Grann Chaco
Grann Chaco
  • 5
  • 330 775
JOHN MAGUFULI ALIPOKUWA SEMINARI MWAKA 1975
John Pombe Joseph Magufuli alipokuwa kidato cha kwanza katika Seminari ya Katoke mwaka 1975.
มุมมอง: 9 344

วีดีโอ

Waziri Magufuli achukua fomu kuomba Kuteuliwa Kugombea Urais kupitia CCMWaziri Magufuli achukua fomu kuomba Kuteuliwa Kugombea Urais kupitia CCM
Waziri Magufuli achukua fomu kuomba Kuteuliwa Kugombea Urais kupitia CCM
มุมมอง 281K9 ปีที่แล้ว
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alisaini kitabu kabla ya kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM mkoani Dodoma. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) ya Idara ya Oganizesheni, Dk. Mohamed Seif Khatibu ndiye aliyemkabidhi fomu Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli. Safari ya chama cha mapinduzi ya k...
DKT.MAGUFULI ACHUKUA FOMU KUGOMBEA URAIS KUPITIA CCMDKT.MAGUFULI ACHUKUA FOMU KUGOMBEA URAIS KUPITIA CCM
DKT.MAGUFULI ACHUKUA FOMU KUGOMBEA URAIS KUPITIA CCM
มุมมอง 1.5K9 ปีที่แล้ว
Dkt.Magufuli amechukua fomu kugombea Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM. Kipaumbele ni kutekeleza kwa Vitendo Ilani ya Uchaguzi.
SUMAYE AKIFAFANUA UUZWAJI WA NYUMBA SERIKALI SWALI LA SAED KUBENEASUMAYE AKIFAFANUA UUZWAJI WA NYUMBA SERIKALI SWALI LA SAED KUBENEA
SUMAYE AKIFAFANUA UUZWAJI WA NYUMBA SERIKALI SWALI LA SAED KUBENEA
มุมมอง 29K9 ปีที่แล้ว
Frederick Sumaye alipotangaza nia ya kugombea na kujibu maswali ya waandishi. Swali hili pia amekuwa akiulizwa sana na waziri Dkt. Magufuli Swali : Ukiwa Waziri Mkuu serikalini ndio nyumba za serikali ziliuzwa kwa bei ya kutupwa, unasemaje kuhusu hili? Jibu: uuzwaji wa nyumba za serikali, Rais alishauri na Baraza la Mawaziri akakubali. Kuna tume tatu zilifanyia kazi suala hili kwa muda tofauti ...
DKT.BILAL NA DKT.MAGUFULI WALIPOKAGUA MZANI WA VIGWAZADKT.BILAL NA DKT.MAGUFULI WALIPOKAGUA MZANI WA VIGWAZA
DKT.BILAL NA DKT.MAGUFULI WALIPOKAGUA MZANI WA VIGWAZA
มุมมอง 10K9 ปีที่แล้ว
Makamu wa Rais Dk.Mohamed Bilal alipokagua mzani mpya na wa kisasa kabisa ambapo gari lisilozidisha litapima kwa sekunde thelathini badala ya dakika mbili. Mzani huu ni Weigh - In- Motion (WIM) gari litapima huku likienda.Pia ile danganya toto ya wizi ktk mizani kwisha na madereva wenye visingizio wanaonewa hawatakuwa na nafasi tena kwa kuwa wataonekana kupitia kamera zilizopo kwenye mzani. Mza...

ความคิดเห็น

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 2 วันที่ผ่านมา

    Duh leo wote hampo khaa mzee wetu magufuli na mzee wetu khatibu

  • @mgongolwajoseph6901
    @mgongolwajoseph6901 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee tutakukumbuka milele

  • @JUBRANBULAYHl-yb4ke
    @JUBRANBULAYHl-yb4ke 4 หลายเดือนก่อน

    Akasema: Je, sikukwambia kuwa hutaweza kunivumilia? ” Basi wakaondoka mpaka walipofika kwa watu wa mji fulani wakatafuta chakula kwa watu wake, lakini wakakataa kuwakaribisha, na wakakuta humo ukuta unaotaka kubomolewa, basi akausimamisha. Akasema: “Kama hukuchukua ujira kwa ajili yake (77) Ni wapi wanafanya kazi baharini, na nikataka kuipoteza, na kufaulu kwao ni mfalme anayechukua kila merikebu inayovurugwa (79). na aliye mwema wamezidiwa na dhulma na upatanisho (80), basi tukataka kuwaweka badala yao Mola wao Mlezi, kheri kuliko hiyo ni zaka na mkuruhu wa rehema. baba yao alikuwa mwadilifu, kwa hivyo Mola wako Mlezi alitaka kuifikia Yel kali zaidi isipokuwa mvumilivu kwake (82) Na wanakuuliza kuhusu Dhul-Qarnayn - Sema: “Nitakusomeeni ukumbusho wake” (83) Kwa nini ewe bwana wangu mtukufu je unakimbilia kunihukumu, basi subiri Mwenyezi Mungu humpa hekima amtakaye, basi nivumilie, kama alivyosema Mola wangu Mlezi katika wahyi madhubuti wa Qur'ani Tukufu, Mwenyezi Mungu Mtukufu. Anasema: Na wabashirie wenye subira ambao ukiwasibu msiba husema: “Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye tutarejea baraka zitokazo kwa Mola wao Mlezi na rehema hao ndio walioongoka [Surat Al-Baqarah: 155-157] Basi nivumilieni wala msikimbilie kuhukumu hili, na rehema za Mwenyezi Mungu na amani zimshukie Bwana wetu Muhammad na aali zake na maswahaba zake. juu yao wote, Ee Mungu, Amina, Mola Mlezi wa walimwengu wote☝🏻☝🏻🤲🤲☝🏻☝🏻.

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu hatujui mbele kuna nn tusaidie

  • @NdilanhaBoniphace
    @NdilanhaBoniphace 6 หลายเดือนก่อน

    2024 who still watching

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 6 หลายเดือนก่อน

    Mwenye kuitazama tena 2024😢

  • @dynamicplatform2102
    @dynamicplatform2102 8 หลายเดือนก่อน

    Kuna wasenge mwisho walimcheka sanaaa

  • @mukamambeba7966
    @mukamambeba7966 10 หลายเดือนก่อน

    Yani nikiangalia hii crip imani yangu kwa Mungu inaongezeka 😢

  • @mukamambeba7966
    @mukamambeba7966 10 หลายเดือนก่อน

    Jamani Mungu huyu ..

  • @titonkwabi7430
    @titonkwabi7430 ปีที่แล้ว

    Ni mara chache sana kumpata Rais mwadilifu,mcha Mungu,mtetezi wa wanyonge na mchapa kazi kama JPM.Katuachia kitu cha kujifunza watanzania,kuwa urais siyo fimbo ya kuumizia wananchi.Tutake tusitake wengi tutamkumbuka daima,ila wezi na wafujaji wa mali za uma watamchukia daima.

  • @boniphacelusato
    @boniphacelusato ปีที่แล้ว

    Kifo cha Magufuli kiliacha kovu kwenye moyo wangu. Nilimpenda kupitiliza.

  • @theophilojohn7331
    @theophilojohn7331 ปีที่แล้ว

    Kilakitu kinamwanzo wa safariyake na mwishowake jaman

  • @allyshafi4391
    @allyshafi4391 ปีที่แล้ว

    Dah kwakweli Dunia kweli haimtaki mtu ila sie ndo tunaitaka Dunia, wote wawli now ni marehemu mh Moh'd Seifu khatibu pamoja na Dr John Magufuli Mungu awasamehe makosa yao wapumzike kwa Amani waliko

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 2 ปีที่แล้ว

    Lalala Magu umelala Tanzania tuna kuliliyaaaaa Ebu funguwa machoooooooo Utuone babaaaaaa Song by Peter Msechu

  • @malubegaikuzi688
    @malubegaikuzi688 2 ปีที่แล้ว

    Kuma

  • @hassanmfaume4522
    @hassanmfaume4522 2 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa alikuwa muoga sana maana hata kiti alikuwa anakikataa ah aha pia pen nayo alikataa khatari

  • @teulechristopher1845
    @teulechristopher1845 2 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaaa aliweka kitu hawez kasaulika

  • @luchanoarkanjelo4115
    @luchanoarkanjelo4115 2 ปีที่แล้ว

    Baba John maguful rest in peace

  • @faustinekulwa2596
    @faustinekulwa2596 2 ปีที่แล้ว

    Jamani baba yetu rudi basi tumekumisss

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

    Dah! Dunia tunapita,,,,wote ni marehemu

  • @husseinntarugera3930
    @husseinntarugera3930 2 ปีที่แล้ว

    Kwel rais magufuri aliamumin sana muumba

  • @husseinntarugera3930
    @husseinntarugera3930 2 ปีที่แล้ว

    Dah Leo hatupo nae tena

  • @alfredjustinian9753
    @alfredjustinian9753 3 ปีที่แล้ว

    Daah nmekumbuka mbali saana

  • @ommimg2467
    @ommimg2467 3 ปีที่แล้ว

    Miongoni mwa watu nimeshindwa kabisa kuwasahu huyu nae yupo😭. watz ni waoga kuhoji juu ya kifo cha huyu mkuu ila Mungu hana mipaka atafanya na Kuna kizaz kipo kitakachosimama kufichua Siri zote✊

  • @wilkistajacob9516
    @wilkistajacob9516 3 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa amani baba ❤️

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc 3 ปีที่แล้ว

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty

  • @smolletmwakamele4275
    @smolletmwakamele4275 3 ปีที่แล้ว

    Inaonekana walimchekaa kwaa zarauuuu sanàaa

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 3 ปีที่แล้ว

    Hakika inauma hakika hakuna mfano. Eh moyo wangu tulia usilie kwani ndivyo dunia ilivyo

  • @danielmathias160
    @danielmathias160 3 ปีที่แล้ว

    RIP MR Magufuli

  • @felicianmabepe3958
    @felicianmabepe3958 3 ปีที่แล้ว

    kama nasikia vicheko vya kejeli hapo mwishoni,, kweli usilolijua ni kama usiku wa giza

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 ปีที่แล้ว

      umeonaee yaani jmni watu mmmh kweli Mungu tuu Ajuae kesho ya mtu..Mungu Alitulia na Akamuinua mtumishi wake..sasa sijui hao waliochecka kwa kejeli walisemaje baada ya huyu mtu kuwa President..au?

  • @mussaulaya3926
    @mussaulaya3926 3 ปีที่แล้ว

    Hakuna anaeijua kesho yake

  • @rutebukaanthony6299
    @rutebukaanthony6299 3 ปีที่แล้ว

    Dr. Magufuli was a faithful, strong and most confidential leader early. Rest in peace our Tz's Dad...!!!

  • @nitumesokoni3164
    @nitumesokoni3164 3 ปีที่แล้ว

    Daah udongo unameza sana. Leo hii hawa wawili wote hatunao. Mpumzike kwa amani wazee wetu

  • @nitumesokoni3164
    @nitumesokoni3164 3 ปีที่แล้ว

    Daah udongo unameza sana. Leo hii hawa wawili wote hatunao. Mpumzike kwa amani wazee wetu

  • @cheptoekbenniah4750
    @cheptoekbenniah4750 3 ปีที่แล้ว

    This day was a blessing to Tanzania

  • @brightluvanda2795
    @brightluvanda2795 3 ปีที่แล้ว

    Wote marehemu jamani,!,,ni khatibu na magufuli,,,MUNGU awarehemu!"amen.

  • @khadijanasibu7273
    @khadijanasibu7273 3 ปีที่แล้ว

    Ddffdguuyt

  • @lucasmogoile7097
    @lucasmogoile7097 3 ปีที่แล้ว

    Ulale salama shujaa wetu ndoto umeitimiza alama umeacha

  • @yussuphmartini1796
    @yussuphmartini1796 3 ปีที่แล้ว

    RIP MY HERO💥😭

  • @dorcasrenatus9960
    @dorcasrenatus9960 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭

  • @delaidelove8756
    @delaidelove8756 3 ปีที่แล้ว

    R I P magufuli wangu nimelia nimelia San nilikupenda mno baba umeumaliza mwendo😪😭😭😭

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 3 ปีที่แล้ว

    Kweli njia za Mungu kwa mwanadam hazitabiriki ofisini hapo walimchukulia poa Kuna muda walikuwa hawana time nae nao wandishi walimzarau Sana mpaka wakaangua kicheko mwacheni Mungu aitwe Mungu 🙏🙏🙏

  • @barackramathan4871
    @barackramathan4871 4 ปีที่แล้ว

    dume la kisukuma we ndo rais tz

  • @delinadoublea4679
    @delinadoublea4679 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana rais wangu mwenyezi mungu akupe umri mrefu na hekima teleee

    • @delinadoublea4679
      @delinadoublea4679 4 ปีที่แล้ว

      Nampenda,huyu baba yan mungu ashindwi chochote

  • @jeshilamtu863
    @jeshilamtu863 4 ปีที่แล้ว

    Rais anaonekanaga tuu

  • @jumbekassim8958
    @jumbekassim8958 4 ปีที่แล้ว

    Baadhi ya watu walikua wakimcheka at ni nani ?? Ni pombe magufuli kwekwekwe.

  • @victormhagama8004
    @victormhagama8004 4 ปีที่แล้ว

    Safari yenye Mungu mwanadamu huwezi kuibadili Hongera sana JPM mwanamapinduzi halisi

  • @jacoblaiser7634
    @jacoblaiser7634 4 ปีที่แล้ว

    Natamani na ningeweza itokee hivi kuwa HAKUTAKUWA na mgombea mwingine wa nafasi ya Uraisi atakayechukuwa fomu ya kugombea 2020 hadi 2025 isipokuwa JPM mwenyewe kwani ANATOSHA. Tumlipe nini kwa haya aliyotufanyia WATANZANIA ???? Malipo ni haya, wana CCM tusimpinge. Aachwe asimame mwenyewe.

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 4 ปีที่แล้ว

    utaona hawampi attention mtu wa watu..yaani haraka haraka aende..akawa anaaga jmni muniombee kwa Mweneyzi Mungu ila watu wako haya afu muitikio usiona mshiko mwishowe akaingia kwa gari kwa kuharakishwa kisha watu wakawa wanachecheka sasa sijui leo hii wanasemaje? kweli Mungu ndokabeba siri ya mtu...sie tunaangalia kwa macho tuu bila kujua. Tuhurumie Mungu wetu

  • @bakarihermund7449
    @bakarihermund7449 4 ปีที่แล้ว

    Mpka nimeona huruma aisee ...peke yake Nadhan kuna la kujifunza hapa