Hongera sana my lovely Super star Wema Sepetu show yetu inazidi kuwa tamu kila episode yan kila episode inakuwa nzur zaid ya previous episodes Juhudi zako tunaziona mama
Wema sepetu, uko vzr na kazi zako sanaa. Duh hemed jamani. Nawe pia uko vzr,,,,,,ila tangu ukuwaji wangu nimekuwa nikiitwa wema sepetu, maana Nina majina2 mary na wema, kwahy nikijiambulisha popote pale wema, lazima wamalizie wema sepetu,,,,,, 1day natamani nikuone live
Dammmmmmmmn! Is that wema sepetu! Waaaaaaaaah! Then am really behind news.. What with all that body transformation? Some one feel me in... Waaaaaa... It is like am seeing a whole new person myself.. Last time i saw her she was totally different..
Mswahili ajawai kula mboga za majani rohooo jamani 😜 jifunze zina mhm ki Afya binafsi yangu ninyime chochote kile Cha kuliwa lakini si mboga za majani Tena ziwe supper green
Sijawah kula mboga za majani tangu nizaliwe ☺☺☺mbona kwenye ile movie ya house made ulisema upikiwe ugal samaki na mboga za majani au ndo maigizo 🙊🙊🙊😒😒
Kweli hemedi umenikumbusha mbali San hata Mimi nilivyokua mdogo nilikua naogopa vitunguu nakapichi pia ngozi yanyama yakuku lakini badae nilivyokua ndonikaanza kula
*ɪʏᴀᴍʙɪᴇ ᴅᴜɴɪᴀ ɴɪᴍᴇᴊɪᴛᴏᴀ ᴋᴜꜰᴀɴɪᴋɪᴡᴀ, ʜᴀᴛᴜᴀ 8 ᴍᴜʜɪᴍᴜ* Na MUN'DHIR S AMOUR Innovate. Inform. Inspire 1. *ɪᴍᴀɢɪɴᴀᴛɪᴏɴ* (ᴛᴀsᴡɪʀᴀ) Unapaswa kutengeneza taswira ya maisha ya mafanikio unayotaka kuwa nayo. Kwenye taswira hii ndiyo unajua kusudi la maisha yako, unaweka maono yako, unakuwa na sababu ya kwa nini unataka kufikia maono hayo na hatua za kuchukua. Ni lazima kwanza uone taswira ya unachotaka kwenye akili yako kabla hakijatokea kwa uhalisia. 2. *ɪᴅᴇɴᴛɪꜰɪᴄᴀᴛɪᴏɴ* (ᴜᴛᴀᴍʙᴜᴢɪ) Baada ya kupata picha ya wapi unakotaka kufika, kinachofuata ni kutambua njia unayopaswa kupita ili kufika kwenye maono yako. Anzia hapo ulipo sasa, kwa hali uliyonayo sasa. Usisubiri mpaka kila kitu kiwe sawa ndiyo uanze, kwa sababu hakuna wakati ambao kila kitu kitakuwa sawa. Kuanza ni bora kuliko kusubiri. 3. *ɪᴍᴘʀᴏᴠᴇᴍᴇɴᴛ* (ᴍᴀʙᴏʀᴇsʜᴏ) Unapoanza ukiwa hujawa tayari, utajifunza kadri unavyokwenda. Hivyo utaona njia bora zaidi za kufika kule unakotaka kufika, na hapo unapaswa kufanya maboresho ili kufika unakokwenda. Kwa kila hatua unayochukua, jiulize unawezaje kuiboresha zaidi, kwa sababu kila kitu kinaweza kufanywa kuwa bora zaidi. Maboresho madogo madogo yanayofanywa kila siku yanakuja kuzalisha matokeo makubwa na ya tofauti kabisa. 4. *ɪɴɴᴏᴠᴀᴛɪᴏɴ* (ᴜʙᴜɴɪꜰᴜ) Kupata matokeo ya tofauti na unayopata sasa ni lazima uchukue hatua tofauti na unazochukua sasa. Unahitaji kuwa mbunifu na ubunifu ni kufanya vitu kwa namna tofauti. Unaweza kufanya vitu kwa utofauti kwa kuanza na mtazamo tofauti, kukiangalia kitu kwa namna tofauti na kufanya vitu vipya ambavyo hujawahi kufanya huko nyuma. Kwa kila unachofanya, jiulize ni kwa namna gani unaweza kufanya kwa utofauti na ukapata matokeo bora. 5. *ɪᴍᴘʟᴇᴍᴇɴᴛᴀᴛɪᴏɴ* (ᴜᴛᴇᴋᴇʟᴇᴢᴀᴊɪ) Mipango haiwezi kukuletea mafanikio, nia njema haitakutoa hapo ulipo sasa, ni mpaka pale utakapochukua ya kutekeleza yale uliyopanga ndiyo utaweza kutoka hapo ulipo sasa na kufika unakoelekea. Ni kuchukua hatua ndiko kutakakokubadili wewe kutoka hapo ulipo sasa na kufikia maono yako makubwa. Wanaofanikiwa ni wale wanaochukua hatua, wakati wale wanaofikiria kuchukua hatua wakibaki pale walipo sasa. 6. *ɪɴsɪɢʜᴛ* (ᴜꜰᴀʜᴀᴍᴜ) Kila siku kuna ufahamu ambao tunaupata kupitia yale tunayofanya. Iwapo tunatambua au kutokutambua ufahamu huo kunaamuliwa na utayari wetu, kutenga muda na kutafakari kwa kila hatua tunayopiga. Tunapotenga muda wa kutafakari, kukaa kimya, kusikiliza na kuangalia, tunajifunza vitu vingi ambavyo si rahisi kuviona kama tumetingwa na majukumu yetu ya kila siku. Ufahamu tunaoupata una mchango mkubwa kwenye mtazamo wetu, unatutengeneza jinsi tunavyofikiri leo kuhusu tunachotaka kufikia kesho. 7. *ɪɴsᴜʟᴀᴛɪᴏɴ* (ᴋᴜᴊɪʜᴀᴍɪ). Siyo kila kitu kitaenda kama ulivyopanga wewe. Kuna wakati utapata matokeo hasi na kukutana na watu hasi ambao watakukatisha tamaa kuhusu malengo unayofanyia kazi, kwa kukuambia haiwezekani au huwezi. Watu hawa wanaweza kuwa marafiki, ndugu wa karibu, familia au hata wale unaofanya nao kazi. Jihami na watu hao hasi kama unataka kufanikiwa, kwa sababu uwepo wao kwenye maisha yako utakuwa kikwazo kwako kufanikiwa zaidi. Na hapa haimaanishi kuwatenga, bali kuhakikisha hawaleti ushawishi wao hasi kwenye ndoto zako, kwa kuchagua kutokuwashirikisha ndogo hizo. Njia rahisi ya kuwajua watu hasi unaopaswa kujihami nao ni kuangalia watu hao wanakuwa na majibu gani unapowaleza kuhusu mafanikio makubwa. Kama ni watu wanaoamini haiwezekani, basi waweke kwenye kundi la watu hasi na chukua hatua sahihi kwao. 8. *ɪɴᴠᴇsᴛᴍᴇɴᴛ* (ᴜᴡᴇᴋᴇᴢᴀᴊɪ) Kufikia yote unayotaka kufikia na ambayo yapo ndani ya uwezo wako unapaswa kuwekeza ᴍᴜᴅᴀ, ɴɢᴜᴠᴜ, ᴊᴜʜᴜᴅɪ, ᴍᴏʏᴏ na ꜰᴇᴅʜᴀ. Kila mtu anataka kufanikiwa na kupata matokeo bora kwake na kwa familia yake, kila mtu anataka kilicho bora. Lakini kipimo sahihi cha nani atapata anachotaka, ni utayari wa uwekezaji ambao mtu anao. Unapowekeza vitu hivyo vitano vilivyotajwa hapo juu, ndipo unaiambia dunia kwamba umejitoa kweli kufanikiwa na hakuna chochote kitakachokuzuia. Unawekeza ᴍᴜᴅᴀ, kwa kutoa muda wako kufanyia kazi malengo yako. Unawekeza ɴɢᴜᴠᴜ kwa kuweka juhudi katika kuyafikia malengo yako. Unawekeza ᴊᴜʜᴜᴅɪ kwa kwenda hatua ya ziada kwa kila unachofanya. Unawekeza ᴍᴏʏᴏ kwa kuwa na hisia chanya juu yako binafsi na kile unachofanya. Unawekeza ꜰᴇᴅʜᴀ kwa kununua maarifa na ujuzi unaopaswa kuwa nao ili kufanikiwa. Kama hujawekeza vitu hivyo vitano kwenye kile unachofanya, hujajitoa kweli kufanikiwa. Unapoleta pamoja vitu hivyo nane, ɴɢᴜᴠᴜ kubwa usiyoweza kuielezea inakuja kwako na kukuwezesha kufikia maono makubwa ambayo umejiwekea. *MUN'DHIR S AMOUR * *ᴍɪᴍɪ ɴᴀ ᴍᴡɪɴʏɪ* _Innovate. Inform. Inspire._ +255773 455 455 / +255676 455 455 /+255626 889 215
Hongera sana my lovely Super star Wema Sepetu show yetu inazidi kuwa tamu kila episode yan kila episode inakuwa nzur zaid ya previous episodes Juhudi zako tunaziona mama
Yeah babe 🔥🔥🔥
From Toronto Canada 🇨🇦 I love you 😍 wema mimi natoka Congo Democratic 🇨🇩🇨🇩
Congo unajua Kiswahili hongera
Hi ida,am in brampton from kenya Hi
Jamani Mm Nilijua pekeyangu Sipendi kula kutunguu Na Kufananisha Na funza kumbe tupo Wengi Daah
First of all you guys just look very nice together and i remember ile movie yenu by name .... love you so much
wema na hemedy,that chemistry lovely
Miss Sepetu you make a very Good Presenter 💜
Nimecheka😂😂 hata me stakagi vitunguu kwenye chakula ... nimecheka 😂😂
I love this show, Wema Cook with Recho(Upepo).. Where did she go🤦♀️🤦♀️
My goodness he is sooo good looking for crying out loud 🥺😫❤️❤️❤️
Wema sepetu, uko vzr na kazi zako sanaa. Duh hemed jamani. Nawe pia uko vzr,,,,,,ila tangu ukuwaji wangu nimekuwa nikiitwa wema sepetu, maana Nina majina2 mary na wema, kwahy nikijiambulisha popote pale wema, lazima wamalizie wema sepetu,,,,,, 1day natamani nikuone live
Tuko namesake m pia mpka waeke sepetu
Nalingiyo wema ozali kitoka ❤
Wema since umeanzisha kipindi yako ' cook with Wema...' zote mzuri' this is first beautifull looks u made t hongera sana
naitaji kuona diamond akija kwenye icho kipindi chako pls🇧🇮🤝
Atamimi
Katika viongo hakuna kitu napenda kama kitunguu. Yani mara nyingi niwe na pilipili kidogo then kitunguu kibichi
They look gd together Hemed & wema like couples 💋🤗itanoga kweli, smart wema 🇰🇪👌
Ungelijua kweli yangu vile nakupenda bure bila sababu wewe utaolewa tu na diamond 💍 mupenzi wako wa zamani roho yako 👍❤️💍💍💍
Mupenzi or mpenzi
@@naimabonephaci1905 yako nini? Mupenzi ao penzi inakona ako nini shida yako gani?
We needs always fully videos Dah Wema Sepatu 🥰🥰🍭🍭
I love the way you talk wema sepetu
Muwe muke na mume jamani naomba❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Ooh yeah I remember him, from TPF...(in Kenya) though I don't remember which season...
Iluenda wap TPF
Nahisi Hana afya bora kwajili chakula bora anakosa mwilini hemed 🥬🥦🫑🍆🌰🍅
The same to me mwanangu m mwenyewe swez kuona kitunguu kikipkwa Yan sili kabsa nikila natapika ila kwenye kachumbal nakula
My frnds told me too she hates the unione in the food it seems like worm ikiwa haijava sn an ikiwa brown inakaa nzi kwa food
Love you wema from Qatar❤❤
Hii shida ya kufananisha vitu ilifanya siwezi kula spaghetti eti ni minyoooo😂😂😂
eeeh kumb tanga mashaallah ❤❤❤😂😂😂😂hemedy sasa unakulaga tapi kwli maan hiyo ndo hatary 😂😂
Love this man since tusker project fame
Hata mimi watoto wangu wote 6 hawali kitunguu wala tomate, wakila wanachambua vitunguu na nyanya wana weka pembeni kabisa
Even my son
Mbona mmependezeana sana lk Mr & miss
tunatamani siku moja umwalike diamond yani mashabiki nawigi tutavuwa mungu afanye yake kwakweli
Nakupenda sana mdogo wangu una roho nzur sana
wema I want to see the all thing how you guys start cook and after finish to cook we need to see how food will look like plz
Download wema app
My baby Wema sepetu i love you ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Nini kinaitajika ili uweze kudownload wema app maana kila nikijaribu ina load tuu?
jamaa unajilemba sna umekua mzuli kumshinda wema sepetu/ soon ntakutongoza mrembo phd
Acha dharau nyau wewe si Mwanaume mwenzio uwo
Nasubir na auntie ezekiel
Kwa staili hiyo wewe utajioa mwenyewe kwa kweli hayo masharti unayaweza wewe na huyo mwanamke atakae weza yote hayo labda umemzaa mwenyewe
MIMI MTOTO WANGU PIA HAPENDI VITUNGUU AKIANZA KULA HUVIDONDOA NYOTE BASI HUWA SIPENDI MANA ANAVYO VIDONDOA HASI CHAKULA CHUKUISHIA APPETITE🇨🇿
Cjuw kwann aki.... ati mm wa kwangi hapendi vitunguu...
Mimi pia hapendi I guess ni most kids
Yani hata Mimi mwanangu hapendi vitunguu anavichambua kwa mboga anaweka pembeni haki huwa ananikera natamanigi nimchape
Watoto wote wako ivo
@@florencembithe2244 hv kwann ht wangu pia lol
Ila napenda vituko vyako, et hajawah kula mbog za majan🤣unatujaza mwenyew🤣🤣🤣🤣
Masifa tuu ad anakera
Umependeza balaaa nakukubali sana kpz wema
Mwenyewe anaona sifa kusema hajawahi kula mboga za majani tangu amezaliwa,
So pathetic.
Huo wake ni ushamba mtanga hawezi kua na mshamba Stylo hio
Awe anasaga kwa blender hataona minyoo atapata ladha ya chakula
Nimeshangaa jmn inakuwaje
Usikute kwakwe ndio chakula cha kila siku
Utafikir alikulia angani anapenda sifa huyo , Sasa ana nguvu kweli make vyakula vyote vyenye kuupa mwili madin ndo hajla toka amezaliwa🤣🤣🤣🤣
blend the onions🤷🏾♀️Thats what i do...so you have onion paste...
So Pretty😍
Dammmmmmmmn!
Is that wema sepetu!
Waaaaaaaaah!
Then am really behind news..
What with all that body transformation?
Some one feel me in...
Waaaaaa...
It is like am seeing a whole new person myself..
Last time i saw her she was totally different..
Mashallah unajuw kutangaza my bby
Unajua kazi mama endelea hivo
Nawapendaaaaarrrrrrr sanaaaaaaaa🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫
Wema ❤
Est ce qu'il y a des gens en France🇨🇵 qui regarde cook Witherspoon wema ? Aimez ce commentaire
👀
Zawadi your commentair need to be in Swahili pour la melleur comprehension
Zawadi est que vous comprenez au moins swahili??vous etes un fan du sang
✌
His mom’s baby boy 🥺😂
His lying how you know if your mother didn’t feed you mpoga ya majani kipidi upo mdogo
Umeona eeee
Nashangaa
😂😂😂
Huo ni ushamba😁😁😁😁
Vraiment c'est une bonne chose ce que tu fais là
Daaah hongera aisee hemedi 😂😂kuto kula hizo mboga za majani wenzio tuna ogerea🤣🤣🤣🤣
😁😁😅
😀😀😀😀
😂😂😂😂Khaaaa
Hemed eti ujawai kula mbonga mtihani uyo blend ziko weka vtungu unavsanga tu
Mswahili ajawai kula mboga za majani rohooo jamani 😜 jifunze zina mhm ki Afya binafsi yangu ninyime chochote kile Cha kuliwa lakini si mboga za majani Tena ziwe supper green
Wema's lookkk
Nakupenda tu saana 🥰🤩
Ata mimi sili kitunguu ni kila natapika
Ata Kama akionekan kwenye chakula???
Bonge la tunguu 😂😂😂😂😂..hemedi bhana
Hongera wema lop you so much🥰🥰🥰
😂😂😂😂😂😂😂jaman mumeskia hemed ananifurahisha
Is this Hemedi from tusker project fame that was held in Nairobi, Kenya?
Yes
But why that's smile baby nimecheka wallah 😂😂😂
Vitunguu uwe unasaga kwa brend ukisha weka nyanya na vyenyew watia but halufu ya kitunguu kwa mboga inaleta ladhaa flan hvi
Hemedi yupo km mim wallah sipend vitunguu
Vitungoo hemed hupendi kama cazan yangu nayeye hapendi muonekano wa vitunguu
❤️❤️❤️❤️ so much wema
Hi wema you look nice girl i like you style
leo umemleta mwanang sana nakubali sana phd
Sijawai kula mboga za majani kwanzia nimezaliwa
Sema: embu Rudia 😅🧐😅😅😅
He med ulilelewa wapi ati greens nop 😂hivyo vya kula ndo vililea wengi wetu
Love u wema and the show is awesome
Sijawah kula mboga za majani tangu nizaliwe ☺☺☺mbona kwenye ile movie ya house made ulisema upikiwe ugal samaki na mboga za majani au ndo maigizo 🙊🙊🙊😒😒
Wema sepetu na kupenda bure
Hemedy weye hujawahi Kula nn ahsante 😂😂😂😂
Lovely ❤️
Unazidi ku damshi wema
Nakupenda bureeeeee madam wema
Wow nic one Hemedy leo patamu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🇧🇮🇧🇮
Jamn..huyu Kakka mzuri 😪😪😪...
Am the First one 😋😋🥰🥰
Phd anajishaua😂handsome boy hazeekagi😀
Nnarafiki angu nae hapendi vitunguu,nyanya,hoho yaan akila utamkuta anajitapisha anakosa raha ad huruma
Mlete carlinhos ndo ntalipia app yako⚽⚽⚽⚽
Kweli hemedi umenikumbusha mbali San hata Mimi nilivyokua mdogo nilikua naogopa vitunguu nakapichi pia ngozi yanyama yakuku lakini badae nilivyokua ndonikaanza kula
Mmependeza Sana Jaman
CHAKULA cha PhD ni kama Italian food...
My lovely
Don't let people limit you. You speak very good English
*ɪʏᴀᴍʙɪᴇ ᴅᴜɴɪᴀ ɴɪᴍᴇᴊɪᴛᴏᴀ ᴋᴜꜰᴀɴɪᴋɪᴡᴀ, ʜᴀᴛᴜᴀ 8 ᴍᴜʜɪᴍᴜ*
Na MUN'DHIR S AMOUR
Innovate. Inform. Inspire
1. *ɪᴍᴀɢɪɴᴀᴛɪᴏɴ* (ᴛᴀsᴡɪʀᴀ)
Unapaswa kutengeneza taswira ya maisha ya mafanikio unayotaka kuwa nayo.
Kwenye taswira hii ndiyo unajua kusudi la maisha yako, unaweka maono yako,
unakuwa na sababu ya kwa nini unataka kufikia maono hayo na hatua za
kuchukua. Ni lazima kwanza uone taswira ya unachotaka kwenye akili yako
kabla hakijatokea kwa uhalisia.
2. *ɪᴅᴇɴᴛɪꜰɪᴄᴀᴛɪᴏɴ* (ᴜᴛᴀᴍʙᴜᴢɪ)
Baada ya kupata picha ya wapi unakotaka kufika, kinachofuata ni kutambua
njia unayopaswa kupita ili kufika kwenye maono yako. Anzia hapo ulipo sasa,
kwa hali uliyonayo sasa. Usisubiri mpaka kila kitu kiwe sawa ndiyo uanze, kwa
sababu hakuna wakati ambao kila kitu kitakuwa sawa. Kuanza ni bora kuliko
kusubiri.
3. *ɪᴍᴘʀᴏᴠᴇᴍᴇɴᴛ* (ᴍᴀʙᴏʀᴇsʜᴏ)
Unapoanza ukiwa hujawa tayari, utajifunza kadri unavyokwenda. Hivyo utaona
njia bora zaidi za kufika kule unakotaka kufika, na hapo unapaswa kufanya
maboresho ili kufika unakokwenda. Kwa kila hatua unayochukua, jiulize
unawezaje kuiboresha zaidi, kwa sababu kila kitu kinaweza kufanywa kuwa
bora zaidi. Maboresho madogo madogo yanayofanywa kila siku yanakuja
kuzalisha matokeo makubwa na ya tofauti kabisa.
4. *ɪɴɴᴏᴠᴀᴛɪᴏɴ* (ᴜʙᴜɴɪꜰᴜ)
Kupata matokeo ya tofauti na unayopata sasa ni lazima uchukue hatua tofauti
na unazochukua sasa. Unahitaji kuwa mbunifu na ubunifu ni kufanya vitu kwa
namna tofauti. Unaweza kufanya vitu kwa utofauti kwa kuanza na mtazamo
tofauti, kukiangalia kitu kwa namna tofauti na kufanya vitu vipya ambavyo
hujawahi kufanya huko nyuma. Kwa kila unachofanya, jiulize ni kwa namna
gani unaweza kufanya kwa utofauti na ukapata matokeo bora.
5. *ɪᴍᴘʟᴇᴍᴇɴᴛᴀᴛɪᴏɴ* (ᴜᴛᴇᴋᴇʟᴇᴢᴀᴊɪ)
Mipango haiwezi kukuletea mafanikio, nia njema haitakutoa hapo ulipo sasa, ni
mpaka pale utakapochukua ya kutekeleza yale uliyopanga ndiyo utaweza
kutoka hapo ulipo sasa na kufika unakoelekea. Ni kuchukua hatua ndiko kutakakokubadili wewe kutoka hapo ulipo sasa na kufikia maono yako
makubwa. Wanaofanikiwa ni wale wanaochukua hatua, wakati wale
wanaofikiria kuchukua hatua wakibaki pale walipo sasa.
6. *ɪɴsɪɢʜᴛ* (ᴜꜰᴀʜᴀᴍᴜ)
Kila siku kuna ufahamu ambao tunaupata kupitia yale tunayofanya. Iwapo
tunatambua au kutokutambua ufahamu huo kunaamuliwa na utayari wetu,
kutenga muda na kutafakari kwa kila hatua tunayopiga. Tunapotenga muda wa
kutafakari, kukaa kimya, kusikiliza na kuangalia, tunajifunza vitu vingi ambavyo
si rahisi kuviona kama tumetingwa na majukumu yetu ya kila siku. Ufahamu
tunaoupata una mchango mkubwa kwenye mtazamo wetu, unatutengeneza
jinsi tunavyofikiri leo kuhusu tunachotaka kufikia kesho.
7. *ɪɴsᴜʟᴀᴛɪᴏɴ* (ᴋᴜᴊɪʜᴀᴍɪ).
Siyo kila kitu kitaenda kama ulivyopanga wewe. Kuna wakati utapata matokeo
hasi na kukutana na watu hasi ambao watakukatisha tamaa kuhusu malengo
unayofanyia kazi, kwa kukuambia haiwezekani au huwezi. Watu hawa
wanaweza kuwa marafiki, ndugu wa karibu, familia au hata wale unaofanya
nao kazi. Jihami na watu hao hasi kama unataka kufanikiwa, kwa sababu
uwepo wao kwenye maisha yako utakuwa kikwazo kwako kufanikiwa zaidi. Na
hapa haimaanishi kuwatenga, bali kuhakikisha hawaleti ushawishi wao hasi
kwenye ndoto zako, kwa kuchagua kutokuwashirikisha ndogo hizo.
Njia rahisi ya kuwajua watu hasi unaopaswa kujihami nao ni kuangalia watu
hao wanakuwa na majibu gani unapowaleza kuhusu mafanikio makubwa.
Kama ni watu wanaoamini haiwezekani, basi waweke kwenye kundi la watu
hasi na chukua hatua sahihi kwao.
8. *ɪɴᴠᴇsᴛᴍᴇɴᴛ* (ᴜᴡᴇᴋᴇᴢᴀᴊɪ)
Kufikia yote unayotaka kufikia na ambayo yapo ndani ya uwezo wako
unapaswa kuwekeza ᴍᴜᴅᴀ, ɴɢᴜᴠᴜ, ᴊᴜʜᴜᴅɪ, ᴍᴏʏᴏ na ꜰᴇᴅʜᴀ. Kila mtu
anataka kufanikiwa na kupata matokeo bora kwake na kwa familia yake, kila
mtu anataka kilicho bora. Lakini kipimo sahihi cha nani atapata anachotaka, ni
utayari wa uwekezaji ambao mtu anao. Unapowekeza vitu hivyo vitano
vilivyotajwa hapo juu, ndipo unaiambia dunia kwamba umejitoa kweli
kufanikiwa na hakuna chochote kitakachokuzuia.
Unawekeza ᴍᴜᴅᴀ, kwa kutoa muda wako kufanyia kazi malengo yako.
Unawekeza ɴɢᴜᴠᴜ kwa kuweka juhudi katika kuyafikia malengo yako.
Unawekeza ᴊᴜʜᴜᴅɪ kwa kwenda hatua ya ziada kwa kila unachofanya.
Unawekeza ᴍᴏʏᴏ kwa kuwa na hisia chanya juu yako binafsi na kile
unachofanya.
Unawekeza ꜰᴇᴅʜᴀ kwa kununua maarifa na ujuzi unaopaswa kuwa nao ili
kufanikiwa.
Kama hujawekeza vitu hivyo vitano kwenye kile unachofanya, hujajitoa kweli
kufanikiwa.
Unapoleta pamoja vitu hivyo nane, ɴɢᴜᴠᴜ kubwa usiyoweza kuielezea inakuja
kwako na kukuwezesha kufikia maono makubwa ambayo umejiwekea.
*MUN'DHIR S AMOUR *
*ᴍɪᴍɪ ɴᴀ ᴍᴡɪɴʏɪ*
_Innovate. Inform. Inspire._
+255773 455 455 / +255676 455 455 /+255626 889 215
Hahaha 😂 kunakitu nacheka
Masha Allah
What about tambi tambi na wali huon kama ndo vifunza funza na minyo nyoo 😊
Hahahahaha
😅😅
Umependeza madam
Meddy mie natak mbegu tu mzee mwenzangu🤣🤣🤣🤣ntalipia miuno tu ila mbegu iwe soft👌
Hahahahaha naku gawa bure,, am give up on u khaiii!!!!
Tausi Ngomeni nimejikuta nacheka shoga angu mie😃😃 dah wewe shida yako mbegu tu wa Edi😄
@@halimambena6110 yaan ww huon mamy, mbegu safi hata ntalea mwenyew😂
@@tausingomeni2568 😂😂😂haya my sasa fanya mpango utamfute bs akupe hiyo mbegu shoga zako utukomeshe
@@halimambena6110 na alivo na mashauz anatak misambwanda😂😂😂mbegu nishakosa mie tako sina
Hata mm vitunguu sipendi labda ktk kachumbali ndo natumia
Hongera sana my beautiful lovely girl
Jamani nikajua ni mimi tuu sipendi vitunguu duu sijui kwann hii hali ninayo
Love you baby girl
Mmh sio rahis kupenda Epsode zote ila huyu kazidisha sifa mmh..maana hiki kipind kinatakiwa kitoe mafunzo🤔