Waziri Magufuli achukua fomu kuomba Kuteuliwa Kugombea Urais kupitia CCM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alisaini kitabu kabla ya kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM mkoani Dodoma. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) ya Idara ya Oganizesheni, Dk. Mohamed Seif Khatibu ndiye aliyemkabidhi fomu Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.
    Safari ya chama cha mapinduzi ya kupata mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu ujao imeendelea kushika kasi baada ya makada sita wa chama hicho kuchukua fomu hii leo tarehe 04.06.2015 na kufanya jumla ya makada 11 wa chama hicho kujitokeza ndani ya siku mbili tangu zoezi hilo lifunguliwe rasmi june tatu mwaka huu.
    Miongoni mwa waliojitokeza kuchukua fomu hii leo ni pamoja na waziri mkuu mstaafu awamu ya tisa Mhe Edward Lowassa mbunge wa jimbo la Monduli ambaye amejinadi kuwa hana mpango wa kushindwa na amechoka na siasa za matusi na tuhuma na kudai kuwa hiyo sio demokrasia kwa viongozi wenye nia ya kweli ya kulikomboa taifa.
    Mwingine ni aliyewahi kuwa waziri mkuu wa awamu ya nane Fredrick Sumaye ambaye amebainisha kuwa endapo atapata ridhaa ya chama hicho ya kuwania urais na kushinda atahakikisha anatokomeza kabisa tatizo sugu la rushwa kwa kuunda vyombo maalum ikiwemo mahakama ya wala rushwa huku akitumia rasilimali za asili zilizoko nchini kuinua uchumi wa watanzania.
    Kada mwingine aliyejitokeza ni John Pombe Magufuli ambaye hivi sasa ni waziri wa ujenzi lakini pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini na ndani ya CCM kwa ufanisi wa hali ya juu ambaye yeye ametamba kipaumbele chake cha kwanza ni kutekeleza kwa vitendo ilani ya chama cha mapinduzi.
    Makada wengine waliojitokeza ni makamu wa rais Dk Mohamed Gharib Bilal, balozi Ali Karume na mwanafunzi wa chuo kikuu cha Mzumbe Morogoro Amos Siyatenzi huku makada wengine zaidi wakitarajiwa kujitokeza katika muda ambao chama hicho kimeweka kuanzia june 3 mpaka jully 2.

ความคิดเห็น • 145

  • @alexmakande7980
    @alexmakande7980 4 ปีที่แล้ว +34

    imetimia miaka mitano tangu magufuli atangazae nia 05-june-2015 gonga like kama umekuja kuangalia hapa

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 3 ปีที่แล้ว +17

    Kweli njia za Mungu kwa mwanadam hazitabiriki ofisini hapo walimchukulia poa Kuna muda walikuwa hawana time nae nao wandishi walimzarau Sana mpaka wakaangua kicheko mwacheni Mungu aitwe Mungu 🙏🙏🙏

  • @tanzaniakwanza9564
    @tanzaniakwanza9564 7 ปีที่แล้ว +58

    Yaani mpaka bahadhi ya waandishi walicheka kwa jinsi ulivyoenda peke yako bila kujua kuwa ulikuwa na Mungu, sijui kwasasa waliocheka wanajionaje kama choo, kweli Imani ni hakika ya mambo yatarajiwayo na ni bayana ya mambo yasiyoonekana
    Ulienda na Mungu na bila ubishi Mungu akakupitisha pasipo makundi kweli ulifaa kuwa Raisi wa Tz naomba Mwenyezi Mungu aendelee kukupa pumnzi na nguvu Amen.

    • @simonlukiko2850
      @simonlukiko2850 7 ปีที่แล้ว +1

      MWANA UMEONA EHEEEE DAH! MAGUFURI WE ACHA 2 YANI KWANZA INAONYESHA AKUTEGEMEA KABISA ATA WALIOKUWA NAE HAPO AWAONYESHI USONI ILA WALIKUA WAKIMCHEKA MOYONI KAMA MSINDIKIZAJI 2

    • @kelvinjohn6851
      @kelvinjohn6851 6 ปีที่แล้ว +4

      my presidentttttttyy....... so proud of him, live long your excellence MAGUFULI.

    • @salvationsalvatory9097
      @salvationsalvatory9097 4 ปีที่แล้ว +2

      Hahahaaaaaaaaaa kweli aiseeeee

    • @beatricehenry6776
      @beatricehenry6776 3 ปีที่แล้ว +1

      Magu wetu tutakukumbuka daima

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 3 ปีที่แล้ว +1

      Hakika ni kwa msaada wa mungu tunayashinda ya dunia

  • @cheptoekbenniah4750
    @cheptoekbenniah4750 3 ปีที่แล้ว +10

    This day was a blessing to Tanzania

  • @rutebukaanthony6299
    @rutebukaanthony6299 3 ปีที่แล้ว +11

    Dr. Magufuli was a faithful, strong and most confidential leader early. Rest in peace our Tz's Dad...!!!

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc 3 ปีที่แล้ว +12

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 6 ปีที่แล้ว +12

    Kweli apangalo mungu binadamu awezi kupangua Mungu alikuandaaa Wew uwe mkombozi wa nchi yetu ya Tanzania Mungu akupe afya njema mh Rais

  • @delaidelove8756
    @delaidelove8756 3 ปีที่แล้ว +16

    R I P magufuli wangu nimelia nimelia San nilikupenda mno baba umeumaliza mwendo😪😭😭😭

  • @petersynto8634
    @petersynto8634 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu atabaki kuwa Mungu yaani nikiangalia hapa napata maswali mengi sana ambayo majibu yake ni Mungu ndio anayejua mwanzo na mwisho wa maisha yetu wanadam

  • @shylagwadebalima7572
    @shylagwadebalima7572 5 ปีที่แล้ว +13

    Siku ya kubipu nakukataliako ilianzia hapa. mniombee kwa mwenyezi Mungu hajaisahau mpaka leo

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 4 ปีที่แล้ว +8

    utaona hawampi attention mtu wa watu..yaani haraka haraka aende..akawa anaaga jmni muniombee kwa Mweneyzi Mungu ila watu wako haya afu muitikio usiona mshiko mwishowe akaingia kwa gari kwa kuharakishwa kisha watu wakawa wanachecheka sasa sijui leo hii wanasemaje? kweli Mungu ndokabeba siri ya mtu...sie tunaangalia kwa macho tuu bila kujua. Tuhurumie Mungu wetu

  • @wilkistajacob9516
    @wilkistajacob9516 3 ปีที่แล้ว +9

    Pumzika kwa amani baba ❤️

  • @mukamambeba7966
    @mukamambeba7966 10 หลายเดือนก่อน +3

    Yani nikiangalia hii crip imani yangu kwa Mungu inaongezeka 😢

  • @brightluvanda2795
    @brightluvanda2795 3 ปีที่แล้ว +8

    Wote marehemu jamani,!,,ni khatibu na magufuli,,,MUNGU awarehemu!"amen.

  • @jamespallangyo2880
    @jamespallangyo2880 4 ปีที่แล้ว +5

    Wa mwisho atakuwa wa kwanza na wa kwanza atakuwa wa mwisho,mr present alikuwa wa mwisho kuchukuwa form lakin amekuwa wa kwanza,, Atimae mungu amemwinua mnyonge kutoka mavumbini,yeye aliangalia moyo wa magufuli tokea mwanzo nikulitaja jina la yesu,, mungu akutunze

  • @boniphacelusato
    @boniphacelusato ปีที่แล้ว +2

    Kifo cha Magufuli kiliacha kovu kwenye moyo wangu. Nilimpenda kupitiliza.

  • @victormhagama8004
    @victormhagama8004 4 ปีที่แล้ว +4

    Safari yenye Mungu mwanadamu huwezi kuibadili Hongera sana JPM mwanamapinduzi halisi

  • @jimwageonline6760
    @jimwageonline6760 4 ปีที่แล้ว +15

    Jembe langu sikufanya makosa kwa kura yangu

  • @mwamengele
    @mwamengele 4 ปีที่แล้ว +19

    History was secretly in the making on this very day and moment

  • @kallamudaily73
    @kallamudaily73 7 ปีที่แล้ว +16

    Sijui niseme nini, lkn nadhani huyu ni Rais na tangu mwanzo alikuwa naimani kuwa Mungu ndio muweza wayote na ndio maana muujiza ukatokea na kamati kuu ikamteuwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya ccm. Mungu ampe maisha mrefu yenye hekma busara utii na uadilifu ili ameze kutuongoza watanzania bila kujali itikadi zetu

  • @julianamasunga4147
    @julianamasunga4147 7 ปีที่แล้ว +16

    mzee wamakinia asante kwa uongozi uliotukuka.... 😍

  • @peteryohana7710
    @peteryohana7710 8 ปีที่แล้ว +11

    Mungu akupe maisha marefu

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 2 วันที่ผ่านมา

    Duh leo wote hampo khaa mzee wetu magufuli na mzee wetu khatibu

  • @edwinzakaria1284
    @edwinzakaria1284 6 ปีที่แล้ว +13

    Walipanga michongo ila hawakuamini macho yao hakika mungu yupo!

  • @salehabadsalehpur796
    @salehabadsalehpur796 5 ปีที่แล้ว +15

    Jamani huyu dereva wake tangu alipokuwa Waziri yupo wapi? Muheshimiwa usimtupe umetoka nae mbali.

  • @nitumesokoni3164
    @nitumesokoni3164 3 ปีที่แล้ว +3

    Daah udongo unameza sana. Leo hii hawa wawili wote hatunao. Mpumzike kwa amani wazee wetu

  • @delinadoublea4679
    @delinadoublea4679 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda sana rais wangu mwenyezi mungu akupe umri mrefu na hekima teleee

    • @delinadoublea4679
      @delinadoublea4679 4 ปีที่แล้ว +1

      Nampenda,huyu baba yan mungu ashindwi chochote

  • @ulrickmsemwa1692
    @ulrickmsemwa1692 7 ปีที่แล้ว +10

    kiongozi anaonekana tu kwa kutembea kwake,vaa yake,ongea yake, unajua kuwa huyu ndiye mteule wa mungu.

  • @onesmoakwilini6254
    @onesmoakwilini6254 5 ปีที่แล้ว +12

    SAFARI ILIANZIA HAPA..

  • @eliyahango3737
    @eliyahango3737 4 ปีที่แล้ว +6

    Mipango ya Mungu ya ajabu sana

  • @nabakitz83
    @nabakitz83 9 ปีที่แล้ว +27

    Who is like MAGUFULI!

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 5 ปีที่แล้ว +1

      Ni jembeeee

    • @jeanmubemba1204
      @jeanmubemba1204 5 ปีที่แล้ว

      HONESTLY NO ONE, WE MUST GIVE CREDIT WHERE IT IS,

    • @55goodmen
      @55goodmen 4 ปีที่แล้ว +1

      Magufuli a napita tu... Hakuna mtu anaweza kukingana na HEKIMA zako... 99% winner again

    • @zrazanzibarrespectiveacade9056
      @zrazanzibarrespectiveacade9056 4 ปีที่แล้ว

      No one like him

  • @dynamicplatform2102
    @dynamicplatform2102 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna wasenge mwisho walimcheka sanaaa

  • @rosekweka9544
    @rosekweka9544 5 ปีที่แล้ว +6

    Na mungu alisikia akakupa nafasi hiyo ili utuokoe baba piga kazi

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 3 ปีที่แล้ว +4

    Hakika inauma hakika hakuna mfano. Eh moyo wangu tulia usilie kwani ndivyo dunia ilivyo

  • @josephsaghana1056
    @josephsaghana1056 4 ปีที่แล้ว +3

    Mzee hakutaka wapambe nao wanaimba wimbo mmoja maendeleo safi sana.

  • @emanuelgaddafi7651
    @emanuelgaddafi7651 5 ปีที่แล้ว +6

    My president I proud of u

  • @dr.arthurnkalango3540
    @dr.arthurnkalango3540 5 ปีที่แล้ว +2

    JPM is very humble! Tujifunze kwake

  • @davidamos9048
    @davidamos9048 5 ปีที่แล้ว +7

    Never give up

  • @ommimg2467
    @ommimg2467 3 ปีที่แล้ว +4

    Miongoni mwa watu nimeshindwa kabisa kuwasahu huyu nae yupo😭. watz ni waoga kuhoji juu ya kifo cha huyu mkuu ila Mungu hana mipaka atafanya na Kuna kizaz kipo kitakachosimama kufichua Siri zote✊

  • @manyweletheboss6053
    @manyweletheboss6053 7 ปีที่แล้ว +12

    mshua peni iligoma ikataka ya chamaaaaaa ongeraaaa

  • @MiwagoTz
    @MiwagoTz 4 ปีที่แล้ว +3

    Daima Mungu mbele Tanzania tutafikia malengo

  • @kigomampyatv9209
    @kigomampyatv9209 4 ปีที่แล้ว +3

    Form .. Safari

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu hatujui mbele kuna nn tusaidie

  • @zuwenapeter218
    @zuwenapeter218 9 ปีที่แล้ว +8

    god bless our country's

  • @wisdomuta1039
    @wisdomuta1039 5 ปีที่แล้ว +4

    Pombe Magufuli Joseph (Dr.)

  • @thomaselibarick8058
    @thomaselibarick8058 4 ปีที่แล้ว +4

    mungu alituandalia jembe

  • @danielwapenanke4354
    @danielwapenanke4354 6 ปีที่แล้ว +5

    Hv alikuwa peke yake mungu akupe ujasili kuiongoza nchi hii

  • @fadhilamaleva691
    @fadhilamaleva691 6 ปีที่แล้ว +8

    magufuli anajiamini sana ivi nan aliedhani agepita kwenye kula za maoni mungu ana maksud yak

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 4 ปีที่แล้ว +3

    Very humble

    • @janjawild2241
      @janjawild2241 4 ปีที่แล้ว +3

      Wewe ndie Rais wangu miaka yote akika amtegemeae Mungu angushwi baraka ziwe kwako Rais wng Jonh Pombe Makufuri

  • @yussuphmartini1796
    @yussuphmartini1796 3 ปีที่แล้ว +5

    RIP MY HERO💥😭

  • @peterphilimonkamzola6244
    @peterphilimonkamzola6244 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema

  • @NdilanhaBoniphace
    @NdilanhaBoniphace 6 หลายเดือนก่อน

    2024 who still watching

  • @kalolokisweswe195
    @kalolokisweswe195 9 ปีที่แล้ว +27

    huyu mh ndiye anafaa

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 4 ปีที่แล้ว +3

    Mwisho alivyoondoka kasindikizwa na vicheko vya kejeli na hao waliocheka ndo wanaomlamba miguu asaiv kwa kumuimbia mapambio ya kumsifu..Bora mi nliempigia kura baada ya Bwana yule kuja kutuvurugia ukawa

  • @alfredjustinian9753
    @alfredjustinian9753 3 ปีที่แล้ว

    Daah nmekumbuka mbali saana

  • @titonkwabi7430
    @titonkwabi7430 ปีที่แล้ว

    Ni mara chache sana kumpata Rais mwadilifu,mcha Mungu,mtetezi wa wanyonge na mchapa kazi kama JPM.Katuachia kitu cha kujifunza watanzania,kuwa urais siyo fimbo ya kuumizia wananchi.Tutake tusitake wengi tutamkumbuka daima,ila wezi na wafujaji wa mali za uma watamchukia daima.

  • @zuwenapeter218
    @zuwenapeter218 9 ปีที่แล้ว +7

    god bless our country

  • @marcomuhoja5981
    @marcomuhoja5981 4 ปีที่แล้ว +3

    Ndiyo bg na nchi uliipata na umewanyoosha mpaka wamekuwa wadogo Kama piliton Mara ya Kwanza c walikuona simple

  • @danielmathias160
    @danielmathias160 3 ปีที่แล้ว +3

    RIP MR Magufuli

  • @akhousesolutionsltd9433
    @akhousesolutionsltd9433 9 ปีที่แล้ว +9

    ccm naipenda

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 6 หลายเดือนก่อน

    Mwenye kuitazama tena 2024😢

  • @allyshafi4391
    @allyshafi4391 ปีที่แล้ว

    Dah kwakweli Dunia kweli haimtaki mtu ila sie ndo tunaitaka Dunia, wote wawli now ni marehemu mh Moh'd Seifu khatibu pamoja na Dr John Magufuli Mungu awasamehe makosa yao wapumzike kwa Amani waliko

  • @shaabannyuge6857
    @shaabannyuge6857 5 ปีที่แล้ว +10

    Kweli alipangalo mola mja hawez pangua Dah!!

  • @hassanmfaume4522
    @hassanmfaume4522 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa alikuwa muoga sana maana hata kiti alikuwa anakikataa ah aha pia pen nayo alikataa khatari

  • @tresorbyamugu5934
    @tresorbyamugu5934 9 ปีที่แล้ว +2

    Mwenye uweza ni mungu pekee .atusaidie .ONA ribya ,misiri, kongo,naijeria, somalia ,burundi nk .wenye pesa watapaa .msikini sijui?olewao wenye mimba na wanyonyeshao .siasa tuachie wana siasa .

  • @yusufhussein6990
    @yusufhussein6990 9 ปีที่แล้ว +8

    final he did it

    • @kileohemed4417
      @kileohemed4417 6 ปีที่แล้ว +1

      Yusuf Hussein Yeees he did it

    • @kileohemed4417
      @kileohemed4417 6 ปีที่แล้ว +1

      ✌ yeees he did it 😀

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 2 ปีที่แล้ว

    Lalala Magu umelala
    Tanzania tuna kuliliyaaaaa
    Ebu funguwa machoooooooo
    Utuone babaaaaaa
    Song by Peter Msechu

  • @innocentmakundi2690
    @innocentmakundi2690 5 ปีที่แล้ว +3

    Naona Upo na wazehe kidogo hapo

  • @bakarihermund7449
    @bakarihermund7449 4 ปีที่แล้ว +2

    Mpka nimeona huruma aisee ...peke yake Nadhan kuna la kujifunza hapa

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 4 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe mr.pombe yupo kama mr.lugola ni mwendo wa kutembea na katba ya ccm

  • @jackisonijackisoni6715
    @jackisonijackisoni6715 5 ปีที่แล้ว +4

    Anajiamini
    Kinoma

  • @theophilojohn7331
    @theophilojohn7331 ปีที่แล้ว

    Kilakitu kinamwanzo wa safariyake na mwishowake jaman

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

    Dah! Dunia tunapita,,,,wote ni marehemu

  • @mukamambeba7966
    @mukamambeba7966 10 หลายเดือนก่อน

    Jamani Mungu huyu ..

  • @mgongolwajoseph6901
    @mgongolwajoseph6901 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee tutakukumbuka milele

  • @dyzoomgonja9892
    @dyzoomgonja9892 4 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe tulianzia hapa

  • @husseinntarugera3930
    @husseinntarugera3930 2 ปีที่แล้ว

    Dah Leo hatupo nae tena

  • @felicianmabepe3958
    @felicianmabepe3958 3 ปีที่แล้ว +1

    kama nasikia vicheko vya kejeli hapo mwishoni,, kweli usilolijua ni kama usiku wa giza

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 ปีที่แล้ว

      umeonaee yaani jmni watu mmmh kweli Mungu tuu Ajuae kesho ya mtu..Mungu Alitulia na Akamuinua mtumishi wake..sasa sijui hao waliochecka kwa kejeli walisemaje baada ya huyu mtu kuwa President..au?

  • @gideonkalumbu5220
    @gideonkalumbu5220 4 ปีที่แล้ว +2

    Ni mwaka ambao, kamwe,sitosahau.

  • @husseinntarugera3930
    @husseinntarugera3930 2 ปีที่แล้ว

    Kwel rais magufuri aliamumin sana muumba

  • @danieldonati5972
    @danieldonati5972 9 ปีที่แล้ว +8

    Alikuwa mnyenyekevu tangu hapo

  • @mahirwilliam5109
    @mahirwilliam5109 4 ปีที่แล้ว +4

    Chuma kikichukua fomu

  • @jumbekassim8958
    @jumbekassim8958 4 ปีที่แล้ว +1

    Baadhi ya watu walikua wakimcheka at ni nani ?? Ni pombe magufuli kwekwekwe.

  • @mussaulaya3926
    @mussaulaya3926 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna anaeijua kesho yake

  • @faustinekulwa2596
    @faustinekulwa2596 2 ปีที่แล้ว

    Jamani baba yetu rudi basi tumekumisss

  • @luchanoarkanjelo4115
    @luchanoarkanjelo4115 2 ปีที่แล้ว

    Baba John maguful rest in peace

  • @zozohmeed5546
    @zozohmeed5546 4 ปีที่แล้ว +2

    Mzee baba tuko nyuma yako tunakuombea

  • @barackramathan4871
    @barackramathan4871 4 ปีที่แล้ว +1

    dume la kisukuma we ndo rais tz

  • @jacoblaiser7634
    @jacoblaiser7634 4 ปีที่แล้ว

    Natamani na ningeweza itokee hivi kuwa HAKUTAKUWA na mgombea mwingine wa nafasi ya Uraisi atakayechukuwa fomu ya kugombea 2020 hadi 2025 isipokuwa JPM mwenyewe kwani ANATOSHA. Tumlipe nini kwa haya aliyotufanyia WATANZANIA ???? Malipo ni haya, wana CCM tusimpinge. Aachwe asimame mwenyewe.

  • @jeshilamtu863
    @jeshilamtu863 4 ปีที่แล้ว +1

    Rais anaonekanaga tuu

  • @okate98
    @okate98 9 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nimeona ni Kitabu cha wageni (au watia Nia ya Urais) kwa hiyo hakuna ubaya

    • @tanzaniakwanza9564
      @tanzaniakwanza9564 7 ปีที่แล้ว +1

      kwa sasa wajisikiaje baada ya kuona kashinda na hakwenda kama mgeni ??
      mbona huja delete comment yako??

    • @johnsimon4931
      @johnsimon4931 7 ปีที่แล้ว +1

      Sonjohn W. Joram hahaaaaaa

  • @johnkirambata9003
    @johnkirambata9003 5 ปีที่แล้ว +1

    ivi huyu jamaa aliyekuwa anamcheka Magu hapo pembeni yupo kweli kwenye uongozi mpaka sasa

  • @teulechristopher1845
    @teulechristopher1845 2 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaaa aliweka kitu hawez kasaulika

  • @smolletmwakamele4275
    @smolletmwakamele4275 3 ปีที่แล้ว

    Inaonekana walimchekaa kwaa zarauuuu sanàaa

  • @kassimulugajo6512
    @kassimulugajo6512 4 ปีที่แล้ว +1

    tumechoka kuisoma namba mzee tusamehe si makosa yetu kukuchagua

    • @man.lule.585
      @man.lule.585 4 ปีที่แล้ว +2

      Kassimu Lugajo Acha umbea Man, we ulichagua mafuriko ya Ukawa ndo laana zinakutesa mpka 2020. Na ikifika uchaguzi wa 2020 ukakosea tena utapagawa na utakuwa chizi.

    • @J4UPro
      @J4UPro 4 ปีที่แล้ว +2

      Kassimu Lugajo
      Acha uongo, fanya kazi mwanaume kulialia ni dhambi.

    • @kassimulugajo6512
      @kassimulugajo6512 4 ปีที่แล้ว

      ila uzuri wa bahati kama ni namba tunaisoma wote

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 5 ปีที่แล้ว +2

    Vema sn

  • @dorcasrenatus9960
    @dorcasrenatus9960 3 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭

  • @lucasmogoile7097
    @lucasmogoile7097 3 ปีที่แล้ว

    Ulale salama shujaa wetu ndoto umeitimiza alama umeacha

  • @zachariangocho4287
    @zachariangocho4287 9 ปีที่แล้ว

    Makubwa

  • @fredyhatari2572
    @fredyhatari2572 7 ปีที่แล้ว +3

    Wakati wa kuchukua fomu za kugombea urais Magufuli alimpongeza rais Kikwete kwa kutekeleza ilani uavuchaguzi kwa umakini Mkubwa, lakini leo anamkosoa, ccm kuna unafiki ulioshiba.