MZIMU WA LUMUMBA UNAITESA CONGO

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 167

  • @NhungaWanyama
    @NhungaWanyama 3 วันที่ผ่านมา +10

    Duh nyinyi wachokonozi akiri kubwa yote hiyo mnapata wapi yaani kila nikiwasikiliza napata raha na uelewa wa juu sana,😂😂😂😂 na barabara za dhahabu na kioo,Watanzania wote mbinguni duhh,nyinyi ni noma,asiyewapenda akanywe sumu ya panya!!

    • @imhotepheru436
      @imhotepheru436 3 วันที่ผ่านมา

      Since Berlin Conference 1884-1885 wakoloni walitugawa, And up today we haven't recovered yet 🤔 wajinga wengine wanabaguwana kiukabila na wengine wanabaguwana kupitia dini za wakoloni 🤔

  • @AmanduslucasNnonjella
    @AmanduslucasNnonjella 3 วันที่ผ่านมา +13

    Daaah Africa inawaitaji sana my brothers

  • @esaiekibeho1728
    @esaiekibeho1728 2 วันที่ผ่านมา +8

    Kweli mtupu ,
    Kutoka DRC Beni

  • @HusnaSharifu
    @HusnaSharifu 3 วันที่ผ่านมา +9

    Wachokonozi for life❤❤❤❤❤ mmeniponya Sana

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 3 วันที่ผ่านมา +3

    Wachokonoziiii🔥🔥🔥
    Waafrica wasaliti wengi na tusalitiana wenyewe kwa wenyewe bila kujua tunaharibu vizaz vijazo!!

  • @ChifundaFrances
    @ChifundaFrances 3 วันที่ผ่านมา +7

    Wachokonozi Leo mmechokonoa sis ni wamito na asali na mabikriaa ❤❤❤

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 3 วันที่ผ่านมา +3

    One Afrika kbisa🔥🔥🔥👌

  • @andrewpaul9734
    @andrewpaul9734 3 วันที่ผ่านมา +3

    safi sana big up❤❤❤

  • @SaidSeif-d4y
    @SaidSeif-d4y 3 วันที่ผ่านมา +4

    Mwenge.... mwenge...mwenge..😮😮 zindiko la moto😮😮

  • @Manunhya
    @Manunhya 3 วันที่ผ่านมา +10

    Watoto wa 2000 watupishe kidogo 😊

  • @masudihamisi-z6m
    @masudihamisi-z6m 3 วันที่ผ่านมา +5

    safiiii me nawambia Kongo inawatesa laana ya Patrice lumba l real like this wanatakiwa kurefer Patrice Lumumba wabadilike akili ziwe chanya

  • @maxiellmillian
    @maxiellmillian 3 วันที่ผ่านมา +3

    M 23 BIG UP SANA

  • @HealerBoy-z9c
    @HealerBoy-z9c 3 วันที่ผ่านมา +3

    Hela we mmbareee we ni kiboko ,gaya kaka vandu uku tukukunda Atari

  • @RamadhanMdhirai
    @RamadhanMdhirai 2 วันที่ผ่านมา +4

    Jamani napataje vitabu vyako Mr Mrindoko😊

    • @darasibrown6084
      @darasibrown6084 วันที่ผ่านมา

      Kweli vitabu jaman tupeni location

  • @wilbardlameck8025
    @wilbardlameck8025 3 วันที่ผ่านมา +5

    Sema hako kajamaa ka pembeni kanajifanya hakaelewi kumbe ndo kachokonozi haswaaa anyway bigg up wachokonozi mnatupa madini adimuuu

    • @onesmoMleba-l5k
      @onesmoMleba-l5k วันที่ผ่านมา

      Changia maada sio kusifia tu nyinyi ndo mnakuwa machawa😅

  • @carolinelinja5635
    @carolinelinja5635 2 วันที่ผ่านมา +3

    About mental slavery, ni kweli bado akili zetu zimo utumwani.Big up vijana wetu

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 3 วันที่ผ่านมา +6

    Mrindoko kumbe ni mkongwe😅😅

  • @Khadijasaidi-n9v
    @Khadijasaidi-n9v 2 วันที่ผ่านมา +2

    Nawakubali sana wanangu mnaonge kitu kimenyoka

  • @maduhukipilyango-tz1jp
    @maduhukipilyango-tz1jp 3 วันที่ผ่านมา +3

    Dah wachokonozi bhana wamejibu kitu ambacho watu wengi walikuwa wanawaza eti wanaweza kuuwawa Hawa jamaa Leo mmemaliza kabisa kuwa hata mkiuwawa ni kazi bu4e

  • @masudihamisi-z6m
    @masudihamisi-z6m 3 วันที่ผ่านมา +7

    Dah nasikitika sana watu kama nyinyi ni adimu kuwapata ila tumewapata alfu bado watu hawawaelewi

  • @elijahm.muthini
    @elijahm.muthini 3 วันที่ผ่านมา +6

    ao bikra bahati mbaya wakue ni mwanaume😂

  • @PaulKidula-o9g
    @PaulKidula-o9g 3 วันที่ผ่านมา +5

    Et sisi tuliandaliwa kwenda mbinguni😅😅😅

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 3 วันที่ผ่านมา +4

    😂😂😂😂 wachokonozwa barabara ya kioo na dhahabu😂😂😂

  • @RynoFire-w8k
    @RynoFire-w8k 2 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂😂 dah ila hivi vichwa!!!

  • @HusseinMahemudu
    @HusseinMahemudu 3 วันที่ผ่านมา +5

    Upo sahii kabisa wacongo inatakiwa wajikomboe kifikira kwanza

  • @festofelix7644
    @festofelix7644 2 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂😂😂mtume Muddy

  • @Wachokonozifamily
    @Wachokonozifamily 2 วันที่ผ่านมา +3

    Tatizo watu wa kule ni wabishi sana,wanawaza kuvaa mavazi mazuri na starehe bila akili

  • @AlexLeonardAthanas
    @AlexLeonardAthanas 3 วันที่ผ่านมา +7

    Natamani sana yajengwe ma tempo mengi kama yalivo makanisa kisha ndani ya tempo uwekwe mwenge ili watu tupate kufanya ibada iliyo timamu

  • @ramadhanishabani2712
    @ramadhanishabani2712 3 วันที่ผ่านมา +5

    Leo umekula five ⭐⭐⭐⭐⭐ star

  • @MarioTV255
    @MarioTV255 3 วันที่ผ่านมา +2

    Good idea

  • @isackmachiyanshoka6754
    @isackmachiyanshoka6754 3 วันที่ผ่านมา +2

    ❤ mambo mengi mno kuhusi congo.

  • @LucasTawete
    @LucasTawete 3 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤❤ Yan nawaelewaga Sana aisee 🎉

  • @SADICKDABALY
    @SADICKDABALY 3 วันที่ผ่านมา +4

    Duuuh dhahabu tutazikuta mbinguni nin? Daaah kweli sisi watanzania ni maiti

  • @jaystrongmagaboy1633
    @jaystrongmagaboy1633 3 วันที่ผ่านมา +3

    Nawapenda sana wadau

  • @ludotheplanet7475
    @ludotheplanet7475 3 วันที่ผ่านมา +7

    Dah.. mkuu samahani, procedure za kupata kitabu tafadhari.

    • @wachokonozi_
      @wachokonozi_  3 วันที่ผ่านมา +2

      0785346032 WhatsApp

  • @JoyceNowara
    @JoyceNowara 3 วันที่ผ่านมา +4

    😂😂😂Sindiko limekolea

  • @JumaMakame-g1v
    @JumaMakame-g1v 3 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂 wa TZ tulifafanywaje 😂😂😂

  • @bahatideda5722
    @bahatideda5722 3 วันที่ผ่านมา +4

    mh mwamba nimekuelewa sana

  • @AkaroNdungu
    @AkaroNdungu 3 วันที่ผ่านมา +2

    Afrika kuna watu zimebaki kuku wanaopigania pumba kama wachokonozi😂😂😂

  • @najishija
    @najishija 3 วันที่ผ่านมา +7

    Napenda xana uelimishaji wenu na huwa nawafatilia kwa ukaribu xan pia ningependa siku moja mmjadili huyu kiongozi wa bukinafaso kwa kile anachofanya kwa nchi yake je kama ni mfano kwa viongozi wengne wa africa ili kufanya bara letu kuwa na nguvu?

  • @LucyNgowi-r2o
    @LucyNgowi-r2o 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mnaongea kweli ❤❤

  • @raphaelkaswahili323
    @raphaelkaswahili323 3 วันที่ผ่านมา +3

    Hawa jamaa natamani kuwaona wakifanya mahojiano na MiradAyo na Sky ❤❤

    • @Abbitaf
      @Abbitaf 3 วันที่ผ่านมา +1

      Millard cha mtoto hapa hatoboi hawa jamaa serikali iwachukue Wana vitu vikubwa sana

    • @saidyande
      @saidyande 3 วันที่ผ่านมา

      Milladiayo hawezi fanya kipindi na mtu ambaye ni mbobezi wa metaphysics kwa Tanzania labda Harris kapiga

    • @raphaelkaswahili323
      @raphaelkaswahili323 3 วันที่ผ่านมา

      @@Abbitaf Mkuu nahisi hukunielewa sina mana ya ulinganifu ila nilikusudia kusikia umakini na uzingatifu wa points

    • @raphaelkaswahili323
      @raphaelkaswahili323 3 วันที่ผ่านมา

      @@saidyande uko sahihi mkuu bac tufanye Kapiga na sky Wanafit kwenye mfumo

    • @saidyande
      @saidyande 2 วันที่ผ่านมา

      @@raphaelkaswahili323 milladiayo hawezi elewa chochote ni mtu mwenye upeo wa chini sana kuhusu haya mambo ya walimwengu

  • @danctheyoung
    @danctheyoung 3 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂halafu inamwagwa zege

  • @BashilyElias
    @BashilyElias 2 วันที่ผ่านมา +1

    27 bikla xo mchezooooooo

  • @kinungejulius4124
    @kinungejulius4124 3 วันที่ผ่านมา +2

    Safi Sana,tupo kwenye vitabu vya hukumu changamoto Sana.😅

  • @EKOSBAMBA
    @EKOSBAMBA 2 วันที่ผ่านมา

    Habari yenu hongereni sana

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 3 วันที่ผ่านมา +2

    Wa choko nozi 😂😂😂😂

  • @DidierMukubwa
    @DidierMukubwa 3 วันที่ผ่านมา +2

    Tuna ku fayiliya sana hapa kinshasa

  • @MasalakulangwaOmera
    @MasalakulangwaOmera 3 วันที่ผ่านมา +4

    UlivofikA kwa wajita apo nimecheka sana mkaluka

  • @StephanoKamunya
    @StephanoKamunya 3 วันที่ผ่านมา +1

    Et hakiri ziripumbazwa 😅😅😅😅😅😅😅 aaaazindiko rimekolea

  • @JacksonKimario-ig8dl
    @JacksonKimario-ig8dl 3 วันที่ผ่านมา +5

    Ila wachokonozi wanafki sana eti yesu anakuja na moamed😂😂

    • @HusnaSharifu
      @HusnaSharifu 3 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂

    • @JacksonKimario-ig8dl
      @JacksonKimario-ig8dl 3 วันที่ผ่านมา +1

      @HusnaSharifu we Cheka tu 😂😂 husna

    • @HusnaSharifu
      @HusnaSharifu 3 วันที่ผ่านมา +1

      @JacksonKimario-ig8dl wanaongea ukweli

    • @JacksonKimario-ig8dl
      @JacksonKimario-ig8dl 3 วันที่ผ่านมา +1

      @HusnaSharifu sana had wanafraisha

  • @LabanSimwinga-o7p
    @LabanSimwinga-o7p 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ila nyie mnavituko😅😅😅ila naelewa

  • @FredBwere
    @FredBwere 3 วันที่ผ่านมา +5

    Kumbe hata mishen ya magu haijaisha hapa kwetu

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 3 วันที่ผ่านมา +4

    Walijua wamemaliza but usaliti haujawahi acha mtu salama

  • @Clex-f5s
    @Clex-f5s 3 วันที่ผ่านมา +2

    BBC hawajawaita tu😂😂

  • @kelvinkumila4708
    @kelvinkumila4708 3 วันที่ผ่านมา +2

    chinamuna😂😂😂

  • @AshuraMshuza-g6r
    @AshuraMshuza-g6r 2 วันที่ผ่านมา +1

    Sjui Africa tunashida gani aisee dah

  • @JamesJulius-po2ue
    @JamesJulius-po2ue 3 วันที่ผ่านมา +1

    😀😀😀😀 i like it

  • @imhotepheru436
    @imhotepheru436 2 วันที่ผ่านมา +2

    In Berlin Conference 1884-1885 wakoloni walitugawa, And up today we haven't recovered yet 🤔 wajinga wengine Wafrika wanabaguwana kiukabila na wengine wanabaguwana kidini, zakupewa wakoloni 🤔

  • @BarakaNtale-xe3hx
    @BarakaNtale-xe3hx 3 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤ Brothers

  • @Aviero_07
    @Aviero_07 3 วันที่ผ่านมา +2

    Sabuni ya ubongo 👊🧠🧠🙌🙌🙌

  • @aronindibalema4964
    @aronindibalema4964 3 วันที่ผ่านมา +3

    Nakubari

  • @IsayaJoseph-v3s
    @IsayaJoseph-v3s 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mpo sawa kabisaa

  • @charlesgeorge-o9s
    @charlesgeorge-o9s 3 วันที่ผ่านมา +2

    Nawaelewa saana

  • @ShamteMatola
    @ShamteMatola วันที่ผ่านมา +1

    Jomri wewe ni mkuu

  • @AyubuFufulu
    @AyubuFufulu 3 วันที่ผ่านมา +2

    Niliwahi kusema hivo kongo inalana rumumba mana alipouliwa mke wake alitembea uchu balabalan

  • @SalumJohn-h2s
    @SalumJohn-h2s 3 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂😂Dhahabu zetu tutazikuta mbinguni

    • @HusnaSharifu
      @HusnaSharifu 3 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 na peponi

  • @ngayeempire7292
    @ngayeempire7292 3 วันที่ผ่านมา +2

    Tuko pamoja walimwengu

  • @mtumishiraymond2001
    @mtumishiraymond2001 3 วันที่ผ่านมา +2

    12:20 kweli 👌🏿🙌🏿

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 วันที่ผ่านมา

    Sawa wakuu

  • @maduhukipilyango-tz1jp
    @maduhukipilyango-tz1jp 3 วันที่ผ่านมา +3

    Kumbe Kuna kupewa bikra 72 na mito ya pombe na hamsemi sijapenda

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 3 วันที่ผ่านมา +2

    Sawa walimwengu wenzangu 😂

  • @crecknerz5661
    @crecknerz5661 3 วันที่ผ่านมา +3

    Invisible boarders.. zimewekwa na wakoloni.. it’s totally mind control system ✅✅✅

  • @MathaMsumi-l1b
    @MathaMsumi-l1b 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mtume mudi 😂😂

  • @salehmadjidumk7597
    @salehmadjidumk7597 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hamjawai ishi congo,nyie hamuwajuwi wanyarwanda wa kitusi vizuri,Huwezi kuwa na cheo cha juu amaa uwe tajiri kisha ukasalimika na watusi,watakuuwa tu,wana roho chafu asikwambie mtu,mimi nawafamu vzr.

  • @Melimeli7719
    @Melimeli7719 3 วันที่ผ่านมา +4

    Hi sio kwa congo tu kuwa Mental Salvel, hata sie Tz tuna tatizo Hilo. We angalia Vijana wanavyopelekeshwa kupitia vyama kwa ajili faida za familia za wanakula bata kwenye hii nchi.

    • @SalumJohn-h2s
      @SalumJohn-h2s 3 วันที่ผ่านมา +1

      Absolutely yes

  • @Joshuajereman
    @Joshuajereman 3 วันที่ผ่านมา +2

    Sisi wachokonozi washenzii Sisi watu Sisi nauzuriii Sisi basi

  • @jamesjamesh.5822
    @jamesjamesh.5822 3 วันที่ผ่านมา +6

    Watanzania hawana vita kwa sbb waliandaliwq kwenda mbinguni😂😂😂😂 mali na madini baba yenu mtazikuta mbinguni.
    Tukishafanya mambo yetu😢😢😢
    ZINDIKO LIMEKOLEA

    • @golebenson4597
      @golebenson4597 3 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂

    • @PaulKidula-o9g
      @PaulKidula-o9g 3 วันที่ผ่านมา +2

      😅😅tutatengenezewa barabara za dhahabu😅

    • @mariamnyamwiza4388
      @mariamnyamwiza4388 3 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

  • @richardcastromzena5136
    @richardcastromzena5136 2 วันที่ผ่านมา +1

    Assimilation
    Wanajichubua pia comgo

  • @NaimanaMzala
    @NaimanaMzala 3 วันที่ผ่านมา +2

    🎉🎉

  • @YalucLileZairois1643
    @YalucLileZairois1643 3 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂 Najuwa wengi hawa kufatiliyi kwasababu hawana mda na mambo kama haya ya mashauri, wana muda nama comédie kwenye Facebook, TH-cam kwao nikitu kigumu sana kuingiya kwasababu ya méga (bando)...

  • @adrianlazaro1560
    @adrianlazaro1560 3 วันที่ผ่านมา +2

    Nyie ni hatari sana

  • @NaimanaMzala
    @NaimanaMzala 3 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana wazee

  • @katembomuhiwa9956
    @katembomuhiwa9956 3 วันที่ผ่านมา +3

    Nime wasikiliza vizuri kabisa kutoka Kongo 🇨🇩 ila kitu mulicho sahau nikwamba kongo haija kataa makabila mengine ya inji jirani,ila mungi jifunza kuhusu mambo yaliyo pitika Rwanda kuhusu wa hutu na wa tusi ndo mungi tusema hivi na mungi uliziya kuhusu mauwaji yanayo pitika beni ni aina moja na yaliyo pitika Rwanda,ila utofauti wa mauwaji ya beni nikwamba yakwetu sio ukabila ila ni watu walio toka inje ya inji yetu ndio wanao kuja kutu owa.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 2 วันที่ผ่านมา

      Vita vya Kongo vya Sasa vinasababishwa na nini?

  • @KaskileMulete-eu7td
    @KaskileMulete-eu7td 3 วันที่ผ่านมา +3

    Miye niko nakufata kila siku kutoka Kongo

  • @embassydonkavoo5773
    @embassydonkavoo5773 3 วันที่ผ่านมา +2

    Hivi vitabu mnaleta kenya?

    • @wachokonozi_
      @wachokonozi_  3 วันที่ผ่านมา +1

      Vinafika +255785346032 WhatsApp

  • @gaspernoe2416
    @gaspernoe2416 2 วันที่ผ่านมา +1

    Duuuh ninyi walimwengu kila nchi ingekuwa na watu wanamna yenu tusinge Afrika isingekuwa hapa ilipo

  • @DavistaOne
    @DavistaOne 3 วันที่ผ่านมา +1

    Nimeelewa kitu kuwa usipotumia hakili utatumia nguvu😅 , changamoto inakuja sasa sehemu ya akili itumike nguvu mayokeo yake ni uharibifu

  • @Kakajambazitv..
    @Kakajambazitv.. 3 วันที่ผ่านมา +2

    Seen bye me 🇺🇸 MRINDOKO
    Nauyo mchokonozi jina lake nani !!

  • @JoyceNowara
    @JoyceNowara 3 วันที่ผ่านมา +1

    Amen Amen ni kweli kabisa

  • @NazoLongo-u8e
    @NazoLongo-u8e วันที่ผ่านมา

    Nilikuwa makini sana kuwasikiliza mnavyo elezea sababu namna ya kujiondoa kwenye vita hasa ndugu zetu wakule Congo
    Alipo uliza mbona tz tuna madini nahatupigani nimeishia kucheka au nimekosea mana nimeshindwa kujizuia.

  • @freddybaziraomari
    @freddybaziraomari 3 วันที่ผ่านมา +3

    Hapo unaogea point Congo,wagomani wegin huwa hakuwaki naimini kama Lumumba alikufa kwajili ya Kongo.

    • @YalucLileZairois1643
      @YalucLileZairois1643 3 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂 wanajuwa que ni yesu christo njo amekufa kwajili ya congo 🤣🤔

    • @freddybaziraomari
      @freddybaziraomari 2 วันที่ผ่านมา +1

      @YalucLileZairois1643 😅😅😅 nihatarii kaka

  • @madihanochristian5818
    @madihanochristian5818 3 วันที่ผ่านมา +1

    We mule mulevi acha uongo

  • @Jirhley
    @Jirhley 3 วันที่ผ่านมา +2

    Jina Zaire lililetwa na Mobutu. Alivyopinduliwa ndo jina likarudi kuwa congo kama kawaida

  • @darasibrown6084
    @darasibrown6084 วันที่ผ่านมา

    Location ya vitabu

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani nanyi.mtakufa?

  • @jacksonseleman4292
    @jacksonseleman4292 3 วันที่ผ่านมา +1

    Like 🙌🙌🙌

  • @jeremiahblazio4781
    @jeremiahblazio4781 3 วันที่ผ่านมา +3

    Mbona kama mnamuongea Jpm maana nae alikuja kwa mission maalumu akaondolewa

  • @KiloKilo-kn1my
    @KiloKilo-kn1my 3 วันที่ผ่านมา +3

    Nimichezo ya viongozi wetu na wazungu

  • @bensongombee
    @bensongombee 3 วันที่ผ่านมา +3

    😅😅