Kiukweli nimevutiwa sana na dada huyu anapenda kujua ukweli siokupinga bila kusoma dada mwenyezi mungu atakuongoza hujuwa haki napokeza shehe wetu unamjibu vizri kwa elemu saf
Subhanallah alhamdulillah 👏 asantee mungu kwa kunujaalia kua muislam na jaalia kizazi changu kiwe ni chenje kumjua Allah ameen👏 na inshaallah kwa uwezo wa Allah dada yetu ataslim ameen👏 shekhe mungu akupe umri mrufu na afya tele ili uwezi kuendelea kutuelimisha na kwa uwezo wa Allah wengi wataslim inshaallah 👏
Mashaallah Allah amuongoze huyu mdada apate ufahamu na aingie dini ya haki shekh tunakuombea pia Allah akuogoze umuelekeze huyo dada vizuri kabisa na Allah akulipe kwa kuitangza dini yake inshaallah
Masha allah dada ungekua muislam ww ungependeza sana, wallahi siku nikisikia umesilimu, nakuletea mabuibui na mitandio na majuba mazuri special kutoka Oman
Allah akuongeze shekh kwa darasa nzuri kama hata kuelewa basi hato elewa tena,na tujalibu kuona kile anacho eleza shekh kuliko kutaka kukosoa tu kwa chuki
Watu wengi wanafwata dini ya baba zao au mama zao,badala ya kutafuta na kuifuata dini ya kweli. Na huwezi kuijua dini ya kweli bila kusoma au kuwa mdadisi kama huyu anayejiita katoto ka yesu.M/mungu amfanyie wepesi ili afuate njia iliyonyooka. Aamiin yaa rabbil aa lamiin.
Dakika 5:45 hadi 6:20 hapa Mungu anaongelewa kama alikuwa anaongea na yeye mwenyewe kwa mantiki ya Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu, hapa Musa anaongelea UTATU MTAKATIFU (TRINITY) na sio kama wewe shekhe unavotoa maelezo yako unayoyajua wewe na waislamu wenzako. Dakika ya 9:32 - hadi 9:46 hapa mungu anamwita mungu mwingine "kwa jina la mwenyezi mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu"....
mashekh wengi wanapenda kuuponda wakristo lakini ,hawajui wenzao hawana hata hawajishulishi sanaa kuponda uislam ,acheni hizo ,mungu anajua sana kuliko sisi sisi tunaamini tuu
Mwanzo 1:26 Hapo usikimbie kupotosha kuwa Mungu hana sifa na tunapotoshwa na wachungaji wakati Biblia inafundisha Roho Mtakatifu Mwana wa Mungu na Mungu mwenyewe, hamuwezi kuelewa Biblia kwasababu Waislam hamna imani na Roho Mtakatifu zaidi ya Kuamini Majini na Majini ndio wamekataa Mungu hana Mwana wala hafanani na kitu chochote sasa mnasikiliza Majini na kuacha roho Mtakatifu
@@AgnessMpanduka-l5g Wew akili huna kasome vzr andiko ndo uje ubishane yesu anasem nkiend zang ntamwomba bba awaletee msaidiz . Alf anamalz yye akij atuwelezea ulmweng kuhus hak na hukum maan hatanena kwa shauri lake atanena kwa atayoyaskia ssa uyo roho mlienae nyiny msiojitambua ananenaje . Iv unajua kiswahil wew .inaendelea kusem akija atanitukuza mmi yan mung aje kumtukuza yesu we ni fala alf cc atuabudu majin ayo ni mafundisho ya kanisan ssi tunasujud km walivyosujud manabii na awo wana wa israel na maraika pia wanamsujudia mungu ila mikristo isyojitambua ndo imegoma fala wew
@@AgnessMpanduka-l5g Yan wew ukisom biblia na ukaimalz hutobishan na muslim , maan nyie mnafat maagizo ya wanadam tena wapagan ambao hawakuw na din , mfno mtu akifa mnawek mzk vp yesu aliekew? Mtu akif mnamvesha suty wakat uyo mnaemfta alvishwa sanda . Endleen kubarik ndoa za machoko kanisan achan na uislam
Mchungaji wako HAKUPI ELIMU YA DINI YAKO ,anakula SADAKA yako tu. Isome Biblia vizuri utaupata ukweli wa UISLAM ndani ya BIBLIA YAKO. Kwa bahata MBAYA kuna Biblia tofauti kwa kila MADHEHEBU
Biblia haijamtabilia mnae mwita Muhammad popote katika Biblia Kitabu cha mwanzo Mungu anamwambia Ibrahim mwanzo17:16 hajatajwa popote huyo Muhammad katika Biblia haiwezekani Manabii wote wameandikwa wote na mitume wadodo wadogo Huyo Muhammad kwa nini hajatajwa kama ni mtume wa kweli? Pia ukisoma kitabu kumbukumbu la torati 18:15-22 kwa nini huyu Muhammad hatujaona hata dalili, zake hata moja Pia pia manabii aliomwambia Ibrahim kuwa Mananabii na Mitume watatoka kwa uzao wa Sarah sio kwa mtu mwingine huyo Muhammad anatoka wapi huyo mtume ni wa Uongo amejipandikiza mwenyewe na anatumia njia za Majini ambao ni malaika waovu ndio walio unda hio Dini ya inayo endana na Majini sio Mungu wa kweli
@davidedward6053 Na waliomfuata Nabii Mussa kabla ya kuja Yesu nao wataenda jehanamu sio, halafu jehanamu sio ya kwako hivyo hauna mamlaka ya kuipangia watu wa kuingia.
Si habali ya kuapa, matayo 5:34 Yesu anasema lakini mimi nawaambia usiape kabisa hata kwa mbingu maana ndicho kiti cha enzi cha mungu, Bali ninyi maneno yenu yawe ndio ndio, sio sio maana Yazidi you hayo yatoka kwa Yule mwovu. Sasa tuape kwa nini? Allah si jina, ni sifa laweza kutumika hata katika bibilia Lina maana MUNGU, sasa jina lake nani? Maana miungu wako wengi, ndio maana kutoka 3:20 Mungu wa kweli anasema ,usiwe na miungu mingine ila mimi . Sasa huyo allah ambaye si wa bibilia sio wa kweli ni mmoja wa miungu mingine.
Naomba kuwasaidia hapo kwenye wingi aliokuwa akiutumia Allah Huo wingi unaitwa majestic plural yaani wingi wa kujisifu na kujitukuza Mfano mfalme wana kawaida kutumia hiyo majestic plural we kings of England Kingdom sio kwamba England ina wafalme wingi lahasha ila wingi wa kujisifu na kujitutukuza Kotini(mahakamani) pia hutumia hivyo The honor, my lord your majesty. Nina imani mmeelewa
Ni kitabu.cha Mungu shehe badilisha kauri yako sio kitabu.cha wakristo biblia inaonyesha Yesu alikuwa muislamiki ila mlimkataa na hilo ndilo kosa namba moja na ndio maana mashehe wengi wanajionyesha kuwa waganga wachawi yaani inauma sana Mungu baba Mungu mwana Mungu wa loho mtakatifu ee walifanya kikao ila waislamiki kusema Yesu hakufa ni tatizo kubwa sana siku ya mwisho Yesu ataelezea mwenyewe
MUHAMMAD AMSILIMISHA SHETANI Kitabu Asili ya Majini Ukurasa wa 20 INASEMA: Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanawe kuomba Msamaha kwa Mwenyezi Mungu, NI MTUME MUHAMMAD TU NDIE ALIYE MSILIMISHA SHETANI AKAWA MUISLAMU. Haya sio maajabu, maana tumesoma hapo kwenye Quran Surat Al Anaam kuwa Shetani anakaa kwenye NJIA ILIYO NYOOKA YA ALLAH. Na Njia iliyo nyooka ni UISLAMU Quran 6 aya ya 126 Na hii Dini ya Uislam, ndiyo Njia ya Mola wako Mlezi Iliyo nyooka. Tumezipambanua Aya kwa watu wanao kumbuka.
@@IsmailKhamis-c3tUnajua kwanini yesu kristo aliuwawa(mateso) ni kusawazisha(suluhu) ya dhambi...Unapomkosea Mungu na unamkosea mwanadamu ambayo inapelekea mtu kulalamika kumwambia Mungu kwanini.. Lakini kwa vile yeye anayelalamika mwenyewe ni mwenye dhambi ili afunge malalamiko...Mungu atamtazama Yesu Kristo kwanini huyu hakutenda dhambi bali ameteseka kwa sababu ya hao wenye dhambi..... Yesu aliteseka alitukanwa, alipigwa, alikufa, alijaribiwa na shetani, alivuliwa nguo(ina maana kali sana)n.k yote mabaya. ...Ili Mungu aonyeshe haki kwa...YESU ANAKUPENDA..... Maandiko yanasema Yesu kristo alijaribiwa katika yote bila dhambi..mf wa malalamiko soma jinsi habil anavyomlalamikia Mungu baada yake. kifo (Mwanzo 4:10). Waebrania 2:17 Kwa hiyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema na mwaminifu katika mambo ya Mungu, ili afanye *upatanisho* kwa dhambi za watu. Waebrania 2:17 [17]Hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, ili afanye suluhu kwa dhambi za watu wake.
@@IsmailKhamis-c3tkama huiamini kazi ya Yesu Kristo tayari wewe ni umepoteza kutoka hapa duniani... Ina maana umehukumiwa tokea hapa duniani kabisa(Haina haja ya kusema Bwana Bwana)... Tazama jinsi utakavyokufa na dhambi zako usipomwamini Yesu Kristo fanya kazi ya wokovu.. msingi wa jina Yesu..Manabii na wote na mitume na watu waote tunaokolewa kupitia Yesu Kristo kwa njia ya imani wewe ni nani.. Luka 24:47 na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanzia Yerusalemu. Yohana 3:18 Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.
Kuna vitu kwa marafik zetu wa kristo wanakosea sana kwa mfano pc ya Brian deacon aliigiza kama yesu picha yake mpk leo zipo makanisan na wanamfanya kama mungu wakat aliigiza tu na bibilia inasema usisujudie masanamu
Nimekaa usilam miaka 20 nikiutazama, niligundua mambo matatu,1( uongo) 2( uchawi / uganga) 3 (umalaya) nawapa mtihani, alie wahi kumshuhudia Mungu ndani ya uisilam anyooshe kidole, ukiona mtu ameacha ukristo akawa mwisilam, 1 anamajini anataka awe mganga ayatumikie, 2 anataka kuoa mke wapili na nk, shekhe kweli mjinga, mashekhe yote maongo tu kama babayao shetani, utakuta mala yesu nimtu kamawewe mala nimtume mala ninabii, sasa wapi na wapi, okokeni mpate nguvu mkisha mpokea huyu roho mtajawa na nguvu yakukemea hayo majini yenu, ooh utabili niwa muhamadi muhamadi ananguvu gani ananguvu tu zawanawke hapo sawa, nawaombeni waisilam msije linganisha muhamadi na yesu niijinga, mmoja marehem mwingine yuhai bado unalinganisha kifo na uhai. MPUMBAVUSANA,
O brain ulikurupuka 20 yrs km uliingia madrasa ulienda kuimba alif il ujue a ya kiarbu imefananaje huko uliko umepotoka na soma biblia vzr pia inaeleza mbn au unaimba tyu nakukauka koo ukidai unavunja makabat na nguv zagiza ulizonazo mana huwez vunja ushirikina km we si mshirikina
Elewa Allah ni Mungu kwa lugha ya kiarabu(God)elewa hivyo wewe mkristo wacha kujichanganya,soma Bible vizuri wacha kusomewa na ma pasta ,hapo ukisoma vizuri utajuwa kwamba huyo Mungu mmoja ndiye Mungu wa viumbe vyote bila kubagua muislamu ama mkristo
@@mudighurayra Hiyo siyo Propaganda ni Ukweli harisi na ndivyo ilivyo na Google Al hajar Al aswad Uone live Waarabu wanavyogombea kuligusa, kulibusu na hija mnaenda hapo kulizunguka mara Saba na likichafuka linapakwa mafuta!!
Wewe ni mjinga tuu! Ile ndyo nyumba halisi ya Ibrahim halafu wewe unatowa viigizo. Wewe hujui ya kwamba ukristo ni upagani was kirumi? Paulo kajinfanya Yesu Mungu na yeye Paulo mtume. Ndo mana munasena Yesu ni mwana wa Mungu na Mungu mwenyewe, hii ndyo ile yakwamba mbuzi anazaa mbuzi. Kama Kwa hiyali Hugo, basi ni sahii kusema yesu ni Mariamu kwasababu kazaliwa na Mariamu. Ndo mana munamkana Mariamu na kusema mwana wa Mungu. Haha basi, yaani Adam hasiwe mwana wa Mungu ndyo hawe Yesu? Pumbavu tupu huo ukristo. Wewe unajuwa maana ya Alleluia? Mbona kila siku munataja Hallelujah? Basi ufaamu ya kwamba Hallelujah ni Allah.
Jina la Bwana Wetu Yesu Kristo litukuzwa kwanza huu binti nampa pole sana Pia katika Biblia Ukisoma kitabu cha Yohana utaona Kwamba Yesu ndie alie umba Pamoja na baba yake ndiomana anasema Tumfanye mtu kwa mfano wetu Yohana 1:1-7 So katika KITABU Chenu Mungu mmoja hawezi sema tumfanye au tumtume inamaana niwawili hao acha uongo Shekh Sisi sio watoto na huyo Binti usije ukadanganywa hao niwapinga Kristo binti yetu baki na Imani yako dadaangu ❤
Maelezo yko si sahihi maana iyo ni mwanzo 1 26 ukiendlea 27 inasema mungu akamuumba mtu kwa mfano wake hii ya ishirini na sita ukisoma maelezo yke inasema mungu alitumia wingi kwa sababu ya kuonesha ukubwa wake yaani majestic plural
Kuwa mwehu si lazima uokote makopo! Uwezo wako wa kufikiri ukiwa chini sana pia ni wehu! Wayahudi wachache walimuuwa Yesu na siku ya hukumu atawamudu vipi wakati kutakuwa na ongezeko la Wanyakyusa na Wandengereko? Fikiri vizuri acha jazba
Porojo tu hujui kinachosemwa kiswahili ulikimbia nini shuleni.Halafu hicho kilichooneshwa Ni kurani au biblia.Hiy nidini ya pesa Kwahiy wat hawezi kuharib biashar zao.
Umeambiwa ujibu swali hili...mungu wenu amewaahidi wanawake wengi wengi Peponi kwenu...mbona mungu wenu amewaahidi kufanya unzinzi mbinguni...? Ni mbigu gani hiyo...YESU KRISTO alitwambia kuwa wale watakao fan ikiwa kuingia mbinguni watakuwa kama Malaika, wala mbinguni Hawaoi wala hawaolewi...YESU alisema hivyo...
najua unaamiini ila unashindwa kuubali ukweli kwasababu hujui utaanzia wapi ila ndani ya moyo wako liko linalokushughulisha, Sawa lete aya ya hilo usemalo rafiki yangu mwema.
Shekhe umejichanganya kwetu na kumtukana Mungu wetu ngoja nikuonyeshe mwenyezi mungu wenu anachokiomba kwenu ambacho ni sifa ya kiumbe mwenyezi mungu wenu anaomba kunusuriwa maana yake aokolewe na nyie waislamu mulioamini quruan 47:7 na nyingine Allah anafanya maombezi hiyo ni sifa ya mbinadamu quruan 32;4 na 33;56 Quran Allah anaswali zippo nyingi Aya kwenye Quran zinazoonyesha uzaifu WA Allah wew hiyo Aya ya 112 :4 inapingwa na Aya ya 24:35 allah ana mfano haya tetea hiyo wewe
Mkiwa mnasoma muwe mnasoma na ufafanuz wa Aya sio kukurupuka tu mtakuja kuabika Bure,,,,,maan ya hiyo Aya ya kumnusuru Allah sio kama unalivyoelewa wew,, kumnusuru ni kuitangaza dini yake kwa watu na kuifundisha dini yake watu waelewe dini ya haki ni ipi ndio ilivyomaanisha sio kwamb anaomba msaada mkisoma Aya muende mkagoogle ufafanuz wa Aya Kam hamna misahafu ya tafsiri
@MiishHassan-qm1et ngoja nikusaidi huone kunusuriwa 47:7 -13 ona hao walikuwa wakiteketea hawakuwa na wakuwanusuru ngoja nikusaidi hapo kwetu utasikia basi rimeanguka wamekufa kadhaa wamenusurika kadhaa
@@prochesernest5439 Sasa unatak kuforce ufafanuz au maan ya neno iwe kama unavyoelewa wew ndio iwe hivyo,,,,hata maswahaba ilikuwa ikishuka Aya ikiwa ktk fumbo au wao wakaielewa vibaya wanamuuliza mtume hii Ina maan gan mtume anawaelezea so Kam mtume alishaelezea maan ya Aya inamaanisha nin,,, wew endelea kuforce maan unayoitaka wew ndio iwe iyo lkn ndio ishaelezewa hivyo hutabadilisha chochote,,pia maan ya neno linaweza kuwa na maan Zaid ya Moja na ufafanuz ukawa mpn Zaid hata wao waliuliza tutamnusuru vipi Allah wakat yey ananguvu ni muweza wa Kila Jamba ndio wakaaambiwa kumnusuru Allah sio hivyo mnavyofikiria Bali ni ktkt kuipigania dini yake na kuitangaza hope umeelewa mpk hapo
Soma tena mwanzo 28/22 wewe usiwe na jazina na mambo ya mungu yesu anasema jiwe walolikataa waashi limekuwa jiwe😮😂 kuu la pembeni soma mathayo 21/42 nakupenda njoo ktk uisilam
allah mungu mbalamwezi mungu wa warabu bila kiaribu akuna islamu utamaduni wa warabu wandanganye wasiyo ijuwa biblia na uyo dada utamndanya sababu aijui qruan
KUTUMIA WINGI KATIKA MAZUNGUMZO: Rais Mkapa: Ndugu wananchi, kwahakika tunasikitika sana kwa ajali ya MV Bukoba iliyotokea. Aliyezungumza ni Mkapa na si kwamba watanzania walimueleza kuwa wanasikitishwa.
QUR AN 2:91 NA WANAPO AMBIWA:YAAMININI ALIYO YATEREMSHA MWENYEZI MUNGU.WAO HUSEMA:TUNAAMINI TULIO TEREMSHIWA SISI.NA HUYAKATAA YASIO KUWA HAYO.NA HALI YA KUWA HII NDIO HAKI INAYO THIBITISHA YALE WALIO NAYO WAO.SEMA:MBONA MLIWAUA MANABII WA MWENYEZI MUNGU HAPO ZAMANI IKIWA KWELI MLIKUWA WAUMINI? kwa aya hii ni ishara tosha biblia haijakamilika inana masahihisho mengi sana lakini mungu humuokoa yule alie tayar msikivu ajifunzae kusikiliza kusoma na kuelewa lakini wale wasio kubali basi na wasubiri katika hayo walio danganywa na wanaadamu wenzao na kupinga kama wale wa zamani wakaishia kuangamia muislamu ashukuru kwa neema ya kuzaliwa pia tuwaombee wenzetu wapate kujifunza na kuelewa.
Subhana llah Alhamdulilah ❤asante mungu kuzaliwa muislam
HAKIKA UISLAM NDIO DINI YA KWELI MBELE YA MWENYEZI MUNGU! sheikh mungu akuongoze kwa somo zuri sana
Huyu dada anatakiwa apewe elimu kuhs Muhammad tena asome usiku historia yake, atabadlka ❤ jarbu dada
Kiukweli nimevutiwa sana na dada huyu anapenda kujua ukweli siokupinga bila kusoma dada mwenyezi mungu atakuongoza hujuwa haki napokeza shehe wetu unamjibu vizri kwa elemu saf
Aaaamin
Subhanallah alhamdulillah 👏 asantee mungu kwa kunujaalia kua muislam na jaalia kizazi changu kiwe ni chenje kumjua Allah ameen👏 na inshaallah kwa uwezo wa Allah dada yetu ataslim ameen👏 shekhe mungu akupe umri mrufu na afya tele ili uwezi kuendelea kutuelimisha na kwa uwezo wa Allah wengi wataslim inshaallah 👏
Ameen
Vp musilimuumin
Hi
Mashaallah Allah amuongoze huyu mdada apate ufahamu na aingie dini ya haki shekh tunakuombea pia Allah akuogoze umuelekeze huyo dada vizuri kabisa na Allah akulipe kwa kuitangza dini yake inshaallah
Kaka upo vizuri sana maashallah. Wallah umenifanya nikufuatilie sana wallah maashallah ❤
Mashaa Allah Shukrani xana Shekh unafundisha vizuri mno hata wasio waislam wanafaidika mno. Allah akujalie kuweza.
Sheh nakukubali sana unabusara zakujibu sana mungu akubariki ishaala hunajazba kwenyekujibu
Masha allah dada ungekua muislam ww ungependeza sana, wallahi siku nikisikia umesilimu, nakuletea mabuibui na mitandio na majuba mazuri special kutoka Oman
Usingoje mpaka ASILIMU,mpelekee haraka
Allah akuongeze shekh kwa darasa nzuri kama hata kuelewa basi hato elewa tena,na tujalibu kuona kile anacho eleza shekh kuliko kutaka kukosoa tu kwa chuki
Jazzakallah alhamdulilahi rabil lhalamina
Yaani biblia imemtaja ALLAH takbiri Yaani wakristo wasiposilimu mtaishia motoni
Silimu mdogo wangu unaejiita katoto ka Yesu nakushauri
Uyo ataelewa tu inshaaAllah kama anatafuta haki na ukweli mueleweshen vzr tu
inshaall MUNGU atambainishia ukweli na atamuingiz kwenye neema ya kuwa Muslim inshaall
Katoro ka yesu nakuahid ukislim tu nakuoa Ahsante 😊
Mungu ni mmoja yale majina n mengine ni makabila tofauti
My dear sister I think that is welcome to our religion
Mashaallah sheh wape dozo kote kote maana wakaid hao
Mungu Hana sifa ya kuzaa Wala kuzaliwa hivyo kama yesu alizaliwa basi siyo mungu anaefaa kuabudiwa
Elimu waislam uwa ni kipengele sana kwenu
Watu wengi wanafwata dini ya baba zao au mama zao,badala ya kutafuta na kuifuata dini ya kweli.
Na huwezi kuijua dini ya kweli bila kusoma au kuwa mdadisi kama huyu anayejiita katoto ka yesu.M/mungu amfanyie wepesi ili afuate njia iliyonyooka.
Aamiin yaa rabbil aa lamiin.
Utaraniwa wew mwisiramu
Allah katajwa lakini bado hawataamini,sasa sijui wanataka nini tena.
Namshukuru mwenyezi Mungu kwakunichagua kuwa muilam.
Yaa Allah, Yaa Kariim,Yaa awaal,Yaa mujib,Yaa hayyu,Yaa Qayyum,Dhur Jalaal wal Iqram.
Sheh nakukubali sana
Dakika 5:45 hadi 6:20 hapa Mungu anaongelewa kama alikuwa anaongea na yeye mwenyewe kwa mantiki ya Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu, hapa Musa anaongelea UTATU MTAKATIFU (TRINITY) na sio kama wewe shekhe unavotoa maelezo yako unayoyajua wewe na waislamu wenzako. Dakika ya 9:32 - hadi 9:46 hapa mungu anamwita mungu mwingine "kwa jina la mwenyezi mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu"....
Kwahvyo MUNGU wako wangapi??
mashekh wengi wanapenda kuuponda wakristo lakini ,hawajui wenzao hawana hata hawajishulishi sanaa kuponda uislam ,acheni hizo ,mungu anajua sana kuliko sisi sisi tunaamini tuu
Mwanzo 1:26 Hapo usikimbie kupotosha kuwa Mungu hana sifa na tunapotoshwa na wachungaji wakati Biblia inafundisha Roho Mtakatifu Mwana wa Mungu na Mungu mwenyewe, hamuwezi kuelewa Biblia kwasababu Waislam hamna imani na Roho Mtakatifu zaidi ya Kuamini Majini na Majini ndio wamekataa Mungu hana Mwana wala hafanani na kitu chochote sasa mnasikiliza Majini na kuacha roho Mtakatifu
Wewe ni fala san iyo ni 1:26 soma na 27 inasema basi mungu akaumba mtu kwa mfano wake vp apo wale wenzake kawakataaa au 😂😂😂😂 kichwa maji wew
@@Denyo11wiggoKwa hiyo iyo alosona yy sio biblia. Jinga kabisa ulitakiw Ilo swali ukamuulize mchungaji wako
@@AgnessMpanduka-l5g Wew akili huna kasome vzr andiko ndo uje ubishane yesu anasem nkiend zang ntamwomba bba awaletee msaidiz . Alf anamalz yye akij atuwelezea ulmweng kuhus hak na hukum maan hatanena kwa shauri lake atanena kwa atayoyaskia ssa uyo roho mlienae nyiny msiojitambua ananenaje . Iv unajua kiswahil wew .inaendelea kusem akija atanitukuza mmi yan mung aje kumtukuza yesu we ni fala alf cc atuabudu majin ayo ni mafundisho ya kanisan ssi tunasujud km walivyosujud manabii na awo wana wa israel na maraika pia wanamsujudia mungu ila mikristo isyojitambua ndo imegoma fala wew
@@AgnessMpanduka-l5g Yan wew ukisom biblia na ukaimalz hutobishan na muslim , maan nyie mnafat maagizo ya wanadam tena wapagan ambao hawakuw na din , mfno mtu akifa mnawek mzk vp yesu aliekew? Mtu akif mnamvesha suty wakat uyo mnaemfta alvishwa sanda . Endleen kubarik ndoa za machoko kanisan achan na uislam
Mashallah mungu akulipe shekhe wetu akili kubwa.sana hiyo
Lakini ukweli huyu Mtoto wa Yesu ni mzuri mnoo, imagine akiwa amevaa nikab na baibui yake mwenyewe so mashaAllah ❤❤😊😊
😭
Takbir
Allahu Akbar ❤❤❤
Allah Akbar
Maashallah ❤
Mashallah❤❤❤
Mungu si mbinafi japo mkubwa aliwashirikisha malaika wake alwahu Akbar uu Akbar
Jina la Mungu wetu ni Yehova siyo alaah
Yehova umetoa kitabu Gani?
Au hauamini kua hiyo no bibilia?
We mjinga mungu unaweza kumuita jina lolote hata kilugha chako
Sheikh unatoa eliminate njema nzur kwa ability ya Allah unamfundisha toto la yes ila wataelewa we give juu ya Allah wa kweli
Allah amfanyie wepesi katoto Ka yesu aijue Haki na aitambue batil pia Amjue Allah kama ndio mungu sahihi katika nafsi Yake 😢😢😢
Wewe shehe usijifanye mwalimu sana weka mdahalo na Ndacha uone moto wake shida uzeni Quran za kiswahili
@@farajapeasonmagota8226 mwambie ndacha aje nimsilimishe Insha Allah
Dini ya kweli ni kumpendeza Mungu akufata matakwa yake sio dini
Swadaputa nimelewa hio point, coz pia mm nlikua na shaka na hio wingi ktk Quran. Alhamudulilah.
Efeso 1:13 alafu Arabuni sio waarabu msimdanganye uyoo dada
Na roho mtakatifu sio muhamed soma maandiko ya bibilia vizuri usichope chope vifungu
Wakristo mwatakaje cjui wakati hakki iko wazi
JAMANI MBONA WANAKOMENT WAISLAMU TU!!
Imani ya kislam wanaamini kuwa watapewa na Mungu wao mto wapombe
We umeliona hilo ndio linamaana sana kuliko hoja za msingi zilizo zungumzwa
Mchungaji wako HAKUPI ELIMU YA DINI YAKO ,anakula SADAKA yako tu. Isome Biblia vizuri utaupata ukweli wa UISLAM ndani ya BIBLIA YAKO. Kwa bahata MBAYA kuna Biblia tofauti kwa kila MADHEHEBU
Vp ameshaslim c aliahidi akijibiwa ataingia kwenye dini yetu ya haki🎉
Umempa Elimu nzur ALLAH akusimamie hivi ndo wanavyo taka kusomeshwa ili hafaham
Hapo mkristo mwezi D 2 tayari ameshaelewa ila kitakachomzuia niubishi tu kumisi kwaya na matarumbeta 😎
Imani yako ndio itakuponya
Mkikosag prent ndo mnajibugi ivyo😂😂😂
Ushindwe
Mashallah.
Assalam Alaykum ndugu yangu sheikh ungewapa na Aya kuwa ni washirikina (Wakirsto) ,👉🐜Qur'ani 98:6
👉Qur'ani 3:186.
Allah sio Mungu Allah ni pepo acha kupotosha watu wewee. ....Al + lah ni mungu wa Maka na mungu wa alkaabah na Mungu wa maquraish..
Ameshafahamu iliyobaki ni ukaidi wake tu lkn ukweli ndio huo
Huyu dada akabidhiwe Mazinge
Huyu ameshaelewa haina haja ya kumpeleka kwa mazinge.
Huyu kilichobaki niku silimishwa tu
Wapinga Kristo.
Kama hataelewa na kuslim huyu kitoto cha yesu basi hataslim maisha yake yote
Nawaonea huruma waislam,ni vipofu walimu wa vipofu wamepotea
Wakristo someni bibilia acheni ujinga muambiwe vipi
Biblia haijamtabilia mnae mwita Muhammad popote katika Biblia Kitabu cha mwanzo Mungu anamwambia Ibrahim mwanzo17:16 hajatajwa popote huyo Muhammad katika Biblia haiwezekani Manabii wote wameandikwa wote na mitume wadodo wadogo Huyo Muhammad kwa nini hajatajwa kama ni mtume wa kweli?
Pia ukisoma kitabu kumbukumbu la torati 18:15-22 kwa nini huyu Muhammad hatujaona hata dalili, zake hata moja
Pia pia manabii aliomwambia Ibrahim kuwa Mananabii na Mitume watatoka kwa uzao wa Sarah sio kwa mtu mwingine huyo Muhammad anatoka wapi huyo mtume ni wa Uongo amejipandikiza mwenyewe na anatumia njia za Majini ambao ni malaika waovu ndio walio unda hio Dini ya inayo endana na Majini sio Mungu wa kweli
Shehe wangu wewe ni mwalimu tosha kama wasipokuelewa basi tena hasara ipo kwao na moto unawahusu
ALLAH sio mungu tunaomjua sisi wakristo ..hii Haina mjadala
Hulazimishwi kukubali baki katkika uelewa wako huo huhu
Fungua nafasi ya kupokea elimu sahihi na kuipima
@slymsameer5415 Kabisa huu ndo uwelewa wangu
@AyubuIkaku nilishafungua nafsi kitambo nikagundua njia ni Moja tu ya kumfikia mungu nayo ni yesu kristo,zengine zilizobaki ni za jehanamu
@davidedward6053 Na waliomfuata Nabii Mussa kabla ya kuja Yesu nao wataenda jehanamu sio, halafu jehanamu sio ya kwako hivyo hauna mamlaka ya kuipangia watu wa kuingia.
Sheikh MMUNGU akupe kila lenye heri na neema zaidi ya kuelemisha na kuwatoa gizani ili waujue ukweli sio ibaada Yao ya kuimba na makele
Hebu Hao Wakiristo Watutajie Angalau Mtume Mmoja MZUNGU. Mitume 25 Wote Ni Wakutoka UARABUNI
VAN DAME🤣
Waizrael wamekua Waarabu? Acha kujazwa maneno na mashehe kasome mwenyewe.
Si habali ya kuapa, matayo 5:34 Yesu anasema lakini mimi nawaambia usiape kabisa hata kwa mbingu maana ndicho kiti cha enzi cha mungu, Bali ninyi maneno yenu yawe ndio ndio, sio sio maana Yazidi you hayo yatoka kwa Yule mwovu. Sasa tuape kwa nini? Allah si jina, ni sifa laweza kutumika hata katika bibilia Lina maana MUNGU, sasa jina lake nani? Maana miungu wako wengi, ndio maana kutoka 3:20 Mungu wa kweli anasema ,usiwe na miungu mingine ila mimi . Sasa huyo allah ambaye si wa bibilia sio wa kweli ni mmoja wa miungu mingine.
katoto Ka yesu kafanya ubao wa kutufundisha sisi wa islamu ALLAH AKUBARIKI IN SHAA ALLAH
Katoto kayesu asipoelewa hapo bhasi atokuja kuelewa tena hata Yesu akirudi kumwelekeza atoelewa.
Mimi napita tu
Ki toto cha yesu pia si ki toto cha yesu.maana hata hiyo bibilia pia hajui sasa ata elewa Quran.happo kazi munayo ma shekh naona kazi iko
Asww cheh naomba munijuliche yesu alikufa munipe mandiko kwaju wakristo wananipa chida
Mungu akamwambia yacob badala ya Mohamed akamwambia Na wafalme watatoka tumboni mwako
Allah ni lugha gani kama sio kiarabu
Huyo Binti anatumia jina Gani Instagram?
Je manabii wa kale walitaja allah
Naomba kuwasaidia hapo kwenye wingi aliokuwa akiutumia Allah
Huo wingi unaitwa majestic plural yaani wingi wa kujisifu na kujitukuza
Mfano mfalme wana kawaida kutumia hiyo majestic plural we kings of England Kingdom sio kwamba England ina wafalme wingi lahasha ila wingi wa kujisifu na kujitutukuza
Kotini(mahakamani) pia hutumia hivyo
The honor, my lord your majesty. Nina imani mmeelewa
Ni kitabu.cha Mungu shehe badilisha kauri yako sio kitabu.cha wakristo biblia inaonyesha Yesu alikuwa muislamiki ila mlimkataa na hilo ndilo kosa namba moja na ndio maana mashehe wengi wanajionyesha kuwa waganga wachawi yaani inauma sana Mungu baba Mungu mwana Mungu wa loho mtakatifu ee walifanya kikao ila waislamiki kusema Yesu hakufa ni tatizo kubwa sana siku ya mwisho Yesu ataelezea mwenyewe
Huyu dada si msomaji kabisa
Akislimu naombeni awe shemeji yenu, katoto ka yesu kana sura nzuri, pia nitaomba michango yenu ya harusi
MUHAMMAD AMSILIMISHA SHETANI
Kitabu Asili ya Majini Ukurasa wa 20 INASEMA: Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanawe kuomba Msamaha kwa Mwenyezi Mungu, NI MTUME MUHAMMAD TU NDIE ALIYE MSILIMISHA SHETANI AKAWA MUISLAMU.
Haya sio maajabu, maana tumesoma hapo kwenye Quran Surat Al Anaam kuwa Shetani anakaa kwenye NJIA ILIYO NYOOKA YA ALLAH. Na Njia iliyo nyooka ni UISLAMU Quran 6 aya ya 126 Na hii Dini ya Uislam, ndiyo Njia ya Mola wako Mlezi Iliyo nyooka. Tumezipambanua Aya kwa watu wanao kumbuka.
Yesu Kristo alikufa kwa ajili yenu...
Mungu alikufa Kwa ajili yenu .tumia akilizako vizuri
@@IsmailKhamis-c3tUnajua kwanini yesu kristo aliuwawa(mateso) ni kusawazisha(suluhu) ya dhambi...Unapomkosea Mungu na unamkosea mwanadamu ambayo inapelekea mtu kulalamika kumwambia Mungu kwanini.. Lakini kwa vile yeye anayelalamika mwenyewe ni mwenye dhambi ili afunge malalamiko...Mungu atamtazama Yesu Kristo kwanini huyu hakutenda dhambi bali ameteseka kwa sababu ya hao wenye dhambi..... Yesu aliteseka alitukanwa, alipigwa, alikufa, alijaribiwa na shetani, alivuliwa nguo(ina maana kali sana)n.k yote mabaya. ...Ili Mungu aonyeshe haki kwa...YESU ANAKUPENDA.....
Maandiko yanasema Yesu kristo alijaribiwa katika yote bila dhambi..mf wa malalamiko soma jinsi habil anavyomlalamikia Mungu baada yake. kifo (Mwanzo 4:10).
Waebrania 2:17 Kwa hiyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema na mwaminifu katika mambo ya Mungu, ili afanye *upatanisho* kwa dhambi za watu.
Waebrania 2:17
[17]Hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, ili afanye suluhu kwa dhambi za watu wake.
@@IsmailKhamis-c3tkama huiamini kazi ya Yesu Kristo tayari wewe ni umepoteza kutoka hapa duniani... Ina maana umehukumiwa tokea hapa duniani kabisa(Haina haja ya kusema Bwana Bwana)... Tazama jinsi utakavyokufa na dhambi zako usipomwamini Yesu Kristo fanya kazi ya wokovu.. msingi wa jina Yesu..Manabii na wote na mitume na watu waote tunaokolewa kupitia Yesu Kristo kwa njia ya imani wewe ni nani.. Luka 24:47 na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanzia Yerusalemu.
Yohana 3:18 Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.
Kuna vitu kwa marafik zetu wa kristo wanakosea sana kwa mfano pc ya Brian deacon aliigiza kama yesu picha yake mpk leo zipo makanisan na wanamfanya kama mungu wakat aliigiza tu na bibilia inasema usisujudie masanamu
Basi itakuwa wewr kilaza
Hakunaga njia mbili za kwenda mbinguni njia ni moja tu.....ya YESU KRISTO....wengine ni wazi na wanyanganyi....😂
endelea hivyo hivyo utakuja kukiona unachokizungumza
Nimekaa usilam miaka 20 nikiutazama, niligundua mambo matatu,1( uongo) 2( uchawi / uganga) 3 (umalaya) nawapa mtihani, alie wahi kumshuhudia Mungu ndani ya uisilam anyooshe kidole, ukiona mtu ameacha ukristo akawa mwisilam, 1 anamajini anataka awe mganga ayatumikie, 2 anataka kuoa mke wapili na nk, shekhe kweli mjinga, mashekhe yote maongo tu kama babayao shetani, utakuta mala yesu nimtu kamawewe mala nimtume mala ninabii, sasa wapi na wapi, okokeni mpate nguvu mkisha mpokea huyu roho mtajawa na nguvu yakukemea hayo majini yenu, ooh utabili niwa muhamadi muhamadi ananguvu gani ananguvu tu zawanawke hapo sawa, nawaombeni waisilam msije linganisha muhamadi na yesu niijinga, mmoja marehem mwingine yuhai bado unalinganisha kifo na uhai. MPUMBAVUSANA,
yaani ww ni 0000000 km yesu alikuwa akimuabudu ALLAH na biblia inamtambua ALLAH sasa ww na yesu na anajua Msiposilimu mtaishia motoni milele
Hukuujua uislam soma tena😅😅
Ulikuja ukiwa na ushirikinq na uchawi na uchafu hukuwa kuislam kaoge ujitwaharishe mana bado hukuwa nazif
Sub'haana llah wewe omba Toba ya kweli wewe wallah nakuskitikia ungekuwa nabusala za huo ukristo wako usnge comment kwa kutukana mambo isiyo yajua daaaah yarabby muongoze huyu allahumma ameeen 🤲
O brain ulikurupuka 20 yrs km uliingia madrasa ulienda kuimba alif il ujue a ya kiarbu imefananaje huko uliko umepotoka na soma biblia vzr pia inaeleza mbn au unaimba tyu nakukauka koo ukidai unavunja makabat na nguv zagiza ulizonazo mana huwez vunja ushirikina km we si mshirikina
Bado ata ujamshawishi uyu binti kubadili njia ya kweli ya kwenda mbinguni na kwenda dini ya haki
Elewa Allah ni Mungu kwa lugha ya kiarabu(God)elewa hivyo wewe mkristo wacha kujichanganya,soma Bible vizuri wacha kusomewa na ma pasta ,hapo ukisoma vizuri utajuwa kwamba huyo Mungu mmoja ndiye Mungu wa viumbe vyote bila kubagua muislamu ama mkristo
Waislamu ndiyo mna ukafiri na Washirikina!! Wanamshirikisha Mungu kwa kulisudia Al hajar Al aswad lililoko kwenye Kaaba kule Makka
😂😂😂tangu upate iyo propaganda umekua huna jambo jengine
@@mudighurayra Hiyo siyo Propaganda ni Ukweli harisi na ndivyo ilivyo na Google Al hajar Al aswad Uone live Waarabu wanavyogombea kuligusa, kulibusu na hija mnaenda hapo kulizunguka mara Saba na likichafuka linapakwa mafuta!!
@@mudighurayra Kama unadhani propaganda basi Google neno Al hajar Al aswad Uone Waarabu wanavyogombea kumgusa na kumbusu mungu wao unayemsujudia wewe
Wewe ni mjinga tuu! Ile ndyo nyumba halisi ya Ibrahim halafu wewe unatowa viigizo. Wewe hujui ya kwamba ukristo ni upagani was kirumi? Paulo kajinfanya Yesu Mungu na yeye Paulo mtume. Ndo mana munasena Yesu ni mwana wa Mungu na Mungu mwenyewe, hii ndyo ile yakwamba mbuzi anazaa mbuzi. Kama Kwa hiyali Hugo, basi ni sahii kusema yesu ni Mariamu kwasababu kazaliwa na Mariamu. Ndo mana munamkana Mariamu na kusema mwana wa Mungu. Haha basi, yaani Adam hasiwe mwana wa Mungu ndyo hawe Yesu? Pumbavu tupu huo ukristo. Wewe unajuwa maana ya Alleluia? Mbona kila siku munataja Hallelujah? Basi ufaamu ya kwamba Hallelujah ni Allah.
Umkwenda ukaona au maneno ya kuambiwa ..unajua kafili nna na nn maana ya kafili
Jina la Bwana Wetu Yesu Kristo litukuzwa kwanza huu binti nampa pole sana Pia katika Biblia Ukisoma kitabu cha Yohana utaona Kwamba Yesu ndie alie umba Pamoja na baba yake ndiomana anasema Tumfanye mtu kwa mfano wetu Yohana 1:1-7
So katika KITABU Chenu Mungu mmoja hawezi sema tumfanye au tumtume inamaana niwawili hao acha uongo Shekh Sisi sio watoto na huyo Binti usije ukadanganywa hao niwapinga Kristo binti yetu baki na Imani yako dadaangu ❤
Maelezo yko si sahihi maana iyo ni mwanzo 1 26 ukiendlea 27 inasema mungu akamuumba mtu kwa mfano wake hii ya ishirini na sita ukisoma maelezo yke inasema mungu alitumia wingi kwa sababu ya kuonesha ukubwa wake yaani majestic plural
Kuwa mwehu si lazima uokote makopo! Uwezo wako wa kufikiri ukiwa chini sana pia ni wehu! Wayahudi wachache walimuuwa Yesu na siku ya hukumu atawamudu vipi wakati kutakuwa na ongezeko la Wanyakyusa na Wandengereko? Fikiri vizuri acha jazba
Nenda ukasome na kitabu cha wayahudi utajua mungu wenu na mungu wa wayahudi!?
Bro nakupa suali dogo tu Yeau Sisi tunamuita Issa kazaliwa au hakuzaliwa
Porojo tu hujui kinachosemwa kiswahili ulikimbia nini shuleni.Halafu hicho kilichooneshwa Ni kurani au biblia.Hiy nidini ya pesa Kwahiy wat hawezi kuharib biashar zao.
KUTUMIA WINGI KATIKA KUZUNGUMZA
Mf: Ndugu yangu, shati hili huvaa watu kama sisi."
😂
Hyo dad sio msomi wa bib soma mwanzo1:26-27
Pia mung aliposema tumfanye mtu kwa mfano wetu hana maana kuwa atafanana na mung ila hajaigilizia sehem kama binadam ana copy kwa watu wengne
Umeambiwa ujibu swali hili...mungu wenu amewaahidi wanawake wengi wengi Peponi kwenu...mbona mungu wenu amewaahidi kufanya unzinzi mbinguni...? Ni mbigu gani hiyo...YESU KRISTO alitwambia kuwa wale watakao fan ikiwa kuingia mbinguni watakuwa kama Malaika, wala mbinguni Hawaoi wala hawaolewi...YESU alisema hivyo...
tupe maandiko yesu alisema wapi kuwa mbinguni hawaoi wala hawaolewi tunataka maandiko
najua unaamiini ila unashindwa kuubali ukweli kwasababu hujui utaanzia wapi ila ndani ya moyo wako liko linalokushughulisha, Sawa lete aya ya hilo usemalo rafiki yangu mwema.
KWA JINSI NINAVYOMUONA HUYU DADA NI KWELI ANATAKA KUJUA DINI YA KWELI NI IPI MUNGU AMUONGOZE MOYO WAKE UWE MWEPESI KUKUBALIANA NA UKWELI ATAKAO ELEZWA
Shekhe umejichanganya kwetu na kumtukana Mungu wetu ngoja nikuonyeshe mwenyezi mungu wenu anachokiomba kwenu ambacho ni sifa ya kiumbe mwenyezi mungu wenu anaomba kunusuriwa maana yake aokolewe na nyie waislamu mulioamini quruan 47:7 na nyingine Allah anafanya maombezi hiyo ni sifa ya mbinadamu quruan 32;4 na 33;56 Quran Allah anaswali zippo nyingi Aya kwenye Quran zinazoonyesha uzaifu WA Allah wew hiyo Aya ya 112 :4 inapingwa na Aya ya 24:35 allah ana mfano haya tetea hiyo wewe
Mkiwa mnasoma muwe mnasoma na ufafanuz wa Aya sio kukurupuka tu mtakuja kuabika Bure,,,,,maan ya hiyo Aya ya kumnusuru Allah sio kama unalivyoelewa wew,, kumnusuru ni kuitangaza dini yake kwa watu na kuifundisha dini yake watu waelewe dini ya haki ni ipi ndio ilivyomaanisha sio kwamb anaomba msaada mkisoma Aya muende mkagoogle ufafanuz wa Aya Kam hamna misahafu ya tafsiri
@MiishHassan-qm1et ngoja nikusaidi huone kunusuriwa 47:7 -13 ona hao walikuwa wakiteketea hawakuwa na wakuwanusuru ngoja nikusaidi hapo kwetu utasikia basi rimeanguka wamekufa kadhaa wamenusurika kadhaa
@@prochesernest5439 Sasa unatak kuforce ufafanuz au maan ya neno iwe kama unavyoelewa wew ndio iwe hivyo,,,,hata maswahaba ilikuwa ikishuka Aya ikiwa ktk fumbo au wao wakaielewa vibaya wanamuuliza mtume hii Ina maan gan mtume anawaelezea so Kam mtume alishaelezea maan ya Aya inamaanisha nin,,, wew endelea kuforce maan unayoitaka wew ndio iwe iyo lkn ndio ishaelezewa hivyo hutabadilisha chochote,,pia maan ya neno linaweza kuwa na maan Zaid ya Moja na ufafanuz ukawa mpn Zaid hata wao waliuliza tutamnusuru vipi Allah wakat yey ananguvu ni muweza wa Kila Jamba ndio wakaaambiwa kumnusuru Allah sio hivyo mnavyofikiria Bali ni ktkt kuipigania dini yake na kuitangaza hope umeelewa mpk hapo
Weye huna lolo bro Acha kupaparika bhanaaa
Soma tena mwanzo 28/22 wewe usiwe na jazina na mambo ya mungu yesu anasema jiwe walolikataa waashi limekuwa jiwe😮😂 kuu la pembeni soma mathayo 21/42 nakupenda njoo ktk uisilam
allah mungu mbalamwezi mungu wa warabu bila kiaribu akuna islamu utamaduni wa warabu wandanganye wasiyo ijuwa biblia na uyo dada utamndanya sababu aijui qruan
Nyie wakiristo mnafata tamaduni gan kwn
@@fahadrashid9754unauliza wanafuata wapi wasipo fuata Roman empire bisi watafuata kule walipoitwa wakristo kwa mara ya kwanza anapajua
Mungu akufumbuwe macho ishallah
Kwan umesahau kuwa biblia iliandika kiratino ila mmetafsir kwahy na nyinyi mnafata tamadun za kiratino😂😂😂
NEHEMIAH ni Jina la KIARABU na sio Mdengereko😅😅😅😅
KUTUMIA WINGI KATIKA MAZUNGUMZO:
Rais Mkapa: Ndugu wananchi, kwahakika tunasikitika sana kwa ajali ya MV Bukoba iliyotokea.
Aliyezungumza ni Mkapa na si kwamba watanzania walimueleza kuwa wanasikitishwa.
Kumbuka Rais ni Taasisi na taasisi ni ya watu wengi
Asww mwalim munisame munipe hukumu ya mwenye kufunga radjabu ao hakufunga
QUR AN 2:91
NA WANAPO AMBIWA:YAAMININI ALIYO YATEREMSHA MWENYEZI MUNGU.WAO HUSEMA:TUNAAMINI TULIO TEREMSHIWA SISI.NA HUYAKATAA YASIO KUWA HAYO.NA HALI YA KUWA HII NDIO HAKI INAYO THIBITISHA YALE WALIO NAYO WAO.SEMA:MBONA MLIWAUA MANABII WA MWENYEZI MUNGU HAPO ZAMANI IKIWA KWELI MLIKUWA WAUMINI? kwa aya hii ni ishara tosha biblia haijakamilika inana masahihisho mengi sana lakini mungu humuokoa yule alie tayar msikivu ajifunzae kusikiliza kusoma na kuelewa lakini wale wasio kubali basi na wasubiri katika hayo walio danganywa na wanaadamu wenzao na kupinga kama wale wa zamani wakaishia kuangamia muislamu ashukuru kwa neema ya kuzaliwa pia tuwaombee wenzetu wapate kujifunza na kuelewa.
Nakushauri achana na ibada za Waarabu Maqureishi wa Makka wanaosujudia Al hajar Al aswad lililoko kwenye Kaaba
Utopolo
shekhe wangu huyo ashakuelewa bado utekelezaji tuu