Hili halina pesa.! Lkn ingekuwa ni swala la kukemea maandamano Masheikh wangeshajitokeza kulikemea kwenye hadhara mbali mbali kwakuwa maandamano ni jambo lenye bahasha za Serekali.!!
BAHAT NZURI MAFUNZO YA UISILAMU YALISHAWEKA BAYANA KUWA MTUME WA MWISHO NA MTUME MUHAMMAD (S.A.W).VINGINEVYO HAPA TUNGETANGAZIWA UTUME MPYA.SUBHAANAKA FAQINA ADHAABA NNAAR.
Mazinge umefanya kazi kubwa ya dini acha kujiingiza kwenye huu uhuni wa kutafuta maisha usijihadae kwa kazi ya dini uliofanya kubwa huko nyuma waweza poteza juhudi yako kwa mambo ya matumbo
Alhamdulillah Allah amenijalia nikaingia darasani kwa uchache wa elimu ya kidini niliyonayo wallah sijawahi kumuomba Allah akakosa kunijibu ispokuwa labda itachelewa ila nitajibiwa,ma kuhusu kwenda kuombewa yaani huwa najiombea mwenyewe kwa kumlilia alie niumba ila kwa shekh wala kiumbe ila nawaamini ni kama bin adam wenzangu siwezi kumzarau mtu
Allahu musta'aan...!!! Wenye kujua maana ya Sharif naomba mnijuze...!! Maana Kuna ujinga na urongo mwingi kwenye hili..!!Allah awaongoze Waislam kwenye haq maana wengi ni mtihan kwenye ufaham sahih wa Din yao...!!
@@abuuaisha9095 kwanza kabisa juwa sera ya mtume wetu kipenzi chake Allah Mohamed utapata maana ya shariff ama Alhlu beith na kizazi chake nawala sio kuswali tahajud sana Wala kiyamu leil
@@alybinmana6197 Allahu musta'aan...!!Na huu ni mtihan mkubwa Sana akhiy..!!Yaan ukidai dalili tu umekuwa Wahab..!! Yaan makhuraf wanataka din iende Kichwa mchunga yaan kibubusa bila dalili..!!
Yn hawa ndo wanaosababisha waislam tuonekane wachawi wafugaji majini eti mchawi yeyote awezi kuniroga mtume mwenyew alirogwa sembuse wew na koti lile km la eliud
Jalibuni kumuogopa mungu , acheni kuleta mipasho kwenye dini, mnazingua sana , sisi wengine sio mashekh Wala sio masharif, lakin kwaakili ya kawaida tu nyinyi njaa mmezifungulia feni mbaka mnafikia kufru acheni mipasho sio poa
Wewe Mazinge tulikuwa tunafwatilia sana Debate zako sasa tulivyo kuona na huyo tapeli umetutoka moyoni kabisa na umeharibu Daawa zako sijuwi uko nashida ya pesa?? From Kenya
Dua Bora ni kukusanyika mukamuomba m,mungu mtume amesema hawakusanyiki watu wakaomba Dua baadhi yao na wengine wakaitikia anlmiin isipokua m,mungu huipokea Dua yao hiyoo ama kuomba peke Yako yawezekana kukubaliwa na kukataliwa lakini Dua ya pamoja mtume kaahidi kukubaliwa watu hao@@ShamsudeenOmary
Asalaam aleikum,..ndugu ktk imaan hii dini imekuja kamili na italudi kamili,..sasa maneno yasiwe meeeeeengi tupelekeni kweny Sunnah na Quran,..kwnn mpaka maugomvi Kila siku hebu waelimisheni watu kama mtume MUHAMMAD alivoelekeza.
Ni huzuni 😢😢😢😢😢 msiba mkubwa huu … yani badala ya kuhimiza watu wajenge connection na Allah kwa kuswali swala tano kufunga sunna na faradhi, kutoa swadaqa na zaka ,kuhifadhi Quran tukufu n.k ukifanya vyote hvo hata majini au wachawi hawatoweza kukuchezea kwa staili yao unless Allah atie tick ili kukupima imani……
Kiksh Yuko sawa acha njaa tafuta biashara ya kufanya utatuletea matapel kwenye din yetu tunaona upande wa pil wanavyoigiza kwanza mwenye hekma hawez tumia kaul et ukishoboka ww ni mhun tu acha kutumia jina la allah
KAMA UMELELEWA NA WATU WA BIDAH WALLAH LAZIMA UPOTEE, WAJINGA WOTE MJIHADHARI NA HAWA WATU,WOTE MSIWAAMINI,SI MAZINGE WALA NANI NJAA ZINAWASUMBUA. WE UNANUKA DOMO DUA WAPI ITAPOKELEWA ,HUO UPUMBAVU UMEONGEA LAKINI HAKUNA POINT ULOTOA.
Hawa ndio wanataka kuaribu jina na sifa za dini ya kislamu ila mungu atawapata mitiani kama hawarudi nyuma nakubadilika nakuwacha tabia hiyo mbaya ya kutapeli watu haswa wakina mama
@@almaarifonlinetvKabisaa hii ndo ile mijinga ilobweteka haitaki kujishughulisha ikajua chochote ktk dini, imekaa kuona kila alovaa kilemba na kanzu ni sheikh
HUYU TAPELI TU KAMA YULE SHEKHE SHARIFU MWENGINE ALIYEKUWA AKIZUNGUSHWA NA KINA MAZINGE KUTAPELI WATU. NA HUYU PIA NI MWANAFUZI AMETRENISHWA NA MAZINGE KUFANYA UTAPELI. MWAKA HUU MUTAWACHA UJINGA WENU TAFUTENI KAZI MUFANYE BUT SIO UTAPELI
@@twahahamidu6246 HAKUNA MTU ALIYEDHARAULIWA HAPA NI UKWELI MTUPU NA UKWELI KAWAIDA NI UCHUNGU ITAWACHOMA SANA LAKINI TUTAWAAMBIA LAZMA MUTAWACHA UTAPELI.
PUMBAVU NA UTAPELI WENU ALLAH ATAWAUMBUA TU,ENDELEENI NA VITIMBI VYENU LAKINI MWISHO WENU UPO MLOLAANIWA,HAYO MAPETE YA KISHIRIKINA MTAKUJA UMBUKA TU.HAMNA TOFAUTI NA MAKAFIRI.
@@OmanOman-bm1lr Sasaa kumhusudy huyuu jahili utakuwa mzima? Huyu km si baba ako bhaas wewe ni ktk majahili pia, kwa kuwa mwenye utimamu yeyote hawezikubali upuuzi km huu na propaganda za kipasta
@@OmanOman-bm1lr unachekesha na hilo neno hasidi!! Aau ndo wale wanawake wa uswazi wanaochamba kwa kushika dera? Af pepo inahusika vipi kwani sheria ya Allah haikubainisha haqi na batweel kwaivo tukizihuisha ndo tushajitangazia pepo?? Mbona unazidi kuonesha jahali uliyonayo, na kwanzaa km wewe ni mfuasi wa huyuu bwana yaonesha ni kiasi gani bado upo nyuma kifikra Allah akuongoze. Mmekaa kuangalia vilemba na makanzu tu ndo tayari mti ashaitwa sheikh aau sio
Ukweli wako uko wapi, koment yako ndio elimu au uislam umeruhusu ufanye hicho ulicho koment? Hukumu si Kazi yako wewe pia inakusubiri muhimu fikisha vizuri sio kwa jaziba na hasira na matusi.
Maji ya barakah ni zamzam tu basi nyie hayo yenu mmeyapata wapi? Na kuhusu mafuta katika uisilamu hakuna kabisa hii ni suna ya mzee wa upako sio ya Muhammad S. W
Mazinge historia yake alikua mkristo na kwa watu wa kristo wakishabatizwa bas hata akakengeuka bado unakua mkristo kwa hyo tumuache atumike shambani mwa bwana
Allah akuongoze ktk haqgi...uachane na uganga wa kienyekji😊
🎉❤😮🎉❤😮🎉❤wee mbuzi unasumbuliwa na majini aina ya filosofi. Allaah Akuokoe wenye na wenzako kina Sule na Mwaipopo.
Si uislamu ni majini hata hivyo..
Hapana uislam sio majini haukubali
Kuomba ama kutumia ama kuabudu
Shekh Nurdin kishk m/mungu akuongoze na msimamo wako katka uislamu usirudi nyuma kukemea ushetani 😢
kila siku mashahe wa Tanzania ugovi mimi nashaka nahizi pete moja yatosha lakini pete tano mimi nita bakiya na sheikh kishiki tu i love him
I can feel sheikh mazenge It’s not happy inside of his heart,but ana taka hela
Mashekh mko wapi kutetea dini ya Allah hamna ummoja munamuachia sheikh kishki
Hili halina pesa.! Lkn ingekuwa ni swala la kukemea maandamano Masheikh wangeshajitokeza kulikemea kwenye hadhara mbali mbali kwakuwa maandamano ni jambo lenye bahasha za Serekali.!!
Wanafki sana yan
Mazinge apo ulipofikia hatukuelewi sheikh...sasa hio njaa ama ni nn ... Allah atuongoze walai.. Allah humma Ameen 🤲
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅
Nyinyi mashehe wa kibongo kazi yenu kiki na utapeli
Hawa sio masheikh
BAHAT NZURI MAFUNZO YA UISILAMU YALISHAWEKA BAYANA KUWA MTUME WA MWISHO NA MTUME MUHAMMAD (S.A.W).VINGINEVYO HAPA TUNGETANGAZIWA UTUME MPYA.SUBHAANAKA FAQINA ADHAABA NNAAR.
Bahati nzuri uislam upo wazi yaani hatokei nabii wa uongo akadanganya Waislam kila aliywsoma Quran kila kitu kinajieleza 😊
Hahaha, Quran imewafunga, mbna tungalikwisha kutangaziwa utume
Uyu sheikh ana mipete uyo hadi anaogopesha
Mazinge umefanya kazi kubwa ya dini acha kujiingiza kwenye huu uhuni wa kutafuta maisha usijihadae kwa kazi ya dini uliofanya kubwa huko nyuma waweza poteza juhudi yako kwa mambo ya matumbo
Mjomba utakuwa mas ull siku ya Kiama, kama unamzushia mjaa wa allah mambo yasio kuwa ktk nafsi yake
Alhamdulillah Allah amenijalia nikaingia darasani kwa uchache wa elimu ya kidini niliyonayo wallah sijawahi kumuomba Allah akakosa kunijibu ispokuwa labda itachelewa ila nitajibiwa,ma kuhusu kwenda kuombewa yaani huwa najiombea mwenyewe kwa kumlilia alie niumba ila kwa shekh wala kiumbe ila nawaamini ni kama bin adam wenzangu siwezi kumzarau mtu
Allah awaongeze masheikh wa Tanzania. Yaani mpaka mazinge njaa imempoteza.
😂😂😂😂😂😂😂😂😅
Allah Atuongeze katika Njia Ilionyooka
nenda muhimbili dogo wew tukuone kwel kama umechaguliwa
Hapo sahihi nashangaa wanazurura mitaani et wanaombea watu haliyakuwa watu wamejaa mahospital wapo hoi
Kazi ipo, Allah atuongoze
Aamyn, hapana sharifu hapo
Alaf dua tumekewa kila kona tudumu na dhikir wachai wangaaa nd maana Allah akatupa mtihani wa uchawi huu nimtihani wake Allah
Alirogwa mtume sembuse wew😂😂😂😂😂😂😂😂
Mazinge ndiye aliyechangia kwa asilimia kubwa huyu dogo kupotea.
Kivipi? Toa ushahidi tuone
Kapotee vipi hebu tueleze
Inalilhai waina ilahi rajiun mtih kiukwl
😂😂 Wasanii Tu.
TANZANIA kila kukicha Kuna jipya jamaani tumuogopeni ALLAH , tutakwenda ulizwa kila pumzi la neno tunalolitoa,
Upako innalilah wainnaileyhi rajiun
ALLAH AMFISHE AKIWA AMETUBIA KWA MANENO TAKE YA USHIRIKINA
Allahu musta'aan...!!! Wenye kujua maana ya Sharif naomba mnijuze...!! Maana Kuna ujinga na urongo mwingi kwenye hili..!!Allah awaongoze Waislam kwenye haq maana wengi ni mtihan kwenye ufaham sahih wa Din yao...!!
Tafta clip ya shekhe Nurdin ya khutba ya ijumaa hii iliyopita
usharifu mtu huupata kuamka usiku tajajud
@@abuuaisha9095 kwanza kabisa juwa sera ya mtume wetu kipenzi chake Allah Mohamed utapata maana ya shariff ama Alhlu beith na kizazi chake nawala sio kuswali tahajud sana Wala kiyamu leil
@@RUKIARUKIA-b9r jmn km kitu hamujui tuna Quran na hadhithi ama waulize wanaojuwa
mtume s.a.w asema manasharafa muumin kuyamul layli
Innaa lillah wa innaa ilayhi raj'uun... Wasanii kwenye Din...!! Muswiba mkubwa...!!
Dunia ya mwisho hii,hii ndio faida ya kuingiza mambo mapya katika dini ya Allah.
Sisi tukiwasema hawa watu mnatuita mawahabi
@@alybinmana6197 Allahu musta'aan...!!Na huu ni mtihan mkubwa Sana akhiy..!!Yaan ukidai dalili tu umekuwa Wahab..!! Yaan makhuraf wanataka din iende Kichwa mchunga yaan kibubusa bila dalili..!!
Ww shekhe wa mchongo usipo tubia ulaaniwe na ALLAH MAANA UTAPOTEZA WATU SANA
Yn hawa ndo wanaosababisha waislam tuonekane wachawi wafugaji majini eti mchawi yeyote awezi kuniroga mtume mwenyew alirogwa sembuse wew na koti lile km la eliud
Acha utapeli we mtoto muogope mungu
Sio ivo, anafanya tiba
punguza porojo sema point
😂😂😂😂😂😂
Jalibuni kumuogopa mungu , acheni kuleta mipasho kwenye dini, mnazingua sana , sisi wengine sio mashekh Wala sio masharif, lakin kwaakili ya kawaida tu nyinyi njaa mmezifungulia feni mbaka mnafikia kufru acheni mipasho sio poa
Allah tusaidie
Wewe Mazinge tulikuwa tunafwatilia sana Debate zako sasa tulivyo kuona na huyo tapeli umetutoka moyoni kabisa na umeharibu Daawa zako sijuwi uko nashida ya pesa?? From Kenya
Huna elimu wew ni mganga wa kienyeji Wacha kujinasbisha na dini wew muqaddima wako Tu ni mdhwaifu kasome dini wew laa sivyo utakuwa na mwisho mbaya
Bara Kuna mashee
Kosa rakwanza kutangaza sadaka sadaka aitangazwi rakn pia niseme innalia wainna irey rajiuuun subbunn llah 😭😭😭
Kila mtu atumie akili yake dua mtu hujisomea mwenyewe Allah kasema niombeni nikupe muhimu ikhlas usijisifu mtu amke usiku azungumze na Allah
Na'am na du'a bora zaidi ni mtu kujiombea
Dua Bora ni kukusanyika mukamuomba m,mungu mtume amesema hawakusanyiki watu wakaomba Dua baadhi yao na wengine wakaitikia anlmiin isipokua m,mungu huipokea Dua yao hiyoo ama kuomba peke Yako yawezekana kukubaliwa na kukataliwa lakini Dua ya pamoja mtume kaahidi kukubaliwa watu hao@@ShamsudeenOmary
Sawa kama umepewa neema hiyo basi si utembelee ma hospitali angalau wagonjwa wakosekane huko
Si kasema anatibu watu ambao maradhi yao hospitali hayaonekani
Asalaam aleikum,..ndugu ktk imaan hii dini imekuja kamili na italudi kamili,..sasa maneno yasiwe meeeeeengi tupelekeni kweny Sunnah na Quran,..kwnn mpaka maugomvi Kila siku hebu waelimisheni watu kama mtume MUHAMMAD alivoelekeza.
hakuna wa kumkataa sheikh kishki katika hili labda walio tayari kutapeliwa
Story teleeeee, hazina aya wala hadithi zaidi ya porojo, tuambie icho cheo cha usharifu kakupa nani?
Tapeli huyu, kama babu wa loliondo
Haswaa@@jumakapilima7295
Mwanzo ni mtupu ktk i'lmu hana alijualo
😂😂😂😂😂,ndio Hawa wanataka kuuza mafuta ya upako,ahhh Jamani Mungu tuongoze hii Dunia hadaa
Kapewa na babu yako
Shirki hiyooo maji mafuta😮😮😮
Tapelii online
Acha uongo
Mantashabah biqaumi fahuwa minhum
Kishiki hii anaijua
Mantashabah biqaumi fahuwa minhum
Hawa sio mashaikh 😂😂😂😂
Allah anawatuwake kuweni makin
Huyu kajifananisha 'na waongo
@@nassorozahoro-l5s
Uwez kujuwa ni Nan Acha zarahu
@@twahahamidu6246 sio dharau soma kijana ujue ni kina nani Allah kawachagua
Acheni zarahu nakishiki awemakin sana
@@nassorozahoro-l5s
Unaukika mzee au maneno tu
Haaaaaaashhh👈
NJAA INAMPELEKA MTU KWENY USHIRIKINA...HUYU ANAONEKANA NI MSHIRIKINA
Ni huzuni 😢😢😢😢😢 msiba mkubwa huu … yani badala ya kuhimiza watu wajenge connection na Allah kwa kuswali swala tano kufunga sunna na faradhi, kutoa swadaqa na zaka ,kuhifadhi Quran tukufu n.k ukifanya vyote hvo hata majini au wachawi hawatoweza kukuchezea kwa staili yao unless Allah atie tick ili kukupima imani……
We ni mwamba kuliko mungu
Hakuna kitu apooo ujanja ujanja
😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kiksh Yuko sawa acha njaa tafuta biashara ya kufanya utatuletea matapel kwenye din yetu tunaona upande wa pil wanavyoigiza kwanza mwenye hekma hawez tumia kaul et ukishoboka ww ni mhun tu acha kutumia jina la allah
Mjomba utakuwa mas ull siku ya Kiama, kama unamzushia mjaa wa allah mambo yasio kuwa ktk nafsi yake
Hapana Sharif hapa,inaonekana hata Qur an sijui kama anaijua, kupiga hela tu....maulidi ngombe 60. Mbuzi 60....
Shekhe mambo ya mwaka mmoja unakumbuka kweli😆😆😆
KAMA UMELELEWA NA WATU WA BIDAH WALLAH LAZIMA UPOTEE, WAJINGA WOTE MJIHADHARI NA HAWA WATU,WOTE MSIWAAMINI,SI MAZINGE WALA NANI NJAA ZINAWASUMBUA. WE UNANUKA DOMO DUA WAPI ITAPOKELEWA ,HUO UPUMBAVU UMEONGEA LAKINI HAKUNA POINT ULOTOA.
Mtume tena😢😢😢😢
Hii mijitu ya Ahaa aHaa inaushirikina sana wanatuvurugia dini hawa watu😢😢😢
hizo dua jifanyie wew bhn tushaa wachoka
Subhannallah. ALLAH atuongoze kweli
MWENDAWAZIMU HUYU SIO BURE MAMBO HAYA KATIKA UISLAM HAKUNA
Mazinge unakokwenda nimtihan sana
Ulikua nikitizamo chetu wesilamu lkn mh😭
Njoo mombasa
😂😂😂😂😂
Mm sawali la gu la msingi hzoo petee zote mkoni mwKe zna maana gan kwan tumezoea wanaovaa pete mkonon zaaidi ya mbili nimganga
Achaaa kumhukum mtu anae hukum mungu kaa kimyaaa we mwenyew unamadhambi. Kibao tubu kwanza
Kumbeeee waganga unawajua
Njoo mombasa kaka
Hakuna shehe hapa
Huyu ni besti yake na chief God love 😅
Upo na appointment halafu unaenda ombea watu kuchewalewa huna akili wewe na huyo mtu mzima kishwti
Kupotoshana sasa💔💔
Mpotoshaji, kasema yesu ni mungu apo au kasema neno gani
Matapeli kupitia dini hawa
Uwo ushirikina
Mazinge katuangusha 😂😂😂
Hawa ndio wanataka kuaribu jina na sifa za dini ya kislamu ila mungu atawapata mitiani kama hawarudi nyuma nakubadilika nakuwacha tabia hiyo mbaya ya kutapeli watu haswa wakina mama
Uyuu janjaa ww utamuezaaa kishki hanaa njaa story kibao aaaa uyo mazingee sijanjaa ata majina yasharifu walikuwa mababu zetuu yeemen😂
Mwamba huyu apa na kauli gani izo
Bora wasitumie
nyuklia
Tamthilia mpya mjini. Wapigaji wameingiza bidhaa mpya sokoni kazi kwenu wanunuaji.
Masha Allah Masha Allah barakallah fiykum Allah akufanyien wepes katika Kila jambo alhamndulillah
Hujielewi
@@almaarifonlinetvKabisaa hii ndo ile mijinga ilobweteka haitaki kujishughulisha ikajua chochote ktk dini, imekaa kuona kila alovaa kilemba na kanzu ni sheikh
@@almaarifonlinetv weye unajielewa unataka tufanye vp tukiumwa
@@ShamsudeenOmary acha zako, usiseme waislam wezako majina mabaya, utakuwa mas ully kwa majina mabaya ndugu
Tanzania tu ndio kuna masharif
Wewe mshirikina hata dini hukijui ni oorojo na ushirikina tu kishki humfikii kwa kuijua dini acha ushirikina
HUYU TAPELI TU KAMA YULE SHEKHE SHARIFU MWENGINE ALIYEKUWA AKIZUNGUSHWA NA KINA MAZINGE KUTAPELI WATU. NA HUYU PIA NI MWANAFUZI AMETRENISHWA NA MAZINGE KUFANYA UTAPELI. MWAKA HUU MUTAWACHA UJINGA WENU TAFUTENI KAZI MUFANYE BUT SIO UTAPELI
Kuwa makin usizarahu watu
@@twahahamidu6246 HAKUNA MTU ALIYEDHARAULIWA HAPA NI UKWELI MTUPU NA UKWELI KAWAIDA NI UCHUNGU ITAWACHOMA SANA LAKINI TUTAWAAMBIA LAZMA MUTAWACHA UTAPELI.
Kumbe una urafika na godlove basi kwisha
Hayo mapete yanini mwanamme mzima unajiita Sheikh. Vua mapete ya kishetani
Sheikh ni jina ambalo mwanadamu anapewa na waislamu siyo kujiita yeye sasas wewe huna usheikh una jeuri tuuu😂😂😂
PUMBAVU NA UTAPELI WENU ALLAH ATAWAUMBUA TU,ENDELEENI NA VITIMBI VYENU LAKINI MWISHO WENU UPO MLOLAANIWA,HAYO MAPETE YA KISHIRIKINA MTAKUJA UMBUKA TU.HAMNA TOFAUTI NA MAKAFIRI.
Hili jamaa linakula MB zetu tu, Allah alipoteze likae lilime mahindi liache kupoteza umma.
Husdaa zako zitakurejea mwenyewe hayawani weee
@@OmanOman-bm1lr Sasaa kumhusudy huyuu jahili utakuwa mzima?
Huyu km si baba ako bhaas wewe ni ktk majahili pia, kwa kuwa mwenye utimamu yeyote hawezikubali upuuzi km huu na propaganda za kipasta
@@ShamsudeenOmary jahili ni wewe unayejifanyaa unajuwa kuongelea watu na kujiona ushafika peponi hasidi weee
@@OmanOman-bm1lr unachekesha na hilo neno hasidi!! Aau ndo wale wanawake wa uswazi wanaochamba kwa kushika dera? Af pepo inahusika vipi kwani sheria ya Allah haikubainisha haqi na batweel kwaivo tukizihuisha ndo tushajitangazia pepo?? Mbona unazidi kuonesha jahali uliyonayo, na kwanzaa km wewe ni mfuasi wa huyuu bwana yaonesha ni kiasi gani bado upo nyuma kifikra Allah akuongoze. Mmekaa kuangalia vilemba na makanzu tu ndo tayari mti ashaitwa sheikh aau sio
Ukweli wako uko wapi, koment yako ndio elimu au uislam umeruhusu ufanye hicho ulicho koment? Hukumu si Kazi yako wewe pia inakusubiri muhimu fikisha vizuri sio kwa jaziba na hasira na matusi.
Maji ya barakah ni zamzam tu basi nyie hayo yenu mmeyapata wapi? Na kuhusu mafuta katika uisilamu hakuna kabisa hii ni suna ya mzee wa upako sio ya Muhammad S. W
Mpuuzi huyu Hana akili
😂😂😂😂😂😂😂😅
Mashekhee wengnee mbna mmpoo kimya jitokezeniii hili ni sualaa gumuu lzmaa lingiliwe kati
Hatimae mazinge kafundisha tapeli wakimsaidia
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😢
Mpuuzi tu mmoja
Tanzania mmmhhh...???
Namba ya simu shekhe tuweze kufika huko kwenye dua
Tapeli wewe, Acha usanii kwenye dini, matatizo ya watu unayatumia kwa maslahi yako 😊
Hawa watu wa maulidi na hawa wendawazimu wanoibuka kila kukicha kwa kweli wanataka kutingisha imani za watu na kuharibu dini tu
Huyu ni muongo 5:05 sana jamani afanya kama watu hatumjui.
Mtaani kwetu kaja lkn wala kwanz ndo kwanz namuona hapa khaa 🙄😮
Mazinge historia yake alikua mkristo na kwa watu wa kristo wakishabatizwa bas hata akakengeuka bado unakua mkristo kwa hyo tumuache atumike shambani mwa bwana
😂😂😂😂😂😂
WACHA KUDAGANYA WATU KWA UPAKO WAKO, UTAPELI MWINGI NDIO KWENYE KICHWA CHAKO.