Sababu 8 Kwanini Hutakiwi Kuoa Mwanamke Mwenye Miaka 30+ Roy Sarungi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • Sababu 8 Kwanini Hutakiwi Kuoa Mwanamke Mwenye Miaka 30+ Roy Sarungi

ความคิดเห็น • 221

  • @LEAH-d3l
    @LEAH-d3l 2 วันที่ผ่านมา +2

    That's human wisdom, God has his time, I got mine after 40 and we are doing great.

  • @raphaelmrisho1520
    @raphaelmrisho1520 6 วันที่ผ่านมา +9

    Jamani hizi interview nyingine duuu!
    Nadhani mzee huyu anahitaji kujiridhisha na utafiti wake.

    • @Rogathe-Rogathe
      @Rogathe-Rogathe 3 วันที่ผ่านมา +1

      Hayuko sawaa kbs kichwani... Nonsense

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 5 วันที่ผ่านมา +7

    APO MZEE LAZMA UTUKANWE😊😊,,KIUKWELI

  • @LilianMuta-k8u
    @LilianMuta-k8u 6 วันที่ผ่านมา +8

    Sio kila mzee alie zeeka ana busara,wengine ni wahuni waliozeeka

    • @SakinaValy
      @SakinaValy 3 วันที่ผ่านมา

      Haswaaa

    • @Rogathe-Rogathe
      @Rogathe-Rogathe 3 วันที่ผ่านมา

      Kabisaaa😅😅😅 nonsense

  • @issujar.j.francis3220
    @issujar.j.francis3220 6 วันที่ผ่านมา +15

    Your daughters will pass through the same experience. Pray

  • @nassoroyahaya821
    @nassoroyahaya821 6 วันที่ผ่านมา +14

    Mke mwema anatoka kwa Mungu,awe mcha Mungu tu na aweze kumtii mumewe bila kujali umri ilimradi tu aweze kuzaa just 30-35 good

  • @marthaaugustinokimilike4228
    @marthaaugustinokimilike4228 3 วันที่ผ่านมา +3

    Anauchungu sana huyu mzee😅😅😅

  • @allymkolokoti7123
    @allymkolokoti7123 6 วันที่ผ่านมา +18

    30+ Kwa asilimia ukubwa ni wanawake ambao wako tayari kukaa kwenye ndoa baada ya kipindi Cha utoto kwisha,ukibahatika kupata mchamungu umepata mke

    • @FrankChacha-y3d
      @FrankChacha-y3d 5 วันที่ผ่านมา

      Sio utoto kuisha sema baada ya kutumka sana

    • @mariamodaalimadionisio-xd1xw
      @mariamodaalimadionisio-xd1xw 5 วันที่ผ่านมา

      Kwelie kabisa

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@mariamodaalimadionisio-xd1xw kweli wapi baada yakuruka ruka huko ndio anatafuta pakustaafia

    • @abumuhammad157
      @abumuhammad157 3 วันที่ผ่านมา

      Khalafu

    • @getajo1153
      @getajo1153 2 วันที่ผ่านมา

      Hakuna mcha Mungu hapo, ni kwamba kabadilisha aina ya maisha kufanikisha alichoshindwa kupata enzi ya usichana wake...

  • @chrissg4026
    @chrissg4026 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukweli unauma ndo maana mzee anatupiwa matusi mengi😆😆😆😆😆

  • @DastanTundu-wc4xh
    @DastanTundu-wc4xh 5 วันที่ผ่านมา +4

    Mzee we fala sana sura mbayaà

  • @ZeinabAmani-i1g
    @ZeinabAmani-i1g 3 วันที่ผ่านมา +3

    Wee mzee ni mchawi haswaa si kwa maneno yako mabovu

    • @ruthn9381
      @ruthn9381 2 วันที่ผ่านมา

      Kwanini? Si ni ukweli anavyosema?

  • @tigris_192
    @tigris_192 2 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli group O hawana matumiz mazur ya pesa na wanapenda sana kununua nguo😂😂😂

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 6 วันที่ผ่านมา +25

    Wewe mzee hufai mimi nimeolewa umli mdogo na kuna anaeolewa umli mkubwa mimi sioni tofauti mwanamke anaemcha mungu ndio sili ya ushindi katika ndoa hakuna cha umli wala nini kama mwanamke una umli mkubwa hujapata mme sahihi subili mungu atakupa mme mwema usisikilize l swaga za huyu babu

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 6 วันที่ผ่านมา +3

      Acha hasiri

    • @JeremiahMwalukosya
      @JeremiahMwalukosya 6 วันที่ผ่านมา +2

      Ivi wapo wanawake wanaomcha Mungu mi nimewaona wanamcha Mungu pesa hawa wa Mungu sijawaona

    • @StahimiliMwasile-f2q
      @StahimiliMwasile-f2q 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@JeremiahMwalukosyamwagona ?

    • @allymasoudi6780
      @allymasoudi6780 5 วันที่ผ่านมา +1

      Msikilize vizuri utamuelewa anaongea ukweli mtupu

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 5 วันที่ผ่านมา

      Wakati wanamcha Mungu nani anawafanya si wazinzi tu hao tuko nao makanisani Bwana Yesu Asifiwe kumbe kapepo kamalaya balaaa

  • @annacyril5832
    @annacyril5832 4 วันที่ผ่านมา +3

    Lizee ovyo Sana, kichwani ziro.

    • @SakinaValy
      @SakinaValy 3 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂🎉

  • @edithmushy1010
    @edithmushy1010 2 วันที่ผ่านมา +1

    Eti miaka 30 katumika sana. Nyie mbna ndio mnatumika tangu kubalehe na hatusemi. Mijanaume inajifanya mitakatifu na wakati ndo wachafu balaa.
    Halafu Wee mzee ulioa wa 30+ ili ulelewe ukakutana na mwanamke mwenye utimamu ukapelekeshwa na ukaaachwa ndo maana una uchungu nao.

  • @GraceSadalla
    @GraceSadalla 5 วันที่ผ่านมา +2

    Acha kupotosha watoto wa wañaume wenzio we mzee

  • @mirandamsuya5813
    @mirandamsuya5813 วันที่ผ่านมา

    Huyo mwanaume anayeandika nne na kukata viuno kikao cha mwisho hakuwepo awe anahudhuria vikao

  • @beatricehenry6776
    @beatricehenry6776 4 วันที่ผ่านมา +3

    Shindwa mchafu sana una mdomo mchafu hasa kwenye umri

    • @SakinaValy
      @SakinaValy 3 วันที่ผ่านมา

      Bite nimecheka sana comment yako😂😂

    • @ruthn9381
      @ruthn9381 2 วันที่ผ่านมา

      In the West, they get married very early. They even say that at 30 you are old and late for children.

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 6 วันที่ผ่านมา +5

    Huyu bb hajielewa wengine sio uwazavyo bb khaaaaaa

  • @AnnaShmhilu
    @AnnaShmhilu 6 วันที่ผ่านมา +6

    Were mzee mpu
    Mbavu sana

  • @vitalisjuma4451
    @vitalisjuma4451 3 วันที่ผ่านมา

    Maneno unayo ongea ni ukweli mtupu👏

  • @MamaHanisa-i8z
    @MamaHanisa-i8z 3 วันที่ผ่านมา

    Yategemea me mbona nimeolewa Wacha kuvunja Wana wake moyo 😂😂😂😂

  • @sharifaali4163
    @sharifaali4163 4 วันที่ผ่านมา +2

    Wemzee sio kila mwanake mwenye miaka 30 alitumika chunga kauli yako kalime kama una kazi yakufanya

  • @ExodusMarcStanley
    @ExodusMarcStanley 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi ni group O lakini sina hizo tabia

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po 6 วันที่ผ่านมา +2

    Chenz kabisa 😂😂wapedozi mzeebaba

  • @Joharissa-f6p
    @Joharissa-f6p 4 วันที่ผ่านมา +2

    Watu kama hawa ndio wanafanya watu wakate tamaa na kuchukua maamuzi magumu ya kujitoa uhai wahoo
    Maana wanaona kama hawana bahati.
    Huu wakati wakutia watu moyo na kuwapa amani wamwamini Mungu.

    • @eddacharles6573
      @eddacharles6573 3 วันที่ผ่านมา

      Kwa nini ujiue kwa sababu ya jitu pumbavu kama hili. Mijitu kama hii hatuipi airtime hata kidogo.

  • @khadijayusuph2634
    @khadijayusuph2634 6 วันที่ผ่านมา +4

    we baba wee watake radhi hao wanawake wa 30+

  • @RichardJames-y2k
    @RichardJames-y2k 4 วันที่ผ่านมา +3

    Kila mjinga anawajiga wake kw hyo mzee wapo wanaokuelewa wajiga wenzio

    • @Rogathe-Rogathe
      @Rogathe-Rogathe 3 วันที่ผ่านมา

      @Richard James kbs wajinga wenzie ndo watamuunga mkono

  • @WillBat-gc9ex
    @WillBat-gc9ex 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna kipindi mnapenda kuuza sura kwenye TV mjulikane huku mnaongea ushuzi tu ng'ombe nyinyi nae dada kakutegea sikio tu mtameza na mataptap kila elimu mna baba tu uzuri wa mke au mume uko machoni pa mwenza wake' kuku wewe.

  • @OdastinaMabiti
    @OdastinaMabiti 4 วันที่ผ่านมา +1

    awamu hii umeibgea utumbo we mzee

  • @KhamisMohammed-y9l
    @KhamisMohammed-y9l 6 วันที่ผ่านมา +9

    Kwenye chama chetu uwabata tumejadili tumeona unafaa kutuongoza kaka sie wanaume tunapitia mengi

    • @AwardHakimu
      @AwardHakimu 6 วันที่ผ่านมา +1

      Anafaa kwakweli

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 6 วันที่ผ่านมา +2

      Kwel miaka 30 kwel unaowa mwanamkee ni upuuz huoo. Baada ya miaka 5 ameshakuwa bibi kizee

    • @lydiadaudi4076
      @lydiadaudi4076 5 วันที่ผ่านมา

      Wakati huo wewe umri wako hauongezeki siooo ​@@Teacher_01

    • @abdallahlibwela9761
      @abdallahlibwela9761 3 วันที่ผ่านมา

      Sahihi sana.
      Huyu mzee nahisi anagombea uenyekiti UWABATA

    • @LutfiaRashid
      @LutfiaRashid 3 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅kwahyo watu wa35 ni wazee labda wa huko kwenu huku kwetu mdada wa30s ni kma 20s tu​@@Teacher_01

  • @ClementLeonard-h9m
    @ClementLeonard-h9m 6 วันที่ผ่านมา +3

    Tumependa mafundisho yako kaka roy tulisishe madini ayo

  • @Judy254
    @Judy254 6 วันที่ผ่านมา +2

    Wacha nisiseme kitu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Niika870
    @Niika870 6 วันที่ผ่านมา +3

    Yuko vizuri sana,wape nondo hata kama hawataki

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 5 วันที่ผ่านมา +1

    mjinga jamani huyu mzee,kuna wale wachaga wanatafuta gakwanza,ndoa baadae,na wanavutia sn,kwasababu wanakuwa na mali zao tayari hawataki kuwa tegemez,kumbe wanakosea

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe 6 วันที่ผ่านมา +1

    Da!!😂😂😂😂Sijui Hata Nacheka Nn..🚶🚶🚶

  • @KudraRajabu-d6k
    @KudraRajabu-d6k 2 วันที่ผ่านมา

    Hujielewi kama umekosa la kuongea si ukae nyumbani unasema miaka 30 wamepitia wanaume wengi wewe umepitia wangapi una kufuru kwa Mungu Omba Toba

  • @mirandamsuya5813
    @mirandamsuya5813 วันที่ผ่านมา

    Hapo kwenye kuomba nauli umenikwaza sasa nisipomuomba mume wangu nimuombe nan

  • @NuruAlly-d1j
    @NuruAlly-d1j 3 วันที่ผ่านมา +1

    Huna busara mzee mzee wa ovyo wa mwanzoni mwa mwaka

  • @zakazakazi-fn6zy
    @zakazakazi-fn6zy 5 วันที่ผ่านมา

    Mzee wewe ni genios 100%

  • @pendothomas7885
    @pendothomas7885 6 วันที่ผ่านมา +2

    Kha ww mzee tutolee uchuro

  • @jeniphabutondo1448
    @jeniphabutondo1448 3 วันที่ผ่านมา

    We mzee kama ulitendwa na 30+ ni huyo sio wote. Mpuuzi wewe sio Mungu.

  • @thamani5842
    @thamani5842 6 วันที่ผ่านมา +4

    Tuwe makini na hii mitandao

  • @gracyusoy9435
    @gracyusoy9435 6 วันที่ผ่านมา +9

    Mimi sijapenda kila mwanamke ana haki ya kuolewa kuna wengine wanaolewa hata na miaka 40. Tutumie lugha ya staha kujadili watu, wanawake wanapitia changamoto nyingi na kuna wengine kweli wana shida sana lakini bado tujadili watu kwa staha

    • @ToshaMill
      @ToshaMill 6 วันที่ผ่านมา

      Miaka yote hiyo mpaka anafika 30 alikuwa wapi kuolewa?😮

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 6 วันที่ผ่านมา +1

      Kwani kuolewa ndio Nini watu tunatafuta pesa halafu wajinga tukishajenga tuwaweke ndani maana hamjielewi Sasa subilini

    • @ToshaMill
      @ToshaMill 6 วันที่ผ่านมา

      @@tinnahagustinolyelu4247 wengi wenu mna 30+ na hamjaolewa na hamna pesa poleni full 😩

    • @lydiadaudi4076
      @lydiadaudi4076 5 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@ToshaMillalikuwa na baba yako

    • @ToshaMill
      @ToshaMill 5 วันที่ผ่านมา

      @@lydiadaudi4076 we nawe kibibi alafu hujaolewa,

  • @OdastinaMabiti
    @OdastinaMabiti 4 วันที่ผ่านมา

    mwenyewe kashavurugwa, mtapotezwa ndg zangu

  • @GinaNdegeulaya
    @GinaNdegeulaya 2 วันที่ผ่านมา

    Ukisikia msemo unasema mu2 mzima kisoda ndio huyu sas .

  • @abdallahlibwela9761
    @abdallahlibwela9761 3 วันที่ผ่านมา

    Mhhh ama kweli huyu mzee anawafunda wengi

  • @TundaEmanuel-ns8kj
    @TundaEmanuel-ns8kj 5 วันที่ผ่านมา +3

    Kwanza kabila gan huyu Mzee mwenzangu , Half muwe mnawwpima watu akili ndio mnawafanyia Interview 😉

    • @AtifaIslam-t6g
      @AtifaIslam-t6g 3 วันที่ผ่านมา

      Ametafuta la kuongea akuona sasa yuaongea upuzi tu sijui yuatoka wapi

  • @lshayo1658
    @lshayo1658 6 วันที่ผ่านมา +1

    We Mzee japo unaongea ukweli, tayarijia matusi mengi kutoka kwa hao 30+

  • @HamadFaki-p2m
    @HamadFaki-p2m 3 วันที่ผ่านมา

    Huo ujinga anaoongea na huyo dada kakaa anamsikiliza eti

  • @JoshuaSimogope
    @JoshuaSimogope 6 วันที่ผ่านมา +2

    Mzima sana kuliko kawaida ila sasa inatakiwa uwe tayari kupokea ukweli na ukubaliane nayo poa uwe tayari kukubali ukweli

  • @iddikibwana9185
    @iddikibwana9185 6 วันที่ผ่านมา

    Kweliii😂😂😂😂😂😂. Huyuu mzeee mpuuuzii

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 6 วันที่ผ่านมา +6

    Wewe babu sio mzima unavyoonekana ni mnyanya saji wa wawanawake wewe mzee hufai inaonekana unapenda vibinti kwani mwanamke akiwa na umli wa miaka 30 lazima awe malaya kwa kweli hufai ualimu wewe muhuni

    • @JeremiahMwalukosya
      @JeremiahMwalukosya 6 วันที่ผ่านมา

      Lkn kama sio ukwelii kwanini mchukie

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 6 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂 umepanik sio

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 6 วันที่ผ่านมา +2

      Miaka 30 unaowa nin hapo.. au unaamua kumsaidia TU.

    • @GodMushi-vm2bo
      @GodMushi-vm2bo 6 วันที่ผ่านมา

      Inakusu ndomaana unakadirika

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 6 วันที่ผ่านมา +1

      Huyo babu inaonekana ana mgogolo na bi mkubwa wake ndio maana anajilipiza kisasi kwa wanawake wenye miaka 30na kuzidi maana anaonekaka ana chuki binafsi

  • @urafikitv8458
    @urafikitv8458 6 วันที่ผ่านมา +5

    Leo huyo dada katulia au siyo yule mapepe wakuingilia mazungumzo

    • @michaelmulokozi1512
      @michaelmulokozi1512 6 วันที่ผ่านมา

      Anakeraga yule😅 mpk jamaa anaamuaga kuendelea kuongea katika mwingiliano

  • @cristinajeremiah2450
    @cristinajeremiah2450 6 วันที่ผ่านมา +2

    Mshukuru Mungu kwamba wewe umekamilika kwa kila jambo

  • @AtifaIslam-t6g
    @AtifaIslam-t6g 3 วันที่ผ่านมา

    Wewe uamasishi bali wapotosha

  • @getajo1153
    @getajo1153 2 วันที่ผ่านมา

    Comments ni dhahiri kuna waliopigwa na mawe gizani,,,, si kwa mapovu haya 🤣🤣

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee umeongea kweli kabisa ndio yalipo Kwa hao wanawake waliopita na wanaume wengi hatari sanaa ni kama Simba aliejeruhiwa ana makovu yaliyopita wanaume angalia sanaa

  • @StellaRemi
    @StellaRemi 4 วันที่ผ่านมา +1

    Weeee mzee una mapepo sio akili yako, huna maana kwenye jamii

  • @shuzashadyproduction8438
    @shuzashadyproduction8438 6 วันที่ผ่านมา

    MZEE NIMEMUELEWA 🔥🔥😁

  • @jeaninekabano9190
    @jeaninekabano9190 5 วันที่ผ่านมา

    Ila jamani tafuteni watu wakuwahoji siyo kila mtu anafaa kwa mambo kama haya kwa sababu tunahitaji kujifunza na kuelimishwa sasa mtu kama hana hata utafiti sahihi jamani duh😢😢 au kashtukizwa wawe wanajipanga😂😂😂

    • @JumaMohd-w2m
      @JumaMohd-w2m 4 วันที่ผ่านมา

      Ukwl unamgusa mtu

  • @PhillyAmbilikile
    @PhillyAmbilikile 6 วันที่ผ่านมา +1

    Umenena kweliii sana

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 6 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂😂😂😂 huyu jamaa bana

  • @shaomymusic4510
    @shaomymusic4510 6 วันที่ผ่านมา +4

    Ww mzee mpuuz na meneno ulonena yatarud kwenye kizaz chako me naamini wakt wa mungu ndo sahihi ww jigambe tu

  • @sachristianjohnmhongolo4876
    @sachristianjohnmhongolo4876 6 วันที่ผ่านมา +4

    Msenge wewe

  • @Shishinaya1554
    @Shishinaya1554 3 วันที่ผ่านมา

    Mzee kobe

  • @lilianmbeyu
    @lilianmbeyu 2 วันที่ผ่านมา

    Wewe mzee umeoza ubongo,ungekuwa chombo cha moto unafaa upelekwe kwa scrap dealers

  • @SuzanSibale
    @SuzanSibale 6 วันที่ผ่านมา +3

    Mze mitano tena

  • @RajinaMagimpe
    @RajinaMagimpe 5 วันที่ผ่านมา +1

    Yaan ww mzee haufai

    • @ruthn9381
      @ruthn9381 2 วันที่ผ่านมา

      Are you over 30?

  • @leocadiadev
    @leocadiadev 6 วันที่ผ่านมา +1

    Hata nabii tito alianzaga hivi hivi

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 6 วันที่ผ่านมา

    ELIMU NZURI SANA , Ni Kweli huyo ni nyati aliyejeruhiwa, mwingine wakati wa faragha anataja majina mengine mpaka ya madalali . mkizenguana kidogo tu utasikia unaambiwa ww hauko kama furani..😀😀,

  • @Zuhura-o5v
    @Zuhura-o5v 3 วันที่ผ่านมา

    Kwakweli

  • @KissaMwaibila-xp7io
    @KissaMwaibila-xp7io 4 วันที่ผ่านมา

    Nyoooo

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 6 วันที่ผ่านมา +1

    Hizo sababu ni za mwanaume asiyejiamini

  • @petsmore9955
    @petsmore9955 4 วันที่ผ่านมา

    Umejaa upuuzi kichwani! Uvundo mtupu, huna kitabu. Jin ga kabisa

    • @SakinaValy
      @SakinaValy 3 วันที่ผ่านมา

      😂🎉 mbona Binti wake ameachika na ana miaka 27

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 6 วันที่ผ่านมา +4

    Wewe sokwe mutu sikupendi

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 6 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 umepanik

    • @gaspercosmas390
      @gaspercosmas390 6 วันที่ผ่านมา

      We dada ukweli huutaki

    • @lydiadaudi4076
      @lydiadaudi4076 5 วันที่ผ่านมา

      Nimecheka nusu ya kufa, ogopa kucheka bila kutoa sauti huku ukibubujikwa na machozi 😅😅😅😅

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 4 วันที่ผ่านมา

      Tafuta bwana uolewe ww acha makasiriko 😂😂

  • @sedttlerkikutta5683
    @sedttlerkikutta5683 4 วันที่ผ่านมา

    Hivi huyu mzee anafahamu madhara ya ushauri anaotoa kwa umma? Athari kwa wasichana wa umri huo wa 30 na zaidi wanao ngoja na kuvumulia kwa kuulinda usichana wao ili kupata wanaume sahihi kwa maisha yao?

  • @ANNETWAGI-hg9fc
    @ANNETWAGI-hg9fc 3 วันที่ผ่านมา

    Ikikize kinaingeya kamakicawi vile

  • @edithmushy1010
    @edithmushy1010 2 วันที่ผ่านมา

    Subiri binti zako wakifika miaka 30 uwashauri wasiolewe tena. Hujui kuongea na jamii wewe mzee. Hekima huna.

  • @jeniphabutondo1448
    @jeniphabutondo1448 3 วันที่ผ่านมา

    We mzee hujielewi usifikiri wanawake wote wanafanana tabia

  • @c.e.omasasi5131
    @c.e.omasasi5131 6 วันที่ผ่านมา +2

    Umetisha mzee upo really

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona umeficha sura

  • @SuzanSibale
    @SuzanSibale 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mze shikamoo

  • @edwardbudodi4497
    @edwardbudodi4497 6 วันที่ผ่านมา +1

    Vipi watu wa group A+ Wakoje nao tunaomba kaka utueleze pia

  • @AyiokaVedinas
    @AyiokaVedinas 6 วันที่ผ่านมา +2

    Sasa na huyu boss wangu yuko na 31 na ndio anataka kuolewa sahii na hajawai kutana na mwanaume yeyote niseme nini 😂😂😂gulf sio Tanzania hapa wanaolewa na 35++

  • @WillBat-gc9ex
    @WillBat-gc9ex 4 วันที่ผ่านมา

    Hyo ni mihemko yako inayoona karibu mi nakupinga hilo hata kama sina umri huo

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 4 วันที่ผ่านมา

    Huwezi kufundisha mahusiano kwa kukusamya mafaili ya walioshindwa kama wewe wanaojianika kwenye mitandao kufeli kwao hapo utapotosha tu mzee unaongea kama vile una bifu na x wako bi mkubwa unampa mipasho kwa mgongo wa chupa hapo hakuna fundisho babu umefeli

  • @technicalgearboxenginebysc1360
    @technicalgearboxenginebysc1360 6 วันที่ผ่านมา +9

    Wanawake wenye miaka 30 na zaidi ambao hawajaolewa ndio wanaopinga huyu mzee .yupo sahihi kabisa

    • @ruthn9381
      @ruthn9381 2 วันที่ผ่านมา

      You said the truth. People do not want to hear the real truth.

  • @JoaCastor
    @JoaCastor 4 วันที่ผ่านมา +2

    Akili zako ziko matakon😂😂😂😂😂😂😂unekunya akili zote umebakia na mavi kichwani,

  • @florariwa3475
    @florariwa3475 3 วันที่ผ่านมา

    Ovyooooo

  • @HamadFaki-p2m
    @HamadFaki-p2m 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee ni mpumbavu daaah 1:33

  • @lamekkauka9056
    @lamekkauka9056 6 วันที่ผ่านมา

    Hahaha ukweli unauma wape dozi baba

  • @MariaMwala
    @MariaMwala 3 วันที่ผ่านมา

    wakati wa MUNGU pekee ndio sahihi , hata kama ni miaka 50

  • @AtifaIslam-t6g
    @AtifaIslam-t6g 3 วันที่ผ่านมา

    Wacha ujinga kuna watu wamekaa miaka 45 na wametulia na wameolewa acheni kujifanya miungu watu

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 4 วันที่ผ่านมา +2

    Ukweli mchungu

  • @hamidahnassoro-12
    @hamidahnassoro-12 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani ukioa wa miaka 19 akifika 30 inakuwaje apo? Au unaach unatafuta tena wa muaka 19 tueleweshe hapk

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 4 วันที่ผ่านมา

      Ukioa wa miaka 19 unakuwa kama umenunua gari ya zero Kilomita sijui umenielewa 😂 ila uyo wa 30+ Kilomita zimetembea kinoma mpaka engine imechoka 😂

  • @robbyman6213
    @robbyman6213 6 วันที่ผ่านมา +1

    WANAWAKE WA MIAKA 30 NA WALIOOA WANAWAKE WA MIAKA HIYO WANAONGOZA KWA HASIRA KWENYE COMENT.

  • @cosmaslunyembeleka251
    @cosmaslunyembeleka251 6 วันที่ผ่านมา +1

    Yani uyu jamaa uyu jamaa huu ni ukweli uliosawia na mazingira yetu

  • @HawaLutabingwa
    @HawaLutabingwa 6 วันที่ผ่านมา +6

    Huyu sio mzima kichwani

  • @FatmaChezo
    @FatmaChezo 4 วันที่ผ่านมา

    Umeyajuaje, yote