo....... kheeeeeeee @mwakatobe 😅🤣🤣😂😂
Ulikuwa kimya sana mzeee shabik zako tunasubiri kaz zako❤❤❤
Kazi nzuri sana 🥰 pas
Huyu jamaa ni mwamba sana anachangamsha soko la bongo movie tz
Mwakatobe gang 😅😅😅😅😅kasongoooo yeye nimechekaaaaa adiiii basiiii jamani ilq mwakatobeeeee we nomaaa😅
Mina ku kubali sana mwaka tobe kutoka Congo 🇨🇩
Nilikuwa nimekumisi sana mwakotobe wangu mie Karibu na big up❤❤❤
Kasongoooo yeyee 😅😅😅😅 much love from kenya
Gusa Achia twende kwa mwakatobe 😂😂 kasongoo
Gust achiaaaa twendeeee kwq mwakatobeeee kasongooo yeye😅😅😅
Mwakatombe twakupenda sana ndungu tafuta monja upinge na mzee kicheche
Mm shabik wa kiokote na mwakatobe kiukweli kuna kitu baina ya kiokote na mchawi wa taifa tunaomba ep ya pili ,,, mauaaa yenu hayo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mwakatobe umerejea tena karibu xana❤❤🎉🎉😊😊😊
Oyembi bien mwakatobe 😂😂😂😂😂😂🇨🇩🇨🇩
Kazi nzuri sana Mwakatobeee, TUNAOMBA NAFASI YA KUFANYA KAZI NA WEW 🎉🙌🏻🎉
Nani amesaidia Mwakatobe kuimba Kasongo😂😂😂🎉 wakenya mpoo😂😂😂
tupooooo1🤣🤣
Hahaha 😂😂
Safi sanaa kbx mwakatobe
Aaanh uyu mwakatobe uyu atakuja kutuvunja mbavu umuuu
Mwakatobe kwenye ubola wake ❤❤😂😂😂🎉🎉🎉😂😂❤❤❤🎉🎉
Yani Kasongo Iko hadi kwa mwakatobe😂😂😂
Musa na mwakatobe in Danger hahahahaha
mwakatobee 🎉🎉🎉🎉🎉 nakubar sanaaaa 🎉🎉😂😂😂😂😂😂
kasongo imefika tanzania😂ruto baba utaficha wapi sura yako hakuna raisi ameai ekewa majina mengi kama yako😢 jiulize mbna wewe.kasongo,zakayo kufa dereva next yr tukuangushe na wheelbarrow😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Kawaida tu mkuu kiongozi kushambuliwa na maneno mabaya au ya kejeli au hata kuitwa majina mabaya.
Mwamba nilikumissi sanaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mwakatobe namkubali sanaa
BOMBO KLAAAAAAAA
Mwakatobe we ni jembe kazi nzuli pambana sana
😂😂 kasongo mbona wewooo, mbona wewooooooo😂😂
@masunzu filam
Makatobe, kipaji chako ni Cha juu Sana katika tasnia ya filamu zenye maudhui ya kiafrika
Huyu mtu atali saan Yan kila sehem anasimam duu kwel kila mtu na kipaji chake🙏
Njo Mozambique mchumba wetu 😂😂kasongo
Mwakatobe kasongo yey😂😂❤❤ Kaz saf mwendelez wahisha sas
❤❤❤
Naipenda Saaana Tangu kongo 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 😂😂😥😥🤔🎉🎉🎉🎉
Kitambo sana mwakatobe nilikumiss mno
Mim pia nimekmc
kazi zur sana❤❤
Seen By Big Talent Of Fizi 🙏🙏🙏🇨🇩 mwanangu kazi yako ni nzuri sana
Umetisha sana kaka🤣🤣🤣🤣🤣😘😘😘😘🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nilivyo sikia kasongo yee ata muvi sijaimalizia nimeaza kucheka 😂😂😂😂😂😂mwakatobe is our laughstock
😅😅😅
Maiti mtembea peku😅
Good
Waka tobe uliona ukuye na kasongo yeye 😂😂😂😂😂 na toka maeneo ya Congo DRC Goma
Uyu jamaa msenge sana asee anajua kinoma😂😂😂
Kasongo amefika Tanzania 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahaha was kasongo necessary
uko na lawyer😅😅😅😅
@@JosphatHenry wacha tu
😂😂😂😂😂 maiti shika shika huyooo ewee maiti mtembea peku pambana nae
Nianooo umetisha jembe kazi nzuri ✌️
Napendaga sana mwakakatobe, kweli anawezaka mambo kama haya ya uganga na uchawi, mimi shabiki wako wa kwanza toka Congo DRC mujini Bukavu. 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Oyebi kosala mosala nayo moninga nanga.
Kaka umeshindikana au unauchawi kweli nini 🔥🔥🔥🔥
Namukubali Mzee wa kasongo yeye mwakatobe
Nimekukosa sana mzee mwakatobe
Duuuh goma linatisha hili🤣🤣🤣mm mwenyewe mpaka kojo limenibana
Hio ni moto sana🔥🔥 congratulations mwakatobe kasongo yeyeeee mupali nanga ee😅
Kosongo yeye, mwakatobeeee
Mauwa yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Uyu jamaa anajua sana jaman tumpen maua yake🎉🎉🎉
Kaz nzuri sana kiokote napenda ukitumia iyo saut hongera sana umetisha🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri🎉🎉❤
wooow ❤❤❤❤
Wenye tumeanza kuimba hiyo wimbo ya kasongo na mwakatobe nichumu hapa tukiendelea kuimba😘😂😂
😂😂😂😊
🤣🤣😅😢 kuja tupige meet yakuimba sote
Mmmmwaaaaaaaaah......
Mmmwaaah 😘
@@NabbiiWamungu 🤣🤣🤣
Lazima ujuwe kutaufautisha😢😢🇲🇿
Ety msalaba na jumlisha😅
Très bien mwakatobe kasongo
Naota sana usiku mbona linatisha hiv kazi nzuri sana
Kasongo eee😂😂,,mwakatobe namkubali,,kma mtu yuwamkubali anipe like hapa😂
Mwakatobe una hatareeeeeee🎉🎉🎉🎉
Nakubali msa ndani ya mjengo apo kasoro kidoh na shedapha na kibonge mayere😂😂😂
Wa kwanza mwakatobe toka Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Sana kaka kazi nzuri lugodisha family hapa🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Nimenza na kucheka 😂😂😂😂kasongo
Natamani kuja kutembea uko dolla ngap kutok tz
@KareemMkobe karibu
Mwakatobe vizuri nimeipenda hii movie
😂😂😂😂😂😂😂😂😂💗mwakatobe naomba kufanya kazi Na ww natokea Kenya
😂😂😂😂😂😂wewe ni master kutoka burundiii
mwakatombe achana na kasongo ni ya Kenya nawe ni mbongo😂😂😂😂😂😂
Kila siku mnaninyima like jaman kama unanikubal weka like hapo ❤❤❤
Mwakatobe jmni hyo nyimbo
Ni huzuni 😂
Mwakatobe we unajua nilikuwa nasubilia kaz yako tuh umetishaa sanaaa mwakatobe una atali😂😂😂😂
Força aí mzé Moçambique😅😅
Wengiiiii sanaaaa tume mumis mwakatobe ❤❤❤
Wew msenge unajua sana tulikusubili sanaaaaa
Viruzi kiogoz na tumeitazam ndo tunaret shukulan zetu kanzi zuru tuko pamoja 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Skupngi mwakatobe big up🎉🎉
Dah mwakatobe is the king of
Nilisikia maiti inuka maiti ikawa inajishauli😂😂😂
Kasongo dah Mwakatobe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Daaaa namupenda mwakatobe jamani naomba mauwa yangu❤
mwakatobe unajuwa mpaka unakela❤❤❤❤❤
Ila mwakatobe 🎉🎉🎉 hongera kaka
nakubal sana kaka
Kiokote kumbe mbakaji 😂😂😂 move kali Sana msalimie mwakatobe
Kazi safii
Mbona weooo😅
Yaani nimecheke nusu kufwa ase kasongo yéyé mobali n'a ngai jamani😅😅😅😅😅😅😅❤ tokea congo🇨🇩🇨🇩 like
Mwakatobe😂😂😂😂 Again
Kaz tam bwanaaaa❤ mbona kasongo
Mobali nanga ti natanzani 😂😂🤐🇨🇩
Mbonaweo oooyyeeeyyyee mombalinanga ye😂😂😂😂
Kumbe watizii wanajua kasongo 🤣 mwakatobe kazi safi
Shabiki yako namb 1 kutoka mtwara tz nakupenda sana mwakatobe